VITA ya ALIKIBA na DIAMOND imerudi UPYA/ALIKIBA Atangaza Hili kabla ya WASAFI FESTIVAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 61

  • @SolomonHenry-y7h
    @SolomonHenry-y7h Месяц назад +11

    The only one King 👑

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 Месяц назад +8

    Ukitaka kujua alikiba yupo juu ,,,angalia crown media inafanya vizuri sanaaa ndani ya muda mfupi snaaaa

    • @CholoMwamba
      @CholoMwamba Месяц назад

      Nynywote weu iyo filaun ndy nn wcb baba wa dunia

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j Месяц назад

      We nawe hujui kinachoendelea toka huko mbwiga njoo town crown ni kikeke sio kiba pale anatumika ili tu kue na ushindani koz watu wanajua kuna kiba na mond ila kikeke ndo kila kitu crown

    • @rajimuashirafa8265
      @rajimuashirafa8265 Месяц назад

      @@Xuxu-f7j ukichana na makasiriko yako utajifunza maisha kwa waliofanikiwa ,,,kikeke ameona palipo bora ndio maana katua kwenye mgodi sasa endelea kujidanganya na ushindani wako huo ,,huo ushindinani unao wewe na akili zako ila kiba level nyingine kabisa kwenye mziki na mafanikio hahitaji upumbavu wowote kabisa ili aonekane hana ambacho hajafanya kwenye mziki wake

    • @rajimuashirafa8265
      @rajimuashirafa8265 Месяц назад

      @@CholoMwamba wewe ni zezeta kabisa msilete mambo ya kishamba kwa msanii mwenye hekima zake na busara zake huo upuuzi kiba hana wala hajawahi kuwa na uzezeta kama wako ,,,,wewe endelea na akili zako za jioni ila kiba ni package inayojitosheleza kabisa

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 Месяц назад +18

    Alikiba ni package inayojitosheleza ni brand inayotembea muda wote ndio maana hajawahi kupotea wala haihitaji skendo ili atoke au kuendelea kumpananisha na msanii yeyote Tanzania,,,,,,Alikiba ndio namba moja Kwasasa asiyeshuka au kupotea kwenye mziki ,,,,hahitaji kiki yeyote ile na bado yupo namba moja popote pale ,,,,

    • @Alimasi-d1v
      @Alimasi-d1v Месяц назад +1

      Sasa nani anayepoteaga? Ahu unamzungumzia 20% percent?

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j Месяц назад +1

      Sikulaum maana ndo akili yako ilipoishia na inawezekana hujui platifom zozote za mziki unazozijua

    • @stellachalamila7455
      @stellachalamila7455 Месяц назад +1

      Mijinga wew kila moja anapambana nahali yake yeye afanye upande wake nawengine waafanye pia

    • @johnmwalule3007
      @johnmwalule3007 Месяц назад +1

      Namba moja ipi sasa

    • @CochilocoSinaloa
      @CochilocoSinaloa Месяц назад

      ​@@stellachalamila7455 mbona munaumizwa na mawazo ya mtu???

  • @natureboy972
    @natureboy972 Месяц назад +9

    Bro crown 👑 ni moto 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @jastinedaudi-qi9vr
    @jastinedaudi-qi9vr Месяц назад +5

    Crown ni noma xn

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 Месяц назад +3

    Crown 👑 in

  • @alingome4323
    @alingome4323 Месяц назад

    Nwakitambo lakn anaiga vtu mingi sana kutoka kwa mondi upo

  • @avenikimati5944
    @avenikimati5944 Месяц назад +1

    King hajawai kukurupuka wala hajawai kuota ndoto za ajabu akazishea kwetu sisi mashabiki

  • @SebastianMahendeka
    @SebastianMahendeka Месяц назад

    Kwl king afany kwel studio

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 Месяц назад

    Huyu Mdada anafanana na Msanii AY au ni Dada ake nini😂❤

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me Месяц назад +1

    Huwa NAITUMIA usilazinishe NAITUMIAGA/UKIIONAGA sio kiswahili sahihi

  • @johnmwalule3007
    @johnmwalule3007 Месяц назад +1

    Kuna King's music na kuna crown media mbona majina ni tofauti

    • @avenikimati5944
      @avenikimati5944 Месяц назад

      Tayari king's media ilishakuwepo sijui mkoa gani kwa hiyo asingeweza kupata lesen kwa kings media

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 Месяц назад

    Ni mapema sana kuanza kuifananisha crown na wasafi ,baada ya kama miaka mi 3 hivi ndio muanze sasa hizo jagement zenu

