huu wimbo unanigusa hongera saana wana kwaya mpiga kinanda katulia saaana ianpendeza na sauti ya kinanda sio ya kumeza waimbaji This is what we call music
Niliambiwa mtunzi wa wimbo huu alifariki, najarbu kujiuliza ni kwanini watunzi wazuri wanafariki, mfano Makoye, yule wa mt.Maurus Kurasini, ni kama vile Mungu kawatuma kutuletea nyimbo hizi kisha kukamilisha kazi yawapasa kuondoka, Mwenyezi Mungu awarehemu, wimbo mzuri kila nikifika nyumbani lazima niwashe redio, waimbaji wamecheza vizuri kikatoliki, hongereni na achaneni na wacheza masebene wa makuburi na wengineo, hizi ndo nyimbo za kikatoliki, utulivu mkuu na si kelele, ara za kirumi/kiratini zimezingatiwa!. utukufu kwa Mungu juu na aman duniani kwa wanakwaya wanaoimba kikatoliki kama hawa!.
Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya Marehemu CHARLES SAASITA amekuwa mfano na mwalimu wa upigaji mziki wa mahadhi na vionjo vya Kikatoliki. Nanyi pia waimbaji mbarikiwe sana Mungu aendelee kukuza vipaji vyenu na wito huo katika maisha yenu
This song is soo soooo touching. It really brings me close to Jesus when i listen to it. Very reflective. Be blessed choir members and May the beautiful soul of Mwalimu Charles rest in eternal peace.
Safi sana. Wimbo umekidhi vigezo vya mahadhi ya kikatoliki. Hongereni waimbaji mmeutendea haki. Bigup David Wasonga nazipenda tunzi zako. Naomba mwenye copy ya wimbo huu (hardcopy au soft) anisaidie kwa whattssap: 0769601500 au kwa barua pepe: bishirangonga@yahoo.com
Mwimbo Huu hunipa Amani na ujasiri mkubwa sana! Wa kuyashinda majaribu na magumu niyapitiayo wakati wa nyakati za Taabu! Mfano kuonewa, kudhurumiwa haki n.k!! MUNGU NI MWEMA SANA JAMANI TULIITIENI JINA LAKE MUDA WOWOTE TUMNGOJENI KWA SABURI (VIVA CATHOLIC & AM PROUD TO BE A CATHOLICS)
Ninaposikia muziki ulio katika hadhi ya kanisa katoliki huwa sina neno kabisa, wapendwa mnaolazimisha sauti ambazo hatukuzizoea, nafkiri mmewaelewa vizuri hawa. mnaziita sauti na mivumo sijui vocal mimi hata sioni logic kabisa ya hiyo misauti. Yaani Tukiendelea kuimba kama hawa wenzetu tutaendelea kulitofautisha kanisa letu na makanisa.
Mbona zinauzika tu, hayo masebene yanapendwa kwa ajili ya nn? Turudishe utamaduni wetu wa ukatoliki nawapongeza Sana kwa utulivu huu, Mungu amrehemu saasita
Hebu nijuze mtumushi, je marehemu Mwalimu wetu mpedwa Saa Sita ni mmoja kati ya waimbaji hao kwenye hiyo clip? Kama nimekosea nisahihishwe, mtunzi wa wimbo huo ni Wasonga.
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa taarifa hiyo. Laah basi, Mungu wetu aliye juu sana na mwema mno aendelee kutupigania, na roho ya marehemu iangaziwe mwanga wa milele.
me nilimjua Charles saasita kipindi wanakwaya wanaoimba wimbo kwaajili yake akiwa ameshafariki, niliumia sana😭😭😭, tuendelee kumuombea apumzike Kwa amani🤲🏽🤲🏽🙏🏽

Hongereni sana kwa Mtunzi, Mwalimu, Waimbaji na Mpiga kinanda.
