HOTUBA YA KWANZA YA RAIS WILLIAM RUTO BAADA YA KUAPISHWA RASMI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 сен 2022
  • HOTUBA YA KWANZA YA RAIS WILLIAM RUTO BAADA YA KUAPISHWA RASMI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 73

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Год назад +5

    Hongera Wakenya tuliwaombea sana kwenye uchaguzi wenu. Mwenyezi Mungu amesikia kilio chenu na chetu. Hongereni kwa utulivu na uvumilivu wa kisiasa. Tumefurahia utulivu wenu. Kwani uchaguzi lazima atokee mmoja ashinde, na atakayeshinda ni Mkenya hivyo imependeza kuona mlivyotulia, na ndio maana hata Raisi wengi wamehuzuria wakiamini kuwa kuna Amani hiyo ni Ishara tosha ya Amani. Tunaendelea kuwaombea mtulie muijenge Kenya kwani hakuna nchi salama bali ni nchi yenu wenyewe na hakuna pa kukimbilia bali ni kutengeneza nchi salama yenu.

  • @joaobrazntuluka9163
    @joaobrazntuluka9163 Год назад +3

    hongera ndugu yangu Luto kwa kushinda na kuwa rais wa jamhuri ya Kenya, nakupa hongera maalum kwa hotuba yako ya kwanza iliyo jaa matumaini ya maisha bora ya mafanikio kuliko wakati wowte katika viongozi walio kutangulia, Mungu akujaalie katika mipango yako na jukumu zito la kuwaongoza watu wa Kenya. mimi ni Joao Ntuluka Pantana nikiwa hapa kwetu Mozambique Pemba City

  • @emanuelneriwa6745
    @emanuelneriwa6745 Год назад +3

    William Samoei Ruto one of the leader that God appoint him....i see the emage of African hero, I see the fortunate eye, I see the strength and straight on his arm God bless William Samoei Ruto.

  • @aminasalim2932
    @aminasalim2932 Год назад +3

    Thank you so much our President...Will forever love you...You have gave me alot of hopes Mr President...May Allah protect and guide you forever and May you live Long..Ameen

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Год назад +6

    Nice speech excellent 100% Mama pole kwa change of weather tunakupenda sana hope u feel better soon I love tz so much

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Год назад +8

    Very nice and deeply Tupendane east Africa I'm from Tanzanian

  • @kombedavis4056
    @kombedavis4056 Год назад +13

    R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo wa kwel na msema kweli daima.....wa kizazi hiki ktk Africa!

  • @adanmohammed4369
    @adanmohammed4369 Год назад

    Thank you wasafi for showcasing our country God bless you too 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Год назад +5

    Mr president Ruto make me to remember that speech ya Obama alipo apishwa mungu mkubwa sana tupendane sana east Africa tufanye Kazi that's ma 50sc from tz

  • @dastanmakame5185
    @dastanmakame5185 Год назад +1

    Hongera sana nakukumbusha Ikulu hakuna starehe ikulu hakuna biashara ikulu ni mahali patakatifu Ikulu ni Sehemu ya utumishi kwa wananchi kazi iendelee

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 Год назад +5

    Allah kweli ww unawwza.mungu mtangulie mjawako ayatende aliyo yaahidi msaidie na umulinde dhidi ya mahadui Amiin amiin thuma amiin

  • @aishaomar1845
    @aishaomar1845 Год назад +1

    Thank you so much for Air time for our Inauguration in Kenya🇰🇪🙏MUCH LOVE our brothers 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿#WASAFI MEDIA 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Especially 🦁💙💙💙💙💙💙💙

  • @ennyngalawa2809
    @ennyngalawa2809 Год назад +11

    Ndugu zenu watanzania tuliwaombea sana,na Amani itokayo kwa MUNGU itawale

  • @mummysalim2438
    @mummysalim2438 Год назад +3

    Amen wewe ndotulikua tuna Lilia tenda miujiza sasa mungu akutangulie kwakila hatua amen

  • @ronald_terer
    @ronald_terer Год назад +4

    "Magufuli" mwingine amezaliwa Kenya

  • @maimunashariffathman2073
    @maimunashariffathman2073 Год назад +3

    Thank you Mr. President for the port

  • @oscarpelesi18
    @oscarpelesi18 Год назад +8

    Mpaka nasikia wivu kwa maendeleo ambayo yatatokea Kenya...inaonekana wazi hata kwa asiyejua kitu.
    Kenya imepata rais..

