@@MagangaAbdallah siyo kweli brother,Iran imenenga military sides na imefaanikiwa kikubwa sana,ayijanenga makazi ya watu....ndiyomana unaona Tel Aviv ipo clean
Israel ni taifa dhaifu sana nguvu yake inatokana na USA. NB: USA ikijiondoa kuilinda Israel bac taifa hilo hata mwez haupiti litafutwa kwenye uso wa dunia.
@@salumualoyce5620 Engineer wa USA ni Myahudi. Aliwaua Waarabu 1948. Iran Alirusha makombora jana Yote yamedakwa na lron dome. Akili nyingi sana hao jamaa.
@@MagangaAbdallah yamedakwa na Iron Dome gan wewe acha ushabiki maandazi 😂😂😂. Israel yote inawaka moto halafu ww unasema Iron Dome imeyatungua?😂😂😂 NB: USA ikijiondoa kuilinda Israel bac taifa hilo hata mwez haupiti litafutwa kwenye uso wa dunia.
ukiona unasaidiwa Yan watu wanakulinda ujue WEWE NI MHIMU SANA, ila ukiona wakat washida watu wanakuacha pekee ako jua huna umuhimu. Ko apo jiongeze tu ktk kufikil
@@georgedomician5964 umuhimu wake ni kwamba USA analitumia taifa la Israel kujilinda dhid ya mataifa ya kiarabu pale mashariki ya kati na si vinginevyo. USA ana ushirika na mataifa mengi tu lkn ushirika wake ni wakimkakati. Kwa mfano Ukraine unafikir analisaidia lile taifa kwasababu gani? Ni kwasababu anataka kumdhibiti Urusi, so umuhimu uliopo ni wamarekani wanataka kujiongezea nguvu na kuendelea kutawala dunia ndo wanatumia mataifa kama Israel. Labda kama ww unaona kuna umuhimu wowote tofaut na huo ebu niambie?
@@lusajomwaipopo5042 watu wengine wabishi. Sana,siku huwaga wanaangaliaga BBC na dww,hao wanapangiwaga taarifa za kusema na hao magharibi mashoga,utasikia kesho watakacho sema
yangu macho tu naona udini unatawala humu, Iran for Muslims na Israel for Christians ndio comment nyingi zimejaa humu ila hii ni vita ya kiuchumi si ya kidini ndio maana Iran yupo na Putin na Israel yupo na Biden. Angalizo tu Kuna watu wanadhani dini zinapigana hapo hao me nawaita wasiojua chochote . Ngoja tuone mwisho wa yote haya ila Mungu baba atuepushe na vita.
Ubarikiwe sana ndugu yangu..Mimi nishaliona hilo ndio mana sishangilii popote zaidi vita iishe..ila kunavichwa vya Panzi humu wanatokwa mapovu utazani wanambio na nguvu kijeshi😂😂😂
@@wilfredmlaki822Wewe ndiye mpumbavu wa kupindukia , huelew kabisa kwamba hao mashoga unaowakumbatia ndio wachokozi wanaokalia ardhi za watu kwa mabavu wakipewa nguvu na Baba yao Marekani
Ila jamani mi najiuliza Iran Wana tuektia haiingii akilini , fikiria USA Wanasema Iran itashambulia alafu , na wenyewe wanakuja kushambulia siku hiyohiyo watu wanajipanga kuzuia.. Israel sipendi wanavyo Fanya ila wapi real..hawana blabla..
Sawa hivi ni wakati muafaka kwa Iran kuipiga Israel. Kwa sababu marekani na Israel wamepagawa na kuzidiwa kwa vita vya Ukraine na gaza na Lebanon na wa houth
Sasa watu wa mangaribi wasi wasi wenu ni nini.... Si Ata nyinyi mumeanza kutuma wanajeshi 😅😅😅😅.... Halafu sns tupe hii Habari, wale wanajeshi wa idf walioko mpakani wa Lebanon, wameshambuliwa tayari mpaka wameanza kurudi nyuma tayari 😅😅😅
Israel anajeuri kwa kujua mmarekani yupo nyuma yake na ndie mpanga mipango yote na waziri mkuu wa Israel haitoitea gaidi never na mmarekani juu ya yote yanayoendelea mmarekani na Israel lao Moja ni ngumu kuona Israel Inapigwa na ikitokea Ivo basi kutaibuka vita ambayo haijawahi kushuhudiwa
@@celifpower4993 Kwa aibu zilitokea katika miezi hii 2 ilio pita mie nakosa hata cha kuongea. Hawawezi uwawa viongozi wakubwa wakubwa kizembe vile bila ya kuwa na mkono wa msaliti ndani yao tena kwa kiasi kikubwa.
