Famous - Jay moe ft. P-Funk Majani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 98

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 Год назад +8

    Jay moe na p wanafanya kazi poa pamoja, producer na msanii producer akikuelewa au wewe ukimwelewa producer mtafika mbali, tamaa pembeni maana umaarufu utakufanya umdharau producer na hapo ndo wasanii wengi huanguka, maana maproducer wako tofauti. Angalia nature baada ya kutoka bongo rec, angalia pnc, angalia 20% na man water.

  • @festohaule1499
    @festohaule1499 3 года назад +13

    Juma ndo yule yule umashuhuri haujanibadilisha,
    Ni upara hakuna nywele style ya kiduku itapita..🔥🔥🔥

  • @JamalBaluch-l4l
    @JamalBaluch-l4l 7 месяцев назад +6

    Ngoma kal sanaa 2024 naiskiza had leo nomaa sanaaa

  • @feruzihassan8387
    @feruzihassan8387 7 лет назад +8

    bonge la songe.namshukuru lil ommy aka omary tambwe kwa kutumia soundtrack katika kipindi chake cha the play list

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 лет назад +16

    Nimeanza kwenye nyumba Sina presha na Corolla,
    Sembuse we Bajaji.....mie napanda daladala Makondakta mie washkaji so nasafiri Kisela hahahhahahhahha
    Respect to you Juma

    • @kodajoaquin6633
      @kodajoaquin6633 3 года назад +1

      not sure if anyone cares but if you're stoned like me atm you can stream all the latest movies and series on instaflixxer. I've been streaming with my girlfriend recently :)

    • @roccowesley7676
      @roccowesley7676 3 года назад

      @Koda Joaquin Definitely, been using Instaflixxer for years myself =)

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 4 года назад +6

    2020 kwa kitu kikali.
    Gonga like kama tuko pamoja.

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 5 месяцев назад +3

    2024 tukutane apa kwenye wimbo Wa Taifa❤

  • @lshayo1658
    @lshayo1658 2 месяца назад +1

    There will never be another P-funk Khalfani Majani, never!! Thanks for the good bongo flava you created back in the days when you were fully in. The master pieces will live forever!

  • @DoctorPesandegeMgangaTibAsili
    @DoctorPesandegeMgangaTibAsili 6 месяцев назад +3

    Hii sasa ndio HIP HOP 🎶⚡🎧

  • @Yunisernest360
    @Yunisernest360 4 года назад +3

    J..mo) hii ngoma hi bara bongo hakuna is bg strong music 🎧 very fresh voice,amka kama umelala why ??kama mpaka mshua anakujua why ukae kimya?

  • @EddyKawaya
    @EddyKawaya 8 месяцев назад +1

    Jay moe

  • @ThePilario
    @ThePilario 12 лет назад +10

    Majani you are the best producer!! ur beats are of next LEVEL

  • @yahayakassimu
    @yahayakassimu 6 месяцев назад +4

    AKILI KUBWA JAY MOE

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 9 лет назад +11

    why unakaa kimnya kaka ww ni legend just drop somthing we are here to suport u.how can any one who knows music 4get u. nataka demu, tingisha, story tatu tofaut na famous kila nkickiliza naziona km zimetoka leo we mic u bro

  • @husseinhamisi8013
    @husseinhamisi8013 11 лет назад +8

    Moto kama pasi, tunakuskiza sana mtu wangu hapa Nairobi. Keep doing what you doing bruh

  • @neemaabdu1091
    @neemaabdu1091 3 года назад +2

    Bonge ya ngoma

  • @samueljohnsonmgallahjr6595
    @samueljohnsonmgallahjr6595 6 лет назад +10

    Majani a.k.a Godfather of Bongo flavour

    • @davidmbui251
      @davidmbui251 3 года назад

      Samuel Johnsonmgallahjr well stated 🤝

  • @RamadhaniKavumbi-sm6wh
    @RamadhaniKavumbi-sm6wh Год назад +1

    Bonge la ngoma napenda kuisikiliza sana! ❤💪💪💪💪💪

  • @ahmedmudric9546
    @ahmedmudric9546 4 месяца назад +1

    Sio km zito kabwe na umaarufu wa kisiasa au umaarufu pesa km wa manji na bakhares

  • @imahmaimu7343
    @imahmaimu7343 4 года назад +4

    Wapi watu wa 2020

  • @davidmbui251
    @davidmbui251 3 года назад +2

    Hii ngoma kali 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 5 лет назад +2

    Ni moto mkubwa hauzimiki kama amazoni salute mchopanga..

