MIZENGWE: KANALI MKWERE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 110

  • @dodimohammad
    @dodimohammad 2 года назад +2

    ALLAH AKULAZE MAHALI PEMA PALIPO NA WEMA JUMANNE ALELA (MZEE MATATA)

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 лет назад +6

    Mkwere kiboko joti atasubiri sanaaa

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 2 года назад

    Kikosi cha mizinga. Unalipua huku umekaaaa...daaaaah
    ....

  • @kelvinpandisha8983
    @kelvinpandisha8983 5 лет назад +4

    Mungu usinache nipotee nilinde popote niendapo na niwe mwema kwa yote yadunia Amina.

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 2 года назад

    Kupikaaaaaaaaa dahhh. Mkwere kiboko.

  • @englibertmalabe1451
    @englibertmalabe1451 5 лет назад +10

    kazi ya kupokea maganda ya mizinga😂😂😂

  • @priscamedadi1108
    @priscamedadi1108 4 года назад

    Mizengwe nomaaa mbavu zangu mimi. Nendaaa sehemu husika usinifate mimi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 5 лет назад +3

    Mkwere umenifanya nipate vichomi kwa kucheka😂😂😂🤣 dah Mizengwe hongera kwa kazi nzuri.

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Kweny ukanali wangu wte sjawahi kuona umri huu afu umemaliza form six mwka jna

  • @sajdatomar2264
    @sajdatomar2264 5 лет назад +2

    😀😁😀😀😀😃 mjomba udafur dafur haujamtoka 😀😁

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 года назад +1

    Duh movie kal kama
    Imetoka jana yan duh
    Wazee munajua kinoma

  • @shadiasalumu8503
    @shadiasalumu8503 5 лет назад +3

    chuma kimetuka daafuru hiko nyumban nendaaaaa hahahaha

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 Год назад

    Toa hela kwa heshima.😁😁😁

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 4 года назад

    Wakala wa kazi za jeshi tena

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Kwenye hela usiseme yesaa sema hela iko wapi😂😂

  • @hadija846
    @hadija846 5 лет назад +5

    hawa jamaa noma Yaani mwisho raha tupu 😍mtungaji ni nani Jamani?😍👍

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 лет назад +3

    Toa hela kwa heshima toa👍😂

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 4 года назад +1

    😂😂😂 pita kwenye gate na mwili

  • @kurwakhatibu2666
    @kurwakhatibu2666 5 лет назад +2

    balaaah Jamani wanajeshi nyie

  • @luqmanhamed9710
    @luqmanhamed9710 5 лет назад +8

    Mkwere safi snaaa 😂piga zoezi
    Ila pia waliodislike wanaroho mbyaaaa...wazo langu tu

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад +2

      Luqman, ni haki yao hawawezi kupenda wote. wengine wanakifaduro cha rohombaya.

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 года назад +1

      😂😂kifuaduro cha loho mbaya😂😂

  • @hamiskalulumbe7768
    @hamiskalulumbe7768 5 лет назад

    Jamaa wanatisha mbaya

  • @bigambogerman4221
    @bigambogerman4221 4 года назад +1

    Nitakufa mimi na vichekesho vya mizengwe nomaa sana hawa jamaa.

  • @athumanibakari7998
    @athumanibakari7998 4 года назад +5

    Kwenye hela usiseme yesaa sema hela iko wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Ni mkuu wenu aliewanyanganya sim😂😂

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 года назад +1

    Chuma kimetoka darfur hicho

  • @lizzyshayo209
    @lizzyshayo209 5 лет назад +5

    Mguu pande...Nyumbani nenda😁

  • @saidimohamed9971
    @saidimohamed9971 Год назад

    Nyumbaniiiii ONDOKA!!!!!😂😂😂😂

  • @babuchaya1410
    @babuchaya1410 5 лет назад +2

    Mnguu pande .Hela iko wap

  • @kingofkings7525
    @kingofkings7525 5 лет назад +3

    Nyumbaniiiiih nendaaah!!!
    Nyumbaniiiiiiih nendaaah!!!
    Duh mkwere kweli ana akili mbili.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 лет назад +5

