VURUGU,CCM WANG'OA BENDERA ZA CHADEMA MKOANI RUVUMA,VIONGOZI CHADEMA WATOA NENO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 203

  • @MrCchadogi
    @MrCchadogi Месяц назад +20

    msajili wa vyama vya siasa kiiimya, wangefanya chadema yaani cheddma wangelimwa barua hapo hapo

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 Месяц назад +15

    Wayakaoleta vurugu kwa nchi hii ni CCM

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 Месяц назад +1

    CCM ni Chama chenye mazambi mengi kwa mungu ila malipo Yao siyo Muda mrefu mungu naona Amini

  • @kamalabuberwa2001
    @kamalabuberwa2001 Месяц назад +19

    Police wanatakiwa kuwakamata CCM ndo wanaleta vurugu

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад

      Umeona lini anaefadhiliwa kuchukua hatua kwa anaemfadhili

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu Месяц назад +15

    VUMILIENI CCM KILA MWENYE AKILI ANAJUA HAIFAI

  • @victoriabernard5287
    @victoriabernard5287 Месяц назад +12

    Ccm acheni hizo mnazidi kuwapa ujiko CHADEMA

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад +1

      Sio ujiko, CCM wamefeli kwenye siasa hakutakiwi ugimvi kunatakiwa HOJA kujibiwa na HOJA sio viloja
      Chadema Vema❤

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Месяц назад +15

    Tukisema ccm mnaiyogopa Chadema hofu yenu yoooote chadema mnakana wanatekwa watu wa Chadema tu ila mjue hamtateka wote Kuna watoto wao mmewaacha sumu inapandikizwa kwa familia zao mfano mkubwa tu wa Marehem Chacha wangwe alikuwa ccm mtoto wake Bobu Chacha Wangwe sasaivi yupo Chadema na ni sehem ya mtendaji wa haki za binadam

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Месяц назад +3

      Hakika, ukikata mti wa mkaratusi, kisiki kinachipusha mashina mengi. Nimekuelewa sana!

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays Месяц назад +1

      Good philosophy🎉

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Месяц назад

      @@MfunjoWabaBoydays 🤝✌️

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 Месяц назад +7

    Pelekeni malalamiko polisi tuone kama kweli watasaidia

  • @HamidaBaraball
    @HamidaBaraball Месяц назад +3

    Police wake wapi? Australia kwasababu ni Vijaya wa CCM? His sio democratic waliofanya hizo fujo wachukuliwe hatua haraka

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Месяц назад +16

    HAYA MAMBO YANGEFANYWA NA CHADEMA CCM NA POLICE WOTE WANGEJITOKEZA NA KUFANYA YAO. ILA MNACHAFUA SURA YA NCHI.

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад

    🎉hawakamatwi na hiyo ndiyo amani wanayohubiri

  • @Robust78
    @Robust78 Месяц назад +10

    Mwanzoni tuliambiwa kuwa ni mwiko kabisa kwa chama chochote kuchoma bendera ya cha ma kingine. Jambo kama hili linamuezesha msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama chochote chenye kufanya matendo kama haya. Je sasa tumefikia hatua ya kumfanya msajili wa vyama vya siasa nchini ashindwe kazi yake?? Yetu macho. Kesho chama kingine kikifanya hivyo labda kwa ccm itakuaje?

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 Месяц назад +2

    Ccm hasa vijana wanaowalisha bangi ni kiwapa jina maarufu Kama Uvccm ni wapumbafu mno na hawajui hata future yao.

  • @heavenkimambo1318
    @heavenkimambo1318 Месяц назад +8

    Wanalindwa na polisi hao

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 Месяц назад +4

    CCM mkoa wa ruvuma mnaleta vurugu za nini au ndio muendelezo wa kauli mtawashughulikia wapinzani?acheni vurugu Tanzania yetu ni nchi ya amani tafadhali sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад +4

    Police tunaomba muwatafute walio ng,oa hizo bendera pia

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji Месяц назад +3

    CCM wamezoea maeneo ya kimbiji kigamboni tulikua nauchaguzi mdogo walipita CCM wakashuka ktk gali wakashusha Bendela ya cuf nakuondoka nayo mgombea alitoalipota akuna atua zilizochukuliwa kwaiyo wanatumwa ao

