SUBIRINI WATU WA GAZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 78

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 7 месяцев назад +14

    Naupend msimamo wako allah azidi kukuongoz

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 7 месяцев назад +5

    😭😭 dua zetu zipopamoja nao ndugu zetu wapalestina 🇵🇸❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 месяцев назад +7

    Masha Allah sheikh wangu afadhali ww huchoki kuzungumzia ndungu zetu wanavyo teseka 🤲Allah akujaze kheiri

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 7 месяцев назад +5

    ALLAH AMREHEMU ABOUD ROGO. ABOUD ROGO TU.

    • @NasoroZubery
      @NasoroZubery 6 месяцев назад

      Wote ndg zetu walotangulia Aaaamin

  • @abuumansour8479
    @abuumansour8479 7 месяцев назад +5

    Mashallah shekh mm nakupa udhur kwa sasa na nakupenda sana ingawa ulikua ukimpiga vita shekh rogo ila hakuna asie kosea nahis umejua kuw ulikua upand ambao haustahiq ndio maana unaendeleza pale ambapo shekh aliacha mm ni nakufatilia sana Allah atusameh na atupe Qaul thabit fydduniya wal akhera

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 7 месяцев назад +4

    Swadakta sheikh. ALLAH akuzidishiye afya njema ili nasi tunufaike kwa mawaitha amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 7 месяцев назад +10

    SHEIKH NAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH.
    UMEONYESHA MFANO BORA KWA WENGI
    EAST AFRICA,

    • @NshimirimanaRahma
      @NshimirimanaRahma 7 месяцев назад

      SubhanaAllah!Allah ainusuru falestine.pia sheikh Allah akujaz nguvu ya kukumbush ndug zetu wengine yarabih🤲🤲🤲

  • @abduljaffer
    @abduljaffer 7 месяцев назад +2

    Allahu Akbar. Ja-alnaa minaswabiriin. Yaa Allah leta nusra yako naimani iko karibu kwa wafalestina

  • @babadingo2439
    @babadingo2439 7 месяцев назад +2

    Subhannallah Allahu Akbarr Allahumansur Ahala ghaza ameen

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 7 месяцев назад +5

    Subhanallah Nimelia shekh khutba iineumiza moyo wangu wako wapi mashekh mfano wako wakuzindua Umma juu yakadhia ya Falastin

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 7 месяцев назад +4

    Subhaanallah Eeeh Allah ukainusuru taifa la Palestine
    Yaa rabby ukainusuru watoto wa Gaza 😢😢😢

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 7 месяцев назад +1

    Mashaallah umeongea vzuri sana sheikh

  • @gadonassir4261
    @gadonassir4261 7 месяцев назад +2

    Maaa shaa Allah sheikh message nzito kwa umma

  • @ShabaanRamah
    @ShabaanRamah 7 месяцев назад +1

    SHEIKH WALLAHI NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH, MAWAIDHA YAKO UNIPA MOYO SANA MAISHANI NA ALHAMDULILLHA NAIFANYIA KAZI

  • @akbarazimkhan7701
    @akbarazimkhan7701 7 месяцев назад +2

    Allahu Akbar.ALLAH AKUJAZE LEO NA KESHO SIKU YA QIYYAMMA

  • @saedmohamed4902
    @saedmohamed4902 7 месяцев назад +3

    Mashaallah allah akusimamie uendelee ku2kumbusha makusudio

  • @asiasalehe6031
    @asiasalehe6031 7 месяцев назад +1

    Subhana Allah shehhe Allah akuhifadhe umeongea ukweli Yani umeniliza

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 7 месяцев назад +3

    Sheikh wallahi shukrani bora hata umeongoa tunapata faraja manaake masheikh karibu wengi kimyaaaa

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu 7 месяцев назад +1

    Sema baba Allah akulinde nashari za makafiri na wanafiqi wakiisilamu wewe ndie kidume wa kweli nawewe kwasasa ndie shujaa wa afrika

  • @malikihusseinmbaga
    @malikihusseinmbaga 7 месяцев назад +1

    upo swahihi shekh wangu nakuaminiya hundreds pasent

  • @saidisheha5366
    @saidisheha5366 7 месяцев назад +1

    InshaAllah 🤲

  • @RamadhanKarim-el6tv
    @RamadhanKarim-el6tv 7 месяцев назад +3

    Free Palestine Saum makbull

  • @musakhamisi1692
    @musakhamisi1692 7 месяцев назад +1

    Mashallah sheikh Allah akulipe yaliyo mema

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 7 месяцев назад

    JazaakAllah khairan shiekh yussuf.

