Kama shekhe Yahaya Husseni marehemu alivyosema mwenye uwezo wa kumtoa jini ni Yesu Kristo pekee, na yeye aliacha maagizo kwa imani tutoe pepo na majini kwa jina lake, hebu kama kweli unania jini huyo atoke kwenda kanisa la mtongani daraja la reli kwa mchungaji Katunzi...pale kuna watu walikuwa na majeshi ya majini, wafalme wa majini nk wamepona.Yesu Kristo hajawahi kushindwa kwa jambo lolote. wewe bado ujaamua tu ndani ya moyo. Lazima kwanza uchukie kuwa na huyo jini siyo kucheka naye!!! atakuchezea sana.
Huyu dada tatiz pia nimchaf sana ndioman anasumbuliw kias hicho. Kwamn pombe zake, miziki yake, ushirikina wake, balaa kibao namok kanisan anaingia. Mapete hayo nihayo yamajin ndio tatiz. Bas usipoachan nahayo utahangaika sana Allah akusameh urud kwake
Uyu sio mfanyaji wa ibada ila anajaribu jaribu tu mtu mwenye imani ya dini awezi kujipamba kwaajili ya awala uyu ibada kaifanya kwaajili ya matatizo na ata ivyoo imani bado
Mwitie Mungu atakuokoa mara moja, Yesu ni jawabu🙏 lakini pia lazima ukubaki ushindi huo manake hakuna chochote kinachomzidi Yesu hata jini, hayo ni mashetani matupu
Hapo ndo umeyumba ,kwanini uwende mshirikisha M/mungu mpaka uwende kanisani ?huo ni mtihani umekupata ili kuushinda inabidi ujiegemeze kwa Allah na ushikamane na sunna ,acha kupaka manukato , acha kuvaa mapete ,sali sala zote ,usiache sala za sunna, dhikri ,acha kusikiliza muziki ,shikamana na Allah vinginevyo utazunguka na utafeli atakuharibia maisha yako ,soma sana Falaq na Nnasi ,hata kwa wanokusomea wasiwe waganga wanaomshirikisha Allah ,kikubwa tubu kwelikweli kwakuwa ushaenda nje ya uislamu ,shuhudia tena upyaa
😀ni kama stor za kutunga lakin ndio maisha halisia na kuna watu wana mengi sana zaidi ya huyu sema huyu anaonekana anawapenda majin sabab hawajamsurubu ipasavyo wengi wao wanapitia mateso yasio elezeka
Mbona mizunguko yoote hiyo humuulizi kuhusu mumewe na alisema kaolewa ..?....hiyo misafara yote mumewe yuko wapi’ au anawasiliana nae vp..!? TUPIA SEASON 4 MWANAKWETU..!
Unapokwenda kwa Yesu Kristo upate uponyaji ...vitu vyote ulivyopata kwa jini au kwa mganga wa kienyeji ni lazima kuachana navyo, Mungu anaangalia wewe je akili yako hipo kwenye fedha au kumtafuta yeye, kitu cha muhimu ni kujitoa kwa Mungu kwa moyo wote, kwa sababu kila unapokutana na huyo jini unakubaliana naye ndio maana hatoki, kuna watu wengi walikuwa na matatizo makubwa kuliko yako walipona baada ya kusikiliza walichoambiwa. Shakhe Yahaya Husseini marehemu aliwahi kusema kwenye Tv na kwenye magazeti kuwa mwenye uwezo wa kumtoa pepo na kuondoka kabisa jina la Yesu Kristo tu... kwingine kote anapungwa tu.. yaani kutulizwa. Huwezi kuwa na mali ya jini ukaingangania halafu upone, kumbuka hiyo ni mali yake... vitu hivyo waliviweka kwanza kwa sababu kuna watu hurudi hata wengine na waume zao na kuvidai kwa ugomvi, ndio maana ulipoviomba ulipewa, vitu vya shetani ni lazima kuharibiwa, hirizi nk... Kuwa mwaminifu kwa Yesu Kristo uone miujiza yake, vikatae vyote alivyokupa, hata mchawi anaharibiwa vitu vyote.
