Bahati Bukuku & Jennifer Mgendi Nipo Studio Pt 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 88

  • @onorinelwabanya3959
    @onorinelwabanya3959 5 лет назад

    Mtumishi wamungu bahati bukuku. Ukustali kucheza apo. Kwani niaibu kwa watumishi wote. Wanaomba kwa aki na kweli

  • @neemaboa3543
    @neemaboa3543 4 года назад

    Nilikuwa nunununu na leo nimecheka mungu ni mwema

  • @neemaboa3543
    @neemaboa3543 4 года назад

    Amina Mungu ni mwema

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 5 лет назад

    N hvi ndivyo ndoto za wengi zimevunjwa.. ona vile wivu inawamaliza walokudharau. Thanks to Bahati n Jennifer for this

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 6 месяцев назад

    Kwakweli mafanikio yana vikwazo vingi ila Mungu mwema

  • @webermary899
    @webermary899 6 лет назад

    Amina Amina nimejifunza mengi na wimbo huu.Mimi pia nimepitia haya.Kweli baba Mungu ni mwema Sana na nimwaminifu mno,tusikate tamaa Mungu hana upendeleo.

  • @christinabiyengo2955
    @christinabiyengo2955 8 лет назад +7

    Hongera dada Jenifer na wote mliogiza movie hii. Mungu azidi kuwatumia kutuletea filamu za kiinjili kama hizi ambazo unakaa unaangalia na watoto wako na kupokea mafundisho.

    • @merryphilimon6477
      @merryphilimon6477 5 лет назад

      bahat nakupenda kwenye mvi hufanyaji makosa vituko huwa havishi nawapenda kaz nzur mubarikiwe

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 лет назад

      christina biyengo hongereni sanaa dada jenifa mgend na dd bahat

    • @sixmundimassawe8541
      @sixmundimassawe8541 4 года назад

      Dunia mapito ya Bahati bukuku aliiondoa you tube sijui kwa nn,au alishinikizwa?

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 лет назад

    kwale bila wewe Mungu sisi hatuwezi kitu.lililopangwa na Mungu binadamu hawezi kulipangu.asante dada Jenifh kwa ujumbe mzuri

  • @randanomar2914
    @randanomar2914 8 лет назад

    Asante Africha Entertainment congrats kwa wacheza movie. subira huvuta kheri mama alidharauliwa mwisho akafaulu.

  • @geturudekhatushi9080
    @geturudekhatushi9080 Год назад

    Bahati bukuku akutaka bibi aembe bukuku amesikia wivu sn

  • @lusajoshitindi8310
    @lusajoshitindi8310 7 лет назад

    kweli usimlaumu mwanadamu ambaye naye anandoto ambazo hazijatimizwa
    Ndoto yangu ndoto yangu itatimizwa na Mungu
    Mungu awabariki watumishi wa BWANA mtimiza ndoto na maono

  • @maggiemwambapa900
    @maggiemwambapa900 8 лет назад +3

    Binafsi imenifariji nakujiona bado cjachelewa barikiweni sana watumishi wa Mungu

  • @tumusifurukabo839
    @tumusifurukabo839 8 лет назад

    Bahati kweli nakupendaga sana. mwiimbaji wangu.umenifurahisha sana.

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 8 лет назад +1

    amiiin bibi wani punga sana mungu akubariki

  • @sarahndumbu9876
    @sarahndumbu9876 8 лет назад

    Amina kwa kweli alichobariki mola hakuna wa kukilaani. Movie nzuri sana

  • @octavianjoseph3512
    @octavianjoseph3512 5 лет назад

    Mungu aendelee kuwapigania

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 8 лет назад

    Amen thanks for nice song is encouraging if you have a dream before you tell anyone you have to pray first thanks Bahati and Jennifer.

