Hongera sana Daktari,Mwalimu,Padre kwa mafundisho mazuri yametupatia mwanga mkubwa.MUNGU aendelee kukutunza akuhepushe na wote wasiopenda wewe kutoa elimu hii bure kwa jamii.Tulipofika sasa iko gharama katika kusema kweli.
KITIMA,yaani sijui mimi nikoje napenda watu kama hawa wapenda haki,Demokrasia,uwazi,Utawala bora na utawala wa sheria.Huyu ni Rasilimali safi ya Taifa.
Tanzania tunahitaji siasa safi, tunahitaji utawala bora, tunahitaji usawa.... Sasa hivi lipo kundi dogo la watanzania ndiyo wanao ishi maisha bora... Sisi wengine TUNAISHI kama kuku wa kienyeji... Tumechoka mpaka nafasi..... Wanakopa Trillions za hela wanazila halafu wanatubebesha deni yani sisi ndo tunalipa... Hii siyo Sawa hata mbele za MUNGU
Baba usichoke fanya yako mungu atakuinua tu anayekereka azibe masikio yake huwezi kuwa sawa mtumishi wa mungu kaa mbali waliojaribu kutukana tumewaona wakiaibika
MUNGU wetu wa mbingu na nchii akulindee sanaaaa maneno yako yamejaaa hakima na busaraa semaa viongozi wetu tamaaaa zimewajaaa mnoo kupita kiasiii nawaalaani kwa jina la yesuuu wote wasiyo itakia memaaa nchi yetu
Mtumishi wa Mungu, watumishi wengi ni mdomoni tu lakini moyoni hamna kitu. Wanawaza pesa tu. Kila siku nawaambia kuwa BENDERA ya Tanzania iliombewa dua huko Dubai, waarabu wakijipiga vifua huku wakupeperusha Bendera yetu! Mimi nafikiri dawa ni MAOMBI tu ndiyo yatayovuruga kila kitu kilichofanyiwa dua. Naamini NENO la Mungu litasimama. Mungu awasaidie. Bila kuomba ni sawa na bure, lakini naamini Mungu wenye ni mwaminifu atasikia maombi yenu.
Father kitima naona kama unakiepuka kikombe hiki.mungu akupe maisha malefu watumishi wangine wanajifanya hamnazo wananufaika na ujinga wa waumini walio sababishiwa na ccm.
Hata yohana mbatizaji alimuonya herode kwamba si sawa kuoa mke wa ndugu yake.. Kwaiyo kitima sio wanasiasa ni yohana mbatizaji wa enzi zetu watumishi wasio kemea maovu kama hayo ni wala sadaka wachumia vitambi machawa wa chai za ikulu na wafurahia bahasha
Namshukuru Mungu viongozi wa dini tulikua tunahimiza amani sasa tunahimiza amani na haki na muda sio mrefu tutahikiza amani, haki na upendo . Msingi wa Ustawi na maendeleo endelevu ya wanadamu ni Amani, Upendo na Haki vinginevyo maisha yataendelea kua magumu ya umasikini, ya dhiki ya taabu ya mahangaiko
@@AlexChawe Tuna jadili changamoto kwa Ki Rais Samia na Magufuli, Tunapoteza njia. Hao hujui ni zao la kitu kikubwa?. Jambo hilo siku likatanzuliwa uchumi na maisha yetu yatapaa.
Sahihi pair ya marais walioingia kwenye historia mbaya katika nchi hii. Yaani hapo viongozi wanashindwa kutaja tu moja Kwa moja Kwamba Samia na CCM ndio waharibifu
Waonga sisi tumejua iro kudai haki nikujitoa kwadamu kama we baba wenzio wanaubilia amani tyu ukiubilia haki utachikiwa kama wanavo kuchukia we apo ila endelea kutupambania mana tupo tunao kuelewa nasisi tunaendelea kualewesha
Kwanini kama mna fununu na wauzaji msikutane na viongozi wa juu serikalinini mkalijadiri suala hili maana linazunumzwa tu majukuani lakini hakuna utekelezaji.