  • @TunuAgast
    @TunuAgast 9 дней назад

    Jama. Achen izo ccm mungu anawaon niny

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 Месяц назад +1

    Poleni Sana.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Месяц назад

    CCM mkubali kuwa kuna vyama vingi acheni vurugu .situsababishie vita watanzania tunahitaji Amani ✍️

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 Месяц назад +2

    CCM msilete vita !!.Tangu mpige Mhe Lissu wenzake hamjakoma mnaonesha vujo mtaleta Vita tusifike huko kutelemsha Pendela chama.Kingine no kumukosea Mama.!!

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Месяц назад +3

    Police wapo wapi sasa mbona hawajitokezi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +3

    Kwani CHADEMA siyo chama kilicho na usajiri? Kama chama kati ya hivyo kwa nini CCM iwafanyie fujo? Mbona polisi hawajasema cho chote? Mbona hawajashikwa. Au tuelewe nini. Ndiyo sababu tunasema polisi huwa wanatumwa na Samia. Unaona Samia anakwenda Songea amewambia wafanye cho choko ili polisi awaweke ndani CHADEMA watakao respond. Sasa hapa ni kuwa polisi ni CCM b

  • @erasmichuwa4049
    @erasmichuwa4049 Месяц назад

    Huu ni uchochezi, kung'oa bendera za CHADEMA haikubaliki

  • @danielkanso
    @danielkanso Месяц назад +6

    Mmhh kweli ccm na viongozi wao wamefeli sana sasa wanatapatapa nini mbona ccm inahararisha amani ya nchi

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 Месяц назад

      Kwa sababu hawetendi Haki,wakipima upepo unaegemea kwao na wanafahamu kuhusu kushindwa kwao na kukosa uungwaji mkono toka kwa Watanganyika.

  • @michaelkisesa3959
    @michaelkisesa3959 Месяц назад

    Kama ni kweli wamekosea sana siasa hizo za kizamani mnampiga mtu kisa kasena msitoe bendera!!! Hii hata rais akiiona kwa macho atachukua hatua haraka.

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole Месяц назад +3

    Haya mambo siyo ushabiki kutakuja kuwa na hatari kubwa,km ccm wanaxani wanauharali kufanya lolote serikali ikanyamaza haya.
    Polisi dhughurikeni na hili,sasa tunataka kuingia kwenye shida kwa ajiri ya vijana wajinga.

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 Месяц назад

    Sisi tusio na vyama tunaona huu uonevu jamani dah! Kwa kweli inakera mno!Hivi wangefanya chadema jee?? Hii inchi hatuna muelekeo sijui rais wetu ni nani???

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Месяц назад +16

    CCM watulie hawaliezi bifu la chadema hata chembe

    • @JonathanSimon-k5r
      @JonathanSimon-k5r Месяц назад

      Mtawala azidiwe na mtawaliwa utakua ujinga😅

    • @hoseamwambambale3503
      @hoseamwambambale3503 Месяц назад

      ​@@JonathanSimon-k5r kwani je anatawala kwa hak

    • @FredyKaitani
      @FredyKaitani Месяц назад

      ​@@JonathanSimon-k5rkwaiy apo unaona haki kama sio ujinga nn au unawashwa

  • @MrCchadogi
    @MrCchadogi Месяц назад

    hamjarekodi

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA Месяц назад

    Polisi wamejificha au mbinga hakuna Polisi 😅😅

  • @NdebileMathias
    @NdebileMathias Месяц назад

    Serikali kwa hili itajifanya haioni, lakini ingekuwa upande mwingine tayari polisi ingekuwa na watu

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Месяц назад +2

    Ni wajinga sana kisa uchawa Ili kumpendezesha rais hii haikubaliki hata kidogo halafu utapona polisi wako kimyaaa

  • @samsonsengi7574
    @samsonsengi7574 Месяц назад

    Mfa maji haachi kutapatapa, mwisho wenu umewadia na siku zenu zinahesabika, Nyambafuu.!!

