Mama Faustine Is a Threat To The family Mom's tuangalie tusizeeke vibaya🙆This mum is a demon😱

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 дек 2024

Комментарии • 212

  • @NancyMakobi
    @NancyMakobi 2 дня назад +18

    Hio shamba ikipatikana iuzwe huyo kijana anunue shamba mahali pengine

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  День назад +1

      Sasa amekataa na shamba😢

    • @AliceNjeru-os1yb
      @AliceNjeru-os1yb День назад

      Moha uyu mama hana shamba, anafaa miguu y ng'ombe ii serikali inafanya mambo ikue ngumu xna

  • @eunicenjoroge2754
    @eunicenjoroge2754 2 дня назад +13

    Nyinyi hamsaidii huyu kijana kuwaleta pamoja wagombane wagombane halafu siku iishe 😢

    • @beatouhokwach4848
      @beatouhokwach4848 2 дня назад +1

      Nakuunga mkono. Infact wamgetafta DCI mwanamke asadiane nahuyu ili huyu mama afinywefinywe na afanye kinatohitajika. She's a big beast under demonic powers.

    • @BetyMaraga
      @BetyMaraga День назад +2

      Ukwel

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 День назад

      Huyu mama anahitaji makofi nyinyi mnamubembeleza.

    • @MejumaMatari
      @MejumaMatari День назад +1

      ​@beatouhokwach4848 exactly💯aletewe female DCI afanyiwe ile kitu😅

    • @beatouhokwach4848
      @beatouhokwach4848 День назад +1

      @MejumaMatari 😂😂😂kabisaa nakwambia yaani nimetani saaba niwe hapo angekipatapata hata kama anatumia nguvu za kiuchawi ningezikemea hafi zitii sauti.
      Yaani pepo hukemewa kwa kuamrishwa ndio liogope na limrifee au lifeee dafangu .wajuaa?

  • @merrymerry5199
    @merrymerry5199 2 дня назад +13

    Huyu mwanamke makosa ya kwanza anasema ati aliiba mtoto wa mke mwenzake kwa sababu ya revange... Hata hata sio revange kwa sababu baba faustine alimtesa bali huyu mama ni uke wenza ilimusubua.... Polycamy... Maybe hata yy ndie aliua mama ya huyu kijana kama ni ukweli alikufa

    • @MamaabdulWanga
      @MamaabdulWanga 2 дня назад +1

      Yani ni kidnaper

    • @LamaribamJumbe
      @LamaribamJumbe 2 дня назад +1

      Kabisa
      Ata Juu ya Faust na Lavenda Ndugu Yeye Huyu Jibwa Hanajua vizuri sana Wafinye papa lake ili ataongea kila kitu Jibwa ili

  • @onyeomachinyeremaka6809
    @onyeomachinyeremaka6809 2 дня назад +6

    *To a person reading this, May every of your tears, May every hardship turn into positive blessings be strong and safe.*

  • @JoyceMwasi-i4h
    @JoyceMwasi-i4h 2 дня назад +1

    Nyinyi ata mnabembeleza uyu mama sana

  • @MercyNadia-o1k
    @MercyNadia-o1k День назад

    😢😢😢😢😢Dci vunja uyu mama kwanza mbavu

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma 2 дня назад +5

    Kwani huyo shetani anawashinda the way anafanyia our bro sio powaa wallah

    • @LydiahObungu-l9e
      @LydiahObungu-l9e 2 дня назад +1

      Huyu afai detective anafaa daktari wa msafiree ama daktari mkali ama yule wa lamonike

  • @MariamNakoa
    @MariamNakoa День назад

    Na huyu mama ana smile nini😂😂😂

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 2 дня назад +8

    mum usicheze na watt yatima mungu alie juu ndie bb Yao mwenye nguvu zote kwa hiyo acha kiburi pls😢😢😢😢

  • @ElizabethMbodze-b1v
    @ElizabethMbodze-b1v День назад

    Apelekwe akanyongwe mbwa huyu 😢😢 wote aliwaiba haja zaa

  • @TumainiSatian
    @TumainiSatian День назад

    Huyo mama ni mchawi😢😢😢😢

  • @nancymainanjeri1714
    @nancymainanjeri1714 2 дня назад +3

    Dci Fredrick wa senior Dave atagogwa camera ikiwa tu on nkt

  • @JuliaAdhiambo-e8e
    @JuliaAdhiambo-e8e 2 дня назад +5

    Hawa wakikuyu ndio mtu alisema ni kabila nzuri ya kuoa??mwanamke mshenzi😢

    • @userkemmy
      @userkemmy День назад

      😢😢 mkikuyu akiolewa kwnyu make sure mwenye amemuoa asimpee bank account yake na asijue salary ynye anlipwa coz anaeza kuua juu ya mali

