JERY ONLINE TV.
JERY ONLINE TV.
  • Видео 21
  • Просмотров 1 950
UMUHIMU WA WIREMESH KWENYE BANDA LA KUKU.
Umuhimu wa wiremash kwenye banda la kuku.
1.Zina saidia sana kuepuka magonjwa ya kuku yanayo sababishwa na bakteria kutokana na kuku kula kinyesi Chao kinacho kuwa bandani kwa sababu mbolea inakuwa imezagaa magonjwa ya bakteria ni kama Typhoid, kipindupindu cha kuku n. K
2. Pia zinasaidi wepesi wa usafishaji wa banda lako la kuku mda wowote kwa sababu mbolea intolewa kwa rahisi na wepesi chini ya banda la kuku kusaidia kusafisha kwa wepesi.
3. Pia zinasaidia uimala wa banda lako ndani ya muda mrefu zaidi mpaka mda mrefu kweli kweli kuliko ambao ambazo zinaweza kuoza kutokana na mbolea ya kuku kwa sababu ikikaa kwa wingi na maji yanamwagika humo kwenye banda mbao lazima zitaoza tu.
FAIDA ni n...
Просмотров: 41

Видео

MAMBO YA KUZINGATIA KUKU WAKIWASILISHWA BANDANI ILI KUEPUKA MAGONJWA.
Просмотров 95Месяц назад
Kuku wakiwa sili BANDANI zingatia mambo yafuatayo ili kuwa Kinga wasipate na magonjwa kama, Kichocho cha kuku, kipindupindu, kuhala damu n. K 1.Hakikisha banda lako ni Safi mda wote ili kukuwasipate magonjwa kwa sababu magonjwa ya kuku yanaambukiza kwa kasi kubwa sana zingatia usafi. 2. Hakikisha kuku unawapa dawa za kuwa Kinga na magonjwa yanayoathili mfumo wa hewa kama Mafua dawa yenyewe ni F...
MAVUNO YA NYANYA
Просмотров 67Месяц назад
Kilimo Cha nyanya kinalipaa sana vijana wajasiliamali Tuwekeze kwa manufaa na hekima ili tuweze kupata matokeo mkubwa Katika Kilimo cha mboga mboga na mbog za majani n. K
KILIMO CHA NYANYA KIBIASHARA.
Просмотров 69Месяц назад
Kilimo cha nyanya ni fursa kubwa kwa vijana wajasiliamali na wapambnji katika sekta ya kilimo hivyo ni muhimu kuzingatia kilimo bola cha nyanya kibiashara ili kuleta tija kubwa na ku pelekea maendeleo Katika sekta ya kilimo. Zingatia yafutayo ili kupata matokeo Bola Katika Kilimo cha nyanya kibiashara. 1. Zingatia uchaguzi bola wa mbegu ili kupata matokeo mkubwa. 2. Zingatia suala la mdalizi ya...
KILIMO CHA NYANYA.
Просмотров 732 месяца назад
Kilimo cha Nyanya ni muhimu sana na kinafaida Kubwa kama tukima kilimo hiki kibiashara na kufata majila na Nyakati ya msimu mzuli wa bei yenyekumlipa mkulima Tulime kibiashara sio kulima ilimladi na Tuwekeze kwenye kilimo hiki kwa sababu kina faida kubwa zaidi kulinganisha na uhitaji wake wa kila siku na matumizi Yake ni mengi sana kwenye jamii yetu.
UMUHIMU WA USAFI WA BANDA.
Просмотров 673 месяца назад
Ndugu, Jamaa na marafiki Natumaini mnaendelea vizuli na Ufugaji wa kuku wa Aina mbali mbali kama Broiler, Chotala, Layers ect Umuhimu wa USAFI wa banda lank itakusaidia kuku wako wasipatwe na magonjwa kamwe yani siku zote hasa magonjwa yaxvimelea na bakteria kupitia kula kinyei Chao au vyakula vilivyo vunda. Hakikisha siku zote banda lako, VIFAA VYA maji na chakula ni visafi ili kuku wakue vyem...
UFUGAJI WA KUKU CHOTARA.
Просмотров 323 месяца назад
Ufugaji Bola na wenye Tija ni manufaa kwa mfugaji mwenyewe moja kwa moja na kukuwezesha kuona Ufugaji ni fursa ya muhimu na adhimu kwa Mjasiliamali. Mambo muhimu ya kupata matokeo Bola kwenye Ufugaji wako. - Zingatia suala la kupata mbegu Bola ya kufuga kwa makampuni ya uhakika na yaliyosajiliwa ambayo haijachakachuliwa ili kupata kuku Bola. -Zingatia suala la ulisha kukuwako chakula Bola cheny...