  • @allysempiga4985
    @allysempiga4985 Год назад +1

    Congratulations to William Ruto

  • @ba-abada.1586
    @ba-abada.1586 Год назад +2

    Congratulations to Kenya. Proud democratic country

  • @BGHaule
    @BGHaule Год назад +1

    Vibe kama lote,this is God choices

  • @mbecheterombeche3375
    @mbecheterombeche3375 Год назад +9

    Magufuli kazaliwa Kenya

  • @sengiyumvajeannete4641
    @sengiyumvajeannete4641 Год назад +1

    Mungu akurinde pamoja na Kenya na wakenya

  • @ba-abada.1586
    @ba-abada.1586 Год назад +3

    Ruto will be the best president Kenyans will ever have.

  • @johnmalila1485
    @johnmalila1485 Год назад +4

    Hongereni Wanakenya MMEPATA RAISI CHAPA KAZI NA MTETEZI WA WANYONGE MWENYE HOFU YA MUNGU

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 Год назад +3

    Natamani nije kuishi Kenya maana mahakama ya upeo nimepanda bure. Pia hongera Chebukati kwa ujasili

  • @edwardlukuba9358
    @edwardlukuba9358 Год назад +1

    Great

  • @hamidumpota2722
    @hamidumpota2722 Год назад +1

    Ongereni wakenya

  • @tamrikznz7583
    @tamrikznz7583 Год назад +6

    TUMIYENI KISWAHILI BWANA NDANI YA ARDHI ZETU ZAKIAFRIKA.. TUTATUMIYA LUGHA LA WAKOLONI MPAKA LINI!!!! WAKATI TUKO NA CHAKWETU. KISWAHILI

    • @margaretmueni4595
      @margaretmueni4595 Год назад

      Kwani lazima kiswahili? Afadhali English kuliko kiswahili in fact Swahili sio lugha yetu asili yake ni Arabic na sisi sio waarabu.

  • @geneskimaro2892
    @geneskimaro2892 Год назад +1

    Congratulation to the peoples of Kenya and the new President

  • @emmanuelakyoo1651
    @emmanuelakyoo1651 Год назад

    What we see currently happening in Kenya is direct reflection of 2010 new costitution of Kenya. It is realy superb as democracy is concern.
    I salute all sisters and brothers of the soil of Kenya who fought tiresly and to the hilt at Bomas of Kenya for that beautiful document that is also a mother of all laws in any democratic government.
    This Katiba has pave way for a charimatic man Ruto to contest presidential election courageouly, fimly, and enventualy won it fairly and trasparently as the whole tallying exercise was done and shown by the Independent Electral and Borders Commission (IEBC)
    Surely democracy has now starts penetrating its root so well. Franky speaking Mr President it is our duty bound and your entire new democratic administration to make sure democracy must prevail in entire polical sphere in you country in order to build peace and tranquility thoroughout Kenya and let turmoil be an history of the past.
    Meanwhile, I would like to congratulate Supreme court of Kenya for the job well done from hearing the petition and giving the right judgement.Congratulation Madam Chief Justice Matha Koome and the six Judges you team up together in that duty. Also my congratulation go to former Chief Justice of Kenya Hon.Benard Maraga for stood firm in safeguard judicial independence during his tenure in office.
    Now let the jodicial systems around Africa try to borrow a leaf from jodiciary in Kenya in order to restore confidence to the general public on how courts operate and supervise justice in their respective countries as rule of law is concern to each country on the continet.
    Bravo

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Год назад +4

    Protect this God chosen President for the sake of Kenya. JPM copy huyu.

