Wewe Aristotle, chunga sana huyo Mrembo wetu, ni mzuri kuliko wooote....!!! Ni mtu yupi kama wema anaye moyo kama huo???? Wema ni mrembo, wema ni mzuri, wema ana Roho safi kupitiliza... Na huyo ndiyo wema Isaac Sepetu kipenzi chetu ❤️ ❤️ ❤️❤️ hongera Sana wema na Mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa njia zako Zote I love you Wema ❤️ 💋and remain as cute as you are always 👌😘😘😘
Kumbe alifanya kusikia,hakuona, Kweli kikuuwacho kinguoni mwako.. Unakula nao kumbe ndio wabaya wao... Mungu akulipie Wema kwa wema wako wakuleta watu pamoja
Aristotle uso umekushuka shuuuuu nauache kumuandama wema wetu wenyewe tu nampenda kwa kila Hali awe mnono ama mwembamba kwetu poa tu I love u wema Tz wetu
Wema mim ndo naamin una Moyo uyu chiz katowa mijineno michafu ten san ila bila iyana wallah umemualika kwenye kipind chak aseee wew ni super woman 💪ilove you 😍😍
Hili jina wema linaendana na matendo yako dada sijategemea huyu mtu ameoongea wee mitandaoni leo kaja kukusemea hapo jikoni walahi mimi nisingevumilia🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Arrestor amekuwaa Kama kisharii San kwa wema wangu Atakama mnapenda baby wako uyooo atambue maishaa yanapanda na kushukaa kwahiyooo asijilinganishee na mwingine wema wangu ni supaaaaaaaaaaaa
Kabisaa ajafataaa kupikaaa huyuuuu kaja ilii amuangaliyeee Sasa kalivyooo kapole mwanamke hyuuu Hana hata iyanaaaa na huyuuu jamamaa anamkaribishaaa vizurii, alafuu kazi ya umbea haweziii huyuuu akauzese vyombo Kama wakigoma wenzeyeeee
@@aziziselemani6949 ndio kalikwaa nailisubiruyaa hii siku Sana huyuuu jamaa ndio maan ata akiongeyaa anaongeyaaa Kama anataka kuchimbua maneno au katumwaa na hao wajinga wenziye Yan simpendiii Mimi huyuu Aristotle anaketaaaaa Sana yaniii sijui wawap mwambiyen akalimee shama uko umbea haumfaiii unamfaaa wakina juma lokole ndio wanafaa yeye akalime shama uko bhan asimsumbue wema wangu kipenziii changu
Huyu si alisema wema ka drop Leo kaja kupika aibu kwake wema siyo mtu wa chuki na mtu Mungu akubariki Sana wema natamani unialike tupike na Mimi nakupenda Sana naamini siku moja ambayo haijulikani siku wala saa utapata mtoto tena ukiwa kwenye ndoa
Alisote ndio ujifunze hivyo sio vizuri kuwaongelea watu vibaya ili uwafurahishe watu furani yanii ulikua unanikela sana kufanya hivyo haswa ulivyokuwa unamchamba wema na gigi kwenye ile birthday yake but da wema inabidi tukujengee sanamu sio kwa hiyo roho khaaaah
Wema ata ufanye nn kitatrend tu..una nyota kali mno haififiii...alafu huna ushindani unawaacha watu wakimbie wewe mdogo mdogo but still able to win over..keep up the good work hun unapendwaaaaaa
Wewe Aristotle, chunga sana huyo Mrembo wetu, ni mzuri kuliko wooote....!!! Ni mtu yupi kama wema anaye moyo kama huo???? Wema ni mrembo, wema ni mzuri, wema ana Roho safi kupitiliza... Na huyo ndiyo wema Isaac Sepetu kipenzi chetu ❤️ ❤️ ❤️❤️ hongera Sana wema na Mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa njia zako Zote I love you Wema ❤️ 💋and remain as cute as you are always 👌😘😘😘
Yaan acha tu penda sanaaaaa wema ❤️❤️
Huyu si alikuwa anakusema vibaya kwamba unaposti waganga kweli wema una Moyo wa pekee hongera 👏
Hata c waganga tu...alisema wema kaishiwa hana lolote
Kazi ya mchawa ndo ilivyo kuropoka ovyo
Sikuzote watu wakimsema vibaya wema waonjo ubakiya nayibu kwayale waloyaongey kupitiy yeye
Kwa jinsi alvokutukana na kukulinganisha vibaya na uwoya ningelkuwa n mim nisngeweza kumuita hongera wema kwa moyo huo
This lady is so pure hearted ,anayemchukia wema akona zake
Wema wengi wazuri sana ila wewe unamvuto Wa ajabu haijawahi kutokea😍😍😍😍😍😍😍
Chimamy wema wewe nmrembo mashallah tena roho safi sana,, aki mungu akupe umri naafya njema love you from kenya 🇰🇪
ARISTOTE ALISEMA WEMA AMEISHIWA ETI WOOO ETI MMMMM SASA NASUBIRI ZARI THE BOSS LADY ANYWAY WEMA HUNA ROHO MBAYA LOVE YOU 🇰🇪 🇨🇿
Wema sepetu know umekuwa pic Qalii sanaaa
Wema nimependa sana umbo lako nzuri
Wema mzuli sana ww ndio wema hatakama kapungua 😘
Af kishepu kimerudi
@@aisharevelian6933 kabisa amependeza jmn
Kabisa mashaallah 👌💋
Sshv kapendez kinom
Kumbe alifanya kusikia,hakuona, Kweli kikuuwacho kinguoni mwako..
