MPOKI NI UNCLE SIO MJOMBA | WAKONGWE KAZINI | OLIGINO KOMEDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2023
  • #comedy #funny #kamasacomedy #masanjamkandamizaji #mpoki #mtanga #ringo #kitocomedy #africa #comedia

Комментарии • 236

  • @jumakassim1690
    @jumakassim1690 4 месяца назад +27

    Nimejifunza kitu hapa na nikikubwa mno sio kila comed ni yakuchekesha kwakweli hii inafundisha

  • @CentansIterabi
    @CentansIterabi 4 месяца назад +9

    Mpoki unanihangusha unasema baba yako alifariki kipindi unamyaka 2 lakini unamzindi mdogo wako myaka 7 baba na mama mmoja

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 4 месяца назад +4

    hayo yapo kwenye familia zetu kikubwa tutafute pesa

  • @masumbukomola1911
    @masumbukomola1911 4 месяца назад +9

    good guy Mpoki we mashine ya kazi

  • @WilliamPeter-ky7sx
    @WilliamPeter-ky7sx 5 месяцев назад +21

    Mnataka connection na hamjasoma...mnajua tabu anazopata Gigy money nyinyi 😅😂😂😊😊

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад +2

      🤣🤣🤣 Mpoki chizi huyo

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Masanja_Mtangazaji
    @Masanja_Mtangazaji 5 месяцев назад +26

    Nawakubari sana, naombeni Like zangu hapa

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад +1

      Tunashukuru sana

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 4 месяца назад +4

    Mpoki akosagi majibu

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      Kama kawida yake

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 4 месяца назад +9

    Ujumbe mzuri sana mpoki kawakilsha ,ni funzo.,unaweza ukasaidia ndugu na ndio wakakufilisi hata ukifa kwenye mazishi huwaoni ..

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад +1

      Ila sio wote Jaman?

    • @andrewmwaimu6701
      @andrewmwaimu6701 4 месяца назад +2

      Sasa ushakufa, utawaonaje?

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      @@andrewmwaimu6701 🤣🤣🤣

    • @ukuvukiland2387
      @ukuvukiland2387 4 месяца назад

      @@andrewmwaimu6701 watoto wako ndio wanabaki na story

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 4 месяца назад +4

    Kila mtu atafute chake ...😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @user-oc1tn4wc1y
    @user-oc1tn4wc1y 7 дней назад

    Wee mpoki noma

    • @Chekesha
      @Chekesha  7 дней назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @abudimuddy517
    @abudimuddy517 5 месяцев назад +13

    Ubunifu wa Hali ya juu
    Big up guys

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад +1

      Asante sana

  • @rodneylamai2847
    @rodneylamai2847 4 месяца назад +5

    Ukweli Mtupu, Mpoki ametoa ujumbe mzuri

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 4 месяца назад +2

    Yani huyu na Joti ni watu am bao hawachoshi kabisa

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 20 часов назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mpoki

    • @Chekesha
      @Chekesha  15 часов назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 4 месяца назад +6

    Kizimkazi Zanzibar 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mbarakasaidi8243
    @mbarakasaidi8243 Месяц назад +2

    Mtoto anataka pipi tu anaambiwa kelele akitusua nae hatakuwa kama mpoki😂

  • @user-it6pm4rh8s
    @user-it6pm4rh8s 4 месяца назад +8

    Kuna kaujumbe humu kameshiba kaabsa 😂❤❤❤❤

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 4 месяца назад +7

    Ila kwakweli mpoki nakukubali Zaid jamaniiii😂😂😂

  • @Joycekombe2
    @Joycekombe2 4 месяца назад +3

    Mpoki 🙌🙌

  • @ballisticsound4796
    @ballisticsound4796 4 месяца назад +2

    Gigy ametulia zake huko hana habari 😂ameingizwa kwenye shida za ukoo flani

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @Tyzer_tz
    @Tyzer_tz 5 месяцев назад +7

    Hahahah Africa kuna vituko😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      Hatari🤣🤣🤣

  • @subo2667
    @subo2667 4 месяца назад +5

    "mimi mninunulie pipi sasa" KELELEE😅😅

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      😀😀😀😀😀

    • @boxmojaTv
      @boxmojaTv Месяц назад +1

      Da!Dogo anakomaa na pipi tu!