  • @kelvinthomas4047
    @kelvinthomas4047 6 лет назад +6

    Napita RUclips kuskia tena kazi alizofanya P-funk majani... Hajawahi tokea producer kama huyu Bongo.

  • @MorganX111
    @MorganX111 6 месяцев назад +1

    Da hii ngoma naikubali sana

  • @raphaeloloo9641
    @raphaeloloo9641 Год назад

    from Kenya Jay uwa naikubali mziki wko toka rap ilipokua rap bongo record adi sai 2023 sep iligoma lanimaliza

  • @4everngalax
    @4everngalax 9 лет назад +5

    Jay Mo hajawahi niangusha. he is always legend. the best of all times

  • @abdulrahmankanduka1977
    @abdulrahmankanduka1977 4 года назад +1

    Jay moe
    We nyoa kiduku
    Me nanyoa kipara na bado nakubalika tu

  • @MsChuv
    @MsChuv 12 лет назад +4

    tune la nguvu....keep it reall man

  • @ahmedyahya7777
    @ahmedyahya7777 5 лет назад +7

    Still waching 2019 daaahhh

  • @mapinduzimakulu8108
    @mapinduzimakulu8108 9 лет назад +5

    JAY MOE UKO WAP MKUU RUDI KWENYE GAME KAKA MASHABIKI TUMEMIMC SAUT YAKO MKUU

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 года назад +1

    Rudisheni magoma hayaaa

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 5 лет назад +3

    Really legendaries jay mo and majani salute ya bro all da way from 🇰🇪 254

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 8 лет назад +5

    The legendary hiphop mcs safi tuu mtengwa

  • @davidmbui251
    @davidmbui251 3 года назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @suleymanially974
    @suleymanially974 4 года назад +1

    Hixi ngoma zinanitoa machozi

  • @raphaeloloo9641
    @raphaeloloo9641 Год назад

    From Kenya jmo nilikukubali zamani akuna anaeza break flow yko bongo

  • @davischristian1446
    @davischristian1446 7 лет назад +3

    am the super fan wa P Funk Majani...Salute Brooo🙌🙌🙌🙌

  • @justineckatundu5010
    @justineckatundu5010 11 лет назад +4

    Majan mix, big up Jay moe.........

  • @edsonnchimbi3595
    @edsonnchimbi3595 6 лет назад +2

    Hii ngoma kali sana

  • @africanasplumbing8780
    @africanasplumbing8780 9 лет назад +2

    hareee sana huyu jamaaa uh huish kusikiliza bonge la msanii

  • @davidodhiambo1346
    @davidodhiambo1346 11 лет назад +5

    this is what hiphop should sound like

  • @obbytheteng9389
    @obbytheteng9389 6 месяцев назад +1

    Still underrated Moo' 2024

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 Год назад

    Majani Salute, jay mo salute 🙌

  • @MultiGodwin1
    @MultiGodwin1 13 лет назад +4

    Majani your the legend,nice beat

  • @CiroGithunguri
    @CiroGithunguri 12 лет назад +4

    I feel you fame vibrating in my soul!

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 года назад +1

    Sio km zitto kabwe na umaarufu wa kisiasa au umaarufu wa pesa km manji na bakhresa🤣

  • @hamismasoud8808
    @hamismasoud8808 4 года назад +5

    Famous still hot 🔥🔥🔥 2020

  • @henrychinyuka6
    @henrychinyuka6 4 года назад +4

    Legendary still listening 2019

  • @jmahundi
    @jmahundi 12 лет назад +3

    Just run into this - mad respect P on the production and the hook. Moe, killa delivery as always and no matter how many other mcs' get on scene nafasi yako ipo pale pale in my book; one of the best mcz to ever touch the mic...legendary. Karabani lets get on the remix :)

  • @jafarisalum3506
    @jafarisalum3506 3 года назад +1

    Big song

  • @dicksonwanyama1689
    @dicksonwanyama1689 2 года назад +2

    2022 Juma Mchopanga 💥🔥🔥🔥🔥 P tisha sana

  • @kingsleykonandu3921
    @kingsleykonandu3921 Год назад

    MIAKA kumi na moja ngomw ni hit dah na bdo views ni laki mziki wenu wa sasa upuuzi Hawa laki wa ukwl na wanao ujuwa mziki ....