Unakula nao kumbe ndio wabaya wao... Mungu akulipie Wema kwa wema wako wakuleta watu pamoja
Nakpenda sanaaa Dada angu hata anae kusema vibaya bt ww ❤️❤️❤️❤️💕💕💕
Aristotle uso umekushuka shuuuuu nauache kumuandama wema wetu wenyewe tu nampenda kwa kila Hali awe mnono ama mwembamba kwetu poa tu I love u wema Tz wetu
Kama mm naskia aibu je aaaristote vipi...I know he's not comfortable 😂
Wema 🔥🔥🔥ila Aristote mdaku sana 😂 😂 mmependeza by de way
Wema wangu nakupenda sana ❤❤❤
Am Zambian that girl was my wife of my dream....when I first watched her in a bongo movie wow.,.so beautiful
Nipo iringa nakupenda Wema uwe mylove wangu
Yaan dada wema love u tuwe rafiki wema love u so much😍😍😘
Wema sepetu wetu sisi❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Wema mzurii jamaniii
Wema ww unakera Sana. Kumbe mnajuwana nyinyi sasakilixhokuwa kinakulizaninn
Aristote anasema kwa unafki km kaambiwa🤣🤣🤣🤣🤣na kasema.jamoni wema 🤣🤣
Wema mim ndo naamin una Moyo uyu chiz katowa mijineno michafu ten san ila bila iyana wallah umemualika kwenye kipind chak aseee wew ni super woman 💪ilove you 😍😍
Hili jina wema linaendana na matendo yako dada sijategemea huyu mtu ameoongea wee mitandaoni leo kaja kukusemea hapo jikoni walahi mimi nisingevumilia🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Arrestor amekuwaa Kama kisharii San kwa wema wangu Atakama mnapenda baby wako uyooo atambue maishaa yanapanda na kushukaa kwahiyooo asijilinganishee na mwingine wema wangu ni supaaaaaaaaaaaa
kitu nimegundua kwa Aristote anamuongelea wema ila hamujui kiundani nahapo hajafata kupika alitaka kuona life style yake anayoishi
Kabisaa ajafataaa kupikaaa huyuuuu kaja ilii amuangaliyeee Sasa kalivyooo kapole mwanamke hyuuu Hana hata iyanaaaa na huyuuu jamamaa anamkaribishaaa vizurii, alafuu kazi ya umbea haweziii huyuuu akauzese vyombo Kama wakigoma wenzeyeeee
Kweli kabisa...bt amekuta wema yuko na roho nzr
@@jacklinemoshi728 afu nyie mabwege kaenda au kaalikwa angeendaje bila kuaalikwa
@@aziziselemani6949 ndio kalikwaa nailisubiruyaa hii siku Sana huyuuu jamaa ndio maan ata akiongeyaa anaongeyaaa Kama anataka kuchimbua maneno au katumwaa na hao wajinga wenziye Yan simpendiii Mimi huyuu Aristotle anaketaaaaa Sana yaniii sijui wawap mwambiyen akalimee shama uko umbea haumfaiii unamfaaa wakina juma lokole ndio wanafaa yeye akalime shama uko bhan asimsumbue wema wangu kipenziii changu
Kipenzi changu I just love wema
Hiz kiki dah! Mala ho! Et wema kaishiwa et saiz hatunz leo hii et ndan ya jiko😁😁
Huyu si alisema wema ka drop Leo kaja kupika aibu kwake wema siyo mtu wa chuki na mtu Mungu akubariki Sana wema natamani unialike tupike na Mimi nakupenda Sana naamini siku moja ambayo haijulikani siku wala saa utapata mtoto tena ukiwa kwenye ndoa
Unajua kupika
@@umakramzahor4836 🤣😂
Alisote ndio ujifunze hivyo sio vizuri kuwaongelea watu vibaya ili uwafurahishe watu furani yanii ulikua unanikela sana kufanya hivyo haswa ulivyokuwa unamchamba wema na gigi kwenye ile birthday yake but da wema inabidi tukujengee sanamu sio kwa hiyo roho khaaaah
wahooo wema unaanza kunona Sasa I love Sister
Wema jamani ni mzuri hadi raha halafu naona Kama amenenepa sijui ni macho yangu au
Uwe unapandisha video zako RUclips mambo ya kutuambia tudownload app me siwezi uwe unaweka RUclips asee
Hiyo ni biashara unahis yeye anafanya tu bora mradi ndyo maana youtube znakuja kwa kuchelewa
@@kattybraxter5250 ayo yote najua dada me nimetoka maoni yangu Kama shabiki to
Nimejifunza kitu kimoja kutoka kwa wema etu jmn ...km huna ubaya n mtu usimchukie ww ..be yoself!