Kwa fikra zako tu labda niulize swali dogo ni kiongozi gani wa juu serikalini akiambiwa hayo maneno ya hii hotuba atayapokea kwa moyo mkunjufu na mikono safi yote miwili na kutekeleza japo moja wapo kati ya yote aliyoongea na kuyagawa katika mafungu matatu.?? Kiongozi nani atayapokea haya ukinijibu nitashukuru sana, usitaje jina ata cheo tu au wadhifa unatosha kutaja
Viongozi wa dini msinyamazishwe iwe kwa rushwa ama mabavu ama kejeli. Mkumbuke mnasimama pahala pa Mungu. Msije mkatafuta ya dunia. Simamieni "haki ya Mungu" semeni ukweli ukavikwe taji mbinguni na si duniani. Duniani mtavalishwa taji la miiba msiogope.
Msikubali kuitwa itwa kubariki yasiyo ktk maadili yenu. Mkivikwa taji hapa duniani mjue ni taji la miiba! Semeni ukweli na kudai haki ya Mungu mkasubiri taji lenu mbinguni.
Baba askofu karibia viongozi wote wa dini wametukelekeza baba umebaki wewe tu ndo umebaki.ila ombi langu kwako najua soka hajafa bado nakuomba kwa Jina la yesu andikeni barua kwa rais kwenda kumuona na mkimuona mkamuombe awambie wale askari wake wawaachie wale ndugu zetu.Mungu afanye muipate hili andiko
Tuliambiwa nendeni mkazae mkaongezeke mkaitawale dunia. Hakusema wanasiasa mkawatawale wanadamu. Wanasiasa walijue hilo hawana haki kuzuia wanadamu wengine kuhoji haki zao msingi. Tuheshimiane nyie wanasiasa.
Dr Kitima, watu wako katika harakati ya kushinda tu, kwasababu lengo ni kupata haki. Isipoondoka CCM haki tutaipata wapi? Hatuwezi ongelea jingine japo yapo mengi kazi ni Moja tu, kufa mtu, CCM itokee.
@@godfreymasele8853 Ujui Kwamba kuna Theologia ya Ukombozi?. Tatizo letu moja ni kutaka kuwafungia taifa lote kwenye chumba moja ya fikra. Ukweli huko wazi hatuwezi kujenga utamaduni wa kupotezana na kuua, kutesana ovyo na kikatili Taifa likabaki salama. Mwl udikteta hua si utawala mbaya, ila mbinu unazotumia kutawala hua zinaumaliza utawala wa kidikteta. Haki hisipo tawala kila kwenye tunachofanya amani hawezi kuwepo. Ni Imani yetu kwamba Haki iwepo tangia Familia Hadi Ikulu yetu. Hizi tabia kupotezana ni Kinyume na Uzalendo. Bible inasema kwamba Bwana anakuja Toka pahali pake, ili kuja kumwadhibu wakao Duniani kwa uovu wao. Tabia za Kimungu ni za ajabu sana. Kati yetu wote. Wapo Simba Watu. Je siku Mungu akawainua tena tutajificha wapi?. Wakati ni Wa Mungu si binadamu.
@@godfreymasele8853 Hali yetu halisi tz ikoje? Hiyo ndiyo hoja msingi, Tabia ya kukimbia hoja ni dalili mfirisi. Tujadili yanayotusibu leo, na namna ya kuepuka hayo, ili tupate maendeleo ya kweli
Kakikundi flani kadoogo kanajifanya kuwa na akili sana kiasi cha kudhani wasio na vyeo au wasio madarakani hawana akili na uwezo wa kuongoza nchi hii.😂😂😂
Hayo unayosema yanajulikana, ila kuendesha nchi ni zaidi ya hivyo. Ukiongoza nchi kwa staili yako na Lissu na Shoo, nchi hiyo itavurugika tu. Mnataka tufike kule, ila njia ya kupita ndio shida yenu nawengine walioharibu nchi zao.