Jmn kuna watu mnalaumuuuuuu kaeni kimyaaaaaaaaa hayajawatokeaaaa ooh anakubalije kwenda hotelin na n mke wa mtu😭😭😭😭 ukifungwa akili unafungwa kweliiii yalotukuta tunaelewaaa simlaumu at kidogo at least ye ana kumbukumbuuu
Tatizo ulienda kanisani kwa ajili ya tatizo lakini hukuwa tayari kumpokea na kumkubali Yesu. Kilichokuwa kinatakiwa kabla ya kuombewa ilitakiwa lazma ukili kwa dhati na usingerudi tena msikitini. Km uliendelea kuswali swala tano usingeweza kupona. Ukitaka kumfuata Yesu lazima ujikane. Hiyo ndio kanuni ya Ukristo wa kweli.
We kumbe umependa giza kuliko nuru, endelea kuteseka siku ukiona unamuitaji Yesu akupumzishe huo mzigo wako utamtafuta nae anapatikana. Yani wewe uko tayari kuzaa na jini kuolewa na jini kisa tu Pete zako unaziona zina thamani kuliko uhai wako .............Mungu amekupa chance ya mwisho hiyo ili uachane na shetani, akikuacha Mungu huyo jini atakumaliza dakika 0 tu
Hautoweza kufanikiwa abadani weye ni muislamu halafu unaenda kanisani kuombewa inafahamisha haujielewi kabisa huhijui dini yako ya kiislamu Allaah kawalaani makafiri na hazijibu dua zao vipi uende kwao weye baki katika dini yako ya kiislamu na shikamana na dini hiyo muombe Allaah pekeyake kwa imani atakuponya achana na wanadamu.
Sio kaacha ila lzm ujue kwa Yesu kuna nguvu si unaona uyo muislam mwezio kakimbilia kwa Yesu?maana kaswali lkn Allah kanyamaza waganga awasaidii maana ata jini pia alienda nae kwa mganga 😂😂😂😂jiulize kwann kanisani alikua anaanguka?Yesu mtamu jamani
Ww mgonjwa Kisha haujatulia kuwa msafi umche M/Mungu ujikinge mwnyw kw Madua ujikabidhi kw M/Mungu bl ya hivo utapata tabu sana mana hao wafnyaji dawa wengi waongo
Mmmh dada unatafuta uponyaji Na Bado unapenda hayo mapete,huwezi kupona kirahisi namna Hiyo,hayo mapete ndo mapepo yenyewe unatembea nayo,Inabidi ukubari kutoka moyoni uache Kila Kitu,Yaani Hapo hujaonyesha kulichukia Kabisa,Mungu akusaidie Jamani utoke ktk hayo mateso,Maana yanatesa sana
unahitaji ku stick na Allah vizuri imani isi shake atakuokoa katika huo mtihani,ila imani yako inapo shake kwenda kanisani na waganga means hauna imani kamili na uislamu pamoja na Allah.
WENGI MNADHANI AU KUONA BIBLIA NI GAZETI LA RIWAYA. YAKOBO: 4 mst -7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. 8 Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Yaani we dada mwenyewe unaonekana maharage ya mbeya maji mara moja kila mwanamme anachokwambia hukatai sasa atakuepukaje? Namba ya cm ulikataa nayo lkn uliopigiwa jionii ukamwambia ulipo ili aje si ubwege huo
Wewe mama tatizo lako uyo jin kam unavy sema anakufata n kwamba moyo wako unatamaa san upo laisi kimapenzi piya kimari kwaiyo moyo wako zaifu ndiyo maan ameutawara naukienderea kuwa na moyo waivy ivy kiukweli ata ondoka abadan kwasababu wewe mwenyewe nikam umempa nafasi kwenye moyo wako ili akutaware
Inatisha noma Davi Chunga usikutwe kuna siri kwa izo pete ndo anafanya kukufwata pole Mungu atakufungua macho ya kiroho ndo ujue izo vitu unavaa ulinunuaje inaweza kuwa ndo shinda.
Jamani siyo kutongizeka sivyo mfikiriavyo majini ni mashenzi likiamua kukuganda unakuwa kama chizi maana unasahu mpaka lini ulikuwa mzima yanachosha sana hayo madubwana anachosema ni kweli kabisa
mmmmh kama ni mimi ningemuuliza mbona macho yako yanacheza ? alafu ulisema kwenye gari uliona mtu mwenye macho kama hayo alafu ulipomgusa alikuwa na shoti ujiulizi""!