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba День назад

    Heee huyu mama ni kiboko khaaaa😢

  • @MariahNyaboke
    @MariahNyaboke 2 дня назад +2

    Huyu mwanamke aombe sana you are so humbled dealing with her kisheria..amebeba laana kuliko miaka yake ...let God fight for you our brother❤

  • @cynthiaburundi5116
    @cynthiaburundi5116 2 дня назад

    Mwitedoctl. Amusaidiye. Jamani😭😭😭😭

  • @josphinekimando
    @josphinekimando День назад

    Phaustin ite doc wa msafree atapata kila kitu

  • @DamarisShiroh
    @DamarisShiroh 2 дня назад

    Detective please pea huyu mama adabu

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 День назад

    Munamubeberesa sana sijui mutamariza rini

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb День назад

    Uyu mama akiachiliwa police ju najua serikali vile iko siku izi, atafutiwe daktari awekewe miguu y ng'ombe mara io io 😢😿😭 ananisubua akili xna

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 2 дня назад +1

    Mama Mungu ndie huu pingania watoto wa yatima wacha majifuno mingi hapo...uki aribia wakikuyu jina

  • @paulinef.millanzinana8279
    @paulinef.millanzinana8279 День назад

    Huyo mama ni shetani kweli😮

  • @MariahNyaboke
    @MariahNyaboke 2 дня назад

    Huyu mwanamke aombe sana you so humbled

  • @FlorenceMalingu
    @FlorenceMalingu 2 дня назад

    Huyo mama ni jeuri mupelekeni mbele

  • @SusanOil-g7k
    @SusanOil-g7k День назад

    Ai hawa kuwaleta pamoja hamtapata solution nikugombana tu

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 День назад

    Angalieni sim Yake vzr MTAPATA stori kuhusu austine wazazi wake

  • @Yuca878
    @Yuca878 2 дня назад

    Dci unaona anaeleza vizuri si ujukue hatua.justice for fostine

  • @eleginzaaaaa5030
    @eleginzaaaaa5030 2 дня назад +2

    Faustine tafuta stano akusaidie plz hiyo moha hawezi chochote hapo

  • @brendahmakena-p7f
    @brendahmakena-p7f 2 дня назад +7

    4th to comment ♥️ like tukisonga.cant want 😢

    • @LumonyeCatherine
      @LumonyeCatherine День назад

      Ako na majibu ya Kila kitu huyo ni mchawi kabisa

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 2 дня назад +2

    Huyu mm ako na roho mbaya kaa mtu mwenye ajawai enda labour 😢😢😢

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 День назад

    Mtatusiwa mpaka mupakwe Mavi huyu mama ningekuwa hapo na funga mdomo wake shenzi sana

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 2 дня назад +2

    Huo u pole wa detective unasaidia nn au mnafikiri tunafurahi kuona hata detective anakaa kimya

    • @jeniffermwende2603
      @jeniffermwende2603 День назад

      Ebu watafute dci Fred wa senior Dave huyo achanguaji umri ... agekuwa ashapewa makofi hafunguke yote

  • @Janet-p6k
    @Janet-p6k День назад

    Uyu mama n Pepo atoe Kila kitu yenye uyu kijana alimpatia akiwa katali😢

  • @HasiKhosi-qh4uo
    @HasiKhosi-qh4uo День назад

    Mungu atatenda haki one day moha hii nyimbo nani aliimba naitafta sijaipati

  • @euniceshanii2980
    @euniceshanii2980 День назад

    Handsome detactive chapA huyo mama makofi mawili ya Moto aogope au fastime amsha wazim huyo sio mum yako chapA yy viboko au belt za matako akuogope

  • @marykiarie6658
    @marykiarie6658 2 дня назад +3

    Huyu mama ako na kiburi sana

  • @PurityKerubo-k7m
    @PurityKerubo-k7m День назад

    I thank God to my mum she's the best mum ever this lady is so evil oooh my God bless this boy 👦

  • @Priscah-d8s
    @Priscah-d8s День назад

    Huyo mama ata anakaa mgojwa ukendi

  • @bahatikadzo8896
    @bahatikadzo8896 2 дня назад

    Mbn kila nikiangalia huyu mama naumwa sana

  • @DivinaDivina-j4r
    @DivinaDivina-j4r 2 дня назад +3

    Jameni

  • @AnitahMaika
    @AnitahMaika День назад

    I would also advice Faustine aende kwa prophet Kakande kule uganda atacama solution