Mazehebu mchongo saizi wapo pokea gari maombi ya kibali maombi ya kufukuza uchawi kufundisha ulaiya aahh wao maokoto nitabaki roma Mpaka kama maombi yapo kuamini
Kiongozi wa dini ninani? Tofauti kati ya kiongozi wa dini na mwanasiasa ninini? Tusipo tofautisha kati ya kiongozi wa dini na mwanasiasa aliye jivika kiongozi wa dini Bado hatutatatua tatizo wakati umefika wakuambiana ukweli kwamba wewe Fulani nini Yako niuongo uache, Bado matatizo yataendelea, fr. umeweka wazi Nyerere baba wa taifa alikuwa dini gani na hiyo ndiyo iliyo ya kweli mtu asifunike historia Kwa maslahi yake mwenyewe Kwa kuwanyima watanzania historia hii na hivyo taifa litapoteza mwelekeo.
@@2003hintay Kwa nini tusione furaha, tukionywa?. Sisi wote hapa duniani tunatumia Oxygen ya Mungu ya Bure. Hatupendi sawa. Hata hivyo hekima haina cheo, kabila au wadhifa. Uzuri Raia nao tunatafakari mambo mengi sana. Sio kweli kwamba hatujui chochote. Raia wa Tz tunaheshimu sana Taifa letu. Hivyo ni upumbavu kujitengenezea Uzalendo uchwara. Kupuuza puuza haki za kila mmoja wetu ni wendawazimu.
Hatukuwasikia mkiyasema hayo wakati magufuli alipoua, kutesa na kuwadhulumi watu kwa kiwango cha kutisha. Sasa leo ndiyo mmeyaona. Au kwa sababu Magufuli alikuwa mkatoliki mwenzenu.
@@muharamijuma1569 Ukitaka kujadiliana fanya utafiti, wewe ukuona Juzi Tramph akidai kurudisha bible USA, ukuona wachungaji wakiomwekea mikono hili ashinde. Shida yetu tunakariri bila kujifunza. Wapi kasema sheria za kanisa zitawale nchi hii, au wapi umesikia anasema chama hiki kizuri kuliko kile. Tukubali kuonywa turekebishe mambo yetu. Na si lazima vyama vyetu kujaa chawa tu. Duniani iko mbali sana imetuacha.
@@knight6757 Mwanadamu sisi zote ni mnafsi, kinachotakiwa ni Raia kuwabana kwa anasa watumie Jasho lao. Za umma akigusa atundikwe msalabani. Kufikia lazima kua na kiasi. Mpira, tamthilia, season, uchawa kiasa.
Hata masheikh wangeamka wakawa wanaongea mambo makubwa kama haya ingesaidia sana ila masheikh wetu wao na maulidi usiku na mchana na kuweka midahalo je maulidi inafaa ama ni bidaa
waumini wa dini zote tuko vyama mbalimbali hivyo tunapokuja miskitini au makanisani kusali hatutaki mtuhubirie mambo ya kuipinga serikali au kusupport vyama maana mnatukwaza waumini,nyinyi kama mna mafungamamno na vyama hivyo nendeni kwenye majukwaa ya kisiasa mkapigie kampeni chama chenu.
Asante kwa elimu nzuri unayotupatia Watanzania.
Dr Kitima Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu sana
Father Kitima anatekeleza utume na unabii kwa vitendo.Mungu aendelee kukusimamia.
Hongera sana Daktari,Mwalimu,Padre kwa mafundisho mazuri yametupatia mwanga mkubwa.MUNGU aendelee kukutunza akuhepushe na wote wasiopenda wewe kutoa elimu hii bure kwa jamii.Tulipofika sasa iko gharama katika kusema kweli.
Mwl Dr Padri Kitime tunakusikia Elimu yako imetufikia Sisi watu wa ngazi ya chini ambao ni wengi Mungu akulinde
Well said Father Kitima, God Bless you and your words
Father hakika wewe na Tundu lisu ni hazina ya nchi watu wakweli mno ila watu hawajui barikiwa sana mtu wa kristo
Asante juzi Askofu Mwamalanga amelisemea sana juu ya kibao na akina shoka
KITIMA,yaani sijui mimi nikoje napenda watu kama hawa wapenda haki,Demokrasia,uwazi,Utawala bora na utawala wa sheria.Huyu ni Rasilimali safi ya Taifa.