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 4 месяца назад +3

    Mpoki umeua bend,kaaaaaaaaaa jamani mweeeeeeeeeeeeeeee

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      Mpoki noma 🤣🤣🤣🤣

  • @shaibinhojr3209
    @shaibinhojr3209 Месяц назад +1

    Hapo wte wangekuwa waelewa wasikilize album ya Dizasta vina ndy watajuwa elimu😮

    • @Chekesha
      @Chekesha  Месяц назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 4 месяца назад +2

    Hahahaha kweli mpoki

  • @leonardmhagama5828
    @leonardmhagama5828 4 месяца назад +4

    Ningekuwa na kishipa ungekitaka!?😅😅😅😅

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @mwendomlewa337
    @mwendomlewa337 5 месяцев назад +7

    Kazi nzur sn mungu awabariki

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 5 месяцев назад +8

    Kuna fundisho kubwa sana hapa. Asanteni sana.

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      Asante, Nashukuru sana

  • @deogratiasdimaestro099
    @deogratiasdimaestro099 5 месяцев назад +3

    Fundisho kubwa sana,

  • @user-nf9cc1hi1t
    @user-nf9cc1hi1t 4 месяца назад +2

    Nikipata pesa mnaanza kufa taratibu ili nionekane nawatoa kafara😂😂😂😂😂😂

  • @sinomiles
    @sinomiles 5 месяцев назад +4

    Mpoki, Mtanga na huo Mzee mnajua.

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      Zitafika salamu zako🤣🤣🤣

  • @fabricemuzungu8078
    @fabricemuzungu8078 4 месяца назад +2

    Kweli mm achaniwapongeze guys .hapo ndo chanzo chabifu kwenye family zetu.mi baba km hiyo ahishughuliki kikazi ndio faida kumtegemea ndg kisa anapesa afu ety anawazarau

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣 Umeonaeee

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 4 месяца назад +1

      Wapooo wanawaza wapewe kamazao waombe mtaji na sio malala miko wanataka wapewe Bure Buree Tuuu

  • @nasirirashidi4350
    @nasirirashidi4350 4 месяца назад +2

    Nimeipenda hii jambo Roho hii mm sina

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 3 месяца назад +1

    Ningekua na kishipa ungekitaka? 😅😅

  • @ladislausmasaba2488
    @ladislausmasaba2488 4 месяца назад +2

    Mnajua tabu anazopata mbwa jike ulaya?😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 Hawajua

  • @dilanfamous9529
    @dilanfamous9529 4 месяца назад +3

    Kuoga elfu 30 simpo kumi laki tatu ogeni wote apo😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @obviousmphande8621
    @obviousmphande8621 4 месяца назад +2

    Nkweli mpoki ni noma na pia ukweli ndio huu

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 5 месяцев назад +6

    Unataka kuchanika😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nestorymatogwa9255
    @nestorymatogwa9255 Месяц назад

    Tangu uanze kufanikiwa, sisi familia tumeanza kupungua 😂😂

  • @user-lu6ud7ff9b
    @user-lu6ud7ff9b 4 месяца назад +2

    PESA INAMFANYAA MTU ANAKUWA JEURI SANA 😂😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣 anajeuri sana

  • @user-ri2pu4lu1o
    @user-ri2pu4lu1o 5 месяцев назад +3

    Mponk una nn wewe 😃😃😃😃

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nassor8819
    @nassor8819 5 месяцев назад +2

    Shenz sana eti heri kuzaliwa mbwa ulaya

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu 4 месяца назад +2

    4:48 mama mama suburi 😂😁😂

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu 4 месяца назад +2

    Cheki anavyo tembea mjomba eti ebu shika hizi

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @claudebitangalo4459
    @claudebitangalo4459 4 месяца назад +3

