Wa bongo sijaona comment zenu???? Mbona mnatubania sana??? Kwani kibwagizo hicho hakiko poa mbona sisi mziki wenu tunawusapoti ila sisi mnatubania sio poa wanangu chankamkeni na sisi tuaitaji support yenu ili sana yetu isonge mbele makofi mengi kwa Van isikaka huu jama ni mungwana sana anafanya acho pashwa kufanya ili mziki wa Burundi 🇧🇮 ufike mbali
Now umesikiliza ombi langu That's why nakupenda na kukuheshimu my brother #Vanisikaka from another mother in Tanzania 🇹🇿 Usisahau kufanyia reaction nyingine nyimbo iitwao *Nyash* By *Kingorongoro Ft Big Fizzo* Ni umeme mno Tena full kiswahili Hii imeenda
All the way from Bantu Bwoy music...Big Fizzo ingekuwa Bora zaidi angezaliwa kina Texas au Chicago,ata hip-hop yake sio level za pande ya East Africa for eg nyimba zake kama :What's my name,karata Tatu,maisha ya getho,konzi,etc
Siyamuonaka mwenye ikosa sa yeye kabisa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 big fizzo ni danger
Karubu Bujumbura adi burimani
Sana mwamba inakuwaje nakukubari sana hai kutoka kwa one wize
Muache uyo anaweza hata kukua ana birefuu uyuu mwamba the king❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This is a legend song, it will live ever. Congrats to Big Fizzo, you killed it
hhhh bros
Wa bongo sijaona comment zenu???? Mbona mnatubania sana??? Kwani kibwagizo hicho hakiko poa mbona sisi mziki wenu tunawusapoti ila sisi mnatubania sio poa wanangu chankamkeni na sisi tuaitaji support yenu ili sana yetu isonge mbele makofi mengi kwa Van isikaka huu jama ni mungwana sana anafanya acho pashwa kufanya ili mziki wa Burundi 🇧🇮 ufike mbali
Kalli yamwaka
Wenye lohombaya zao sapoti yawabongo nikamavile nidamu imewatoka mwilini
Hands up all 🇧🇮 twifitiye umutumamwiza nahobatwanka
Wanafki potea
Kalibu Burundi bunjumbur ina ku subili kwa ham
Wao niwatu wanapenda vitu zakwao tuu ndiomanaa sasa from now know it but big up sana kwa hii bro
Asie comment réaction kwako ujue ni mtanzania mnafiki hapendi Burundi Ila sio fresh wapende wasipende Burundi talent ipo kutoka zamani
Eshima sana bro
Now umesikiliza ombi langu
That's why nakupenda na kukuheshimu my brother #Vanisikaka from another mother in Tanzania 🇹🇿
Usisahau kufanyia reaction nyingine nyimbo iitwao
*Nyash* By *Kingorongoro Ft Big Fizzo*
Ni umeme mno
Tena full kiswahili
Hii imeenda
nakupenda sana big fizzo napenda una yoimba kbx
kwer
Umeuwa Brother nik nyumaako My Brother
Fanya reaction ya ngoma ya monia Fleur ft big fizzo inaitwa faible fizzo alipita naunyamwezi mwingi unyama kama wote
Duh hii nimeipenda na Nisha ishea na wabongo wenza sana
This is a legend song,it will liv ever congrats to Big Fizzo,you killed it
Ongela sana ndugu yetu kwakazi nzuli unao tufanyia watu wa Burundi
6000voltes by big fizzo
This Water flow's from Rutana Burundi....♥️♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿
Kali hilo buana unyama kama wote pull up mzee
Wakwanza kwenye mtandao wa mchizi wangu #van isikaka nipe like zangu
Fizzo upite mta kwetu nikupe ng'ombe ya urithi🇧🇮🇧🇮
noma sana big fizzo anaweza sana
Very nice song big Fizzo you are my best in EAST AFRICA
super man fizzo his well gifted by almighty God, the real legend of BDI🇧🇮
Fizzo umepasuwa
That's why nakupendaga
Kweny reaction zako unauwa saaana #van
Umegusa panapostahili
All 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 are proud of you
Burundi sehemu inaitwa chute de karera mwi shanga❤welcome Burundi
Superman x vaniskaka for evryone
The living legend bigfizzo himself
hapo ni rutana burundi kuna mazingila mazuli mnioo❤❤
Congrats king
I don't understand why fizzo can't get more views while he sings hit songs
Warozi wanazidi, huyu bwana anajua
Big fizzo number one in 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 superman juuuu
🇧🇮 I,m burundian love from kenya
Nakukubali sana mutu wang huyo Ana fanya vizuli sana
Hiyi ni mala ya kwanza kuona mu bongo ana post ou anafanya promotion ya nyimbo ya musani kutoka burundi.asante sana kaka kwa post hii❤❤❤
Bigfizzo nimwamba kwenye miondoko yote kwenye mziki hazoweleke hashikiki 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uyu mwamba anajua toka kitambo Sijuwi ni Big aoni Fizoo.moyo nifuta