Tanzania tunahitaji siasa safi, tunahitaji utawala bora, tunahitaji usawa.... Sasa hivi lipo kundi dogo la watanzania ndiyo wanao ishi maisha bora... Sisi wengine TUNAISHI kama kuku wa kienyeji... Tumechoka mpaka nafasi..... Wanakopa Trillions za hela wanazila halafu wanatubebesha deni yani sisi ndo tunalipa... Hii siyo Sawa hata mbele za MUNGU
Mungu akubariki father Kitima,wanasiasa wa maji taka wanalipeleka pabaya Taifa letu
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Siasa ndio maisha ,inapaswa viongozi wote wa dini ambao hawataki kujihusisha na siasa wahumini waondoke kwenye Hilo kanisa ! Hongera farther.
Asante baba kwa mafundisho
Mimi ni Muislam,kwakweli Dr.Kitime unalitendea haki hili Taifa,Mwenyezi Mungu akubariki
Kila mwanavdamu ana haki yakumthamini mwenzie nakumtebdea haki
Hutukumsikia wakati Magufuli alipoyafanya zaidi ya hayo.
@mahyorokalokola4012 Sasa ndio umsikie,anakemea maovu yanayofanywa na CCM pamoja na Serikali yao,Hakemei dini ya mtu
Akisema sana labda kama uliziba maskio@@mahyorokalokola4012
Wewe sio muislamu
Ahsante sana baba safi sana
Umesema vyema sana Father Kitima
Hapo ni sawa wapinzani wote wanatakiwa waungane ili kuitoa hili jinamizi (ccm)
Baba usichoke fanya yako mungu atakuinua tu anayekereka azibe masikio yake huwezi kuwa sawa mtumishi wa mungu kaa mbali waliojaribu kutukana tumewaona wakiaibika
Wengi wetu tunapenda kusikiliza ukweli na sio kuambiwa ukweli ,""",,,,
MUNGU wetu wa mbingu na nchii akulindee sanaaaa maneno yako yamejaaa hakima na busaraa semaa viongozi wetu tamaaaa zimewajaaa mnoo kupita kiasiii nawaalaani kwa jina la yesuuu wote wasiyo itakia memaaa nchi yetu
Asante baba kitima wewe ni chaguo la watanzania ulianza kutupenda wewe kwanza sisi tunafwata kukupenda kiongozi wetu
Mtumishi wa Mungu, watumishi wengi ni mdomoni tu lakini moyoni hamna kitu. Wanawaza pesa tu. Kila siku nawaambia kuwa BENDERA ya Tanzania iliombewa dua huko Dubai, waarabu wakijipiga vifua huku wakupeperusha Bendera yetu! Mimi nafikiri dawa ni MAOMBI tu ndiyo yatayovuruga kila kitu kilichofanyiwa dua. Naamini NENO la Mungu litasimama. Mungu awasaidie. Bila kuomba ni sawa na bure, lakini naamini Mungu wenye ni mwaminifu atasikia maombi yenu.
Father kitima naona kama unakiepuka kikombe hiki.mungu akupe maisha malefu watumishi wangine wanajifanya hamnazo wananufaika na ujinga wa waumini walio sababishiwa na ccm.
Umeamdaliwa pepo yako mungu akubariki
Hata yohana mbatizaji alimuonya herode kwamba si sawa kuoa mke wa ndugu yake.. Kwaiyo kitima sio wanasiasa ni yohana mbatizaji wa enzi zetu watumishi wasio kemea maovu kama hayo ni wala sadaka wachumia vitambi machawa wa chai za ikulu na wafurahia bahasha
Mbogamboga hawawezi kukuelewa. Tena hawatajibu HOJA bali watakushambulia kwa maneno ya kashfa. 😂😂
Mungu akubariki saana asikofu kitima
Fr umefafanua vizuri sana. Hii ndiyo maana hasa ya haki.