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 7 месяцев назад +1

    Allah akulipe kheri shekhe Yusuf

  • @nuhubashiramubashira7233
    @nuhubashiramubashira7233 7 месяцев назад +1

    Subuhanallah mwenyeezi mungu awanusulu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 7 месяцев назад

    Ma shaa Allaah Allaah Akuhifadhi sheikh napenda maneno yako kwa palestine ma shaa Allaah

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 7 месяцев назад +5

    namkumbuka Shahid aboud rogo alisema dawa ya kafiri ni bunduki mashekhe mkamponda kwamba hajui lugha Leo mwaongea sasa

    • @nchimbuke7261
      @nchimbuke7261 7 месяцев назад

      Umewakumbuka bro Walimtenga Sana😢😢Na Kumpiga Vita

  • @tausimpoma347
    @tausimpoma347 7 месяцев назад

    Alhamdulillah,

  • @DeamoreDeAmore
    @DeamoreDeAmore 7 месяцев назад

    Jazaakallahu kheir

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 7 месяцев назад

    Allah akuhifadhi shekh wangu unatuzinduwa pakubwa

  • @AWADHIATHUMAN-s6b
    @AWADHIATHUMAN-s6b 7 месяцев назад

    Hakika umeongea ukweli na INAUMA SANA UMMA WETU WAISLMU TULIPOFIKISHWA

  • @Maajidabdillah
    @Maajidabdillah 7 месяцев назад +2

    Sheikh Allah akulipe ujira mwema Inshaa Allah, sheikh napenda sana khutba zako maana unongea kwa hisia mpaka nahis kusisimka ktk mwili.

    • @sharifaljabri4887
      @sharifaljabri4887 7 месяцев назад

      Sheikh Yusuf molla akulipe kwa imani pia kutuzinduwa kwa Nasaha zako

  • @abdiqaanurow5924
    @abdiqaanurow5924 7 месяцев назад +1

    Mashaallah shk 😢usinyamaze afadhali wewe

  • @Tadroontv
    @Tadroontv 7 месяцев назад +1

    Tumpe dharura sheikh wetu shk Yusuf kuwa amefunguka macho na kutambua kuwa jihad ndo nusra japo aliipinga na kuipindisha kisa senti au woga?? Allah azidi kuwafungua macho masheikh wetu angalau twaweza ipata hyo nusra.

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c 7 месяцев назад +3

    Darul nadwa sheikh Abdul rogo walipiga vita masheikh wanzake Wakasema jihad nafsi ndio wanaijuwa
    Leo tutakuamini vipi Wewe
    Twambie jihad nafsi tu
    Unatundanganya Wewe

    • @binaamour318
      @binaamour318 7 месяцев назад

      Hivi ww use jk n wa dini gani? Mana kilia Yusuf abdi akigusa juu y kadhia y p Stine ww unataja Abdul rogo ! Abdul rogo Kesha fanya yake yako amepatia na yako amekosea Kama mwanadamu kilichobaki kwake n Dua alwah amraham ss ww unakoment chuki t kanakwamba anachozungumza cio sahihi au ile dhulma wanayofanyiwa ndugu zetu ww huoni subhana lwah !