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 Месяц назад +1

    Ninyi chadema acheni ujinga kila siku tunaonewa kazi kulalamika jibuni mapigo acha kulalamika hakuna wakuwasikiliza

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 Месяц назад +6

    vipi polisi walikuwa na interejensia ya ziara ya ziara ya raisi samia ingeleta uvunjifu wa amani?

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 Месяц назад

      Watazitoa wapi?Amani gani inalindwa kwa mibunduki mitaani utadhani tupo Bukavu.

  • @Sam-h9d
    @Sam-h9d Месяц назад

    Hata waking'oa bendera hawawezi kung'oa chuki ya watu ilyomo miyoyoni mwa watanzania dhidi ya ccm na serikali yaka mimi naona wanazima moto kwa petroli

  • @Sam-h9d
    @Sam-h9d Месяц назад

    Kweli yatima hadeki ccm wanayoyafanya wangefanya chadema wangetaga maana polisi wangewatafunabbila mboga

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 Месяц назад

    Hili nalo wanajiteteaje, hawa jamaa wanakoelekea watatuingiza GIZANI,

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Месяц назад

    Ila huu ni ujinga sana hawa ndiyo wanaovunja amani ya nchi yetu.Tunaomba haki itendeke kwani hapa nimejifunza kuwa wavunja amani ni uvccm

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад

    Shida nini jamani.?????😢 chama kibaki ccm ili tusikilizane.kwani mambo ni ya hatari sana kwa sasa.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 16 дней назад

    Chadema acheni kuliya liya mnashidwa kujilinda . Kuliya liya mara kwa mara ni ujinga.

  • @chachamwita9987
    @chachamwita9987 Месяц назад

    Nchiyetu inatakiwa tuwenaaman sisisote niwamoja tusivuluge tunuyetu tuliyopewa na mwenyezi mungu

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Месяц назад +1

    Saa imefika ya kupokezana kijiti na mkubalitu Tayson alikuwa mfalme wa ngumi lakini ilifika wakati alitandikwa na Evanda na jamaa likajihudhuru ngumi

  • @FaidaMembe-v2p
    @FaidaMembe-v2p Месяц назад

    Police wanakaz ya kuzuia tuu maandamano Kaz nyngne hawana

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie Месяц назад

    Poleni sana wana chadema yataisha haya yote CCM

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Месяц назад +1

    Haya yote je polisi mngekuwa na nguvu mlizotumia juzi hayo yangefanyika?

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo Месяц назад

    Acheni upumbafu. TutalAlamika mpaka lini
    Unyonge kwa CCM, Ccm ni polisi?
    Wangewang'oa pumbu zenu!!!

  • @ErnestMgani
    @ErnestMgani Месяц назад

    Poleni sana ila haya Mambo uana mwisho wake

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Месяц назад +1

    Tanzania ya Mwalimu Iko wapi mmmm

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 29 дней назад

    Siasa so kugowa bendera wekeni upendo na amani acheni ujingaaaaa

  • @LomituIpanga
    @LomituIpanga Месяц назад

    Na neno la msajili wa vyama vya siasa ni upi?

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад

    MTANGOA BENDERA LAKINI HAMTAINGOA CHADEMA KWENYE MIOYO YA WATU!!
    TUKIPENDA HIKI CHAMA
    TUNAKIHESHIMU
    TUNAKITHAMINI NI WATETEZI WA HAKI DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA 5AIFA HILI!!!

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 Месяц назад

    Tukifanya sisi upinzani tunaambiwa vurugu kitendo hiki tunalaani kokamilifu

  • @PatrceKimario-ws6nl
    @PatrceKimario-ws6nl Месяц назад +4

    Moshi wajaribu waone waonyesheni kazi hao

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 Месяц назад

      Mbunge wa Moshi chama gani, mjinga wewe

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 Месяц назад

      ​@@salehesalehe2967 Unamaanisha nini?Kwani huko Songea naye si hao hao?Kwani bendera za vyama zinauhusiano gani na Mbunge?

    • @c.l.g.mchurch6426
      @c.l.g.mchurch6426 Месяц назад

      @@salehesalehe2967kumbe wew ndio mjinngaa😂

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 Месяц назад

    Dawa ya moto ni moto sio mara ya kwanza kwa vitendo hivi kwa CCM shida ni kwamba police hawafanyi kazi yao kama kosa liko upande wa CCM hiyo ndio shida.