Amina
Ben saanane pia ! Uovu unaendelea na watanzania wapo tu
Namshukuru Mungu viongozi wa dini tulikua tunahimiza amani sasa tunahimiza amani na haki na muda sio mrefu tutahikiza amani, haki na upendo . Msingi wa Ustawi na maendeleo endelevu ya wanadamu ni Amani, Upendo na Haki vinginevyo maisha yataendelea kua magumu ya umasikini, ya dhiki ya taabu ya mahangaiko
MUNGU akulinde
Asante Baba, Kuna viongozi wa kidini ambao wao wanawaza kula na Kunya mavi chooni, Hawawazi kingine, Asante Baba
Dr kitima Barikiwa sana
Baba hivi Wana kuelewa kwelii wenzakoo
😂😂😂
Atatoka kwa amri ya mungu😢😢😢😢
Magufuli na Samia ni chukukizo mbele za Mungu
@@AlexChawe Tuna jadili changamoto kwa Ki Rais Samia na Magufuli, Tunapoteza njia. Hao hujui ni zao la kitu kikubwa?. Jambo hilo siku likatanzuliwa uchumi na maisha yetu yatapaa.
Sahihi pair ya marais walioingia kwenye historia mbaya katika nchi hii. Yaani hapo viongozi wanashindwa kutaja tu moja Kwa moja Kwamba Samia na CCM ndio waharibifu
Siasa Ina mahusiano na maisha ya waumini wa dini zote uchumi wao
Amina
Safi sana Fr Dr Kitima
Desmund Tutu South Africa
Alikuwa anatetea ushoga kwahiyo huyu nae anatetea ushoga?
Sauti ya kinabii Rev.Dr. Kitima
Ivi kwel Deusi soka kafa kweli jaman mbona naumiaga sana Mimi jaman
Dr kitima umesahau ? Mauwaji na ukandamizaji umeanza kufanyiwa wa Zanzibari tangu 1995,sasa yanaendelezwa tuu ,tusimame pamoja.
Watanzania tunakatisha Tamaa hatuwezi kudai haki zetu
Farther kwa sasa wabongo ukweli ni dhambi kuwa makini wasikuteke
Viongozi wengine wako kwenye maokoto tu!
Waonga sisi tumejua iro kudai haki nikujitoa kwadamu kama we baba wenzio wanaubilia amani tyu ukiubilia haki utachikiwa kama wanavo kuchukia we apo ila endelea kutupambania mana tupo tunao kuelewa nasisi tunaendelea kualewesha
Leo wamekuja wapumbavu wanafanya upumbavu wanaua watu kwasababu ya tumbo tu pumbavu hawapo kwaajili ya nchi pumbavu
Inauma sana
Fr pongezi kwa mane no yako ekimamungu akubali
Wanaogopa ...pia tunaogopa kusema !!😢
Umedhiilisha ukatoriki baba yet wa kroho mungu akulinde sanaaaa mtetez wa wanyonge bila nyie wanyonge tunaishaaaa mtupambanie tupate katba mpya
Tumemwachia mungu ndiyo kimbilio letu
Wewe ni mtumishi wa mungu aliehai...
❤❤
Nasubili pia kemeo au sauti ya viongozi wa wasabato mbona wapo kimyaa?
Hii ni elimu inayohitajika vichwani mwa raia wa Tanzania
PATDRI MITIMA MUNGU AKUPE MIAKA MINGI YA KUISHI ILI ELIMU HII UNAYOITOA KWA WATANZANIA ILI TAIFA LINUFAIKE.
Kiongozi Wetu Usiwe Unafunguka Sana Watakuteka
Baba Nikija Mjini Nitafikisha Sadaka Yangu
Tunashukur kwakutufundusha siasa ninini watu wamegeuza siasa nivurugu na uhasama
Kwanini kama mna fununu na wauzaji msikutane na viongozi wa juu serikalinini mkalijadiri suala hili maana linazunumzwa tu majukuani lakini hakuna utekelezaji.