Yaani unataka usaidike lakini hutaki kuacha mali za majini(pete)unaona mtu macho yanachezacheza ila unaandamana Naye sako kwa bako mmmmh.Ila davista unatutesa fupi fupi aje
Wee dada tatizo sio jin tatizo hujielewi huna msimamo ktk din ww mwislam unafanya ibada, unaenda vp kwa mganga? Unaenda vp kanisan, Allah hachezew acha ushirikina na ukiendelea hv utapata tabu sana, nakuomba rud kwa Allah tubu mtegemee Allah fanya istighfar kwa wingi tafuta mashekh wakusomee ruqya pia watakupa dawa inshaallah Allah atakufanyie wepes inshaallah
Mimi ni mkristo nina soma bible sasa kama ujui alivyo vaa uyu dada kwa heshima ndivyo bible ilivyo sema wanawake tuvae kama unabisha nikupe maandiko kutoka ktk bible. Sema uyu dada ana msimamo ndio maana anachanganya uku na uku
Alichoamua mungu.hakuna awezaye kupinga.nakupenda sana mungu mwenyezi .
Kama shekhe Yahaya Husseni marehemu alivyosema mwenye uwezo wa kumtoa jini ni Yesu Kristo pekee, na yeye aliacha maagizo kwa imani tutoe pepo na majini kwa jina lake, hebu kama kweli unania jini huyo atoke kwenda kanisa la mtongani daraja la reli kwa mchungaji Katunzi...pale kuna watu walikuwa na majeshi ya majini, wafalme wa majini nk wamepona.Yesu Kristo hajawahi kushindwa kwa jambo lolote. wewe bado ujaamua tu ndani ya moyo. Lazima kwanza uchukie kuwa na huyo jini siyo kucheka naye!!! atakuchezea sana.
Huyu dada tatiz pia nimchaf sana ndioman anasumbuliw kias hicho. Kwamn pombe zake, miziki yake, ushirikina wake, balaa kibao namok kanisan anaingia. Mapete hayo nihayo yamajin ndio tatiz. Bas usipoachan nahayo utahangaika sana Allah akusameh urud kwake
Uyu sio mfanyaji wa ibada ila anajaribu jaribu tu mtu mwenye imani ya dini awezi kujipamba kwaajili ya awala uyu ibada kaifanya kwaajili ya matatizo na ata ivyoo imani bado
Mke wa mtu unakubali anachokuambia ata kujipodoa unampodoleaa jinii na nyuma umeacha mmeo hii kali kweli
Dada ang kwaiyo mambo ya wanaume unayo na nikabu unavaa na majini yaskufate kwann hayyaty tawakkal kwa Allah
Mwitie Mungu atakuokoa mara moja, Yesu ni jawabu🙏 lakini pia lazima ukubaki ushindi huo manake hakuna chochote kinachomzidi Yesu hata jini, hayo ni mashetani matupu
Mr Mata unakatisha mzuka wa story Dah inanoga Wewe unakata Dah Haya kaka tunasubiri muendelezo hongera love ❤️🇹🇿🇹🇿🇸🇪🇸🇪
Simuisilamu KM ni muisilamu ungemkimbilia mungu Wako na sio kanisani
Kawaida wanawake tuna roho ya kudanganyika mungu tunusuru
Niqabu MashaaAllah lakin unaenda bar Mtihan I swear.
hiyo niqab kavaa hapo tu kuficha uso.
Allah yahfidhkum mamaty soma qur na...dumu na swala na udhu pia omba duah sana pia fanya tasbihi sanaaa
Hakuna suluhisho uko ,kwa yesu ndio kuna msaada kamili na ya kweli
Stori imenoga msimuliaji pambe kweli👌
Subhanallah mpaka kanisani umepata Lana sasa
Yesu kristo dio mambo yote
Mungu akusamehe.
Uzidiii kuzunguukaa ilii upate tibaa linawezekana tuu kutolewa tuu Hilo
Dada ulikosea kuomba vitu vyako kwa mchungaji vilitakiwa kuchomwa kbs kila nguvu za kichawi zinateketezwa.