  • @CynthiaKatunge-e1i
    @CynthiaKatunge-e1i 2 дня назад

    Ujafa ujaubika, mama watch ur tongue na what goes on comes around,ni hayo kwa sasa

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 2 дня назад

    Moha Saidia huyo boy juu huyo mama n muwaji

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb День назад

    Moha mtashinda apo na serikali na mwishiwe uyu mama ataachiliwa na kila kitu y Faustine ipoteleee, eli mtafute daktari afanye kitu 😢

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 2 дня назад +10

    Huyo sio your mum don't call her mother she devil 👿👿

  • @Sarahsnafulawamalwa
    @Sarahsnafulawamalwa 2 дня назад

    Mama menyewe ni mrembo sana

  • @سميرهكينيا
    @سميرهكينيا 2 дня назад

    Iyo shamba ikipatikana hiuzwe akanunue kwengine uyu kijana

  • @janewayua6412
    @janewayua6412 2 дня назад

    Uyo. Mchawi ako na kiburi sana lakini kuna siku ipo

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 2 дня назад +1

    Moha look also pastor Joshua to help too. DM Dave or Director Jay even pastor Nancy mama Joshua . There are lot of things and when the three pastors join in prayers the truth will be out. Please

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga День назад +1

    Huyu mama amekula nyama nyoka

  • @sarahnambuya5818
    @sarahnambuya5818 День назад

    Musaidieni sana mkipata hiyo shamba muiuse mununue mbali sana

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 2 дня назад

    Bona hamuezi leta karao mwanamke akuje a interfere na hii nyangao iongee

  • @Mercy-l3k
    @Mercy-l3k День назад

    Watafute fred au Godfrey wa samaa aonyeshwe kilichomfanya kuku asikojowe

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 День назад

    Mbona nchi anamupebereza huyu mama hivi mutaichi kwajano monja

  • @ElizabethMbodze-b1v
    @ElizabethMbodze-b1v День назад

    Quite mmbwa hiii

  • @Maleek503
    @Maleek503 День назад

    Huyu mama kwani anakaa aje nkt ata ni mchawi mama hana huruma

  • @florencebosibori9961
    @florencebosibori9961 2 дня назад +1

    The pride in this woman,inafaa iondolewe na dakitari au pastor joshua

    • @rachel0073
      @rachel0073 2 дня назад

      Huyu mama angepata DCI Fred angebakurwa vibare aongee kama redio

  • @LydiaKarioki
    @LydiaKarioki 2 дня назад

    Moha pli tafuta daktari wa lamo afanye kitu, huyu mama ako na kiburi sana

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 2 дня назад +1

    Moha hapa hakuna mambo ya wakikuyu na land huyo nyangao ni mkora kivyake na mdeal nayeye kaa mkora sio kaa mkikuyu

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 2 дня назад

    Uyu mama ako nakibuli 😉😏😏😏😏

  • @JaneGaturo
    @JaneGaturo День назад

    Alf mbona huyo DCI akona upole hovyo Hadi ametulia akiitwa chief

  • @NTANataliabosslady-w4o
    @NTANataliabosslady-w4o 2 дня назад

    Ndungeni kisu uyo mama

  • @jacintaedukan8179
    @jacintaedukan8179 День назад

    Huyu hata ndio aliuwa mamakoq

  • @Pamelasidi-y9s
    @Pamelasidi-y9s 2 дня назад +1

    Huwa mngemfinya tu vizur ili aongee kila kitu

  • @sylviaogwedhi513
    @sylviaogwedhi513 2 дня назад

    Mfinye huyo mama off camera ,aseme ukweli yote moha, Faustine has suffered alot.

  • @FranciscaPeter-rm1hx
    @FranciscaPeter-rm1hx День назад

    Nafikiri ata ilikuwa plan na ule msichana alikuwa amemwozea ni kumwuua uyo kijana

  • @shikusteve
    @shikusteve День назад

    Huyu ni shetani sio mama

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq 2 дня назад +2

    Kwani kiwete si mtu
    Ni nini mbaya na uyu mathe ungekuwa my own mama walai ningekudishown

  • @AnastasiaNKinya-gi5vw
    @AnastasiaNKinya-gi5vw 2 дня назад

    Usmuiite mum Faustine.

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 2 дня назад +1

    Mnabembeleza uyu mwanamke mkemchapa makofi uyuu paka katoa kilakitu,fanya kama Yule dci Fred Wa senior Dave.