    • @nchimbuke7261
      @nchimbuke7261 7 месяцев назад

      Point Nzuri Bro jk7sm Umewakumbuka wakati sheikh akiongea walisema ni Hamasa😢😢

  • @UsdadBundid
    @UsdadBundid 7 месяцев назад

    ALLAHU AKBAR

  • @SelemaniJumanne-rh1og
    @SelemaniJumanne-rh1og 7 месяцев назад

    ALLAH akubariki

  • @omarchaijefwa729
    @omarchaijefwa729 7 месяцев назад +2

    Wallahy tunatamani hizi huthba ndizo hufufua nyoyo za waislam zilolewa dunia

  • @ArsenalThegunnerz
    @ArsenalThegunnerz 7 месяцев назад +1

    Hii ndio njia ya haki bila hivo motoni

  • @MatikuJuma-x7d
    @MatikuJuma-x7d 7 месяцев назад

    Shekhe sisi tupo kwenye jiahadi

  • @MatikuJuma-x7d
    @MatikuJuma-x7d 7 месяцев назад

    Shekhe naweza piga kwakua niwailamu na wanapiga nia dini ya Allha

  • @nuhnuh2753
    @nuhnuh2753 7 месяцев назад

    Masha Allah

  • @kibwanabadi601
    @kibwanabadi601 7 месяцев назад

    Hasbuna,lahwanemaal,wakil

  • @nuhnuh2753
    @nuhnuh2753 7 месяцев назад

    Huyu shiekh yuahubiri msikiti gani

  • @ismailsaidsalim296
    @ismailsaidsalim296 7 месяцев назад +1

    انّا لله وانّا اليه راجعون
    Mungu atusaidie

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 7 месяцев назад

    Subbhanna, e mola wetu wanusuru watu wa Palestine, wakinge na yahudi yarabilalamini na inususu masjid Al aqsa inshaallah.

  • @AbdshakoorHajayandi
    @AbdshakoorHajayandi 7 месяцев назад

    SOIT BENI SHEIKH ❤❤❤❤❤

  • @abdullabocha1526
    @abdullabocha1526 6 месяцев назад

    Mashekhe watatangaza pale mfalme wa saudia atawapatia go AHEAD

  • @maryamabeidally3953
    @maryamabeidally3953 7 месяцев назад

    Upokatika kuongea yahaqi

  • @KhadijaArafat-zi7ng
    @KhadijaArafat-zi7ng 7 месяцев назад

    Mbona wakati wa shekh rogo ulikua husemi ukimlaumu

    • @nassorkhamis6233
      @nassorkhamis6233 7 месяцев назад +1

      Allah anajua kila undani wa nafsi zetu huwenda amesha ona Haki

    • @Team-t6k
      @Team-t6k 7 месяцев назад

      Somalia pako Jihad

  • @hossenisabo8745
    @hossenisabo8745 7 месяцев назад

    😭😭😭

  • @AbdallaKatagala
    @AbdallaKatagala 7 месяцев назад

    Hiyo ni dalili kuwa wa ghaza ni waumini. Na Allah atawalipa mabustani miongoni mwa mabustani ya peponi

    • @mozasultan1676
      @mozasultan1676 7 месяцев назад

      Amiin yarabi allahumma jaalna mín as. Habil ljannat

  • @FeisalDoctor-tn9vd
    @FeisalDoctor-tn9vd 7 месяцев назад

    Sheikh tunakuskiliz kutok pemba tunashkur kw kuwafumbua waislam weny akil zao mach kujua maadui w kiislam n wanafik ni akina nan

  • @mahatmohamed8392
    @mahatmohamed8392 7 месяцев назад

    kujaza watu hamasa bure. Allah akuongoze

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 7 месяцев назад +2

      Wee sibora ujinyamizie kimya sie wengine bwana roho zetu ndongo usituharibie swaumu tutatukana tumefunga bwana

    • @aminayusufu1918
      @aminayusufu1918 7 месяцев назад

      We nae huoni uchungu Palestine wakiuwawa hamasa gani unazungumzia wew?

    • @sayman158
      @sayman158 7 месяцев назад +1

      Wewe YAHUDI tuu VISALAFI vya zama hizi ni VITAHUDI TU
      ..TULIA WEWE KAMA MTOTO.WA KIKE NA MABWANA ZENU WA SAUDIA

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 7 месяцев назад

      @@sayman158 inshallah wallahi tusubirie sie na wewe nani yahudi na nani anabwana mzuri inshallah wallahi tusubirie

    • @tahiyasaeed
      @tahiyasaeed 7 месяцев назад

      Ukweli umekuuma enh! Kwani ungenyamaza ungegeuka? Upuuzi tu umekujaa

  • @nuruabdillahi9293
    @nuruabdillahi9293 7 месяцев назад

    Jazaakallahul kheir

  • @MatikuJuma-x7d
    @MatikuJuma-x7d 7 месяцев назад

    Shekhe naweza piga kwakua niwailamu na wanapiga nia dini ya Allha