Israel ilijua kama Iran itashsmbulia, ila bora waache wapigane wenyewe esriel isipate msaada wowote kutoka USA na iran isipate msaada wowote kutoka urusi, wapigane wao kama wao Tu, halafu tuone kama amani haitokuja
waarabu hawana akili wachokozi vita hawawezi yaani unapigana vita ukiwa umejificha ndani ya raia ulinzi wa anga huna yaani watauliwa sana hawa akili zao ndogo sana
Huwezi kupigana na taifa la Mungu ukashinda pharaoh hakuelewa hiki herode hakuelewa Hitler hakuelewa hiki mwishowe walishindwa Israel ni taifa la Mungu hautaelewa saiv utaelewa mbeleni
@@IsmailIbrahim-m6o wewe ni mjinga sana kumbuka hamas ndio chanzo cha hivi vita.Udini udini tu! Walipouwa wa Israel 1200 ndio vita vikaanza! Ujinga ujinga tu.
@@salumualoyce5620 nimesema hio ni phase 1, hatua za mwanzo, kadri mda unavozid kwenda ndivyo allied forces (washirika wa kivita) wanavoongezeka Try to understand this world wars km umesoma historia huwa hazianz t hovyo hovyo et mataifa yote yanapigana nop...inaanza na nchi chache t then bdae Kila nchi inapata sapot kwa washirika wake Tafuta maaarifa ndug
Huwezi kupigana na taifa la Mungu ukashinda pharaoh alijaribu herode alijaribu Hitler alijaribu lakn mwishowe walishindwa Israel mziki wake mtaujua tu watu hawaelewi
Mjomba sikuelewi Bado unatudanganya tuu makombora yote yametunguliwa aslimia99 na vile viwanja5 Vya ndege vimefanywa kitu mbaya vilipigwa, kipigo Cha mbwa coko hamtangazi abari za kweli mmeshakuwa kama BBC na ddw vyombo Vya habari Vya mashoga
Hiyo alizungumzia shambulio lililofanywa na Iran mwez April 2024 lkn shambulio la leo 1 october 80% yamegusa ardhi ya Israel na mfumo wao wa ulinzi wa anga wa Iron Dome umefeli kuyatungua.
Ss mbona marekani nao wanaingia hapo .yan wanafny israel isionekan kam inawz kupelelez habar kutoka iran.aah marekani wanazngua san kutoa taarifa hzo.sema hii vita inazngua maan hatuto panda magari.ila ulaya lazima wafilisike maan sio kwa vita hv
Uyu Neta paka mshenzi Sana alafu jeuli
Hpa ndo naelewa kwann mwenyezimungu aliumba jehannam
Mashariki y kati sio salama tena
Waarabu hawana umoja ndo maana Israel inakua na jeuri sana
Iran sio muarabu ni m persia
Jeuri ya Israel ni Marekani.
Tyr washambuliwa bobu tena masaruh matatu
@@hamisisalum6116 kabisa
Sio sababu Israel ni taifa la Mungu
Ni faya Iran baba lao
Soon Dola la kiislamu Iran linakwenda kuanguka
@@raymrash utaota sana ndoto za kifreemason.. jidanganye
Safi sana waungane kuteketeza magaid wa isarael
Iyshambulie mara ngapi TelAviv unawaka Moto mda huu irani wanepiga vibaya mno mda huu
😂😂😂 huo moto ni wewe tu unaona au? Watu mnachukulia mambo kirahisi sana
Asilimia 99 yamedakwa na mfumo Iron dome
@@emmadora7848 kumbe kwani netanyau anasemaje kuhusu kichapo kinachoendele
@@MagangaAbdallah kumbe kwani netanyau anasemaje kuhusu kichapo kinachoendele
@@MagangaAbdallah siyo kweli brother,Iran imenenga military sides na imefaanikiwa kikubwa sana,ayijanenga makazi ya watu....ndiyomana unaona Tel Aviv ipo clean
number one
Israel ni taifa dhaifu sana nguvu yake inatokana na USA.
NB: USA ikijiondoa kuilinda Israel bac taifa hilo hata mwez haupiti litafutwa kwenye uso wa dunia.
