Sheikh Othman Maalim - Kimbilieni Katika Msamaha Wa Allah(S.W)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 73

  • @sharifasuleiman9134
    @sharifasuleiman9134 4 года назад +1

    Mashallah. Mwenyezi mungu akupe
    Elim daiman

  • @samamussa7351
    @samamussa7351 4 года назад +1

    Marshallah Allah zikinaishe nafsi zetu na dunia yarabii anautusamehe yaarabiii

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 4 месяца назад

    Ma shaa allah huyu ndie sheikh Othman Maalim katika ubora wake❤❤❤❤❤

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 года назад +2

    Maashallah sheykh..baarakallahu fik...Sauti yaupoleee hadi mtu unafaahamu uzuuri...hkika Mwenyezi Mungu akulipe kheri

  • @sophiashaban8147
    @sophiashaban8147 4 года назад

    Allah akuzidishie umri utuelimishe

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 4 года назад +1

    Allah atusamehe dhambi zetu atujalie miongoni mwa waja wema jazzakahllahu kheir sheikh othman

  • @rayaskitchen0189
    @rayaskitchen0189 4 года назад +2

    Mashallah Allah akulipe kwa kutuongoza na kufundisha yalo mema

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 года назад

    Ameen yarabbi tuwe wenyekufuzu katika mambo mema

  • @tabumussa9406
    @tabumussa9406 4 года назад

    yarabi tunusulu na vishawishi vya kukuasi M/MUNGU tujalie tuwe waja wema kwako allah.na umjalie shekhe wetu othumani

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад +4

    Sichoki kukusikiliza shekh wangu allah akuhifadhi

  • @halimamashaallah6246
    @halimamashaallah6246 4 года назад

    Mashaallah

  • @abdulazizmazrui1134
    @abdulazizmazrui1134 4 года назад +3

    Mola akuhifathi. Na akupe afya

  • @fathimabeevi172
    @fathimabeevi172 4 года назад +4

    Allah akuyifadhi apa dunia na khera sheih wangu 🙏

  • @mariamjumamariamjuma4331
    @mariamjumamariamjuma4331 4 года назад +3

    Yan HAKUNA SHEKH NAMUELEWA KAMA WW OSTADH WANG. ALLAH AKUPE HITAJ LA MOYO WAKO.

  • @mussachambo5160
    @mussachambo5160 4 года назад +3

    Allah akupe umr mref shekh Othman maalim

  • @badaralamri7381
    @badaralamri7381 4 года назад +4

    Mashaallah ahsante sheikh Othman bi zakia iddi mansour ukamtembelee k/samak anataka dua zako

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 года назад +5

    MASH ALLAH MASH ALLAH ....KWA UKWELI NABURUDIKA ROHO YANGU NINAPOFUNGUA VEDIO ZAKO JINSI UNAVYOTUFAHAMISHA UNAVYOTUFUNDISHA
    UNAVYOTUELEWESHA
    ALLAH AKUJALIE KILA LA KHEIR FIL DUNIA FIL AKHERA AMIN.TUNUFAIDIKE ZAID KTK DINI YETU AMIN

  • @aasiyanyange2575
    @aasiyanyange2575 4 года назад

    Jazak Allah khair

  • @saumushaban8560
    @saumushaban8560 4 года назад +1

    Allah atujaalie tuwe watu wema InshaAllah na atusamehe

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 4 года назад +1

    Ameen Ameen Ameen Yarabi sote InshAllah heri shukran sana MaashAllah Alhamdulilah Allah atuifadhi Yarabi.

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 4 года назад +2

    Nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 года назад +1

    MashaAllah mashaAllah mashaAllah shukran jazzakh Allahu kheiri inshaAllah

  • @saidahamisi6404
    @saidahamisi6404 4 года назад +3

    Yaa ALLAH tujaalie miongoni mwa waja wako walowema

  • @asiahamza807
    @asiahamza807 4 года назад +1

    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @bintimahmoud6436
    @bintimahmoud6436 4 года назад +2

    ., MASHAALAH

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад +1

    Shukran saana

  • @farhiyamahamud7004
    @farhiyamahamud7004 4 года назад

    Jazakallahu kheyran

  • @yahyahamed4407
    @yahyahamed4407 4 года назад +2

    Masha Allah Allah ibarik fiki

    • @shailakipingu1112
      @shailakipingu1112 4 года назад

      Allahu akbar mwenyezi mungu akuzidishie afya njema na umri mlefu yaa sheikh

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад +1

    Allah akulipekher

  • @nasrauwimana2559
    @nasrauwimana2559 4 года назад +1

    Ma in sha a Allah

  • @abhass2623
    @abhass2623 4 года назад +1

    shukran

  • @saalumalasmy8052
    @saalumalasmy8052 4 года назад +4

    Nakupenda kwaajili ya Allah Shekh Othman

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 года назад +1

    ماشاءالله شكرا يا شيخ

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 4 года назад +3

    Ama kwa hakika tunapata elmu kubwa Sanaa na yenye manufaa kwetu cc na vizazi vijavyo sheikh wetu.in sha Allah Mola Azikubali Toubah zetu

  • @saidiamiri6591
    @saidiamiri6591 4 года назад +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @fathimabeevi172
    @fathimabeevi172 4 года назад +1

    Jazzaqallahu khaira Mashkura 🙏

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 года назад +1

    Allahuma jaalinii mina faizuna fauzan adhima inshaallah

  • @iddimselia800
    @iddimselia800 4 года назад

    MashaAllah

  • @ramadhanmpawenayo1252
    @ramadhanmpawenayo1252 4 года назад

    Masha Allah

  • @kautharsalum6743
    @kautharsalum6743 4 года назад +3

    assalama alykum ..Kidhry ilikua kama yapo mawaidha ya shekh othman maalim historia ya juu wa maajuju tuekee pia..wasaalma alykum

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 4 года назад

    mashaallah

  • @fatmatuma9337
    @fatmatuma9337 4 года назад

    Aslm aleykum... nataman sanaa kuongea na shekh ni vip nampata??

  • @hassanbukuru1848
    @hassanbukuru1848 4 года назад +1

    Mashallah

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 4 года назад

    🙏🙏🙏