    • @AyubuMwaikela
      @AyubuMwaikela Месяц назад

      unaweza ukatangulia na pia ukashuka

  • @hassanihamadi3141
    @hassanihamadi3141 Месяц назад

    kwani iliishaga😂

  • @Nathanielmwangemi
    @Nathanielmwangemi Месяц назад

    Hamna vita wala upinzani wa kumtikisa simba watu hua wanajipumbaza tu,Ali,Harmo,Mario,Jay nk wanajua ila kuwashndansha na Mondi ni upumbavu uliokubuhu

    • @issaahmed-d9k
      @issaahmed-d9k Месяц назад

      Kwani Huyo simba Ana nn mpka hakuna wakumshinda.... Nyinyi mwamuona kama Ndo Mungu wenuuu....Mijisifaa tu Lakini Hana lolote Ety Sahiii Ataka kuwa tajiri Duniani Wataka kuniambia Yuwamshinda Ronaldo kwa pesa?...Kina Ronaldo wenywe wakona pesa Lakini Hawajisifuu yeye kila Siku kujisifiaa Hana Lolote

    • @Nathanielmwangemi
      @Nathanielmwangemi Месяц назад

      @@issaahmed-d9k Hoja mbili apo ngoja nikusanue,ukijua Kanumba alikua na nn hadi leo hayupo ila hakuna anaesogelea sehem au ubora wake basi kwa Simba hutauliza

    • @Nathanielmwangemi
      @Nathanielmwangemi Месяц назад

      @@issaahmed-d9k Hoja ya pili,kwanza nikukosoe,hakuseka n tajir bali ndoto yake ni kua tajiri,wazungu wanakuambia if u aim at the moon u will land in the sky,kwamba ukiwa na matamanio makubwa basi hata kama hutayafikia lakin utayakaribia au kua sehem tofauti na awali

  • @matpesho_ende_voice2101
    @matpesho_ende_voice2101 Месяц назад

    Watangazaj duh kumbe nyie ndo mnao kuwa na fikra za uchochezi

  • @NgasaBoy-m6s
    @NgasaBoy-m6s Месяц назад

    Haujui Ali Hana kitu wanategemea upepo kutoka wasaf

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад +1

      Fanyeni ushabiki wa kisenge wenzenu wanapiga pesa na kuzidi kuwa matajiri

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 Месяц назад

      Wewe pumba tu wasafi haina upepo yoyote

  • @Divar01-tx8wl
    @Divar01-tx8wl Месяц назад

    Siku azifanani ww

  • @makambosafari2746
    @makambosafari2746 Месяц назад

    Alikiba anatembeleya upepo wa wasafi

    • @Lameckmichael-h2m
      @Lameckmichael-h2m Месяц назад

      Akili hamnazo watu wanapiga pesa nyinyi mmekaa kutupa dongo? Unamchukia alikiba halafu mamaako anasikikiza nyimbo zake kwasim

    • @elisharaphael8680
      @elisharaphael8680 Месяц назад

      Kwanini na wewe usitembelee huwo upepo utoke kwenye akili za kimaskini

    • @rajimuashirafa8265
      @rajimuashirafa8265 Месяц назад

      @@makambosafari2746 Daimond anatembelea upepo wa kings 🤴

  • @SifaEmma
    @SifaEmma Месяц назад +4

    Alikiba hana kipya... Uchawi umebuma 😭😭😭😭😭😭

    • @newtonfelixfelix-qt8dc
      @newtonfelixfelix-qt8dc Месяц назад

      ww hauna akili

    • @Cay-p8j
      @Cay-p8j Месяц назад

      @@newtonfelixfelix-qt8dcyani mtu akiwa mchawi anawaza kila mtu ni mchawi tu…poor mind

    • @rashidmasudi1645
      @rashidmasudi1645 Месяц назад

      Kweli hana akili huyu😂

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding Месяц назад

      Amin kwamba kitu kipya ni biashar yako yakuuza matako uloianzisha ni matamu muno

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 Месяц назад

      Kha maskini pole sana

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 Месяц назад +2

    Alikiba ni package inayojitosheleza ni brand inayotembea muda wote ndio maana hajawahi kupotea wala haihitaji skendo ili atoke au kuendelea kumpananisha na msanii yeyote Tanzania,,,,,,Alikiba ndio namba moja Kwasasa asiyeshuka au kupotea kwenye mziki ,,,,hahitaji kiki yeyote ile na bado yupo namba moja popote pale ,,,,

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 Месяц назад +3

    Alikiba ni package inayojitosheleza ni brand inayotembea muda wote ndio maana hajawahi kupotea wala haihitaji skendo ili atoke au kuendelea kumpananisha na msanii yeyote Tanzania,,,,,,Alikiba ndio namba moja Kwasasa asiyeshuka au kupotea kwenye mziki ,,,,hahitaji kiki yeyote ile na bado yupo namba moja popote pale ,,,,