🅻🅸🆅🅴 CHADEMA WANAONGEA MAMBO MAZITO DODOMA MUDA HUU, MAPYA YAIBUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 5

  • @MunguliloManoni
    @MunguliloManoni 3 дня назад +1

    Na hii kazi ya utendaji itakuwa ni kazi ya pili kugeuka ya laana baada ya pilisi na wanausalama wanaotuhumiwa kwa utekaji na matendo mengine mabaya. Kwa wazazi wenye hofu ya Mungu na upendo wa dhati kwa watoto wao, ujumbe wa kinabii unanituma niwashauri msiwaruhusu tena wana wenu kwenda kusomea kazi hizi msije mkachangia kuchuma dhambi na kukarinisha laana maana kazi zimepoteza baraka kwa Mungu hasa kwa wale wanaokubali kutumikia wanasiasa wenye nia mbaya.

  • @MunguliloManoni
    @MunguliloManoni 3 дня назад

    Dhuluma hizi ndizo tumeshasema Mungu hapendi. Kuna wakati najiuliza, hivi hawa watendaji hawana dini? Hawana familia? Na je, hawana ndugu ambao kwa matendo yao hayo, hawaoni kwamba wanawaumiza na kusababishia uhasama baina yao na jamii nzima? Kwa nini wanapenda kutumika vibaya kwa maslaji ya wachache?

  • @LovelentDaniel
    @LovelentDaniel 3 дня назад

    Mbowe wakamatwa saiz

  • @ogweyoranga8110
    @ogweyoranga8110 3 дня назад

    Tanzania bara ndio nchi gani?