    Kanali mkwere kiboko,wewe ndio king comedy Tanzania kwa sasa

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад +1

    Bora nilivyo kosa nafasi yajeshi .mazoezi yenyewe ndoaya🤣🤣🤣🤣ninge kimbia2

  • @kulwazabron6203
    @kulwazabron6203 4 года назад +1

    hakika mwatuelimisha maana Sio kila fursa inayotokea nihalali tuwe Makin

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 года назад +4

    Ukimuona mtu anafanya kazi za jikoni halafu kakonda ujue roho yake mbaya😂😆

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Jifiche nisikuone😂😂

  • @trustmakunure6331
    @trustmakunure6331 5 лет назад +4

    😂😂😂😂😂😂 kamaliza fom6 mwaka jana😂😂😂😂

  • @hajinyangen2010
    @hajinyangen2010 5 лет назад +1

    mizengwe sio poa. ....kila mtu anakomesha sehemu yake

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 лет назад +2

    Dah! Nilikua nime miss huku jmn 👌 #Mizengwe nisehem yang number 1 yakuchekesha nawakubaligi San nyiee 😂😂😂😂😂😂

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Karibu sana sifa, tumerydi kwa kishindo.

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Asante kwa kutuunga mkono, na hatutokuangusha, tukikosea tuambie ili tujirekebishe

  • @anordmichael2146
    @anordmichael2146 4 года назад +1

    Chuma kimetoka Dafuuu hahahahaaa

  • @rahisalovely9622
    @rahisalovely9622 5 лет назад +2

    Chuma tembeaaaa hahahaha funny mkwere

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Chuma njoo hapa

  • @emmypc8362
    @emmypc8362 5 лет назад +3

    😂😂😂😂😂pitaa ivoivo usifungue kwa mkono,,.....jifiche nisikuone apo apo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣walai nimecheka atali aah mizengwe nyie kiboko

  • @axa29
    @axa29 5 лет назад +2

    Safinaaaaa ati kitengo cha kuripua mabomu😀😀😀😀

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 лет назад +2

    Haki hongereni xana😆😆😆

  • @frankkambaya1814
    @frankkambaya1814 4 года назад +2

    hata wewe ukimwelewa unaweza kujibu 🤣🤣🤣🤣

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 5 лет назад +10

    Jamani hawa watu sijawahi kuwachoka😂😂😂😂😂😂😂

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Asante kwa kutuunga mkono Nadia

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Asante Nadia kwa kutuunga mkono, tunajua mnatudai kila jumapili

    • @englibertmalabe1451
      @englibertmalabe1451 5 лет назад

      kuwachoka sio rahisi jamani mi.mwenzio natamani huku you tube watufikirie tulioko vijijini tunakosa jumapili watusaidie kilawikinasisi tucheke tufurahi maisha😂😂😂😂😂😂😂

    • @sparwhite7865
      @sparwhite7865 4 года назад

      Safi sana kanali mkwele

    • @sparwhite7865
      @sparwhite7865 4 года назад

      🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤩🤪

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Ni kanali hyoo😂😂

  • @kalimuligambenamnoa6777
    @kalimuligambenamnoa6777 4 года назад

    Mkwele humeniumiza mbavu kwakaz mzuli chapa kaz bab

  • @ntinteretseadija9610
    @ntinteretseadija9610 4 года назад

    Nyumbanii tembeya 😂😂😂😂😂

  • @issamsumi538
    @issamsumi538 4 года назад

    Nyumbaniiiii__ nenda" duh mkwele wewe

  • @sophiahamisi706
    @sophiahamisi706 5 лет назад +1

    Nawapenda buree

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Karinu sana Sophia

  • @blessingszingwa7069
    @blessingszingwa7069 5 лет назад

    Kwakweli huu ni ubunifu wa hali ya juu

  • @athumanibakari7998
    @athumanibakari7998 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hakunaaaaa unataka kuuliza nn jeshi we tekeleza tuu daah

  • @bakarisaidi3225
    @bakarisaidi3225 5 лет назад

    pamoja sana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 лет назад +1

    Duh ih nikal
    Mwamba kutoka DAFFU

  • @zabronmligo9629
    @zabronmligo9629 5 лет назад

    nyumbani nenda

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Hyo katoka dafulu

  • @juliethmbogoja1047
    @juliethmbogoja1047 5 лет назад

    😁😁😁😁😁 eti nyumbani nendaaaaa

  • @shadiasalumu8503
    @shadiasalumu8503 5 лет назад

    saf sana dah

  • @donaldelias6689
    @donaldelias6689 5 лет назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂bdo Nina udaf udafuuuu

