kikubwa rushwa ni adui wa haki leo hii rushwa imekua ikitolewa kama njugu na takukulu mmenyamaza tu sasa simba twende tukashiliki ligi ya zanzibar tuwaone kama ligi haitapolomoka simba ndo tumepandisha ligi ya bongo leo hii kibaka anakuja kuhalibu ligi ya bongo
Ndugu watazania wanasimba tusitoewachezaji wasimba kwenda timu yataifa,tuiache wachukuliwe wayanga watuachie wachezajiwetu kama makamu waraisi kasema yanga bingwa basi apigiwe Kila nawayanga sisi wanasimba niwahamiaji toka ulaya watuache
Waziri wa michezo aliangalie hil,Tff wajitathimini,itafika kipindi tutawagawa wapiga kura Mii Simba nimpigie kura mwanasimba mwenzangu maana wamesha aanza kina Ally kamwe kuingilia hata mikutano ya kisiasa tutaanza kuuliza mgombea ni Simba au yanga
imekua tumachi ihefu iliwasumbua yanga tu wakaichukua mpira sio siasa tunahalibu vipaji vya vijana wetu ndo maana wanapo kwenda majalibio inje wanafeli huku tunamuona ni bora akienda kwa wazungu wanafeli wacheni vijana wapambane wenyewe waonyeshe vipaji vyao
Hawa wazee wana hamu ya kumalizia muda wao gerezani wrong walevi wana njaa mmeshafungwa na mtaendelea kufungwa GSM hajitoi na popote nendeni mkishinda nyinyi mnajua wakishinda wezenu midomo juu na bado mtagongwa kill mkitia mguu.
NAMSHUKURU GSM KWA KUWEKEZA TANZANIA NA KUTENGENEZA AJIRA KWA NDUGU ZETU na kusupport TIMU ZETU WATANZANIA , NDUGU CHEZENI MPIRA HACHENI FITINA ZA KIZAMANI , MPIRA PESA , MPIRA MCHEZO WA WAZI, MPIRA BIASHARA, BORI LITEMBEEEE na SI KUTAPA TAPA , WEKEZENI YANGA WANAWEKEZA , MPIRA GHARAMA NA SIYO KUBEBWA
Hili Suala la mdhamini moja vilabu saba lipelekwe CAF na kisha FIFA Malalamiko yapelekwe Rasmi ili tupate bingwa wa kweli. Duniani hakuna kitu hicho sijui TFF wapo wapi kuhusu suala hili kweli nimeelewa BABA WA TAIFA MWALIMU KIPIGA VITA SUALA RUSWA KWA NGUVU KUBWA TFF WAMELAINIKA NA KUKUBALI KUPINDISHA KATIBA YAO SHIDA SANA.
Mchezo ujao wa marudiano na Yanga tuwajenge kisaikolojia kama wameenda kucheza Morocco hakuna mashabiki wa kutushangilia mashabiki wa Simba kauli mbiu Tusiingie uwanjani waingie mashabiki wa Yanga pekeyao kama tupo Morocco ville najuwa wachezi na timu yetu wako vizuri watapambana mbona Libya walipamba na hatukufungwa? Mechi yao ijayo wanasimba tuungane tusiwe tunaingia kauli mbiu kama vile tupo Morocco hatuna nguvu ya mashabiki kwa vile wanasimba tunao uwezo wa kujaza uwanja peke yetu Mashabiki bora Afrika Wansimba tuimbeni Wimbo huu mmoja TFF Yanga Bodi Ligi Mawaziri husika na GSM Waingie wenyewe Chondechonde Ahmed Alli Acha kupiga promo mechi yao badala yake tumia muda huo kuwajenga wachezajji kisaikologia kama vile wanacheza mechi hiyo Morroco.
mungu hutulindie wazee wetu milele kwa uchungu wa kweli katika kuipigania timu yetu.