    Haha😂 gigimani kapata tabu kupata hela afu😂 mnaomba hela kirahisi 😂

  • @giftmwamba601
    @giftmwamba601 5 месяцев назад +4

    Nawakubari sana, Sauti ipo vizuri

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      Asante sana

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 5 месяцев назад +8

    Mama imma yupo wapi? 😂😂

  • @user-xl6dd5gb8j
    @user-xl6dd5gb8j 5 месяцев назад +3

    Uyo ndo Mpokeee

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @lucresiashee1289
    @lucresiashee1289 19 дней назад

    Mama subiri 🤣🤣🤣🤣😂

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 5 месяцев назад +2

    Mpoki yuko sahihi . Hawa ndugu ukiwa maskini hawakutafuti wala kika

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      Kweli😂😂

  • @manongichotile3495
    @manongichotile3495 16 дней назад

    Daaaah ila mpoki 🎉🎉🎉🎉

  • @SolomonMakombe
    @SolomonMakombe 17 часов назад

    Mpoki jiniasi kawajibu ukwel mtupu kihuni

    • @Chekesha
      @Chekesha  15 часов назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @ibrahimmkanda6358
    @ibrahimmkanda6358 4 месяца назад +1

    Nimejifunza kitu hapa

  • @AjuaLupembe-px2rb
    @AjuaLupembe-px2rb 5 месяцев назад +5

    Respect

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂mjomba ni mama

  • @ibrahmuya3528
    @ibrahmuya3528 Месяц назад

    Yani mimi nikiwaonaga hawa bibi chala mtanga huyo mzee mpoki mkojani na wakuvanga nawapenda sana comed wangu wa maisha

  • @shukrankifyasi1500
    @shukrankifyasi1500 4 месяца назад +1

    Hiiio dunua balaa

  • @NuludiniRajabu-cb9oc
    @NuludiniRajabu-cb9oc 5 месяцев назад +3

    Mpok 😂😂😂😂

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 Месяц назад +1

    Jaman, hii dunia. Ukipata mali 😂😂😂😂❤

  • @samwelwambura-nn5ns
    @samwelwambura-nn5ns 4 месяца назад +1

    Nawakubari sana

  • @barakajohn2825
    @barakajohn2825 4 месяца назад +1

    Pesa na cheo bila busara ni kipengele

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 5 месяцев назад +2

    Ila kuna kaukweli kidogo kwa uhalisia wa maisha yetu ya ki Afrika

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 4 месяца назад +1

    Duh mpoki aisee...😂

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 4 месяца назад +3

    Mtanga😂😂 et Ana bajaji 24 bodaboda 32 natembeaje kwa mguu😂😂😂

  • @omarabdallah1760
    @omarabdallah1760 4 месяца назад +2

    Jamani jamani! Sasa Gigy hapa katokea wapii😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @Del_busi5
    @Del_busi5 3 месяца назад

    Mtanga eti mama ongea 😂😂😂😂

  • @yohanaj4
    @yohanaj4 18 дней назад

    Gari yangu xo lazima aendeshe mtu😂😂😂😂😂😂😂mpoki katoa boko

    • @Chekesha
      @Chekesha  18 дней назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 4 месяца назад +1

    Hahahhahah mbwa jikee anapata shida gan ulayaa

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @hrrich8153
    @hrrich8153 4 месяца назад +1

    Ningekua na kishipa ungeomba nikugawie😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      😃😃😃😃

  • @tamimuomulungi2102
    @tamimuomulungi2102 4 месяца назад +1

    Kaz nzr sana ila ningeshrk ningekujib

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад +1

      Umgejibu vip

  • @AishaYahaya-ld5lb
    @AishaYahaya-ld5lb 17 дней назад

    Tujifuze

  • @CharlesSomeke-ml7ju
    @CharlesSomeke-ml7ju 2 месяца назад

    Ukifanyia hivyo kabila kama langu hata kwenye kikao hutonyanyuka

  • @dominickhwaya9722
    @dominickhwaya9722 4 месяца назад +1

    Kijiba cha roho

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      Kwanini 🤣🤣🤣

  • @giugliojuma4600
    @giugliojuma4600 4 месяца назад +1

    😂😂😂eti ww hatujuani anae nijua ni mamako ambae ni dadangu

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @najimnagy6020
    @najimnagy6020 5 месяцев назад +3