Hapo ndo umeyumba ,kwanini uwende mshirikisha M/mungu mpaka uwende kanisani ?huo ni mtihani umekupata ili kuushinda inabidi ujiegemeze kwa Allah na ushikamane na sunna ,acha kupaka manukato , acha kuvaa mapete ,sali sala zote ,usiache sala za sunna, dhikri ,acha kusikiliza muziki ,shikamana na Allah vinginevyo utazunguka na utafeli atakuharibia maisha yako ,soma sana Falaq na Nnasi ,hata kwa wanokusomea wasiwe waganga wanaomshirikisha Allah ,kikubwa tubu kwelikweli kwakuwa ushaenda nje ya uislamu ,shuhudia tena upyaa
😀ni kama stor za kutunga lakin ndio maisha halisia na kuna watu wana mengi sana zaidi ya huyu sema huyu anaonekana anawapenda majin sabab hawajamsurubu ipasavyo wengi wao wanapitia mateso yasio elezeka
Ikiwa hatakuja Tena mwambie naomba tuoane na nitakueshimu na hujitokeze tuendele na maisha.kama kawaida na nitakutii Kama mine wangu
Mbona mizunguko yoote hiyo humuulizi kuhusu mumewe na alisema kaolewa ..?....hiyo misafara yote mumewe yuko wapi’ au anawasiliana nae vp..!?
TUPIA SEASON 4 MWANAKWETU..!
Unapokwenda kwa Yesu Kristo upate uponyaji ...vitu vyote ulivyopata kwa jini au kwa mganga wa kienyeji ni lazima kuachana navyo, Mungu anaangalia wewe je akili yako hipo kwenye fedha au kumtafuta yeye, kitu cha muhimu ni kujitoa kwa Mungu kwa moyo wote, kwa sababu kila unapokutana na huyo jini unakubaliana naye ndio maana hatoki, kuna watu wengi walikuwa na matatizo makubwa kuliko yako walipona baada ya kusikiliza walichoambiwa. Shakhe Yahaya Husseini marehemu aliwahi kusema kwenye Tv na kwenye magazeti kuwa mwenye uwezo wa kumtoa pepo na kuondoka kabisa jina la Yesu Kristo tu... kwingine kote anapungwa tu.. yaani kutulizwa. Huwezi kuwa na mali ya jini ukaingangania halafu upone, kumbuka hiyo ni mali yake... vitu hivyo waliviweka kwanza kwa sababu kuna watu hurudi hata wengine na waume zao na kuvidai kwa ugomvi, ndio maana ulipoviomba ulipewa, vitu vya shetani ni lazima kuharibiwa, hirizi nk... Kuwa mwaminifu kwa Yesu Kristo uone miujiza yake, vikatae vyote alivyokupa, hata mchawi anaharibiwa vitu vyote.
Part 3 nmekua wa mwesho 😢 😢 shkuran braza Davistar pamoja sana ushaur wngu zidisha kuomba in Shaallh yatakwisha 👐
Uyu halienda kanisani lakini himani akuanayo ndy mana majanga yanakusonga songa ebu mpokee yesu kwa moyo na kweli na uta enjoy Mahisha.
Umesema kwamba jini alikupa pesa nyingi mbona nyumba yako ya ajabu ajabu?🤔🤔
Kama alichagua mali badala ya amani wacha akae,,,, angekubali kuacha pete na kuendelea na maombi angekuwa sawa
Hakika mkuu
Muendekezo jmn story nzuri japo inamachungu
Mungu wangu sasa unayataka maana ungekubali kuzichoma zote
Siyo akili yakejmn
Jmn kuna watu mnalaumuuuuuu kaeni kimyaaaaaaaaa hayajawatokeaaaa ooh anakubalije kwenda hotelin na n mke wa mtu😭😭😭😭 ukifungwa akili unafungwa kweliiii yalotukuta tunaelewaaa simlaumu at kidogo at least ye ana kumbukumbuuu
Fanya dua dhikr muombe mungu ndo muezaa wa yote
Ss apo ndipo ulipo potea kuenda kanisani
Tatizo ulienda kanisani kwa ajili ya tatizo lakini hukuwa tayari kumpokea na kumkubali Yesu. Kilichokuwa kinatakiwa kabla ya kuombewa ilitakiwa lazma ukili kwa dhati na usingerudi tena msikitini. Km uliendelea kuswali swala tano usingeweza kupona. Ukitaka kumfuata Yesu lazima ujikane. Hiyo ndio kanuni ya Ukristo wa kweli.
