🤔😳 Duh dogo na kuteseka kote huko kufukua makaburi kutembea na mimavi, mwisho wa siku unaishia kwenda kutafuta mjengo wako kituo cha polisi😳😳 kweli shetani hana adabu😭😭
EMBU UMUULIZE JAMAA, NYUMBA ALIZINUNUA KWA WATU (mfano ile ya kule mgodini) . HIVYO NI NYUMBA HALALI SIO ZA KICHAWI. hajawahi kujaribu kuridi maeneo yale kama bado nyumba zipo? na kama zipo anamiliki nani? kwa sasa?
🤔😳 alichokifanya mganga ni kukutengenezea mazingira ya kupata magonjwa tu maana si Kwa timu ya wanawake uliyokuwa ukiipanga 😳🤔 bata batani sasa kilichobaki ucheki na Afya tu ndugu maana pesa zimerudi Kwa shetani ukaachwa kwenda kutafuta mjengo polisi🙄🤔 kijana pole ndugu maana si Kwa kufukua makaburi mara mbili mbili na bado unaambulia zero🤔😳😭
Jaribu bas kuulza maswal yenye maan unashndwa ata kumuulza alkua anakul nn hizo siku 3 alzo kuwa anateseka na mwvua mala jua unaulza ujinga tu unamrudisha nyma yan ww ntkua naach kuangalia smuliz ulzo ziandaa ww mjinga mmoja
maana kitendo cha kukuta kitu tofati na nyumba aliyokuwa kanunua kihalali (mfano KITUO CHA POLISI), ni hali ya kupumbazwa na mganga na sio uhalisia. afuatilie nyumba zake bhana!!!!!!
Iyi story ina tisha kweli dah🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
🤔😳 Duh dogo na kuteseka kote huko kufukua makaburi kutembea na mimavi, mwisho wa siku unaishia kwenda kutafuta mjengo wako kituo cha polisi😳😳 kweli shetani hana adabu😭😭
Tamaa mbaya
Da usione watu wana maisha mazuri ukadhani raisi wana mambo mengi
Kwakweli mmh
pole kaka nakuhurumia kwakweli ulianza eti ulitaka umaarufu na hela ulipatazote tulia sasa
🙌🙌🙌🙌
Nimengoja sana
Nairobi Kenya twangonja story iendelee
Uwe unasikiza Kwa makini sheby unatupa repetition isiyo ya lazima
Story nzuri❤❤🔥🔥🔥🔥🔥💃💃🏼👌👍
Hii dunia bhana unaenda kuuza nyumba na kukuta kituo cha polisi.
Kiini macho kaka ulifanywa pole
Kiukweli mm leo sijaelewa hata kidogo...! Hujasema hiyo mikataba ni mikataba ipi, Kuhusu yule Mama Mpenzi wako aliemezwa na huyo jini hujazungumzia
Yes!
Golden boy vipi prt19
Namba 5
One
19
Part 19
EMBU UMUULIZE JAMAA, NYUMBA ALIZINUNUA KWA WATU (mfano ile ya kule mgodini) . HIVYO NI NYUMBA HALALI SIO ZA KICHAWI. hajawahi kujaribu kuridi maeneo yale kama bado nyumba zipo? na kama zipo anamiliki nani? kwa sasa?
🤔😳 alichokifanya mganga ni kukutengenezea mazingira ya kupata magonjwa tu maana si Kwa timu ya wanawake uliyokuwa ukiipanga 😳🤔 bata batani sasa kilichobaki ucheki na Afya tu ndugu maana pesa zimerudi Kwa shetani ukaachwa kwenda kutafuta mjengo polisi🙄🤔 kijana pole ndugu maana si Kwa kufukua makaburi mara mbili mbili na bado unaambulia zero🤔😳😭
Thanks alawi.. ❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤
@@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂Nimefikaaaaaaaa
@@missmwayway4704 Nmefurai kukuona wngu🤣🤣💃🏿💃🏿
@@missmwayway4704 Nakutakia uxkumwema❤❤
@@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂😂 shoga yngu mm story ya leo hata sijaelewa kitu gn anazungumzia hata yule mama aliemezwa na Nyoka hajamzungumzia
Jamani unachelewesha mwendelezo
Huyu jamaa akili yake ipo sawa kweli au! Kituo cha polisi?