HAKIKA WIMBO UMETULIA 100/💯👍👍
huu wimbo unanigusa hongera saana wana kwaya mpiga kinanda katulia saaana ianpendeza na sauti ya kinanda sio ya kumeza waimbaji
This is what we call music
Tunahitaji nyimbo kama hizi, tumechoka masebene, Mungu awabariki Sana
Frank Komba Amina
Amina,!@
Niliambiwa mtunzi wa wimbo huu alifariki, najarbu kujiuliza ni kwanini watunzi wazuri wanafariki, mfano Makoye, yule wa mt.Maurus Kurasini, ni kama vile Mungu kawatuma kutuletea nyimbo hizi kisha kukamilisha kazi yawapasa kuondoka, Mwenyezi Mungu awarehemu, wimbo mzuri kila nikifika nyumbani lazima niwashe redio, waimbaji wamecheza vizuri kikatoliki, hongereni na achaneni na wacheza masebene wa makuburi na wengineo, hizi ndo nyimbo za kikatoliki, utulivu mkuu na si kelele, ara za kirumi/kiratini zimezingatiwa!. utukufu kwa Mungu juu na aman duniani kwa wanakwaya wanaoimba kikatoliki kama hawa!.
Nafsi yangu yamgoja Mungu peke yake. Nice/good song.
Wimbo huu unanirudisha Katoliki ya enzi zile.
Kubatizwa mnakwenda kuweka kambi parokiani kwa ajili ya mafundisho ya ubatizo. Wimbo bora sana huu.
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake,mbarikiwe saan Wahenga wetu nimebarikiwa saana,na wimbo huu,,,,,karibuni tena MWECAU
Utulivu uliomo katika wimbo huu ndiyo tunaoukosa katika nyimbo zetu siku hizi. Hongereni wana kwaya. R.I.P Mwalimu Charles Saasita
Nafsi yangu yamngoja Bw kwa Kimya. Nice song
Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya Marehemu CHARLES SAASITA amekuwa mfano na mwalimu wa upigaji mziki wa mahadhi na vionjo vya Kikatoliki. Nanyi pia waimbaji mbarikiwe sana Mungu aendelee kukuza vipaji vyenu na wito huo katika maisha yenu
MUNGU mwenyezi ampe pumziko la milele huko mbinguni,mwalimu wetu mpendwa,
Charles Saasita
Mukasa acha kutuharibia utamaduni wetu Wimbo safi uchezaji mzuri kinanda kimetulia
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake.
congratulations wimb nzuri sana
Huu ndio hasa muziki wa kikatoliki. Utulivu mwingi na mpangilio safi wa melodia. Hiyo cheza ni ya heshima na ibada. Hongereni sana.
Exactly
hakika
Sanaaaaa mzee, tunataka kuimba hivi
mbarikiwe sana .ujumbe mzuri
This song is soo soooo touching. It really brings me close to Jesus when i listen to it. Very reflective. Be blessed choir members and May
the beautiful soul of Mwalimu Charles rest in eternal peace.
nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake, ALELUYA
blessed , Nafsi yangu yamngoja mungu peke yake. Amen
Naskia utulivu sana bapoisikiliza hii nyimbo"
Tafakari ya wimbo huu ukisikiliza utadhani malaika wanakujia. Hakika unavuta uwepo wa Mungu. God bless you all
Charles Saasita u will remain in our heart ur songs are the best ever almighty God he will keep u in his right hand in eternal life
Nawapenda sana.Mungu awape nguvu.Amina.
wimbo umetulia.Heri waimbaji Kwa kuutendea haki wimbo huu!
Kwa Kweli wimbo huu umenifariji sana mbarikiwe sana
Safi sana kwan kuna ujumbe mzuri sna
My favorite song
i have been waiting for this song. Mbarikiwe sana
I missed mr saasita may God embrace him with his grace and love in heaven😢we shall meet again in his glory amen❤
Ee Mungu naomba unipe hitaji la moyo wangu ❤️
Safi sana. Wimbo umekidhi vigezo vya mahadhi ya kikatoliki. Hongereni waimbaji mmeutendea haki. Bigup David Wasonga nazipenda tunzi zako. Naomba mwenye copy ya wimbo huu (hardcopy au soft) anisaidie kwa whattssap: 0769601500 au kwa barua pepe: bishirangonga@yahoo.com
wimbo mwema sana nimeupenda ,wafariji moyo
Kaiza s kiukweri wimbo unatia baraka moyoni mwangu nafarijika Sana akika namgoja mungu peke ake mungu awatie nguvu mwalimu atakumbukwa daima amina
Fantastic song mungu awabariki
God bless you 🙏
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu awabariki
kazi nzuri mungu awabariki
Mwimbo Huu hunipa Amani na ujasiri mkubwa sana! Wa kuyashinda majaribu na magumu niyapitiayo wakati wa nyakati za Taabu! Mfano kuonewa, kudhurumiwa haki n.k!!