We kumbe umependa giza kuliko nuru, endelea kuteseka siku ukiona unamuitaji Yesu akupumzishe huo mzigo wako utamtafuta nae anapatikana.
Yani wewe uko tayari kuzaa na jini kuolewa na jini kisa tu Pete zako unaziona zina thamani kuliko uhai wako .............Mungu amekupa chance ya mwisho hiyo ili uachane na shetani, akikuacha Mungu huyo jini atakumaliza dakika 0 tu
Hautoweza kufanikiwa abadani weye ni muislamu halafu unaenda kanisani kuombewa inafahamisha haujielewi kabisa huhijui dini yako ya kiislamu Allaah kawalaani makafiri na hazijibu dua zao vipi uende kwao weye baki katika dini yako ya kiislamu na shikamana na dini hiyo muombe Allaah pekeyake kwa imani atakuponya achana na wanadamu.
Davsta mata - huyo dada bado anampenda huyo jini na hana shida ya kumtoa kwa hiyo mwacheni tu ale hiyo raha lakini ajue kuzim ni yake
😃😃😃😃😃ulikua usal ulkua unamjaribu Mungu
SUBHANALLAH ila ivo umeacha uislam.
Sio kaacha ila lzm ujue kwa Yesu kuna nguvu si unaona uyo muislam mwezio kakimbilia kwa Yesu?maana kaswali lkn Allah kanyamaza waganga awasaidii maana ata jini pia alienda nae kwa mganga 😂😂😂😂jiulize kwann kanisani alikua anaanguka?Yesu mtamu jamani
Allah hakumjibu kwakua ni mnafik Allah ndo waukweli hafagilii wanafik wacha aende tu kwa yesu ambAe hachagui yoyote anabeba😏
Nawe Malaya tu yaani umekutana namtu mala moja mneenda Gest pamoja na unaona chumba single bado unalala si ungelala kwa mama ako yeye alale hapo gest
Sasa kwanini ulikubari kukutana nae mmmmmh mazito kweli duuuu
Pole dad omba mungu usiache kuomba
Muite yes kwa roho na kweli utapona
Ww mgonjwa Kisha haujatulia kuwa msafi umche M/Mungu ujikinge mwnyw kw Madua ujikabidhi kw M/Mungu bl ya hivo utapata tabu sana mana hao wafnyaji dawa wengi waongo
Du pole ndugu hiyo hatari jamani yaani si mchezo.
Sasa dada na Ibada zote izo unakubali kirahisi kutafuta mahoteli na ndo mke wa mtu mmmmh
Ni yule jini anamchsnganya
Kweli jini lmemuharibu akil anakua hajui anachofanya
Mdangaji kimpango
Zina majini ukiuza utakayemuuzia zitamsumbua, imani hiyo ya roho yako kuuma ndiyo inayozuia kupona, maana inatakiwa izikatae toKa rohoni mwako
We dada mjinga sana, na uyo jini unampenda.
Kweli anampenda sasa analalamika mini?
Mmmh dada unatafuta uponyaji Na Bado unapenda hayo mapete,huwezi kupona kirahisi namna Hiyo,hayo mapete ndo mapepo yenyewe unatembea nayo,Inabidi ukubari kutoka moyoni uache Kila Kitu,Yaani Hapo hujaonyesha kulichukia Kabisa,Mungu akusaidie Jamani utoke ktk hayo mateso,Maana yanatesa sana
Ndo hapo akazana na mapete yake jini hatatoka
Hongera DADA kwa kukumbuka kwenda kanisani
Alikumbuka lkn hakutaka Pete zichomwe😬😬😬😬 ati roho yamuuma
@@nurafedrick378 ndo hapo alipochemka. Huyu Bado ushirikina unamtawala Sana.
