Fivara - Wakala (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 14 ноя 2024
- Director: Raban
Starring: Majojo
Producer: Odilla Beatz
Mixing: Wavoko
Album: Tegemeo
Merchandise: Hatua
“Ukiwa na shida vumilia, ukiwa na raha subiria. Punguza kutarajia, I mean kuwa na kiasi…”. Kutoka kwenye album yangu “Tegemeo” iliyotoka mwaka jana hii hapa ni video ya pili kuachiwa. Wimbo unaitwa “Wakala” unaoelezea maisha ya kila siku anayopitia kijana wa Tanzania. Unatukumbusha kuwa na uvumilivu, subira na kupunguza matarajio pale mambo yanapotunyookea.
Album inapatikana kwa kiasi chochote kuanzia sh 25,000. Fanya muamala kwenda namba 0769 477 219 jina Jordan Wilson Zabron, utatumiwa album ndani ya muda mfupi kwa mfumo wa soft copy (WhatsApp document, Telegram au email).
Stream Wakala on:
Audiomack: audiomack.com/...
Mdundo: mdundo.com/son...
Boomplay Music: www.boomplay.c...
Lyric Video: • Fivara - Wakala (Lyric...
Stream my music on
RUclips: / fivara
Audiomack: audiomack.com/...
Boomplay Music: www.boomplay.c...
Audiomack: audiomack.com/...
Mdundo: mdundo.com/a/1...
Apple Music: / fivara
Spotify: open.spotify.c...
Deezer: deezer.page.li...
Follow Fivara on social media:
Instagram: / fivara
Twitter: / fivara_
Facebook: / fivara
TikTok: / fivara
Linktree: linktr.ee/fivara
#Fivara #Wakala #PieMuzik
Usisahau kuacha comment yako na kusambaza kwa wengine 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nice Wakala
Hatar sanaa kaka hii bonge ya ngomaa
Let's do it broski ... Bila kuchoka. 💯💯💯
Mbn unajua sana kaka 🔥
Asante sana kaka, nisaidie kushare kwa watu wengine
Usijal kaka ngoj nifanye ivyo soon 2
Na hii nafanya mpaka nifé ....KUENDELEZA nyati....
Bila kuchoka mwanangu
Yoooh Geee nomA
Nakubali sana G
Nakubali sana G
Dah! Imenibidi niludie mara ya 6 kuitizama na kusikiliza 🙌🙌🙌🙌
Umetisha sana mzee, usisahau kushare ifike mbali zaidi
@@Fivara Lazima tusapoti Brother 🤝
>>>NYATI 🙌🙌🔥🔥
Kaka ✊🏿✊🏿✊🏿
nakuaminia FIVARA , go dear goo💪....
keep shining 🔥 🔥 🔥
Asante sana dear 🥳
Ngoma kali saana kaka big up
Asante sana kaka 💪🏿
Mia love Farm Kabisa umetisha🎉💯🔥🔥
Bless fam
On point ALWayz BIG NYATI🐍🐍🐍
Thanks a lot bro 🔥
punguza kutarajia noma sana fivara 🔥🔥🔥
I mean kuwa na kiasi
Odaaaaah ...underground kama sisi tupambane ...one day yes ..🎉🎉🎉 ngoma kali broooo pambana
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 naziona atua.
Nyingi sana na zinaendelea kupigwa
Fever ni fever, wakala ni kisanga mzee wangu, keep up!
Asante sana kaka 💪🏿
Oooh my god is king mago tena kaka mimi sina neno maana kazi yako ni guarantee my god bless you a lot yaani hii ni kama ina nihusu kabisa 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🙌🙌🙌🙌🙌
Shukrani sana Kaka, baraka zimwagike kwetu sote 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
All the way From Zenji#Marashi ya Karafuu🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤
Asante sana, nisaidie kushare
Ni kuendelea kuendeleza 🔥🔥🔥#hiphop
Bila kuchoka kaka
Asee hiyo motooo
Noma sana 🔥
Fever ni mmoja tuuu💪🏽🔥🔥
🔥🔥🔥 Veen my brother
Siwezi kumlaumu malisa kwa ukali wa hii ngoma 🙌🏿🙌🏿🔥🔥🔥
🤣🤣🤣 copywriters bhana
fiva nyatiiiiiiiii🙌🙌🙌
Oiii Kaka 💪🏿
Fivara mwanangu umeandika sana hii. Nimependa kila kitu. Realest ninja🔥🔥🔥🔥🔥🍾👏👏👏👏
Asante sana kwa mrejesho mzuri kaka, nimefurahi na kufarijika. Kazi zaidi zinakuja 🔥🔥🔥
@@Fivara shusha vitu mzee. Walaji tupo
Imethibitishwa hapo sasaa😁
Noma 🔥
Noma tu mzee wanguu...