Kwa fikra zako tu labda niulize swali dogo ni kiongozi gani wa juu serikalini akiambiwa hayo maneno ya hii hotuba atayapokea kwa moyo mkunjufu na mikono safi yote miwili na kutekeleza japo moja wapo kati ya yote aliyoongea na kuyagawa katika mafungu matatu.?? Kiongozi nani atayapokea haya ukinijibu nitashukuru sana, usitaje jina ata cheo tu au wadhifa unatosha kutaja
Father kitima anaongea bila woga amemuweka Mungu mbele
Kitima anajua sana,ndio maana mccm yanamchukia
Viongozi wa dini msinyamazishwe iwe kwa rushwa ama mabavu ama kejeli. Mkumbuke mnasimama pahala pa Mungu. Msije mkatafuta ya dunia. Simamieni "haki ya Mungu" semeni ukweli ukavikwe taji mbinguni na si duniani. Duniani mtavalishwa taji la miiba msiogope.
🎉🎉🎉
Desmond Tutu alikuwa askofu na alikuwa mwanasiasa mashuhuri wa south Africa na alipata heshima kubwa ....Je utatenganishaje dini na siasa Kwa vipi???
Hujawahi kuniangusha safi kabisa
Siasa ni mchezo safi
Ni wakati muafaka sasa wa Tanzania kujiunga na OIC na pia mahakama ya kadhi kuanzishwa maana mshasema kuwa siasa na dini sio vibaya kuchanganywa
Harafu chizi mmoja anaropoka kama anajiharishia eti viongozi wa dini wasijihusishe na siasa hizo shule za dini zilikuwa zake
Kuna Shehe alimshambulia kweli kweli sijui alikuwa amepokea nini huko.😢
Msikubali kuitwa itwa kubariki yasiyo ktk maadili yenu. Mkivikwa taji hapa duniani mjue ni taji la miiba! Semeni ukweli na kudai haki ya Mungu mkasubiri taji lenu mbinguni.
Baba askofu karibia viongozi wote wa dini wametukelekeza baba umebaki wewe tu ndo umebaki.ila ombi langu kwako najua soka hajafa bado nakuomba kwa Jina la yesu andikeni barua kwa rais kwenda kumuona na mkimuona mkamuombe awambie wale askari wake wawaachie wale ndugu zetu.Mungu afanye muipate hili andiko
CCM wanatangaza amani uku wameficha MAPANGA.
Tuliambiwa nendeni mkazae mkaongezeke mkaitawale dunia. Hakusema wanasiasa mkawatawale wanadamu. Wanasiasa walijue hilo hawana haki kuzuia wanadamu wengine kuhoji haki zao msingi. Tuheshimiane nyie wanasiasa.
Anzisha chama cha siasa acha kelele;unamfundisha nani, wewe ni wakaisari ,Warumi ndo zenu msituletee mliyoyafanya Rwanda
Dr Kitima, watu wako katika harakati ya kushinda tu, kwasababu lengo ni kupata haki. Isipoondoka CCM haki tutaipata wapi? Hatuwezi ongelea jingine japo yapo mengi kazi ni Moja tu, kufa mtu, CCM itokee.
Nimekuelewa, hivi anaegusa uhuru wa kisiasa na tunaetakiwa kupiga nae ni nan?
SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA
MWAMBIE KITIMA AOWE MARIA WAMEJAA MTAANI 😢😢😢😢😢😢DP WORLD IMEZIBA MRIJA WAGALATIA NI KULIA 😅😅😅😅😅
Injili na Siasa ni sawa na mafuta na maji. Haohao wanasiasa ndiyo walomsulibisha Yesu msalabani. Hapo hatukuelewi. Kitima wewe kagombee jimbo Singida
Peleka upumbavu wako
@@godfreymasele8853 Ujui Kwamba kuna Theologia ya Ukombozi?. Tatizo letu moja ni kutaka kuwafungia taifa lote kwenye chumba moja ya fikra. Ukweli huko wazi hatuwezi kujenga utamaduni wa kupotezana na kuua, kutesana ovyo na kikatili Taifa likabaki salama. Mwl udikteta hua si utawala mbaya, ila mbinu unazotumia kutawala hua zinaumaliza utawala wa kidikteta. Haki hisipo tawala kila kwenye tunachofanya amani hawezi kuwepo. Ni Imani yetu kwamba Haki iwepo tangia Familia Hadi Ikulu yetu. Hizi tabia kupotezana ni Kinyume na Uzalendo. Bible inasema kwamba Bwana anakuja Toka pahali pake, ili kuja kumwadhibu wakao Duniani kwa uovu wao. Tabia za Kimungu ni za ajabu sana. Kati yetu wote. Wapo Simba Watu. Je siku Mungu akawainua tena tutajificha wapi?. Wakati ni Wa Mungu si binadamu.
Waliomsulubisha Yesu ni Makuhani, Mafarisayo na Waandishi kwa kumshinikiza Pilato. Kasome upya biblia.
@@godfreymasele8853 Hali yetu halisi tz ikoje? Hiyo ndiyo hoja msingi, Tabia ya kukimbia hoja ni dalili mfirisi. Tujadili yanayotusibu leo, na namna ya kuepuka hayo, ili tupate maendeleo ya kweli
@@simonnjovu586 kweli kabisa mkuu
Kakikundi flani kadoogo kanajifanya kuwa na akili sana kiasi cha kudhani wasio na vyeo au wasio madarakani hawana akili na uwezo wa kuongoza nchi hii.😂😂😂
Hayo unayosema yanajulikana, ila kuendesha nchi ni zaidi ya hivyo. Ukiongoza nchi kwa staili yako na Lissu na Shoo, nchi hiyo itavurugika tu. Mnataka tufike kule, ila njia ya kupita ndio shida yenu nawengine walioharibu nchi zao.
Wewe chuki tu. Tundulisu lisu Hana kosa kama CCM wazuri walivyo hawana kosa. Hatutaki ujambazi. Ujuzi wa kutawala Mungu kawapa wengi.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mazehebu mchongo saizi wapo pokea gari maombi ya kibali maombi ya kufukuza uchawi kufundisha ulaiya aahh wao maokoto nitabaki roma Mpaka kama maombi yapo kuamini
Wewe nizaidi ya ya raisi ivi hawa watawa huwa wanaenda wapi kujifunza hii ni elimiu ya bule kuwa mtawala sio kwamba unaju yote mjifunze nyie watawala
Father Kitims
Kiongozi wa dini ninani? Tofauti kati ya kiongozi wa dini na mwanasiasa ninini? Tusipo tofautisha kati ya kiongozi wa dini na mwanasiasa aliye jivika kiongozi wa dini Bado hatutatatua tatizo wakati umefika wakuambiana ukweli kwamba wewe Fulani nini Yako niuongo uache, Bado matatizo yataendelea, fr. umeweka wazi Nyerere baba wa taifa alikuwa dini gani na hiyo ndiyo iliyo ya kweli mtu asifunike historia Kwa maslahi yake mwenyewe Kwa kuwanyima watanzania historia hii na hivyo taifa litapoteza mwelekeo.
Huyu ni mwanasiasa mpinzani kwa vazi la uaskofu
HUYU YUKO BADO NA HOMA YA BANDARI 😢😢😢😢😢😢DP WORLD WAMEFUNGA MIRIJA
@@OmmyJames-xn7jikwa nini isiwe Dp world ndio wamebeba mirija. Sikiliza toa Mazuri mabaya uache.