@@jamesswai6583 wenzetu hawa majini wanayafuga niko zanzibar haya maish ndo wanayo yaishi majini awayatoi wakihofia eti yatawazuru
Mmmh
Ndugu mtangazaji😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Uyu kusema afunguliwe ni Yesuu tu njo amuyokee amuonyeshe amuokowe kwa yeye naona hataki kufunguliwa maana izo pete njo jini
Bado wew davistar kufwatwa usiku 🤣🤣🤣🤣🤣
Wachungaji ni wachawi tu wanapiga ramli halafu wanajidai ni watu wa mungu ni wahuni tu
Aisee huyu Dada amefumbwa kimazingara msimlaum
unahitaji ku stick na Allah vizuri imani isi shake atakuokoa katika huo mtihani,ila imani yako inapo shake kwenda kanisani na waganga means hauna imani kamili na uislamu pamoja na Allah.
Kweli kabisa na ata hangaika sana..juu!hana umani thabiti na Allah!
Sahihi kabsaaa
Sahihi
Kweli kabisa
Davistar mzee baba mzigo una dk chache mkuu, story unafikia patam mda unaishaaa 😀😀😀
Wadau mpo vizuriiiiii mnawahiiii 😂😂😂big up sana davista
WENGI MNADHANI AU KUONA BIBLIA NI GAZETI LA RIWAYA.
YAKOBO: 4 mst -7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
8 Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Yaani we dada mwenyewe unaonekana maharage ya mbeya maji mara moja kila mwanamme anachokwambia hukatai sasa atakuepukaje? Namba ya cm ulikataa nayo lkn uliopigiwa jionii ukamwambia ulipo ili aje si ubwege huo
Umeona akina dada wa mjini huyu tamaa ya pesa
Pole mama ila mm sichangii naogopa nisijenikafatwa buree nasoma comment tu nakucheka hatar
🤣🤣🤣🤣
Wewe mama tatizo lako uyo jin kam unavy sema anakufata n kwamba moyo wako unatamaa san upo laisi kimapenzi piya kimari kwaiyo moyo wako zaifu ndiyo maan ameutawara naukienderea kuwa na moyo waivy ivy kiukweli ata ondoka abadan kwasababu wewe mwenyewe nikam umempa nafasi kwenye moyo wako ili akutaware
Unge kubali pete pete zichomwe apo jini uchamjengea kibanda
Wewe aki mungu aku ponye Dada
Nenda kwa shekh othumani Michael
Jiombee na uamini kabsa
SubhanaAllah
Davista ungempeleka kwa yule mganga wa bagamoyo
Braza davista mbona hujamuulizaa kuhusu mume wake anachukuliaje hilo swalaa
Mabomu gongolamboto miaka 8 hadi sasa unasimulia 2020 kama si uongo nini kama umetumiwa huna lolote
biashara za watu hizo kaka!!!!
Inatisha noma Davi Chunga usikutwe kuna siri kwa izo pete ndo anafanya kukufwata pole Mungu atakufungua macho ya kiroho ndo ujue izo vitu unavaa ulinunuaje inaweza kuwa ndo shinda.
Jamani siyo kutongizeka sivyo mfikiriavyo majini ni mashenzi likiamua kukuganda unakuwa kama chizi maana unasahu mpaka lini ulikuwa mzima yanachosha sana hayo madubwana anachosema ni kweli kabisa
Sema nawewe hauleweki unachembe chembe za umalaya unatagozwa nakukubali nakwenda gest
nashangaa tamaa kaweka mbele
Sasa anefika kwao kilicho mfanya aende guest ni nn??
@@giftnyakipande1253 nami ndo najiuliza
Davistar Thanks for the Story's lakini sasa watu tujifunze unaweza kujipamba kumbe unajiunganisha na Shetani bila wewe kujua 🤔
Kabisaa kabisa cha kufanya aludishe kila kitu kwa kuchomwa na maombii atapona bila ya ivyo atazunguka kwa waganga dunia nzima na asipate mafanikio
Nikweli ndomana sipendi watuwanao vaahivyo maanando wanaongoza kwa mambo ya kishetan
Duh nishida sana maisha aya
Mchungaji uliyeendea alikuwa feki. Angekuwa wa kweli angekusaidia badala ya kutaka kumiliki vipuli vyako.