Waziri mwenye dhamana wa michezo tunaomba lifanyie kazi suala hili mpira wa TANZANIA UNAHARIBIKA
Tutasikia mengi mwaka huu
Msihamie Zanzibar,hamieni Burundi
Safi sana Mzee wetu
kikubwa rushwa ni adui wa haki leo hii rushwa imekua ikitolewa kama njugu na takukulu mmenyamaza tu sasa simba twende tukashiliki ligi ya zanzibar tuwaone kama ligi haitapolomoka simba ndo tumepandisha ligi ya bongo leo hii kibaka anakuja kuhalibu ligi ya bongo
Kanyoko sijui mnamuitaga Hana maisha marefu kwasababu kuto kutenda hak zampira
Hongereni wazee wetu
Simba tunaonewa sana kiukweli
Wazee ongeeni Sasa asiyesikia ya wazee vijana kazi yao kutekeleza... ONGEENI
Na hiyo issue ya rank soon itaisha maana bado points 8 tufute hizi kauli za rank 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuliza kishundu ww n mwanaume
HUU NDIO UMBUMBU MBU ALIOSEMA RAGE
Welcome to Zanzibar premier league
Ndio maana Taifa star ipo nyuma kama mkia wa kondoo, kwanini simba hapa Tz ndio inaonekana mbovu mbona kimataifa inafanya vzr, Msitubebe maembe.
Mbumbumbu haaaoooooo!!!!
Nyani haoni kundule,umbumbumbu wako huwezi kuuona
Ndugu watazania wanasimba tusitoewachezaji wasimba kwenda timu yataifa,tuiache wachukuliwe wayanga watuachie wachezajiwetu kama makamu waraisi kasema yanga bingwa basi apigiwe Kila nawayanga sisi wanasimba niwahamiaji toka ulaya watuache
Wazee wako sawa kabisa
je mukishinda nyinyi kwa makosa ya refa ? inanyeke nini ?
Wanasimba tugomee bidhaa za GSM
Mbumbu ni wew, na sio wa zee wetu
Yanga yenyewe ni ccm nandio maana siasa zipo umo umo wapi na wapi. alafu wazuri wa micheo ana chekelea tu
Waziri wa michezo aliangalie hil,Tff wajitathimini,itafika kipindi tutawagawa wapiga kura Mii Simba nimpigie kura mwanasimba mwenzangu maana wamesha aanza kina Ally kamwe kuingilia hata mikutano ya kisiasa tutaanza kuuliza mgombea ni Simba au yanga
Nyie wenyewe mmefungwa mara 4 sasahivi 😂😂😂
Wazee mmepitwa na wakati tulieni na wajuuu nyumban
Wapare mdudu praaa anawatekenya sana. Tulia upareni kagawa pera hilo.
Wazee afadhali kwakuona mpira wetu umeingiliwa nawahuni
Penalty kibao katunyima huyu mjinga Kanyoko
imekua tumachi ihefu iliwasumbua yanga tu wakaichukua mpira sio siasa tunahalibu vipaji vya vijana wetu ndo maana wanapo kwenda majalibio inje wanafeli huku tunamuona ni bora akienda kwa wazungu wanafeli wacheni vijana wapambane wenyewe waonyeshe vipaji vyao
Hawa wazee wana hamu ya kumalizia muda wao gerezani wrong walevi wana njaa mmeshafungwa na mtaendelea kufungwa GSM hajitoi na popote nendeni mkishinda nyinyi mnajua wakishinda wezenu midomo juu na bado mtagongwa kill mkitia mguu.
Mo hana pesa kuzamni vilabu vingi nyie wazee tulieni mkandwe vizur
Ingien barabarani sasa, lkn msisahau mkitaka kujitoa kwenye ligi hakikishen tunamalizana kwanza 😂😂😂😂😂
Hiyo kazi ya kuingia Barabarani wanafanya Dada zako na Mama yako kona Bar huko. Pazuri.
