Nampenda mama samia rais wangu lakin ningali kuwa na namba yake ningalimpigia nikamwambia agairishe shughuli zake uko katika mkutani G 20 arudi nyumbani Tanzania wazungua walisema kweli rais anaumizwa na raiya wake. Ewe mungu mbariki mama samia Bibi chami
Poleni sana jamani Mungu awatie nguvu Kwa kweli duh😢😢😢
poleni xana wafiwa wote mungu awatie nguvu
Mungu azilaze roho zamarehem sarama.
😭😭tuko pamoja ndugu zangu, poleni sana, inauma namani
Inauma wameondoka wengi wana umri mdogo sana Mungu wape faraja familiar 😢😢😢
Poleni sana wafiwa wote
Pole wafiwa wote mungu awatie nguvu
Poleni jamani mungu awatie nguvu
Pole ndguzangun allah awatie nguv
vijana wadogo wanapambaniia ndoti zao wanafia kwenye mapambano
Polenisanawafiwa tupopamoja
Polen sana
😢😢 tukio gumu la uchungu mno
Poleni poleni poleni🇭🇺
Daah polen sana🙏😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭
Nampenda mama samia rais wangu lakin ningali kuwa na namba yake ningalimpigia nikamwambia agairishe shughuli zake uko katika mkutani G 20 arudi nyumbani Tanzania wazungua walisema kweli rais anaumizwa na raiya wake. Ewe mungu mbariki mama samia Bibi chami
Endelea kumpenda