Una tamaaa sana ndio maana hayo mambo yanakukuta
Unataka jini akutoke bado una ng’ang’ania mipete ya jini mxiuu
Jamani Dada yangu unasumbuka sn pole Allah anakuona Maskini
huyu alikuwa anapelekweshwa na jini masikini . huyu mjini mshenzi mno .
Mlie kitimoto huyoo😂😂😂
hahahahhahah akili zako wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Victor u have made my day 🤣🤣
mmmmh kama ni mimi ningemuuliza mbona macho yako yanacheza ? alafu ulisema kwenye gari uliona mtu mwenye macho kama hayo alafu ulipomgusa alikuwa na shoti ujiulizi""!
Dada jamani pole sana mh
Arifurai Yani harikupata raivu raivu siyo usingi zini🙄🙄
Duu aseee Dada anajua kusimulia huyuuuuuuuuu paka raha
Dah kwer pamoja sana
Yaani unataka usaidike lakini hutaki kuacha mali za majini(pete)unaona mtu macho yanachezacheza ila unaandamana Naye sako kwa bako mmmmh.Ila davista unatutesa fupi fupi aje
😂😂😂😂 Davistar una roho ngumu...yaan anakwambia alikua anajiskia kama anavojiskia saiv lakin bado umekaa nae
😂😂
😂😂😂😂Sasa unataka akimbie
@@roseuwambe8089 Wee!! me mwenyewe nilikua namuangalia mala mbili mbili....unaweza shangaa mtu anayeyuka af mko nae
Hahahah
@@kijangwazay7711 Vip? mbona umecheka saaaaana
Wee dada tatizo sio jin tatizo hujielewi huna msimamo ktk din ww mwislam unafanya ibada, unaenda vp kwa mganga? Unaenda vp kanisan, Allah hachezew acha ushirikina na ukiendelea hv utapata tabu sana, nakuomba rud kwa Allah tubu mtegemee Allah fanya istighfar kwa wingi tafuta mashekh wakusomee ruqya pia watakupa dawa inshaallah Allah atakufanyie wepes inshaallah
Dada angu uyo jini ukiendanae vizuri utanufaika neema iyo dada
Waislam bhana njaa tupu. Jini awana mawasiliano na binadamu wale ni viumbe vilivyo laaniwa ndo mana wanawatesa nyinyi wajinga
Wala nenda karagwe umuone Robert
Msimuliaji pambeeeeeee
Japo stori ya kusikitisha
Huyu Dada mswahili kweli aelezea ,,,...............
Kwa maelezo ya huyu dada aliyataka kiuhalisia wa mambo tamaa ya pesa
Yaaan haki zote zipo ktk uislam ukiona umekosa ktk uislam basi
Baibui na kanisani wapi kwa wapi?! Ushirikina janga kweli!!!
Mimi ni mkristo nina soma bible sasa kama ujui alivyo vaa uyu dada kwa heshima ndivyo bible ilivyo sema wanawake tuvae kama unabisha nikupe maandiko kutoka ktk bible. Sema uyu dada ana msimamo ndio maana anachanganya uku na uku
@@euniceeunice7680 Sasa mbona wakristo hamvai hivyo?
Pole sana
Tatizo nipale uatongozwa unatongozeka watu huwajui
kwe kwe kwe kwe huyu ni mke wangu😁😁😁😁
Mavaz ukiyatazam utasema ni mtu wa ibada kumbe ni fashion.maana unamiziki unatongozek fasta huku unamume mr umepiga kikoi matata na remba 😁😭
😂😂😂🙌🙌🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Una beza hayajakutokea
haha yaani haeleweki tamaa mbele
@@YoungEngineer-ew9en maut nyuma
Huyu kahaba tu hana lolote anakataa chakula soda na kila kitu lkn akiambiwa namba za sim au alipigwa hakatai mshenzi tu
Muito sentimental 😭😭😭😭🇲🇿🇲🇿🇲🇿
NENDA KWA MWAMPOSA WEWE HUYOO ATAKIMBIAA
Huyu dada malaya na hilo jini analipenda