King🎻🎻🎺🎺🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Vidéo imefanyika apa burundi 🇧🇮🇧🇮 kalibu nawewe utembee apa Burundi utafulahi sana
Baba kiboko chaviboko the living legend Big fizzo all the way from +257
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥legend big fizzo
A so lovely song from the legend
Van isikaka we love u
Fizzo is number one
Asante sana bro
Huu Mwamba the Monster Big fizzo hata East Africa anatakiwa kiti cha heshima💪✊
Anajua mziki 8:18
Amashi menshi iwawe nikwer inahitajika kwamba ni legend EST Africa 🌍
@@AbdulKarimu-rn6tr
Guys acheni uvivu,yule wimbo kila anaesikia utamu wa wimbo anatakiwa kusikiliza mara 10 kwa siku💪💪🔥✊
The problem is our Government
Otherwise Burundians are Talented
@@bukeyenezaonesime2268
God will change things and enjoy our music wherever you'll be in this earth 🤞
God will make a way
@@emeryking3896
Pigeni wimbo huo 10 times per day kwani Kazi Zuri inatakiwa kusapotiwa
ruclips.net/video/OF7ylphA5ck/видео.htmlsi=IRhhtF0FPevsPUQ7
Top of the top
Huuuoo mwamba mi namujua sana kusema ukweri anajuwa john disimas mbiha from tz
Much respect my Gee @Van Isikaka
Hakikisha ukija burundi unanambie...Nina zawadi kwako
Big Fizzo my babe boo🔥🔥🇧🇮🇷🇼🇺🇸❤️❤️
Tunakukubaliiiii kka#VanIsikaka👊👊👊👊👊👊🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yani mi mwenyewe kabisa nasema Big up sana kwa Big Fizzo yana ni melove sana this song superman
Burundian's icon🎉👌🎼BIG FIZZO
#Bigfizzo kaka njoo huku Kuna kitu chako huku
Van Isikaka welcome to Buja🇧🇮
Big up sana🤝🤘
The mostar 🥰 big fizzo
Nimekupenda Tena kwa hili Asante sana Vanisikaka umetuonesha upendo ❤❤❤🇧🇮
Superman is the best song for really 🔥🔥🔥🔥
Nimependaaa munooo❤❤❤
Uyuu jamaaaa nomaa kbx
King fizzo✌💪💪💪💪💖
Big Fizzo ni Super man from BantuBwoy Music🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪🏽💥💥💥❤
Iyi waterflow inaitwa "mwishanga waterflow" Burundi is a paradise
iyi kaliyamwaka....vanisikaka kiswahili tunaimba...burundi tuko ju East Africa yote kwamziki
All the way from Bantu Bwoy music...Big Fizzo ingekuwa Bora zaidi angezaliwa kina Texas au Chicago,ata hip-hop yake sio level za pande ya East Africa for eg nyimba zake kama :What's my name,karata Tatu,maisha ya getho,konzi,etc
Vanisi kaka enda uone kunaingine kali inaitwa 6000voltes nimbaya bro pia wewe big up tunakutambuwa burundi💪💪💪💪💪🇧🇮
love from 🇧🇮🌍🌍
Asante sana kaka vanisikaka kwa réaction ya Superman ya king Big Fizzo from Burundi
You know what buja kama buja you know what 😊
Nakubari sana❤❤❤
I'm really excited to see your challenge on tiktok for this song 🙌🙌🙌🙌🙌
Oyooooo🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮big Fizzo kawuaaaa kabsa👏👏👏👏👏
Big fizoo we noma mzee lov from Germany
King of burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nafurayi sn hunapo fika kwa Bantu bwoy jama. Noma kabisa Fizzo bala
King is here
Nice song
Superman mo than fireee
Song Fantastic
Burundian got talents, Respect Big fizzo love from Dubaï 🎉
Nakubali sana big fizzo ametisha sana yaani ni fire🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿
Big fizzo ni wakwanza
Uyo jama ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Fisso wetu mukombozi ❤❤❤❤
Thank you proud of you
Karibu vanissikaka...
Long time my VAN so i'm in love with this song SUPERMAN❤
Hasomeki Kama lugha za Kongo huyo jama❤❤❤❤
Big fizzo did it again😊
Kali sanaa❤❤❤❤ good job vani🎉🎉
Big fizzo
we love you Van. You promote our burundian music very well. Keep it up my nigga
fizzo namupenda xana tena xana ongela blaa ngoma Noma nimoto xana ❤❤❤
Big u'll be always big and King
Siku moja uje Burundi tu nakupenda sana
Thank u my G
I'm the guy who sent u that Email 😂😂😂
I'm really happy,
Burundi is proud of you Nigga man ,
And you are fucken welcome my G
Mwamba wabuja freva king huyo
Asante kaka ngoma kalii sanaa 🔥🔥
mzee wa konzi respect
Mzee wakomesha I said wewe mkali big up kwakazi hiyo and love from USA ❤
Much respect to him !
We're proud of our legend 🇧🇮🇧🇮💥💥
Powerful from Burundi 🇧🇮 🙌 👏 💪
Umetisha xana bro, 🎉🎉 big up sana for you to support Burundian music