  • @geturude-ce7tn
    @geturude-ce7tn 9 месяцев назад

    bahati bukuku ako 😏😏

  • @awardiofficialtv2443
    @awardiofficialtv2443 7 лет назад +2

    jamani kweri peke etu bila ninyi hatuwezi mungu kaumba kila kitu tupate kutambua kuwa yu mwema mungu awa baliki sana jenifa na bahati bu kuku et ume wazidi wote

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 лет назад

    nipo studio 💃💃💃💃💃heeeeeewe mungu weee kanikumbukaaaaaa.Ashukuriwe mungu kanihurumiaaaaaaaaa🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

  • @priscilarkahindi9126
    @priscilarkahindi9126 8 лет назад

    bibi hongera! wanipunga CD zote!uko sawa sana bibi nakupenda

  • @africhaenquires9492
    @africhaenquires9492 8 лет назад +2

    watu wengi hawapendi wengine wakifaulu

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 5 лет назад

    Jamani kweli usikatishwe malengo yako na mwanadam

  • @YvonneTabby
    @YvonneTabby 8 лет назад

    Bahati umenifurahisha sana. It is a very nice movie God bless you all.

  • @silviailenji2786
    @silviailenji2786 8 лет назад

    Dada Bahati ubarikiwe sana kwa kweli unaweza nafurahia movie zenu ni za mafunzo sana...kwa kweli unafunga kafu?

  • @irenemwanaa8160
    @irenemwanaa8160 5 лет назад

    Hakika nimekumbukwa na mungu

  • @carolmmamatugi7515
    @carolmmamatugi7515 7 лет назад

    Mungu ni mwema wakati wote

  • @sirielypetrombise519
    @sirielypetrombise519 8 лет назад

    Amina Mzidi Sana kubarikiwa.

  • @mercedesphiri1609
    @mercedesphiri1609 7 лет назад +2

    Hongereni sana kwa kazi njema nimepokea somo lakini pia nimecheka saana 😂😂😂😂😂.Mungu awabariki Sana. Nitatimiza ndoto zangu.

  • @yohanamkopi1427
    @yohanamkopi1427 6 лет назад +3

    Nawapenda xana

  • @henrymusukwa7223
    @henrymusukwa7223 5 лет назад

    Hongera

  • @subiracharles8722
    @subiracharles8722 8 лет назад +1

    hongereni wapendwa kazi nzuri

  • @evelyneazenga8002
    @evelyneazenga8002 8 лет назад

    waimbaji wenye wivu hawajaitwa na mungu wako biashara.

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 лет назад

    hogera iyo wimbo imenimbamba

  • @jacqulinemoandi2511
    @jacqulinemoandi2511 5 лет назад

    Hi people nice songs 😙😙😙

  • @janeanyango5981
    @janeanyango5981 7 лет назад

    ubarikiwe. sana. nimejifuza

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 лет назад

    wa mbavu zangu kuku za kienyeji

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 8 лет назад

    movie zuri subra uvuta kheri

  • @dinakaluka4794
    @dinakaluka4794 8 лет назад

    ha ha bukuku unavituko ulifunga kavu siku Tatu aiswwe movie nzri cna mubarikiwe

  • @jellysmaarifa1172
    @jellysmaarifa1172 5 лет назад

    hongrn sana

  • @eddahwangila1325
    @eddahwangila1325 7 лет назад

    I like the song.

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 лет назад +1

    nipo studio

  • @emilykareha6387
    @emilykareha6387 4 года назад

    Amen

  • @happysonga4910
    @happysonga4910 8 лет назад

    mmetisha sn movies nzuli sn

  • @Quilant749
    @Quilant749 7 лет назад +1

    shikamoo bibi

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 лет назад

    weeewe mungu wee kanikumbukaaaaa💃💃💃💃💃💃💃

  • @ashileymother2041
    @ashileymother2041 6 лет назад

    Jaman mbona kama segeree

  • @kelvinnyagah2494
    @kelvinnyagah2494 7 лет назад

    Be blessed 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @stellanafuna871
    @stellanafuna871 8 лет назад

