UFUGAJI WA KUKU AINA YA KROILER.
HTML-код
- Опубликовано: 14 янв 2025
- Kuku hawa wa CHOTARA ni Aina ya KROILER.
Wakitunzwa vizuli Wana matokeo makubwa na mazuli Katika upande wa mazao ya mayai pamoja na nyama kwa majogoo.
Kikubwa ni kupewq chakula chenye virutubisho vyote kulingana na UMLI wa kuku na Aina ya kuku kama ni jogoo au mtetea ukizingatia kanuni za ulishaji Bola wa kuku utapata matokeo makubwa sana Katika Ufugaji wako.
Ubalikiwe kwa kusoma makala hii🙏🙏🙏🙏.
Kazi nzuri sana 😊
Amina Ubalikiwe sana kalibu.