MUNGU NI MWEMA SANA JAMANI
TULIITIENI JINA LAKE MUDA WOWOTE TUMNGOJENI KWA SABURI
(VIVA CATHOLIC & AM PROUD TO BE A CATHOLICS)
Vizuri sana.Hongera
Good work and blessing
Truly very uplifting song. Hongera Sana wanakwaya.
Ukisikiliza wimbo huu kwa makini hakika lazima umkumbuke mwalimu saasita
Charles Saasita, ase kwel kizuri hakidumu,
Ongeleni sana wanakwaya wenzangu
Apumzike Mbinguni Milele
Ninaposikia muziki ulio katika hadhi ya kanisa katoliki huwa sina neno kabisa, wapendwa mnaolazimisha sauti ambazo hatukuzizoea, nafkiri mmewaelewa vizuri hawa. mnaziita sauti na mivumo sijui vocal mimi hata sioni logic kabisa ya hiyo misauti. Yaani Tukiendelea kuimba kama hawa wenzetu tutaendelea kulitofautisha kanisa letu na makanisa.
Huu ndo wimbo wenye ara za kirumi/kiratini ambazo ndo chimbuko la nyimbo katoliki, makuburi na wengineo naonaga wananipigia kelele tu
Da wimbo mzuri sana
Keep up guys
MMEUTENDEA HAKI UKATOLIKI WETU 'POKEENI BARAKA TOKA KWA MUNGU'.
Safi sana
Mbona zinauzika tu, hayo masebene yanapendwa kwa ajili ya nn? Turudishe utamaduni wetu wa ukatoliki nawapongeza Sana kwa utulivu huu, Mungu amrehemu saasita
Frank Komba umeongea vema
Exactly
wimbo mzur mbarikiwe
Hongeren
Good sana
Continue to Rest in peace Mwalimu Charles Saasita 😢😢
Hebu nijuze mtumushi, je marehemu Mwalimu wetu mpedwa Saa Sita ni mmoja kati ya waimbaji hao kwenye hiyo clip? Kama nimekosea nisahihishwe, mtunzi wa wimbo huo ni Wasonga.
@@gustavkunkuta6733 Mpiga kinanda
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa taarifa hiyo. Laah basi, Mungu wetu aliye juu sana na mwema mno aendelee kutupigania, na roho ya marehemu iangaziwe mwanga wa milele.
me nilimjua Charles saasita kipindi wanakwaya wanaoimba wimbo kwaajili yake akiwa ameshafariki, niliumia sana😭😭😭, tuendelee kumuombea apumzike Kwa amani🤲🏽🤲🏽🙏🏽
Pumzika kwa amani baba....
Safi sana jamani
Apumzike kwa Aman
wimbo mzuri sana mmbarikiwe wapendwa by Wence Hhindo
Ongelen san
Zambian Lusaka
nzuriiii saaanaaa
Nimebarikiwa sana nanyimbo imetulia inaleta mwamko ongereni sana
R .I.P C.SAASITA
Ni veme nahaki
May U Rest In Peace!
pumzika kwa Amani mtunzi
Kwa Kweli wimbo huu umenifariji sana mbarikiwe sana
Mwimbo Huu hunipa Amani na ujasiri mkubwa sana! Wa kuyashinda majaribu na magumu niyapitiayo wakati wa nyakati za Taabu! Mfano kuonewa, kudhurumiwa haki n.k!!
MUNGU NI MWEMA SANA JAMANI
TULIITIENI JINA LAKE MUDA WOWOTE TUMNGOJENI KWA SABURI
(VIVA CATHOLIC & AM PROUD TO BE A CATHOLICS)
Kwa Kweli wimbo huu umenifariji sana mbarikiwe sana
Mungu awabariki kwa wimbo wen mzurii🙏
Kwa Kweli wimbo huu umenifariji sana mbarikiwe sana