AHMED ALLY AJIMALIZA KWA ELIE MPANZU: "MPANZU ANA SHAUKU YA KUITUMIKIA SIMBA SC"|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @SamweliLMbukiLaizerLaizer
    @SamweliLMbukiLaizerLaizer 7 дней назад

    ❤❤❤ natamani sana kuona ili mpanzu akicheza

  • @HassanAthumani-k7i
    @HassanAthumani-k7i 8 дней назад

    Simba nguvu moja

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 9 дней назад

    Kila la kher simba yetuu❤

  • @Johnmollen
    @Johnmollen 8 дней назад

    Mpanz aombewee sana

  • @MARACKMESHACK
    @MARACKMESHACK 8 дней назад

    Ubaya ubweraaaaaa

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 8 дней назад

    Mpanzu cw lakini Mutale asijekuachwa zibakisikuchache kuwadhihirishiya watukuwa yy ndie mridhi waluis mickson mutale nimchezaji mwenyeuwezo wakutembeya nampira tumwache ajiamini

  • @Johnmollen
    @Johnmollen 8 дней назад

    Hawatatoka

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 8 дней назад

    Kunahitajika tahadhari sana wa mpanzu kuumizwa kwani hao hutumwa nà mabwana zao kutuumizia wachezaji wetu kama walivyotufanyia kwa general Moses

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 8 дней назад

      Pia afanyiwe Dua wasije wakamfanyia Ulozi bure

  • @Johnmollen
    @Johnmollen 8 дней назад

    Mpanz aombewee sana