  • @clementmgongolwa8316
    @clementmgongolwa8316 Месяц назад

    Polisi tunaomba kamatenii hao vibaka mara moja huo siyo uungwana kwani hawa wanatumwa na nani huo ni ushamba tu tena wawe na adabu watumwa hao

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад

    Hawa majambazi wanaofugwa hii leo kwa jina la ukada, ukereketwa na uchawa pasipo matendo haya ovu kukemewa na kulaaniwa pia kuchukuliwa hatua za kisheria iko siku wataizamisha nchi pale wanapotaka

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад +1

    Yaani c cm wanacdi kujiaribia wakidhani wanatengeneza kumbe wanaharibu

  • @marthadominick2212
    @marthadominick2212 Месяц назад +1

    Miaka zaidi ya 60 hofu ya nn km mnaongoza vizuri wananchi wanaelewa kila kitu hours ya nn

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Месяц назад

    Walo chukua hizo bendera ni ZUMBUKUKU 😂wanaogpa Nini?

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 Месяц назад

    Hiyo ishu kiongozi sio yaki mkoa na Jambo lakitaifa.

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx Месяц назад

    Kwahiyo Wananchi walishindwa kukabiliana na hao walio kuwa wanashusha bendela ?

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 Месяц назад +1

    Mambo ni aibu yanayotendeka siku hizi

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Месяц назад

    Huku wanaweka hizo alama kwenye vijiwe vya wavuta bangi

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi Месяц назад

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 9 дней назад

    Acheni ujinga .nyinyi hamna mikono ya kuzuwia ubwege huo.

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 Месяц назад

    Tafadhari chadema hao wajinga wachukuliwe hatua. Siyo kusema iwe mwanzo na mwisho tu.

  • @PeterDaudi-z2z
    @PeterDaudi-z2z Месяц назад

    Ccm nawachukia sana bas tu

  • @renatusmgusii2268
    @renatusmgusii2268 Месяц назад +6

    Mmeripoti polisi? Vitendo kama hivi ni vizuri vikaripotiwa polisi

    • @josephmpemba8004
      @josephmpemba8004 Месяц назад +4

      UNADHANI KAMA NI CHADEMA WANGEKUWA WAMESHUSHA BENDERA ZA CCM INGEHITAJIKA KWENDA POLISI? UNADHANI HII MAANA YAKE NI MINI? POLISI HAWA NI CCM KAMILI.

    • @josephmpemba8004
      @josephmpemba8004 Месяц назад +3

      INTELIJENSIA YAO HAIJAONA HILI?

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Месяц назад +2

      Kwa Polisi ipi ya kuripotia? Au dish limeyumba hujui nchi inaendeshwaje?

    • @JumaNjiku-df1fd
      @JumaNjiku-df1fd Месяц назад +2

      Polisi ni wakala wa sisiem! Wakienda kutoa taarifa watakamatwa wao, wanataka kuvuruga amani! Kazi ya polisi kwetu ni kuilinda sisiem na maslahi yake, wengine wote ni wavunja amani ya sisiem sio ya watanzania wote.

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад +1

      Kila kitu kipo sawa. Mchakato wa kipolisi. Ok

  • @butorichard3971
    @butorichard3971 Месяц назад

    Polisi hawakunusa Hali hiyo au nao Ni washiriki !

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 Месяц назад

    Ccm wote nawaachia p didy

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA Месяц назад

    Polisi mbona hawaonekani kuwasaka hao majambazi wa ccm

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 Месяц назад +6

    Mngewapa kipigo hao vp sasa wao wamekamatwa? Mbona ccm wanavuruga amani tz kilakona

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Месяц назад

    HUO NI UONGO WA KUTENGENEZA TU,MMEANDAA WATU NA KUWAVALISHA SARE ZA CCM ILI KUJIAMINISHA JAMII KWAMBA CCM NI WAFANYA FUJO KUMBE CHADEMA NDIO WAHUNI TU