Si ndio kaka, ni minyoosho tu
safi sana kaka lets keep pushing👊🏽👍🏾
Asante sana kaka ✊🏿
Fivara nakubali sana kaka
🔥🔥🔥
Umetisha sana bro hii hiphop kabisa 1000
Pamoja kaka
luku imakata na tambo alina moto🔥🔥
Ikabidi kujilaza kausingizi mpaka ndoto
Oii oii, ujumbe sana huu
Asante sana Kaka 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hii kubwa sana Fivara, umetisha sana brother 🐐💯
Shukrani sana bro 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
PUNGUZA KUTARAJIA!!✊🏾🔥
📌📌📌
Bro huu ni 🔥 wakuotea mbali asee 👊
Mtu mbaya Ivo 🙌🏿
Unyama Bloody kazi kali
🔥🔥🔥
Bonge la ngoma broo afuu nimependa kinm video ilivyo imeendana kinm na wimbo
Asante sana mzee usisahau kushare
Wakala nguli 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾
Nguli wa Mbeya 😃
Unajua sana bro yani sio poa kabisa hi ngoma kali sana 💯
Asante sana mzee 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Creativity👍🏾 # we need wakala part 2 😁 hela irudishwe hiyo baada ya siku 3😂
😃😃😃 part 2 inakuja japo sijui lini
🔥🔥 nyimbo kalii
Asante Tinney
Mudi Mabiriani alikuwa Hapa 🇹🇿
@@mudimabiriani6467 brand kubwa 🔥
Ngoma kali fivara
Asante sana ✊🏿
Wee jamaa ni mkali sana, Mungu akupe Go ahead 🤲
Asante sana mzee, amen to that 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Fivara Fivara nakuita tena fivara oooy wee mchiz unajua san
Oiii Shukrani sana mzee, usisahau kusambaza iwafikie wengi
Nakubal mwendelezo ndgu mtanguliz, we keep movin' 2024
Mashuti ya kutosha
💯
🫡
Like chindo man 🎉
🫡
Kazi nzuri bro👍
Asante sana bro
Nyatiiii 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
tisha raaaaana Fivara
Oiiiii 🔥🔥🔥
dua mzee naona unyama ndani ya kazi
Heyy Man trust me you me you are a Legend...
Thanks man. See you at the top.
Wakala 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏾
Blood 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tunasubiri muendelezo mzee😄
Utakuja Kaka 😃😃😃
Haujawahi niangusha my brother...this is our year in Jesus' name🙏🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen bro huu mwaka wa ushindi 🙏🏿
Man au ww ndy kwenye underated umeimbaa kwamba "najua wengine mmeniskia leo, ila tutahamia......." Kama n ww man unajuaaaaaaaa
Ee kaka ni mimi hiyo ni verse yangu kwenye Mr. Xmas (V), Shukrani kwa kuangalia hii video. Ukiweza share na wadau iwafikie wengi zaidi!!!
🔥 🔥 🔥 Legoo my brother @fivara unyama mwingi sana humu
Classic shit only
Quantasage was here 💥💥💥
Nimemuona 😃
Noma sana hii broo
Asante mzee, usisahau kushare!!
Aweeee
Ayeeee
Kali sanaaaa
Asante sana Kaka
Nakubali 🎉
Sikupingi 🔥
💥
🔥
Nzurii🔥🔥🔥
Asante 🔥
Peke yangu kama track ya adili hahah noma
Wakala ya moto sana 🔥
🏁🏁
🔥🔥🔥
“Ukiwa na shida vumilia ukiwa na raha subiria” ….. Oi 🔥🔥✊🏿
Moral of the story 📌
Kali sana
Asante sana
F i K R a 🎉🎉🎉
K I L L Y 🔥
Kali
Asante Zizy
Unyama sana
Nakubali mzee
fivara 🔥🔥🔥✍️
Oii Kaka 💪🏿
Umeua kaka
Asante sana Kaka
Noma sana
Oiii kaka
Nyatii🔥🔥🔥
Oiii 🔥
🐐🐐🐐🐐🔥🔥🔥🔥
🐐🐐🐐
Pesa inashibishA
Hata uwe na nenge kama yote
vazi la RAP
Oiii 🫡
Majojo 🔥
Kaua sana
Damn, this beat with the flow bro, so dope 💥💥💥💥💥
Thanks a lot man, mwendelezo 💪🏿
Hatari sana✊✊🔥🔥🔥
Nakubali sana 🔥
Yamoto sana
Nakubali mzee
Karibu
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
ukipigwa tukio kama hili january lazima akili ikae sawa
😂😂 Lazima upige bao master
Maji utaita mma 😃
✍️🏿💥💥💣
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Nomaaaaaaaaaa
Si ndio Superster matatizo
Oi oi....this is so powerful..umeua gee...gat lot love toka +254.
Thanks bro 🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Bro 🫡🫡🫡
🚀🚀🚀
🔥🔥🔥
Lyrical master
Wa 16 🫡
Fikra Vazi la Rap🤞🏿🏁
Oiiii kaka ✊🏿✊🏿✊🏿
Conscious MC
Prof 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
🤝
🫡🫡🫡
Nyatiiii
Anko 🔥🔥🔥
HATUA
✊🏿✊🏿✊🏿
Ukiwa na shida vumilia/ukiwa na raha subiria
Punguza kutarajia/I mean kuwa na kiasi
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 Nice
Thanks
keep on grindin ❤🔥
Can’t stop won’t stop
Noma 🔥🔥🔥
Nakubali 🫡
Nyati
Oiiii
😂kivumbi omba isikukute hii ...big broo
Ilimtokeaga mwanangu mmoja A Level hii
True story being told
Si ndio maisha yetu ya kila siku haya 🔥