KUKU CHOTALA AINA YA KROILER.
Просмотров 523 месяца назад
Kuku Chotala ni kuku ambao Wana sifa nyingi na muhimu kwenye Ufugaji nusu hulia na kuweza kupata matokeo makubwa Katika Ufugaji wako ndugu yangu. KUKU aina ya KROILER Wana uwezo mkubwq wa kukua ndani ya mda mfupi sana kwa kuwa na nyama na kutaga Mapema zaidi wakipata chakula Bola chenye virutubisho vyote. Hivyo ni vizuli kila mfugaji kufuga kibiashara ili kuweza kupata matokeo makubwa ndani ya ...
UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA AINA YA BROILER.
Просмотров 7853 месяца назад
Ufugaji wa kuku wa Nyama ni Pesa ndugu yangu mpendwa mfugaji. Kuna mambo muhimu ya kuzingatia yatakayo kusaidia kufuga na kupata matokeo Bola Katika miradi wako wa Ufugaji. Nimeelezea kuhusu namna nzuli ya ulishaji wa kuku wa nyama kwa kuzingatia chakula chenye virutubisho vyote pamoja na umli wa kuku wako na chakula Special unacho weza kuchanganya kwenye chakula chako na kuweza kupata matokeo ...
UFUGAJI WA KUKU AINA YA KROILER.
Просмотров 424 месяца назад
Kuku hawa wa CHOTARA ni Aina ya KROILER. Wakitunzwa vizuli Wana matokeo makubwa na mazuli Katika upande wa mazao ya mayai pamoja na nyama kwa majogoo. Kikubwa ni kupewq chakula chenye virutubisho vyote kulingana na UMLI wa kuku na Aina ya kuku kama ni jogoo au mtetea ukizingatia kanuni za ulishaji Bola wa kuku utapata matokeo makubwa sana Katika Ufugaji wako. Ubalikiwe kwa kusoma makala hii🙏🙏🙏🙏.
UMUHIMU WA MAJANI KWENYE UFUGAJI WA KUKU.
Просмотров 374 месяца назад
Wana Familia ndugu zangu Leo tu nakwenda kwenye somo UMUHIMU WA MAJANI KWENYE UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA.. 1. Majani ya Asili yana umuhimu mkubwa wa Kuongeza Kinga ya mwili kwa kuku ili kuweza Kuongeza Kinga za mwili zinazohusika kukinga kuku wako dhidi ya magonjwa yanayo weza kumkumba na kupotezaa ubola wa kuku wako. Utapunguza kiwango kikubwa cha ueneaji wa magonjwa kama kuku wako wqtapata ma...
UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA BROILER.
Просмотров 244 месяца назад
Ufugaji wa kuku wa Nyama alimaalufu Broiler ni Ufugaji wenye kukupa matokeo ndani ya mda mfupi kuliko Aina zingine za kuku. Kupitia kufuga kuku wa Nyama kwa kuzingatia Ufugaji Bola wa kuku itakusaidia kupata matokeo makubwa Katika sekta ya Ufugaji wa kuku. Zingatia Ufugaji Bola kwa kuwapa kuku wako vyakula yenye virutubisho vya kutosha ili kukua kwa uharaka zaidi na kuwa na uzito mkubwa ndani y...
KILIMO CHA MSUSA
Просмотров 2254 месяца назад
Kilimo cha Msusa au Majani ya mboga ni Pesa. Kupitia kilimo cha Aina unaweza kutengenezq kipato endelevu cha kila siku Familia. Uchangamkee Fursa vijanana wajasiliamali ili tuongeze TIJA kwenye sekta ya kilimo cha mboga za majani ILI kupata maalifa na uelewa wa kutosha kalibu sana ujipatie kitabu changu cha kilimo cha mboga za majani Bei Yake ni 12k tu.
KILIMO CHA MBOGA MBOGA ZAO LA NGOGWE.
Просмотров 2384 месяца назад
KILIMO CHA MBOGA MBOGA ZAO LA NGOGWE.
KILIMO CHA MBOGA MBOGA ZAO LA PILIPIHOHO.
Просмотров 174 месяца назад
KILIMO CHA MBOGA MBOGA ZAO LA PILIPIHOHO.
KILIMO CHA MBOGA ZA MAJANI KIBIASHARA.
Просмотров 374 месяца назад
KILIMO CHA MBOGA ZA MAJANI KIBIASHARA.