@@salumualoyce5620 hamas na hwzbullah ni dhaifu sana nguvu zao wanatoa iran
@@salumualoyce5620 Engineer wa USA ni Myahudi. Aliwaua Waarabu 1948. Iran Alirusha makombora jana Yote yamedakwa na lron dome. Akili nyingi sana hao jamaa.
@@MagangaAbdallah yamedakwa na Iron Dome gan wewe acha ushabiki maandazi 😂😂😂.
Israel yote inawaka moto halafu ww unasema Iron Dome imeyatungua?😂😂😂
NB: USA ikijiondoa kuilinda Israel bac taifa hilo hata mwez haupiti litafutwa kwenye uso wa dunia.
ukiona unasaidiwa Yan watu wanakulinda ujue WEWE NI MHIMU SANA, ila ukiona wakat washida watu wanakuacha pekee ako jua huna umuhimu. Ko apo jiongeze tu ktk kufikil
@@georgedomician5964 umuhimu wake ni kwamba USA analitumia taifa la Israel kujilinda dhid ya mataifa ya kiarabu pale mashariki ya kati na si vinginevyo.
USA ana ushirika na mataifa mengi tu lkn ushirika wake ni wakimkakati.
Kwa mfano Ukraine unafikir analisaidia lile taifa kwasababu gani? Ni kwasababu anataka kumdhibiti Urusi, so umuhimu uliopo ni wamarekani wanataka kujiongezea nguvu na kuendelea kutawala dunia ndo wanatumia mataifa kama Israel.
Labda kama ww unaona kuna umuhimu wowote tofaut na huo ebu niambie?
Dj smaa njoo utupe nws za uhakika
😂😂😂 Raaah sana wengine sisi vita ndio kilevi chetu wacha watwangane tujue nani ni nani✍🏽
@@EmanuelMkongwi hapo ndo unyama wacha tulewe
Israel naomba ichakazwe na kuteketezwa katika mgongo wa ardhi
Yaani Israel siipendi mno
Hata mimi yani hawa mayahudi siwapendi , waharibifu mno
Sababu ya kutowapenda ni nini!?
Iran dondosha chombo hiyo watajua wenyewe wapelekeee
Oya nataman ningekuwa Naiyo remote ya boom
@@khadhiriramadhan5984 wallah ukawadondoshea tu wakahangaika nalo
Tayari wanainyeshea TELAAVIV
Huwezi kupigana na taifa la Mungu ukashinda pharaoh alijaribu herode alijaribu Hitler alijaribu lakn mwishowe walishindwa
@@ephraimwadaudi2867 umesomea wapi history pharaohs walitiya utumwani waisilaeli Iran( Persia) waliwatawala paka pharaoh wa Egypt njoo akawasaidia kuwa unasoma vizuri
@@ephraimwadaudi2867hakuna taifa teule ambalo USHOGA na mapenzi ya jinsia Moja ni haki inayolindwa kwa sheria 🚮
@@ephraimwadaudi2867Taifa Gani la shetani?
@@qilil7 Elewa Vizuri Mfumo wa lron dome Ni kweli Iran anarusha makombora mengi lakini yanadakwa yote.
Nipo live aljazeera.mvua ya mabomu inamiminika israel. Mungu ibariki irani Allah awatie nguvu waitandike sawasawa israel
😂😂😂😂 eti mvua ya mabomu ,we unajua mvua ya mabomu kweli au?
Sawa hamchelewi kusema mnaonewa mvua ya mawe ikiinza kuwanyeshea
Sawa hamchelewi kusema mnaonewa mvua ya mawe ikiinza kuwanyeshea
@@lusajomwaipopo5042 soon utawasikia wakilialia hapa
@@lusajomwaipopo5042 watu wengine wabishi. Sana,siku huwaga wanaangaliaga BBC na dww,hao wanapangiwaga taarifa za kusema na hao magharibi mashoga,utasikia kesho watakacho sema
yangu macho tu naona udini unatawala humu, Iran for Muslims na Israel for Christians ndio comment nyingi zimejaa humu ila hii ni vita ya kiuchumi si ya kidini ndio maana Iran yupo na Putin na Israel yupo na Biden. Angalizo tu Kuna watu wanadhani dini zinapigana hapo hao me nawaita wasiojua chochote . Ngoja tuone mwisho wa yote haya ila Mungu baba atuepushe na vita.
