UTAMU WA PWANI: HALI NI NGUMU ZA KIMAISHA/ KILA MTU ATULIE NYUMBANI KWAKE / MSITUHARIBIE BAJETI!!
HTML-код
- Опубликовано: 15 ноя 2024
- Follow us on instagram : / thinkers_tv
: / utamu_wa_pwan
Kwa Matangazo / Habari Tupigie/ Tuma ujumbe kwa namba 06 87 42 92 33
#UTAMUWAPWANI
#TANGARAHA
#TANGANAMAENDELEO
#TANGAYETUSOTE
#KARIBUTANGA
#yanga #simba #wasafi #wcb #thinkerstv #milladayo #pwani#azamtv
Nakipenda sana kipindi chenu
Mungu awasimamie dada zangu , nawafatilia Sana na msipopost nahisi kifuto futo
Nawapenda bure
Maneno kuntuu nawapenda ❤❤❤❤
Utamu wa pwani. Nimeipenda sana hii. Sister B. Na Malkia wa Huba. Mmabirikiwe sana
Hali ningumu kwakweli nikutulia manyumbani 😀😀😀😀
Nipo Oman nimipata mtu wa Tanga mwenzenu
Wa kwanza Leo maneno kuntu mumependeza ma dada zangu
Umati wamtume muhamadi 😀😀😀😀
Nasisi tunawapenda sanaaa South Africa Durban
Asateni
😍😍😍😍😍😍
Iviii kwanii haw wadada hii project yao iliishia wapii mana wako vizurii sanaaaa tenah sanaaaaaa
Mnanikisha hatari
Malkia wa Huba umedamshi hatareee nakuelewagaaa
Ebu warudisheni tenah mzigoni wanajua sanaaa hawa msitufanyie ivyooo
😁😁😁❤❤💋💋
Ila watu wa dar wachoyo....kupendeza tu msosi shidaa
😂😂😂
Mtapatiwa ulinzii wa kutosha wapen ukweli
🤣🤣🤣
Maisha siku zote ni Mangumu dungu ni dungu
Khanga ya mfuo manake ninii!!???
Khanga ulizozitumia, wafua waziuza