    Kweli kabisa ndoto yako itatimizwa na mungu bahati jamani bado anashangaa😃😃😃😃

  • @mercywambani589
    @mercywambani589 6 лет назад

    Wow

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 лет назад

    bukuku we noma dry 3 uwiiii

  • @elizamasangula2935
    @elizamasangula2935 7 лет назад

    amina

  • @terrietrizah3049
    @terrietrizah3049 5 лет назад

    Bahati noma, hahaaaa

  • @happymwaigwisya9750
    @happymwaigwisya9750 8 лет назад +1

    bahati bukuku 😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dada angu bahati una kipaji cha kuigiza. same to sister Jennifer mgendi. mbarikiweeee.

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 8 лет назад

    nipo studio👏👏👏👏👏

  • @sostenesswai778
    @sostenesswai778 6 лет назад

    Hahahhahaha aise bahat umenifurahisha sana nakupenda bure

  • @akinyililian3330
    @akinyililian3330 6 лет назад

    Haaa furaia easta umekumbkwa kweli

  • @witnesslidya9990
    @witnesslidya9990 6 лет назад

    kumbe nami bdo cjachelewa kwwny huduma yangu asnte kwa kunitia moyo

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 лет назад

    Saf

  • @cecilmanu2848
    @cecilmanu2848 7 лет назад

    Emmanuel

  • @happytimes9896
    @happytimes9896 7 лет назад

    waaah dada bahati eti ulienda tatu dry hahahahaha may God bless u for your good job

  • @gladookinoti6099
    @gladookinoti6099 8 лет назад +8

    hahaaa bahati umenivunja mbavu 😂😂😂😂eti ulimuombea cku tatu dry 😂😂😂😂

  • @witnesslidya9990
    @witnesslidya9990 6 лет назад

    bahati umenichekesha eti umefunga cku tatu kavu wkt ulimnyamba mbibi wa watu

  • @muratwezkwerhhahs3040
    @muratwezkwerhhahs3040 4 года назад

    😀😀😀

  • @Ansel.
    @Ansel. 8 лет назад

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa daaaaaaaaaaah nimecheka saaaaaaaaaaaana hasa BAHATI AMENICHEKESHA HATAREEE

  • @monicaisaya6143
    @monicaisaya6143 3 года назад

    Mama unawenge kinyama😂😂😂😂😂😂

  • @samuelwafula5703
    @samuelwafula5703 6 лет назад

    bahati hahaa,,wachekesha.

  • @aishaswaleh7166
    @aishaswaleh7166 8 лет назад

    hahaha vituko vya bongo hivyo

  • @caroline3442
    @caroline3442 8 лет назад

    Hahaha...... Bahati eti utamtafutia mwalimu wa kingereza, mmetisha xana 😶😶😶😶😶😶

  • @jeanibho6464
    @jeanibho6464 4 года назад

    😂😂😂😂 what a great 👍🏾 song

  • @jamilamoo8209
    @jamilamoo8209 8 лет назад

    hahahahaha dda bahati ulimfungia tatu kavu na huku mdomo waupinda mbarikiwe sana yote

  • @eliasgeorge1273
    @eliasgeorge1273 6 лет назад

    Ahahahahahahah! Nilikua nunu nunu!

  • @Benelagine
    @Benelagine 6 лет назад

    Hahahahha bahati unanivunja mbavu eti umemuombea

  • @lovenesssulley2872
    @lovenesssulley2872 8 лет назад

    ahahaha bahati bwana eti alifunga tatu kavu khaaa

  • @heriwokovujacob9650
    @heriwokovujacob9650 5 лет назад

    Hahahahahaaaa bibi Esta

  • @kelvinnyagah2494
    @kelvinnyagah2494 7 лет назад

    Be blessed 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 6 лет назад

    amen