  • @onemuzungu7291
    @onemuzungu7291 Год назад +2

    President of BURUNDI 😁😁😁 🇧🇮🇧🇮

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 Год назад +6

    "There is God in heaven" 🤣😭🤣👏👏

    • @honestvalence
      @honestvalence Год назад

      Definitely there is only one God to him everything is possible

    • @happyvalence5352
      @happyvalence5352 Год назад

      @@honestvalence waoooo my brother 🤣🤣🤣 only God can make changes under the sun! 🌞

    • @ndaytelechal7717
      @ndaytelechal7717 Год назад

      @@happyvalence5352 q

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 Год назад +2

    Hongeraa sana mh rais mstaafu kenyatta ni fahari ya wakenya pia ni fahari kwako we ni kinara wa democrasia big up

    • @oscarpelesi18
      @oscarpelesi18 Год назад

      Kweli mheshimiwa Uhuru ameonyesha ukomavu mkubwa wa kiuongozi....ni kiongozi wa kukumbukwa natamani Museveni apate akili kabla waganda hajampa akili.....kweli maisha yanaenda kasi sana

  • @stelladomani4429
    @stelladomani4429 Год назад +1

    Mama Samia 😘 voice 🔥🔥

    • @enocksosthenes4505
      @enocksosthenes4505 Год назад

      Mwambie asikilize mipango ya rais wa kenya ajitathmini

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Год назад

      @@enocksosthenes4505 Naye anaenda kubana hali na kuweka matozo kama yote kwa jina la kulipa deni la taifa. Soon wataingia tabuni kama sisi.

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 Год назад +3

    Hv kuonyesha TZ mmelogwa uchaguzi ujao mnaweza tena mweka Shangazi enu 🤣

    • @mwaget0815
      @mwaget0815 Год назад

      Sasa wakiiba sisi tunafanyaje? Hatuna jinsi.

  • @evanskawishe7477
    @evanskawishe7477 Год назад +2

    Maguful uko wap jmn😭😭😭mbona nkimuona ruto nakukumbuka mm

  • @MohamedAli-tz6cr
    @MohamedAli-tz6cr Год назад +4

    I wish I can opportunity to Meet my 5th President to discuss about those are working in Gulf and their welfare....

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Год назад

    Nimefurahi kumuona Mama yangu Samia

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 Год назад +2

    Tuko Sasa na Rais apana cheka na mtu

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Год назад +2

    Kama mama wetu anaumwa mbna kikohoz kwa mbali

  • @ennyngalawa2809
    @ennyngalawa2809 Год назад +2

    Amepata kibali kwa BWANA

  • @J4UPro
    @J4UPro Год назад +2

    Copy ya Magufuli safi sana

  • @fanueltarimo509
    @fanueltarimo509 Год назад +2

    Umeanza na madikteta

  • @ngabualmorise2761
    @ngabualmorise2761 Год назад +1

    A

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Год назад

    Mama kasema Zawadi ya East Africa ni UCHAGUZI SALAMA.

    • @rockfailerntama4237
      @rockfailerntama4237 Год назад

      Mimi nasema zawadi ya kenya kwa EAC ni misingi ya haki katika taifa la Kenya iliyopelekea uchaguzi wenye amani.

  • @gospelguest694
    @gospelguest694 Год назад

    Congratulations people's of Kenya but we should be able to pray any time and everyday for your Honor President William Ruto a man from Heaven.
    He is around here for assignment from Jehovah so we must do as the military.

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 Год назад +4

    Tanzania kaenda nani

  • @elarifmohamed5681
    @elarifmohamed5681 Год назад +1

    Azali c'est président aux Comores c'est président dictature azali

  • @mundalikope581
    @mundalikope581 Год назад

    hujatutendea hki watanzania umetuweka wamwisho sarm kweri

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 Год назад +1

    Matiang yuko wap

  • @shabanramadhan2181
    @shabanramadhan2181 Год назад

    Vingereza vingi,kwan vpi wale wazazi wakijijin wanaelewa,ama ndo ukoloni unaendelea

    • @oren619
      @oren619 Год назад

      Kenya Kila MTU anajua kingereza

    • @oren619
      @oren619 Год назад

      Kenya Kila MTU anajua kingereza