🔴LIVE | JINSI YA KUMTOA MZALIWA WA KWANZA MADHABAHUNI | IBADA YA JUMATANO YA MATAMKO | 29 JAN 2025
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- IBADA HII INAKUJIA MOJA KWA MOJA KUTOKA KANISA LA VUKA YORDANI KISONGO WAYA ARUSHA - TANZANIA. IKIONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU BISHOP ELIBARIKI SUMBE, MWANGALIZI NA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YA GRACE EVANGELICAL CHURCH TANZANIA.
Mawasiliano / Whatsapp
+255 745 489440 | +255 782 550 710
Email:vuka.yordani@gmail.com
Tufuatilie Katika Social Media Zetu Kwa Links Zifuatazo :
/ bishopelibarikis. .
/ bishopelibariks. .
tiktok.com/Bis...
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #VukaYordaniMedia #GECT #Tanzania
#KisongoWaya #Arusha #Tanzania
Amen Asante Mungu ❤❤❤
God you’re so powerful 🙏🏾
Mungu akubariki mtumishi wamungu
Bwana Yesu asifiwe YESU naomba muondolee kila mipango yoyote ya adui kwa frank muepushe na roho zote zakumrudisha nyuma kwa jina la Yesu kristo Amen
Ahsante Kwa kutuhudumia Nimepikea Yesu
Acha Mungu aitwe Mungu
Glory to God alwa
Asante MUNGU Kwa Neema hii
Najiungamanisha na madhabahu hii ya vuka yordani
Blessed one
Yesu nisaidie
Aleluia aleluia aleluia 🙏🙏🙏🙏
Amen. Ee Mungu naomba uniponye mwili wangu wote na magonjwa yote ndani ya mwili wangu wote 🙏
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mme wangu namuunganisha na madhabahu hii ya vuka yordani, mungu amuondoe kwenye vifungu vya kuzimu ,ulevi, upagani na mengineyo, naomba roho mtakatifu afanye makao ndani ya maisha yake
Ninakushukuru Yesu kwa kupitiya kinywa ca mutumishi wako Elibariki sumbe tumefunguliwa mimi n'a familiya yangu
Amen 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Thank you Lord 🙏
Baba niondolee uzuni na kilio 😢🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amen Kwa maelekezo na ufafanuzi kuhusu hivyo vitu
Mungu ni mwema
Mm nakumbuka
Yesu Nachukuru na mimi kunipomya na kichwa kuwaka moto
Bwana yesu nisaidie kufungua kijana yangu ambao amekuwa juu juu saanaa,jina lako bwana lipewe sifa
Ameen🙏🙏
Mungu baba usinipite mimi pamoja Nafamilia yangu yote In jesus christ Name Amen 🙏🙏🙏
Mungu anipiganie vita vya plot yangu.
Ameni 🙏🙏
Amen amen amen
Bwana Yesu Kristo uliye hai nifingue ufahamu nielewe hata na unisaidie
Amen and amen 🙏🙏
NASHUKURU MUNGU KUPITIA MAFUNDISHO YAKO BABA NIMEFUNGULIWA
Ameeen
Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
AMEN AMEN AMEN 🙌🏻👏🏻👏🏻🙏🏻🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇺🇬🇺🇬
Amen
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Yes Lord
Santé
Senhor Jesus Cristo, a partir de culto, me toque hoje, no meu lar, minha vida financeira, transformar minha vida financeira, transformar minha mente, transformar minha esposa espiritualmente e carnalmente, meus filhos, minha família, remover todas maldição na minha vida, meu lar, minha casa, no negócio, na machamba, e todas parte da minha família que me pertence.
Amen
eeeeeeemeeeeeeeeennn! 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 eeeeeeemeeeeeeeeennn
Nipo hapa nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani kwenye katka jina la yesu kristo mwana wa mungu alie hai
BWANA YESU KIRSTO naomba unisaide
MUNGU nisaidie mm ndio 🥪🍞🥪🍞 bread winner n my family naomba fungua njia ya kupata pesa nimsaidie mama ngu Asante YESU neno lako linajenga sn amen 🙌🙏🙏🙌👏😊😊
Amen tuko wengi sana
❤mwenyezi mungu nisaidie pesanipate kuifungua familya yangu.
❤mwenyezi mungu nisaidie pesanipate kuifungua familya yangu.
❤mwenyezi mungu nisaidie pesanipate kuifungua familya yangu.
Ni mimi kabisa unipiganiye baba
Mm si mzaliwa wa kwanza lkn nyumbani kwetu nko kama mlinzi chochote kitakachotokea lazima nionyeshwe na Hua nahimizwa kufunga kwa ajili ya familia
BWANA leo naomba kadri ya ninavyo fatilia haya mafundisho nipe kibali nielewe
eeeeeeemeeeeeeeeennn
Mungu wa mbingun awabariki nyoteee
Mm nakumbuka
eeeeeeemeeeeeeeeennn 🎉🎉
eeeeeeemeeeeeeeeennn
Amina
Amen 🙏🏾
Amen
eeeeeeemeeeeeeeeennn
Amen 🙏
eeeeeeemeeeeeeeeennn
eeeeeeemeeeeeeeeennn
eeeeeeemeeeeeeeeennn