Paul Richard x Leonard Sunday (Moran)- Safari [Official Video]
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Moran presents SAFARI [Official Video].
AUDIO AVAILABLE: audiomack.com/...
; / safari-moran
Written and Perfomed by:Leonard Sunday & Paul Richard
Composed & Arranged: Moran
Produced by: Ibrah
Mixed and mastered by: Sindwani beats
Additional Background vocals: Junior
Directed by i Directors
Assistant director: Sheylula
Cinematography: Selonda
Edit and DIT: Selonda
Colour Grading: Sheylula
Makeup artist: Neema Atsoko
#Moran #Safari #LeonardPaul
SAFARI LYRICS
[Verse 1: Paul Richard]
Penzi letu liwe dawa
Unitibu bila faida
Tusipoe, tusipotee
Tusiishie njiani
Penzi letu liwe ishara
Tutafanya wao wataiga
Bisha hodi, nifungue
Ujisikie nyumbani
[Pre-Chorus: Leonard Sunday]
Ohh Nikiulizwa nitakutaja umenijaa kwenye kichwa
Nishajenga daraja tujiandae kuvuka
Siko radhi, nikukose my love
Kuna muda naliagaa tuuhhhh
[Chorus: All]
Weee kama weee, nakupenda wee kama wee
Weee kama weee, nakupenda wee kama wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee
[Verse 2: Leonard Sunday]
Waseme tumefanana
Wasiseme utaniacha
Nikupende hadi, nikitazama kwa kioo
Taswira yako itokee
Moto kwangu uwe fire
Say hi to love
Nikupende, nikuoe
Tuvishane pete
[Pre-Chorus: Paul Richard]
Nikiulizwa nitakutaja umenijaa kwenye kichwa
Nishajenga daraja tujiandae kuvuka
Siko radhi, nikukose my love
Kuna muda naliagaa tuuuuhhh
[Chorus: All]
Weee kama weee, nakupenda we kama weeh ...
Weee kama weee, nakupenda we kama weeh ...
(baby bado kidogo, ohhh bado kidogo, ohh bado kidogo)
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na weee
nakupenda BLUE.
Nawakilisha Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪, Nipeni likes hata 10 tu kunikaribisha TZ 🤣🤣
best of the best man
Haya ni mazishi ....wanajua mpaka wanaboa
Wallah hamjui nimerudia huu wimbo mara ngapi best best best best best song
Bss haijawahi kukosea wana vipaji sunday salute bro with paul richard next time natak nione country musuc paul mzur sana huko
Ata siamin metoa ngoma kali Kama ivi yani Paul namuona Kama John legend 🔥🔥
The best ❤
Bonge LA ngoma big up San brothers kwa nyimbo tamu safariiiiiii
Nan alikuwa hajui lkn baada ya intevew ya wasaf kajikuta kaja💃💃♪♪♫🔥🔥🔥🔥
Woyooo
New blues music singers in the world, but for the first time from Tanzania
Leonard ulikuwa mshind wang kabsa good music Mungu awatangulie kwa kwel
Aiseee bonge la song😚😚💖meipenda sana big up sana and nakukubali sana since Bss
Big up from arachuga tunawaagiza mkapiganie hili taiga LA chuga na tz kama macaptani wenye vyeo vya Moran God bless this boys
Hii nyimbo inaondoa surua, harara na presha, inafukuza Mbu, mikosi na kuongeza vitamin C kwa wale wenye upungufu wa ndugu wa karibu mwili I. It’s so far the best r&b song I’ve heard in years. Kudos guys
Niceee jaman safar moja huanzisha nyingne good work mmefany vizuriii
Paul ur my favorite, Leonard yo the best. Msipoe,msiishie njiani.😘tunawapenda kazi nzur sana hii
Ongera
Umetisha sana paul wakishua
Mziki mzuri
Mbona sichoki kusikiliza SAFARI ..... Uhuuu nikiulizwa nitakutaja.....
Nimewah nafasi hapaaaah ahahahhh #safari #morani #paulrichard #leonardsunday #khan #obbyalpha
Paul.... Ever since the first time I saw you in BSS.... I knew you are the greatest person in music... And I appreciated every song you sang.... You are talented don't let them undermine you.... I know utafika mbali... More than the expectation...you are the best... We love you...I expect the best from you bro... ✊✊💯💯💯
❤❤
true paul is an amazing singer
Hundred percent Paul is a great singer ever
Tangia mkiwa Bss mimi nliulewa mziki wenu sana nlijuwa nkijafanya kitu mtauwa..