    Unatokea kwa nyuma kwa ile ni engine ya “beetle”, mpoki bana.😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @kelvincharles2247
    @kelvincharles2247 3 месяца назад

    Unaenda kuzimu mkazi 😅😅😅

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 4 месяца назад +1

    Ndio wa Africa tulivo

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 4 месяца назад +2

    Ubebe lulu 🥰😂😂

  • @Shijannga
    @Shijannga 27 дней назад

    😂😂😂😂😂

  • @pardonwonder6121
    @pardonwonder6121 4 месяца назад +1

    Mpoki baba yake kafa akiwa na miaka miwili alafu mdogo wake wamepishana miaka saba na ni wa baba mmoja na mama mmoja 😅 ati 😂 hii ndio maana ya vichekesho

  • @NaziliSalumu
    @NaziliSalumu 4 месяца назад +1

    Jamaa anajua sana❤❤❤❤❤

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      Kweli kabisa

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 4 месяца назад +1

    Ungekuwa na kishipa mngekipata

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @P4Principle
    @P4Principle 27 дней назад

    Nona sana

  • @user-ur4jy2ct7v
    @user-ur4jy2ct7v 4 месяца назад +1

    Ahahaha mpoki Ana maneno xopoaa

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @abdulazizjuma9732
    @abdulazizjuma9732 4 месяца назад +1

    😅😅😅 eti utachanika au unataka kuchanika

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 4 месяца назад

    Hehee pesa za tajiri ni za tajiri

  • @officialmadoshi5824
    @officialmadoshi5824 5 месяцев назад +4

    😂😂😂Msukuma buana chukua maua yako😂😂🎉

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 5 месяцев назад +7

    Ila kwenye Quality ya sauti bado sana

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад +1

      Unataka Sauti Gan Ndugu

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 5 месяцев назад +1

      @@Chekesha watu wanaongea sauti ina mwangi, microphone inayotumika hainasi sauti vizuri

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 5 месяцев назад +3

      Makelele kibao nyuma ya video

    • @hemedbungala4198
      @hemedbungala4198 5 месяцев назад +1

      Ni kwel

  • @gidionseleman7318
    @gidionseleman7318 4 месяца назад +1

    Eti "Endelea mama"...😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Месяц назад

    Hich kikao angekuwep mkojan kingeish kw ngumi😂😂😂😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  Месяц назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @danielandrew9892
    @danielandrew9892 26 дней назад

    Ila wewe mpoki kiboko bonge la ujumbe

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 Месяц назад

    Tafuta HELA

  • @user-dc3di5gu8d
    @user-dc3di5gu8d 4 месяца назад +1

    Rukundu rumwee

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      😀😀😀😀

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 5 месяцев назад +2

    Saut iko chn

    • @Chekesha
      @Chekesha  5 месяцев назад

      Itakuwa Sabufa yako haina saut

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 месяца назад

      Pandisha juu

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 4 месяца назад

    Ningekuwa na kishipa ungekitaka

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 4 месяца назад +1

    Utu uzima ni hela😂

    • @Chekesha
      @Chekesha  4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl Месяц назад

    Huo mdio ukweli wa maisha yakiswahili wivu unawatawala roho mbaya balaa kubwa ndiomaana kufanikiwa ni balaa kubwa kwenye familia zakiswahili

    • @HashimuHashboy-bo2wl
      @HashimuHashboy-bo2wl Месяц назад +1

      Acha wakiamua watakuroga vibaya waswahili ni noma wanaroho za wivu

    • @Chekesha
      @Chekesha  Месяц назад

      chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR

  • @user-rr6vu7oe1y
    @user-rr6vu7oe1y 4 месяца назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-eu5uy8vm6i
    @user-eu5uy8vm6i 4 месяца назад

    Fadhira haina umuhimu ,

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 4 месяца назад

    😂😂😂