Ubarikiwe sana ndugu yangu..Mimi nishaliona hilo ndio mana sishangilii popote zaidi vita iishe..ila kunavichwa vya Panzi humu wanatokwa mapovu utazani wanambio na nguvu kijeshi😂😂😂
@@EstarMichaelizlael amna wakristo acha ulofaa ww ao wayaud na uislam
@@EstarMichaeltena waislam wachache sana wakristo amna kabisaaa na biblia ailuusiwi kwenye nchi iyoo kwanza sio nchii
Tayar kimesha umana 😁😂😂😂Allah Akbar
🤐🤐🤐
Alafu ngapi zilipiga targets?😂😂
@@moshantoj kwa macho yang bila kuambiwa zilikuwa kama 20 na kitu
@@AFRICA_D669 Nasema kupiga mahali muhimu kama manyumba siyo ardhi
@@moshantoj ndo hzo, majumba zaidi ya mia moja na kwa Madai ya media za Israel
Marekan kapeleka wanajesh 40000 israel kwa kuhofia shoga wake ataumizwa vbaya
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Yaani wewe ni mpumbavu sana! Yaani mnaichokoza Israel alafu unategemea haitajibu?
Tangu mmeanza kusema ataumizwa ,ninyi ndio mmeumizwa vibaya kupita maelezo
@@wilfredmlaki822Wewe ndiye mpumbavu wa kupindukia , huelew kabisa kwamba hao mashoga unaowakumbatia ndio wachokozi wanaokalia ardhi za watu kwa mabavu wakipewa nguvu na Baba yao Marekani
Waiting bad reckoning
Sasa kwann marekani inawakataza wO siwanawasadia😂😂😂
Ila jamani mi najiuliza Iran Wana tuektia haiingii akilini , fikiria USA Wanasema Iran itashambulia alafu , na wenyewe wanakuja kushambulia siku hiyohiyo watu wanajipanga kuzuia.. Israel sipendi wanavyo Fanya ila wapi real..hawana blabla..
MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA
Mjinga sana we🌈🍆🕧
Mungu huwa habariki mashetani.
Miee naogopa sana IRAN KUICHOKOZA ISRAEL JAMANIII ILA WAARABU WAMEFURAHI SANA 😢
Acheni uzushi handishi wa habari that time hakuna makombora yaliyo zuwiliwa kwa 99% ni upuuzi mtupu maana uharibifu ulifanyika mkubwa tu.
Waongo hawa wamepigwa masarouh matatu hta makazi wameondoka wengine
tuoneshe huo uharibifu
Waarabu mashoga waoga sana baada wawasaidie wenzao kimya wana pesa kibao ila waoga mashoga tu aise
Irani haiwezi kufanya mashambulizi mda huu mpaka vita ya UKREIN NA URUSI
Sawa hivi ni wakati muafaka kwa Iran kuipiga Israel. Kwa sababu marekani na Israel wamepagawa na kuzidiwa kwa vita vya Ukraine na gaza na Lebanon na wa houth
@@hassanthabit3726big up💪
Wameshaanza kuishambulia muda huu
Mi nipo Jordan kwenye anga ya Jordan kumechafuka kwa makombora muda hu nipo nashuhudia
Polen Sana Kaka@@لناعه
Mashoga wacha wakione mana wana mughalibisha ghadhabu kubwa. Allah
Sasa watu wa mangaribi wasi wasi wenu ni nini.... Si Ata nyinyi mumeanza kutuma wanajeshi 😅😅😅😅.... Halafu sns tupe hii Habari, wale wanajeshi wa idf walioko mpakani wa Lebanon, wameshambuliwa tayari mpaka wameanza kurudi nyuma tayari 😅😅😅
Unacheka kama boya nenda kasikilize hotuba ya waziri wa mambo ya nje wa urusi kuhusu utuba yake iran anaingizwa mtegoni kimia kimia
SISI TUPO KIMIA TU
Halfu kuna hbari za upande wa izraeli nying hazisemi sijui kwann
Israel anajeuri kwa kujua mmarekani yupo nyuma yake na ndie mpanga mipango yote na waziri mkuu wa Israel haitoitea gaidi never na mmarekani juu ya yote yanayoendelea mmarekani na Israel lao Moja ni ngumu kuona Israel Inapigwa na ikitokea Ivo basi kutaibuka vita ambayo haijawahi kushuhudiwa
Hesbolla, Hamas ,wote wana chokochoko Kwa kujua nchi za kiislamu zitawasaidia ,sema nchi nyingi za kiislamu now wameachana na ushamba
Iran wajichunguze sana Mossad wanao hadi ndani ya bunge lao.