  • @FaiChemu
    @FaiChemu 2 дня назад

    Huyu mama nani alimzaaa . Hakai binadamu

  • @LucyLucy-q2e
    @LucyLucy-q2e 2 дня назад

    From tz,western,kk how big confusion

  • @naimaabdulallah7823
    @naimaabdulallah7823 День назад

    Mi naona mkiendelea tu kuchezaa na huyu mama hivyo atawakoroga na kesi ipotelee na faustine akose kila kitu juu ii mambo yakurudia rudia mambo ya huyu mama haileti shangwee

  • @JaneGaturo
    @JaneGaturo День назад

    Mbona anampiga faustine na bado si mamake

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 2 дня назад

    Huyu mama ako na roho chafu kaa mganga mwenzake

  • @Saud-o9i
    @Saud-o9i 2 дня назад

    Anataka umuoe yeye sababu ata simamako

  • @humbleladymilly9893
    @humbleladymilly9893 2 дня назад

    Huyo mama n mchawi walai kulingana na vile anaongea. Moha, mjaribu sana kuwekea faustine security ya kutosha plz for his safety

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 День назад

    Huyu mama ni shetani kweli baba ya mtoto akutese utoe kisilani chako kwa mtoto aduwi sana

  • @thechosenone01-h5e
    @thechosenone01-h5e 2 дня назад

    Moha leave wakikuyu deal with individual nkt

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j 2 дня назад

    Huyu die aliua mama faustine

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 2 дня назад

    Fausting should be cool....Moha wacha ujinga aty Camera mnahurumia uyo mchawi heri ningekuwa hapo nivurute nywele 😊

  • @CharmyElHaddad-vl7sm
    @CharmyElHaddad-vl7sm День назад

    Nani ameona chain iko apa? Kama uyu mama alikuwa ameolewa na baba ya faustine then baby dad wa lavender kuna possibility ni bro ya faustine na step brother wa lavender 🤔

  • @tabithamomanyi3521
    @tabithamomanyi3521 2 дня назад

    N km mama faustin hajakufa

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq 2 дня назад

    Aki Faustine haina hasira
    Aki mimi

  • @MartinNdaini
    @MartinNdaini 2 дня назад

    Hiyo malingo ya huyo mama si poa hata kidogo

  • @RobbyMukonjero
    @RobbyMukonjero 2 дня назад

    Moha zima camera uyu mama achapwe kidogo.

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 2 дня назад

    Hapa mnapoteza wakati na huyu mama mangaa. Tafuteni msafiree Awapatie daktari ajikune atoe documents za faustine mara moja

  • @Bettybioz
    @Bettybioz 2 дня назад

    Leta DAKITARI kutoka lamp show arudishe KILA KITU ya Huyu yatima

  • @FAHYMAALI-zd8sg
    @FAHYMAALI-zd8sg 2 дня назад

    Huyo mama anafaa mzime camera na apewe kichapo hadi aongee

  • @AnitahMaika
    @AnitahMaika День назад

    Hi Moha please just advice Faustine akuwe patient ju hata hamallow detective kuongea ju akò juu sana inafaa akuwe Mpole ndio detective Addeal na yeye ju akiongea detective anakosa kupata information ju yeye ndio amekuwa kama detective sasa

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 День назад

    Nyowa hizo nywele yake

  • @MillicentFuraha
    @MillicentFuraha 2 дня назад

    Halafu DCI imezidi pole ungepiga kofu hata kma NI 2 aamke akiwa kwa ndoto😊

  • @nicenaomi8459
    @nicenaomi8459 2 дня назад

    Uyo mama angepigwa, angeongeya vizuri, ila anawatiliya kiburi juu munaogopa kumupiga

  • @Peterdota-h3w
    @Peterdota-h3w 2 дня назад

    UYU DCI MBONA ASICHAPE UYU MATHEE DCI FREDERICK BEATS THEM KABISA....ATY CAMERA FREDERICK HAJALI ..WEWE UNAJALI JINA AMA KAZI??

  • @Fatuma-p9y
    @Fatuma-p9y 2 дня назад

    Mambo ya polis mtachelewa na hatosema

  • @dianaatieno3922
    @dianaatieno3922 2 дня назад

    Ita dactari wa msafiree amalize hii case

  • @annkiilu2510
    @annkiilu2510 2 дня назад

    Hii kiburi itafika mwisho

  • @irineshango3059
    @irineshango3059 2 дня назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @polly-h8z
    @polly-h8z 2 дня назад

    DCI kwani ulifunzwa kua mpole hebu finya huyu mwanamke, faustine arudi Qatar ajipe maisha Wacha kupembeleza mtu roho mbaya

  • @MapenziMwaka-ir5wy
    @MapenziMwaka-ir5wy 2 дня назад

    Uyo mumama mbna mnambembeleza sana c ashikwe pale wengine hushikwa