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄hahahaaaaaa nimecheka mm kama fala daaaaahhhh aiseee
Jaribu bas kuulza maswal yenye maan unashndwa ata kumuulza alkua anakul nn hizo siku 3 alzo kuwa anateseka na mwvua mala jua unaulza ujinga tu unamrudisha nyma yan ww ntkua naach kuangalia smuliz ulzo ziandaa ww mjinga mmoja
Shetani alifungwa miaka elfu awezaje kukupa pesa, tafuteni pesa toka kwa Mungu pekee
😢😢😢😢🤔🤔🤔🤔😲😲
Hatar sana 😢
sheby
- kuwa makin jamaa anasimulia kitu lkn ew unamrudsha tena nyuma kuwa na msilmiz wako
- jitahid kutupia vtu mapemaaa kamanda
𝔨𝔞𝔫𝔞 𝔨𝔢𝔩𝔞 𝔰𝔞𝔫𝔞
🤣🤣🤣🤣kitui Cha police haki mazinga umbwe Kama nikweli dah Ni drama
Tuangushie sheby the Golden boy ☺️☺️
tuma zingine zinazofuata mbona unatuyeyusha
Duh
Wakwanza
Shebby achana na maswali ya kipuuzi unakera
Duh. Pole sana
🤣🤣kituo cha police
duh hii kali sasa yaani nyumba yako imegeuka kuwa kituo cha Polisi
🤔🤔🤔
Wa 13
Tobaaaa kutolewa sehemu za siri duuuu😳
Hela hukuweka Bank?
maana kitendo cha kukuta kitu tofati na nyumba aliyokuwa kanunua kihalali (mfano KITUO CHA POLISI), ni hali ya kupumbazwa na mganga na sio uhalisia. afuatilie nyumba zake bhana!!!!!!
😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽afuatilie nyumba zake atazipata wapi tena? Nawakati vitu vyote ni vyakishetani ni viini macho
Atazipata wapi na history inaonyesha ni nyumba zamajini nasi mazingira yakawaida sasa hapo itakuwa ni muendelezo wa tamaa
Kweli aende polisi akachukue rb ya kuibiwa nyumba
Nyumba yake Iko huku kwetu aje aichukue
@@godlovem7139 😄😄😄😄😄😄😄🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Acha maneno yako wewe
Nimeisubiri hii siku nzima
Sheby maswali yako ayaelewik😚😚😚
Shikamoo wagangaa Duh
Dahh . Kituo cha polisi!? 😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😆😅Duuh😂😁😀
😆😊Shetani😆😂
😁😀ana Vimbwanga😊😅
Sheby alawi unaznguw.. hupo makini na maswali yko unarudisha nyuma story...
Iyi story ina tisha kweli dah🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Tunasubir
Jamani
Huyo jini amekula watoto wako wote kutoka kwenye kiuno chako fanya upesi uokoke
🤣🤣🤣 kituo cha police 🚔 🤣 😂 😳
Pole kijana watu tunajifunza sana kupitia we tuwambie kile kidude ambacho ulikuwa unakinyonya wewe kilikuwa nini?
Na jini lenye Wivu
Nilisema hakua nyoka wa kawaida before kachekini comment yangu ya nyuma
Afrosinema continues
Tatizo anachelewesha san
Shebe ta kulalia
😀😀😀😀
Kituo Cha polisi ? Wee shetani Ni katili kweli
Huyu jamaa akili yake ipo sawa kweli au! Kituo cha polisi?