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 Месяц назад

    Nyinyi makafir wachadema ndo mnataka fujo

  • @mage5371
    @mage5371 Месяц назад

    Ila jamani vijana wetu rejeeni maandiko matakatifu msipende sana uhasama kisa mpendwe, hapana acha Muda ukitimia mtapata chenu pasipo kumwaga damu. Mnatuumiza sana wazazi na wategemezi

  • @GABRIELBAHANGARWA
    @GABRIELBAHANGARWA Месяц назад

    Mnatafuta huruma ya nani wakati wenyewe hamjihurumii? Hivi niwaulize Chadema kwenye katiba yenu hakuna kikomo cha uongozi mkichokana mbadilishane? Malalamishi yenu hapa ni malalamishi kama ya mtoto yatima zikiondoshwa bendera wekeni nyingine na kuzilinda zisichukuliwe basi lakini mkishindwa kulinda hata bendera mjue hata kuilinda nchi hamuwezi.

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Месяц назад

    Sawa ira nanyie murara sana kwani kuna ugumugani wa kumukata mutu panga ravu acheni usitarabu wa kishamba pachangamuke kwanza

  • @GABRIELBAHANGARWA
    @GABRIELBAHANGARWA Месяц назад

    Habari ndo hiyo matusi sitaki lete hoja

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Месяц назад +6

    Wameishiwaaa majambazi wakubwa hawawezi kutudanganya tena

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад

    Tumerudi mashenzini rasmi kisa chaguzi!!!😢

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 Месяц назад

    HIYO NI MBINU YA KITOTO WANATAKA KULETA VURUGU ILI WATU WATIWE NDANI WAKOSE KUPIGA KURA

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j Месяц назад +1

    Mikoa ya kusini munaniaibisha ndg yenu wa kusini.

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa Месяц назад

    Wametoa wenyewe hao inakuaje mushindwe kuwakamata na kuwapeleka kwa vyombo vya sheria ,mnahitaji huruma.

    • @isaackmwakapala8663
      @isaackmwakapala8663 Месяц назад

      Unaongea bill kuchambua , Polisi yenyewe ndio ccm na ccm ndio serkali.

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад

      Kila kitu kipo sawa. Ok

    • @FredyKaitani
      @FredyKaitani Месяц назад

      Kuma la mama ako na hakili yako ya mavuzini iyo..

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Месяц назад

    Naomba mnisaidie kutundikwa bedera uipendayo ni vibaya kama sio ya ccm!!??

  • @BonifaceAmbindwile
    @BonifaceAmbindwile Месяц назад

    Wapumbav sana

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza Месяц назад

    Mmekwisha toa ripoti hii polisi?

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 Месяц назад +1

    Wakirudia tena? Huyu naye. Unataka warudie tena ndio uchukue hatua?

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Месяц назад +1

    Acheni kuongea utumbo mumeshidwa kulinda bendela zenu

    • @emanuelibora8186
      @emanuelibora8186 Месяц назад +1

      Wew kijana emanuel mbona unajina zur halafu hauna akili

  • @eliaslaurent-it1id
    @eliaslaurent-it1id Месяц назад +1

    pelekeni tarifa polis nawakamatwe wali

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d Месяц назад

    Chadema hamujui amani amani nikuteka watu na kuwanyonga?

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 Месяц назад

    Watulie iwe mwisho na mwanzo

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Месяц назад +2

    CCM ni ovyo Sana ingekuwa chadema mngewafunga wote

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx Месяц назад

    Sasahivi Pols ni sisi Wananchi

  • @TunuAgast
    @TunuAgast 9 дней назад

    Mbn hawajiamin hao ccm wanatak nn jama

  • @mwitamahende4394
    @mwitamahende4394 Месяц назад

    Intelijensia haikuewpo kudhibiti hivyo viashiria?

  • @HamisWawila
    @HamisWawila Месяц назад

    Waliotoa benders wenyewe chadema unataka Amahandamano ya nn

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад +2

    Ccm Wana mamboooooooo! Hah hah hah! Lengo lao kumdanganya Samia Mbinga hakuna Upinzani. Ok

  • @ludovickmutalemwa4915
    @ludovickmutalemwa4915 Месяц назад

    Wapelekwe mahakamani Kwa majina yahoo ili waeleze mahakama na watanzania wote walikuwa na lengo gani kufanya hayoo