Kama vile unawajua
@@celifpower4993
Kwa aibu zilitokea katika miezi hii 2 ilio pita mie nakosa hata cha kuongea.
Hawawezi uwawa viongozi wakubwa wakubwa kizembe vile bila ya kuwa na mkono wa msaliti ndani yao tena kwa kiasi kikubwa.
Nakubali
@@aliabdallah4233kaangalie wametoka mpk majumban mwao wameeka vijumba kma ghaza
Mossad akuna kitu msaada ni marekani ndo anamuunga mkono.
Washambuliye tu mbona wao wanatuma silahaa
Hawawez hao iran watanyolewa ndevu kwa mabom...
Litadakwa na Iron domes
Muajemi piga tu hao mashoga
Shoda n ww
😂😂😂 kufika alhamisi mtaskia kelele pray for iran
Unaota ww sio wanamgambo hao
Iran sio wagambo
Tulia hivyo hivyo utauona mzik wa Iran ..
@@AyoubAbdullrahmanAmirbora mwambie hamjuwi iran huyu. America mwenye ana muogopa iran😅
Duh huna kitu unachokijua
Tayari wameshafanya.
Yani bora dunia ichafuke tu.. huyu shetani marekani ndiye sababu..
Very soon msianze kusema pray for iran u uselessness
@@mansoursiulapwa8624 tena shetani bilisi sana mgombanishi sana
Israel ilijua kama Iran itashsmbulia, ila bora waache wapigane wenyewe esriel isipate msaada wowote kutoka USA na iran isipate msaada wowote kutoka urusi, wapigane wao kama wao Tu, halafu tuone kama amani haitokuja
@@kassimbayuu lran hawana Mfumo wa lron dome watakufa sana tena sana Teknologia dhaifu
Hili kombola litarudi irani
Hadi huku kwenye coment kuna vita 😂😂
😂😂
Yaaaan Hadi nime cheka
😅😅
😂😂😂😂😂😂Yani wacha tu utadhani ni vita vya Israel and Lebanon
N kweli na viona vita
Kama Gaza tu ni kamkoa ndan ya nchi ya parestine je atawwza kupambana na iran yan bila msaada wa marekan israel hana ubavu
Israel msiidharau inavijua vita na ina makombora tusubiri tuone vikitifuana
Hahahaha,chezea israel,taifa lingine
Israel ingesimama pekeake ingekua ishaoza
Hakuna Taifa linalo simama peke yake huo ni uongo!
Israel ilikwepo peke yake hata kabla ya taifa la Marekani kuwepo
Wapige waache maneno mengi
Kama wakishshambuliwa na Israel ikajibu mapigo msikimbie kukomemti maana kichapo kinawahusu
Acha ushoga ww hapo atajibu israel ama us anae wafiraga....?😂😂😂😂
@@boscomakala.3923 wewe unamsaidia shetani kwa kutangaza ushoga hilo ndilo limekujaa moyoni, dawa yake ni kutubu na kuiminii injili ya Yesu kristo
Mambo yameanza usiku huu
waarabu hawana akili wachokozi vita hawawezi yaani unapigana vita ukiwa umejificha ndani ya raia ulinzi wa anga huna yaani watauliwa sana hawa akili zao ndogo sana
Wapige tu mashoga hao
Hakuna mtu anayesimama peke yake dunia hii hata urusi Ana watu wanamuunga mkono
Iran tondosheni nyuky mbili apo Israel wanawauwa Gaza kila siku
Huwezi kupigana na taifa la Mungu ukashinda pharaoh hakuelewa hiki herode hakuelewa Hitler hakuelewa hiki mwishowe walishindwa Israel ni taifa la Mungu hautaelewa saiv utaelewa mbeleni
@@IsmailIbrahim-m6o wewe ni mjinga sana kumbuka hamas ndio chanzo cha hivi vita.Udini udini tu! Walipouwa wa Israel 1200 ndio vita vikaanza! Ujinga ujinga tu.
Kuna watanzania wanashabikia hizi vita kwa sababu za kidin
Ila hawajui kua hii ni world war WW3 PHASE 1 hapa ndo imeanza....
Hakuna cha World War hapo unafikir Tanzania itatoa majeshi yake kwenda kupigania upande wowote ule hapo?
