Damu ya Yesu ni ya Yesu mwenyewe. Haijawahi kupungua uwezo Wala mamlaka. Popote ilipo damu ya Yesu na Yesu yupo waziwazi. Damu ya Yesu ina jina la Yesu. Na jina la Yesu Lina uwezo mkubwa. Damu ya Yesu ina Roho wa Yesu. Ndani ya damu ya Yesu Kuna uhai wa Yesu. Mahali ambapo hakuna uhai inaweka uhai. Damu ya Yesu inaweza kuongea. Ndani ya damu ya Yesu Kuna agano. Ref: Waebrania 11:1 Kutoka 12:22-25 Waebrania 11:6
Damu ya Yesu ni ya Yesu mwenyewe. Haijawahi kupungua uwezo Wala mamlaka. Popote ilipo damu ya Yesu na Yesu yupo waziwazi.
Damu ya Yesu ina jina la Yesu. Na jina la Yesu Lina uwezo mkubwa.
Damu ya Yesu ina Roho wa Yesu.
Ndani ya damu ya Yesu Kuna uhai wa Yesu. Mahali ambapo hakuna uhai inaweka uhai.
Damu ya Yesu inaweza kuongea.
Ndani ya damu ya Yesu Kuna agano.
Ref: Waebrania 11:1
Kutoka 12:22-25
Waebrania 11:6
Aminaaa Mtumishi wa MUNGU, Eeee YESU Damu yako naachichalia kwa ofisi yangu. Na kwa familia yangu
Amen Mtumishi wa Mungu Grace.Mungu azidi kukuinua na kukupaka mafuta mabichi.
Bwana akubariki mutumishi wa mungu
Asante Yesu kwa Damu yako . Napokeya uponaji na restoration 🙌🙌🙏🙏🙏
Praise God servants of God have been praying no answer i want to trust God with you keep me in prayer my family no peace
Mungu akubariki saaaana mtumishi ninapona mimi
AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN
Amina,nashukuru, sitaacha kumtukia Mungu ataibadilisha historia ya maisha yangu, Zaburi 103:1-3
Ameni
Najifunza Damu ya Yesu Ina nguvu nyingi
Ni mafundisho Bora kabisa. Mungu akubariki Sana mwalimu na uzidi kutoa maarifa Kwa wote walio tayari kuyapokea.
Unanibariki sana sana🙏
Asante Yesu Kwa kimtumia mtumishi wako Kwa ajili yetu
Barikiwa mtumishi
barikiwa sana mjakazi wa Bwana🙏🙏👏👏👏👏
Amen mchungaji....❤
Asante sana mwalim Grace. Umenibariki sana na maombi yako mungu akubariki sana.
Mungu akubariki
Asate sana maman ubarikiwe sana kwa iyi neno la Mungu 🙏 na kufata ku Ireland 🇮🇪
Amen mtumishi
Amina barikiwa mtumishi wa Mungu
Nimebarikiwa Sana. Mungu awabariki
Ameeen
Amina mama
Naomba, namba zako Mtumishi, Mungu akuongezee maarifa, kwa Damu ya Yesu Afya yangu inakwenda kurejeshwa
amen
Ameen
A real blessing.God bless you
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu aliyehai
Damu ya YESU inauwahi Amina mtumishi
Nahachilia.damu.ya.yesu.Amen
Halleluyah Amen
Amin
Amina
Amen
Amina mtumishi Mungu akubariki mno,niombee naweza kupata namba yake
哈利路亚
Shalom mwalimu,ivi mwanza mtakua na semina lini na wapi?
Amen
Amen
Amen
Amen