Ni kweli wema ume drop unazidiwa hadi na munalovee kweli 🤣🤣🤣
Mnapika au mnaongelea mahusiano Kwanza jiko na nywele wazi na kitumbo wazi wapi na wapi
Wakwanza from 🇺🇸 love you Wama ❤️🥰👋
❤❤❤❤❤🇰🇼
Waiting for the day Diamond is going to cook.
Kabsaa
Wa tz wanafiki sana leo aristote amepata - kutoka kenya
Wema ata ufanye nn kitatrend tu..una nyota kali mno haififiii...alafu huna ushindani unawaacha watu wakimbie wewe mdogo mdogo but still able to win over..keep up the good work hun unapendwaaaaaa
Ndiwo @wemasepetu nakupenda haujui tu
Huyo jamaa alisema wema ameishiwa sasa leo anakunywa chai na kupika mulongo kweli 😆😆😆😆
ARISTOTE KENYA TUNACHEKA SANA WEWE
Wema RUclips hayo Mambo yakudowlood Mara Wema app watanzania bado Sana ,
We shusha mzigo huku upate views RUclips watakulipa
Baby yaaaakeeeeeeee nakupenda bure mammy W😍😍😍😘
Aristoteeee mnafiki hyu lakini😀😃😃🤣🤣🤣🤣
Usimwalike tena uyu atafika kuunguza mboga mnafiki
Wema uko vizuri
Cook with wema sepetu
Yaami !!home kwetu dagaa chukuchuku na ugali wa muhogo ni vitamu jamani wema kwa nini hujapika
Mbona hayaonyeshwi ayo mapishi jaman yanaishia kati t
Wema nakupenda bure❤❤
Umeanzaje kumualika aristote naww
Aristote mze wavikao🤣🤣🤣🤣ila wambea hawana aibu kwakwel 🤣🤣🤣🙌🙌
🤣🤣
😎😎😎
Eti mbona wema hizi vudio zako hazifikagi mwisho?
Wema mzuri bhana eee
Uyo bro anaushawi kweli yale matusiyote kumukejeli wema leo umekuja kupika
Tuekee picha za final meals, somewhere
Madame kama madame like kwake
Wema mbona unaminuka ivo jamani astaghfirullah
Wema 😍😍😍😍
Wema you look soo cute always ❤💋
Yaana wema unamoyo wa kipekee aiseee
Aristoteee❤️❤️❤️❤️
Ila jamani watanzania wanafiki gisi wanasamiyana nagisi arikuwa anamsema vibaya duuh
Wema Nakupenda salimia huyo chawa
Huyu sialosema atamnyambua wema🤣🤣🤣🤣
Yaani aristotee mpaka anaona aibu
Wema sasa umeanza kupendeza.
Maana ulikuwa unaelekea pabaya.
This one's liiitt! LOL Faaya! 🔥🔥🔥🔥🔥
Maskini wema itabidi tuu ajifanye mpole maana huyo alimchamba kaishiwa ndo atasema nini inabidi ajishushe
Mabulungutu kujaaa kwenye ela
Show nzuri sana but sound sio poa. Producer aweke sauti ya waongeaji sawa. Cheers
Wait
Beautiful as always💟💟
Aristoteeee 😂 anaishiwa nguvu
Kabisa 😁
Chawa n chawa tu
Arrriiistoteee😂 "Sema raaange"
Siku moja upikr na diamod wema kipindi hicho daah
Mmetuacha patamu duuuh , mil tamani niendelee
🔥❤🌹
Kwa uyu ndo alimutukana siku za nyuma apa walipiga pamoja
Bwana mmbea huyu lol halafu hana aibu🙌
Hii program inahusu nini nimeangalia mara kadhaa ila sijaelewa Theme yake 🤔
Singapore gal I'm proud for u ma blood
Yan wema kawa kama mtoto mdogo kama Paula
Nitakuja kuzaha nawewe
This man is an in grate
Bwana mmbea huyu lol halafu hana aibu🙌🤣
Love you wema zaitwa spaghetti ragù
Mrembo wangu🥰🌹
Lovu u wema
Bina Adam nikama maua kunakumea na kufifia
Alishaanza kuchokonoa hukumjua tu ety wema wa saiz na wazaman n Sawa uyu alikuwa mnafik tangu mda hukumjua tu
Much ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Wema
Na Sasa kakuchana hhhhhh
Usiwaze nakuja kuzaa nawewe
Huyo si anakusemaga vibaya kilasiku😂😂😂
Eee ivi ndivo inatakiwa kwa mtu ambae anakusema viya unatakiwa usimchukie
Apo anamuonesha kama yeye ana ubaya na Mtu
Love wema wangu nakupenda sana
Wema anaroho mzuri
Wanafiki nyie mnajuana mnataka umaarufu mnajidai Leo mmegombana
😜😜😜
🔥🔥🔥🔥