HUYU NDIYE ANAYETUMIKA NA WATU WA SIMBA KAMA MSHAURI,KWELI WAANDISHI MPIRA HAMJUI NA MNGAECHA KUWA MNATOA MAONI,UNADHANI MPIRA NI KUKIMBIZANA,WEWE TIMU ZOTE HAPA ZIKICHEZA NA YANGA ZINAJITAHIDI KUCHEZA KWA MAKINI,MY DEAR SALEHE SOMA ALAMA ZA NYAKATI YANGA KAMA ALY AHLY NA CLUB BINGWA MISIMU MINNE WANACHEZA OVYO BT WNAKUWA MABINGWA MALA TATU,MPIRA SIYO PUSHINGI BT ONLY MUWE BORA TU KWA MATUKIO MUHIMU YA UWANJANI. B
Ahead bado, huo ndio ukweli, Faisal bado ni muhimu sana
Kweli Hii yanga si ile ya NABI
mbona mna zero comment mpaka mm ndo nicomment, c mnipe zawadi
Huyu jamaa hajawahi kuisifu Yanga. Ni mwenye wivu iliokubuhu
Salehe jembe huna jipya wewe unazidisha ushabiki
Tunakujua wewe ni simba hivyo acha ushabiki , mbona wamemaliza mpaka mechi 8 acha ushabiki