Tukipata wazee 10 Kama hawa tutatoka mabli
😂😂😂😂😂😂😂 na bado aanza mo ndoooo afate GSM yanga lahaaa jamn uku watu wanataka kujinyonga 😂😂😂😂😂😂 kama simba munaela na nyiee wekeni
NAMSHUKURU GSM KWA KUWEKEZA TANZANIA NA KUTENGENEZA AJIRA KWA NDUGU ZETU na kusupport TIMU ZETU WATANZANIA , NDUGU CHEZENI MPIRA HACHENI FITINA ZA KIZAMANI , MPIRA PESA , MPIRA MCHEZO WA WAZI, MPIRA BIASHARA, BORI LITEMBEEEE na SI KUTAPA TAPA , WEKEZENI YANGA WANAWEKEZA , MPIRA GHARAMA NA SIYO KUBEBWA
4:10
Mbn nyie mlichukua miaka mi 4 hatujasema YANGA makombe matatu tu vilio Mama Samia hana mda mchafu kachezeni mnako chezaga😂😂😂
Akili yako ya upande wa umamani kwenu hiyo.
Kweli MAKOLO hamnazo 😂😂😂
Wazee nendeni lwa samia mchawi mwigulu
Hili Suala la mdhamini moja vilabu saba lipelekwe CAF na kisha FIFA Malalamiko yapelekwe Rasmi ili tupate bingwa wa kweli. Duniani hakuna kitu hicho sijui TFF wapo wapi kuhusu suala hili kweli nimeelewa BABA WA TAIFA MWALIMU KIPIGA VITA SUALA RUSWA KWA NGUVU KUBWA TFF WAMELAINIKA NA KUKUBALI KUPINDISHA KATIBA YAO SHIDA SANA.
Anaongea hupuuzi
Huyu mzee chizi
wewe ndio choko kabisa
Sasa Simba ya kuwafunga Yanga iko wapi wewe dada katafute kazi ufanye
Tumechoka kuonewa
Mnagongwa
Tusha wachoka nyie wakilima mmekosa wakuwa fukuza mlivyo fungwa saivi mnalialiatu malefa malefa kasomen mchezeshage nyie sasa
Huyo shingo shingo pia ni mzee😂😂
Hakuna mkate mgumu mbele yachai mikate wakubwa nyie
Mbona nyie kipindi cha nyuma mlitufunga mala kibao tu hatukulalamika... nyie jitoeni tu
Mbumbumbu mke wako
Penati ipi
Mchezo ujao wa marudiano na Yanga tuwajenge kisaikolojia kama wameenda kucheza Morocco hakuna mashabiki wa kutushangilia mashabiki wa Simba kauli mbiu Tusiingie uwanjani waingie mashabiki wa Yanga pekeyao kama tupo Morocco ville najuwa wachezi na timu yetu wako vizuri watapambana mbona Libya walipamba na hatukufungwa? Mechi yao ijayo wanasimba tuungane tusiwe tunaingia kauli mbiu kama vile tupo Morocco hatuna nguvu ya mashabiki kwa vile wanasimba tunao uwezo wa kujaza uwanja peke yetu Mashabiki bora Afrika Wansimba tuimbeni Wimbo huu mmoja TFF Yanga Bodi Ligi Mawaziri husika na GSM Waingie wenyewe Chondechonde Ahmed Alli Acha kupiga promo mechi yao badala yake tumia muda huo kuwajenga wachezajji kisaikologia kama vile wanacheza mechi hiyo Morroco.
Umesema vyema sana aisee
NGAO YA JAMII SIMBA MLITOA RUSHWA? MBONA PENALTY YA AZIZI YANGA ILINYIMWA HAMUKUSEMA,MAGOLI MAWILI YA YANGA YALIKATALIWA),MLITOA MALALAMUKO KWAMBA REFA KAIONEA YANGA MBONA SIMBA MLIMSIFIA YULE REFA????
Mwache afe makisukari yenu hayatuhusu siisi
Kamwambie babaako akachezeshe chizi ww macho kama bundi