Huyu sio Mpinzani, huyu ni CCM. Anaongelea Amani na Uhuru. Na CCM tunasema hivyo hivyo! Hatutaki fujo😅
@1961nungwi huyu mpinzani bana tunamsikia sana tokea bandari ilipopewa dp world huyu ni mpinzani mweye vazi la uaskofu
@@maase2023 kuwa na mawazo tofauti hakumfanyi awe Mpinzani. Hatuwezi kuwa na mawazo sawa wote
Tupe ushahidi acha unafiki
Ww ndio mnafki wa kwanza
@@2003hintay Kwa nini tusione furaha, tukionywa?. Sisi wote hapa duniani tunatumia Oxygen ya Mungu ya Bure. Hatupendi sawa. Hata hivyo hekima haina cheo, kabila au wadhifa. Uzuri Raia nao tunatafakari mambo mengi sana. Sio kweli kwamba hatujui chochote. Raia wa Tz tunaheshimu sana Taifa letu. Hivyo ni upumbavu kujitengenezea Uzalendo uchwara. Kupuuza puuza haki za kila mmoja wetu ni wendawazimu.
Atakaye tuma comment ya kutukana naomba mniamby tukamahughulikie make wiki hii ni ya tokomeza ujinga fuata haki
Hatukuwasikia mkiyasema hayo wakati magufuli alipoua, kutesa na kuwadhulumi watu kwa kiwango cha kutisha. Sasa leo ndiyo mmeyaona. Au kwa sababu Magufuli alikuwa mkatoliki mwenzenu.
Kweli kabisa, wamejifunza,
Ukiona mtu anakula nyama ya Mtu na wewe Unakula?. Upuuzi ni upuuzi haijarishi anatenda nani
Muongo Mkubwa Mbona MÀRÈKANÌ Wamefañya Uchaguźi Hatùkuwasikia viongozi wa Dini
Huwezi sikia viongozi wa dini marekani Kwasababu uchaguzi wao niwahaki
Wewe kuma kweli. Yaani unalinganisha Marekani na Tz ?😂😂
Wew toa udini hapa
Yaan wewe sifuri kabisa, kwahiyo hujui sababu ya viongozi WA dini kusikika? Mambo yangekuwa vizr wasingesikika, Kuna sehem hapako vizr tz hii
@@muharamijuma1569 Ukitaka kujadiliana fanya utafiti, wewe ukuona Juzi Tramph akidai kurudisha bible USA, ukuona wachungaji wakiomwekea mikono hili ashinde. Shida yetu tunakariri bila kujifunza. Wapi kasema sheria za kanisa zitawale nchi hii, au wapi umesikia anasema chama hiki kizuri kuliko kile. Tukubali kuonywa turekebishe mambo yetu. Na si lazima vyama vyetu kujaa chawa tu. Duniani iko mbali sana imetuacha.
Nathehebu yote yaungane kukemea yasiyofaa
padre kagombee maana hiyo kazi yako haikufai tena,hakuna namna utaweza kushawishi wakatoliki wote kuwa chadema.
Umesikia wap akitaja jina la chama kama sio uchama unakusumbua na ukijumlisha na hilo jina lako kwa m2 mwenye akili anatambua ulivyo.
@@romanilyimoudini ndo inamsumbua maana uislamu ni dini ya shetani
Si kosa lako, uwezo wako wa uelewa ndiyo shida.
Siasa sio mchezo kama unaona poa kagombee singida uone
Nadhani anasa na utajiri ndie sababu ya wachache hawataki kuziacha madaraka kabisa!😞
@@knight6757 Mwanadamu sisi zote ni mnafsi, kinachotakiwa ni Raia kuwabana kwa anasa watumie Jasho lao. Za umma akigusa atundikwe msalabani. Kufikia lazima kua na kiasi. Mpira, tamthilia, season, uchawa kiasa.
toa na mfano wa lissu aliyeshambuliwa kipindi cha magu au hayo hayakuwa maovu au hayana mafungamano ya kisiasa ? wewe mnafiki.
Hata masheikh wangeamka wakawa wanaongea mambo makubwa kama haya ingesaidia sana ila masheikh wetu wao na maulidi usiku na mchana na kuweka midahalo je maulidi inafaa ama ni bidaa
Usichanganye siasa na dini tatizo lako kitima ni uchadema mwingi