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 5 лет назад +2

    Hahahaha mizengwe noma

  • @dicksonkomba7957
    @dicksonkomba7957 5 лет назад

    Wakala wa jesh duh

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 лет назад

    Hawa jamaa hatarii

  • @englibertmalabe1451
    @englibertmalabe1451 5 лет назад +1

    thanks ITV kwa kunifanya niongeze siku za kuishi. mbeeeleeee tembea.. nyumbaniii tembea😂😂😂😂

  • @wilfredmwakatundu8968
    @wilfredmwakatundu8968 4 года назад

    hapo hapo ulipo jifiche nisikuone

  • @semsisamwel8813
    @semsisamwel8813 4 года назад

    Yes Sir

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 4 года назад

    Nyumbani nenda

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 5 лет назад

    Hongera ITV kurudisha mizengwe RUclips

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 5 лет назад

    Ahhh chuma kimetoka dafuu

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад

      Ha haaa haaa Makuka, umekiona chuma kutoka Dafur?

  • @masoudjuma159
    @masoudjuma159 5 лет назад +2

    hahahaha 👏🏻👏🏻😀👉🏼🇹🇿

  • @frednjau5662
    @frednjau5662 5 лет назад

    hhhhh noma

  • @janethshem5782
    @janethshem5782 5 лет назад +1

    Wakongwe wa hizi kaz

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 4 года назад

    HAHAHAAA HAHAHAAA HAHAHAAA !!!

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 3 года назад

    Hhhh

  • @shsjjdjhd9624
    @shsjjdjhd9624 5 лет назад +2

    😆😆😆😆😆😆😄

  • @sarahsarah4919
    @sarahsarah4919 4 года назад

    Hahahahaaaaaa

  • @ahmedmbarouk2807
    @ahmedmbarouk2807 4 года назад

    Hahahahaha

  • @ntinteretseadija9610
    @ntinteretseadija9610 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @subirayusra2616
    @subirayusra2616 4 года назад

    🛃
    X

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 лет назад +1

    😆😆😆😆😆😀😀😀😀😀😅😅😅

    • @mudydaud340
      @mudydaud340 5 лет назад

      hiyo ipo dar wengi wanapigwa pesa kisa nafasi ya jeshi

    • @mudydaud340
      @mudydaud340 5 лет назад

      safina anasema mjomba kile kiwanja ulichoniachia nimekiuza hela yangu anayo huyu jamaa hahahaha

  • @jairatuhappy634
    @jairatuhappy634 5 лет назад +1

    😂😂😂😂

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 5 лет назад

    Kanali

  • @sophiahamisi706
    @sophiahamisi706 5 лет назад

    😂😂😂😂😂

  • @issayahya9423
    @issayahya9423 5 лет назад

    Mumebuma hamna swaga

    • @lusese1
      @lusese1 5 лет назад +5

      Asante sana Issa na kiswahili chako, walete wenye swaga uone tutakavyowagalagaza, walikuwepo kibaoo.

    • @dafrozapius9268
      @dafrozapius9268 5 лет назад +1

      @@lusese1 mwambie huyo anazalau kazi za watu

    • @sajdatomar2264
      @sajdatomar2264 5 лет назад +2

      ww ndio hauna swagga kwa hapa Tz kwa wachekeshaji wasio chuja milele namilele bs hawa ndio no moja msipende kuongea pumba

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 5 лет назад +1

      @@sajdatomar2264 ukweli kabisa mwambie huyo kilaza yeye ndo kaishiwa

    • @ummialey6391
      @ummialey6391 4 года назад

      Juu ya kubuma yaan nikiwa na stress Nawatafuta hawa nitacheka tu

  • @ramadhanikaita9672
    @ramadhanikaita9672 5 лет назад +2

    🤣😂🤣😂🤣😂

  • @ntinteretseadija9610
    @ntinteretseadija9610 4 года назад

    😂😂😂😂😂