one love from kenya mombasa
Ukwer mnajitahid kabisa nakubali
Sauti za gospel izi 😢😢😢 tunawasubiri
Kudadeki yan westlife wanakuja afu wanakataa like zenu kwa sauti tamu kma izi
Wooow vijana mmekuja motoo asee nimeskiza mara 3 saut inabembeleza ila inasound Kama gospel gospel but I like it
The BEST song I have watched this year. Hongereni sana Moran. Ndio safari yenu ya muziki imeng'oa nanga
bro congrats sana ilikuwa marangu ulisema najua ila ulikuwa mnafki bro unajua sana u made it
👏👏👏👏🔥🔥🔥❤️❤️wow wow nice song❤️
Wimbo mzuri naupenda kweli kabisa
Ujuzi mwingi sana umu ndani....💥💥💥
Nimeipenda nzuri sana wewe ndie ulie kuwa mshindi wangu wa kwanza kukutaja pale ulipo imba kwa mara ya kwanza#Leonard
mnajua sana moran twende pamoja kwa like
Pooooooul richard mwanangu tuko sambamba toka bss nakukubr mzee
I❤u LeoNaRd & PauL so MucH.....
Duhhhh,,,huu wimbo ni Moto balaa hauchoshi
Na like kwa kuwasaport guys good work
Hongera mpendwa iko vzr xn sanaaaaaa🥰
Wimbo mzur mnajua mpka laha
At first thought it's a gospel song kumbe,,,,,,,,,, congrats guys
Good job guys
This is my Africa,. This is my Tanzania....let's go brothers ✌️
Vitamin music
This song is nice and push it in Kenya 🇰🇪 coz will love those types of songs already like
Good music good sound good mixing good location good video big up Moran big up produce 👍💪☝️
Mnatisha wadau keep it 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mafundiii🇹🇿🇹🇿😎😎
Whoever thumbs down this video is a witch..what a great start fellas🤝
Nakubari tangu niwajue hamjawah nifelisah
Bonge la combination.....kama umeona wameweza kujichagua...gonga like zifike 10 tuu....ka westlife
Poa sana hongern aise
Jamnii 😱😭❤️❤️❤️ nilivo anza kusikia maneno tu Nika fall in love na song ✨🌹
Noma na nusu big up sana ma morani keep it up
lazima moto uwake mko vizur Moran paul x Leonard
Naaaam!kila Napo sikiza huu utenzi.naludi back to day's KC& JoJo.
Nyimbo kali....video shots nzuri sema imekosa demu...
Daaaa very yummy song
Wow 💋❤️❤️🔥🔥
Motooo💥💥💥
Bless Sana ma bro mmeweza kinoma mzidi kupambana mwanzo mzr Sana 🗺️🗺️
Big up Leonard nimefurahi
Gud job
Inabid muweke pin kwenye sehemu ya kudanilod
Keep it up💪💪....congrats
Nice song huu Ni moja ya wimbo ninaousikiliza sana
Naona matunda ya bss bonge la jimbo yani
Jamani nimependaaa😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘😘
Kaz imeanza vyema
💓💓🎶🎹🎻🎺🎶
Great music indeed! Intimacy aint sexuality ...keep pushing♥️
That's nyc leonard you welcome to Kenya
Boys wangu mkowapy nimewamic arifu
Westlife wa kibongo chuma kali dingi !!
🔥🔥🔥Nice video,Cogratulations👏🏽👏🏽👏🏽A very nice start big up Paul&Leonard much love♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️your work is so good
Man this thing is dope like for real.🌐🌐🌐
Woooow👏❤ everything I like
Mnajua...
Amaizing Sana from Oman 🇴🇲
Noma sana
Yan nyie ni noma actually this is ma favourite song mnatumia jina gan insta
mwanzo mzuri saaaaana..💥💥💥
,,,ndo mnatoka hvyo hvyo an kozembe...nyimbo Kali,sauti Kali,an video Kali coz ni uwezo tu!!
Always support u guyz 😘💖leonard
Paul🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kazi nzuri sana, endeleeni kutengeneza mziki mzuri.
Woooow, nice Sanaaaaa best
Hii ni kubwa kuliko kawaida... Safari njema kwenu
Nyie wakali sana jamani 😍
Yoh hii ni hatar ni balaa my fellow morans
Noma sana tukutane kwangu wakubwa tu
Nimerudi tena baada ya nyimbo kunikaa kichwaani mda wote najikuta naiimba hatari sana wanaume
Hongeren wimbo mzuri🔥🔥🔥🔥
Nawaona mbali sana
bonge moja la ngoma🔥🔥🔥🔥🔥
Always appreciate brothers... mmetisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥keep on moving and God bless your hustles ✌️✌️✌️
Hongereni sana Mungu awatangulie mfike mbali...Much luv u guys🙏
Keep the fire burning🙌🙌🙌