@@salumualoyce5620 nimesema hio ni phase 1, hatua za mwanzo, kadri mda unavozid kwenda ndivyo allied forces (washirika wa kivita) wanavoongezeka
Try to understand this world wars km umesoma historia huwa hazianz t hovyo hovyo et mataifa yote yanapigana nop...inaanza na nchi chache t then bdae Kila nchi inapata sapot kwa washirika wake
Tafuta maaarifa ndug
Yaani hakuna watu wasiokuwa na akili kama waislamu....mnachokoza moto..ukianza kuwachoma mnaanza kulalamika
Ndo washaipiga sasa tuone 😂😂
Kimeuma uko katuleteye habari israel inapigwa na iran
Huwezi kupigana na taifa la Mungu ukashinda pharaoh alijaribu herode alijaribu Hitler alijaribu lakn mwishowe walishindwa Israel mziki wake mtaujua tu watu hawaelewi
Kila m1 ajitegemee tuone nan bingwa
Mashoga Hao iran iwazibie mafuta watajuta
@Zuhuranadadoita wana visima 28 kusimi mwa west bank kuwa na proof za taarifa Sahihi utachekwa na Watu.
@@Zuhuranadadoita wanaakiba miaka200 Myahudi Akili nyingi sana Ona Anavyoua viongozi wa ugaidi.
@@MagangaAbdallah kashapanda bei jitekenyeni hapo😂😂😂😂tulie wapingane nyio nao wakutetea ya kwenu yanawashinda
@@MagangaAbdallah mafuta yashapanda bei hatuongelei visima unaongelea yanapopita kwenda kwa Hao mashoga wenzio
MKafiri ndy mkubali America ni Baba wa Dunia 😅😅 anatoa tarifa mapema na kwl kitu kinafanyika 😅 ila marabu meusi yalivyo mabishi
Marekani mashoga
israel anakulaa kipigo ndani ya jerusalem😂😂😂
Shida marekani ilijuaje ..na yametokea hivyo hivyo ila Beirut wasipo kuwa makini ..itakuwa kama gaza ni makombora tu..usiku kucha
Mbona marekani wajinga hao hawajaonya Israel kuuwa watu Gaza na liban.Iran sambalatisha hao mashoga
Shoga ni waarabu
Wanajitukana wenenyew shoga waarabu wanao firana kutwa kunuka poleni
Mjomba sikuelewi Bado unatudanganya tuu makombora yote yametunguliwa aslimia99 na vile viwanja5 Vya ndege vimefanywa kitu mbaya vilipigwa, kipigo Cha mbwa coko hamtangazi abari za kweli mmeshakuwa kama BBC na ddw vyombo Vya habari Vya mashoga
Wewe umepata wapi hizo habari? Fungua chanel yako tuje tuone
@@MarckMasaki shida yako ni kuamini habari za bloggers wakiislamu 😂😂
Hadi huruma 😂😂😂😂nyie watu
Wanalipwa mshahara na Israel hawa na ndomana wanaficha baadhi ya taarifa ila Dj smaa Atatupatia ukweli
Hiyo alizungumzia shambulio lililofanywa na Iran mwez April 2024 lkn shambulio la leo 1 october 80% yamegusa ardhi ya Israel na mfumo wao wa ulinzi wa anga wa Iron Dome umefeli kuyatungua.
Nyie mnacheza na israel akikasirika huyo hapo mashariki watu watatafutana balaa Lake huyo haangalii anateremsha hata ghorofa la shule ya wakimbizi
Wajielewa unachoongea dogo Mbwa tuh kama umbwa wengine tuh wewe hujui haki Wala batil😢 "Miskinul Ummah"
Alaf mseme ndio taifa la Mungu dah hatari sana
@@ekimnkande2873 we ngoja tu hawaijui Israeli vizur wataijua mda c mrefu
Israeli imepata aibu ya mwaka haitokaa irudie kosa imekoma 😂😂 propaganda zimefeli oohh irone dome
IRAN NDIO MWANAUME WAO NA NGUZO YA ISRAEL NDO WAKATI WA KUANGUKA SASA
Ss mbona marekani nao wanaingia hapo
.yan wanafny israel isionekan kam inawz kupelelez habar kutoka iran.aah marekani wanazngua san kutoa taarifa hzo.sema hii vita inazngua maan hatuto panda magari.ila ulaya lazima wafilisike maan sio kwa vita hv