HALLELUJAH, SONGA SONGA MREMBO WA YESU 2022 NI MWAKA WA KUJILIWA KWAKO, ULICHOBEBA BWANA ATAKIINUA MATAIFA YOTE WAONE NA KUSIKIA ANALO TAKA BWANA KWAO KUPITIA WEWE.💪
Mtumishi. Bwana Yesu apewe sifa.Sinabudi kusema asante sana, masikio yangu yamesikia maneno ya kunitia nguvu na kunifanya niendelee zaidi na niwe shujaa wa Mungu.Barikiwa sana kaka.Naomba sapoti yako ili tuifanye kazi ya Mungu anayegawa vipawa ili wengine waokolewe kupitia vipawa hivyo.Tupo pamoja.Amina
HALLELUJAH,
SONGA SONGA MREMBO WA YESU 2022 NI MWAKA WA KUJILIWA KWAKO,
ULICHOBEBA BWANA ATAKIINUA MATAIFA YOTE WAONE NA KUSIKIA ANALO TAKA BWANA KWAO KUPITIA WEWE.💪
Mtumishi. Bwana Yesu apewe sifa.Sinabudi kusema asante sana, masikio yangu yamesikia maneno ya kunitia nguvu na kunifanya niendelee zaidi na niwe shujaa wa Mungu.Barikiwa sana kaka.Naomba sapoti yako ili tuifanye kazi ya Mungu anayegawa vipawa ili wengine waokolewe kupitia vipawa hivyo.Tupo pamoja.Amina
@@estamarodaofficialtz5233 Hallelujah nimefurah kuona umejibu hakika natamani kuona Bonge la Collabo 💪💪
Mungu azidi kukuinua viwango hadi viwango,,,,nabarikiwa nikiwa Mombasa 🇰🇪
barikiwa sana
Hongera sana dada na ubarikiwe sana kwa huduma yako. Video safi sana
Ameen
Yesu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu
Safi.Kazi nzuri Sana.
Waooooh Hongera Mtumishi wa Mungu
Asante sana kaka.Ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana dadaangu mungu akuzidishie zaidi
Ameen
Hongera Sana dada angu mungu azidi kukuweka katika viwango vya juu
Ameeni
Mungu akupandishe viwango vya juu
Hongera sana kwa kazi nzuri
Hongera kipenzi mungu akuweke panapo nafas
A good song siz...keep it up👊👊👊
Kwaakweli MUNGU Azdi kukuinuaaaa
Bint nzr hiii 🙏🙏💜💜💜
Ameen
Ameen
Hongela sana shemeji anguu
Nyimbo nzr na pia das wamecheza finzr kwe
Mungu akuzidishie
Hogela
Asante sana
Ameni.haleluyaa👍🙏
❤❤❤
@@JosephinaMshomi 💐💐
Barkiw
Waooooooooooooooooo