  • @tarrickaziz9327
    @tarrickaziz9327 5 месяцев назад

    Dude hili nakumbuka ndo namaliza form 4 daah lilibamba Sana hile miaka

  • @officialchesco
    @officialchesco 8 месяцев назад

    Jay moe jay moe jay moe tena dadeq unajua dogo

  • @bantugbro
    @bantugbro 12 лет назад +1

    Safi wadogo zangu...

  • @SamsonMakunja-rc3jx
    @SamsonMakunja-rc3jx 6 месяцев назад

    Watoto wa Sasa Bado wanamengi ya kujifunza , Kuanzia wasanii na maproducers

  • @mpembarino1917
    @mpembarino1917 Год назад

    2023 naiskiliza ki makini sana hapa

  • @EllyThegreat-bg2nt
    @EllyThegreat-bg2nt Год назад +1

    Still listening in 2023🥳

  • @ramadhaninurudini4254
    @ramadhaninurudini4254 11 лет назад +3

    Hey song beaut

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 месяца назад

    2024 still 🔥🔥🔥🔥

  • @mjakajuma5574
    @mjakajuma5574 4 года назад +1

    Jay moe ukopa sn kudadadek 2020

  • @KULKID
    @KULKID Год назад

    Dope Music ❤

  • @abra4really
    @abra4really 4 года назад +6

    Jay Moe Pls drop a video of this Song, its unfair for this track to have no video!

  • @khalifamfinanga3311
    @khalifamfinanga3311 5 лет назад

    Nooooumaaaa sana

  • @abuyizedon
    @abuyizedon Год назад +1

    2023

  • @lkarabani
    @lkarabani 13 лет назад +3

    Classical shit, headbanging shit!

  • @empressmamakeh9535
    @empressmamakeh9535 8 лет назад +2

    the guy that never dissapoints Jaymoe 😍😍😍 #bornlegend

  • @justinesanga8295
    @justinesanga8295 4 года назад +1

    2020 to 2021

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 4 года назад

    Mr famous pls drop something we miss you bro

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 2 года назад

    Flow

  • @yazidijumanne5195
    @yazidijumanne5195 5 месяцев назад

    Moe technique

  • @emmanuelpeter6654
    @emmanuelpeter6654 9 лет назад

    Ngoma bado utam upon cna

  • @MashadavilleMusic
    @MashadavilleMusic 12 лет назад +1

    tyt hip hop

  • @malikngila8709
    @malikngila8709 2 года назад

    2022 am here

  • @BreakkaMusic
    @BreakkaMusic 7 лет назад

    video wapi

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 3 года назад

    Moe

  • @chilwagulu7671
    @chilwagulu7671 6 лет назад

    Famous j

  • @abdullahhamed2197
    @abdullahhamed2197 6 лет назад

    mo

  • @manhalwa
    @manhalwa 13 лет назад +2

    MOE BORA HUACHE MUZIKI MAANA WATOTO WANAKUAIBISHA SASA....UNATAFUTA SHIELD YAKUJIITA FAMOUS ILI ULETE JUSTIFICATION....HIPO WACK SANA KWANI HAMNA KAZI NYINGINE?ANGALIA VICHWA VYA M LAB,DARASA,ROMA,MAKINI,FID WEWE BADO TU?AU MAISHA YA BOARDING

    • @emmanueltadayo2649
      @emmanueltadayo2649 5 лет назад +1

      dah kk, mbn Jay moe bado yupo poa kwa game. Yeah hayupo active kama zamani ila bado hata akirudi na nyimbo zake anafanya poa sana. Unamu-underrated

    • @dannymziwanda6944
      @dannymziwanda6944 4 года назад +1

      Muzik haujui kausha mzee

    • @renatusmatungwa6800
      @renatusmatungwa6800 4 года назад +1

      We fala siku nyingine husirudie tena kumkosea heshima Jaymoe kwa kumfananisha na vitu vya kijinga, jaymoe ni sayari nyingine boya wewe

    • @datkazumari4014
      @datkazumari4014 3 года назад

      We ni fala

    • @mangundakaporo634
      @mangundakaporo634 Год назад +1

      Juma hii song inabid uirudie Ili uiweke kisses zaidi.maana hadi leo ukiskiliza ni balaaa tupu

  • @anganilemwakyusa5441
    @anganilemwakyusa5441 4 года назад +3

    Muziki ulipokuwa muziki sasa hivi tunasikiliza kelele🚮🚮🚮

  • @meshachkigumbi
    @meshachkigumbi Год назад

    2023