GUEST YANGU 🏠🛀MKOJANI,SAMOFI CHANDIMU KAMUGISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2023
  • #guestyangu #mkojani #guest
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 260

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 8 месяцев назад +5

    Picha Kali hii itafika mbali hujawahi kukosea mkojani natamani siku moja nipige picha na wewe mana nakupenda mpaka naumwa by Hafidh Ali Juma From Nyarugusu Zanzibar

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 8 месяцев назад +6

    Leo Mke wa Samofi kawa mke wa mkojani 😂😂😂😂🔥🔥🔥

  • @user-bt2rl5pq2b
    @user-bt2rl5pq2b 8 месяцев назад +8

    😂😂😂😂😂Icho ndotulokuwa tukikitaka chandimu. Na boss wake kama mapacha aisee❤❤🇿🇦🇿🇦

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 8 месяцев назад +4

    Niliwambia Ile ya mwanzo ilikuwa rasha rasha mvua Sasa imemwagika karibuni mkojani geng tulikuwa tunawasubiri kwaham Sana 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @abubakarmahsan877
    @abubakarmahsan877 8 месяцев назад +8

    Ng'ombe wote watakujua safari hii😂 watching live from Kenya

  • @JOHAREHfilms2023
    @JOHAREHfilms2023 8 месяцев назад +4

    Jmn huyu mtu na baba ake nawapentaaa bureee♥️♥️ sio Kwa kunichezea huko kihindi me hoi🙌

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 8 месяцев назад +4

    Nawapenda San mkojan gang 🎉🎉🎉🎉kaz nzuri mungu awape afya njema muzidi kutupa burudani🎉🎉🎉🎉🎉

  • @samueledward109
    @samueledward109 8 месяцев назад +2

    Hapa nakubali kinoma

  • @muhaboy61
    @muhaboy61 8 месяцев назад

    Mkojani gang kwahii move nimeikuvali sana kabula ata sijaiangalia nikaielewa ni kwalit sana sana mpka laha

  • @staanostan4252
    @staanostan4252 8 месяцев назад +5

    Kenya tunawapenda Wana geng

  • @TanasherMolina
    @TanasherMolina 8 месяцев назад +2

    Nilikua nasubiri

  • @HoneysugarPudding
    @HoneysugarPudding 8 месяцев назад +4

    Jmn njoooooni mkojani kashusha kituuuuuuuu❤❤

  • @bensonmuindi7133
    @bensonmuindi7133 8 месяцев назад +1

    From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nafuatilia mkojani toka finya umoyo wakiwa na dulla makabilla

  • @peterndale3274
    @peterndale3274 8 месяцев назад +4

    Kitu kipya tayari,shabiki wenu kutoka kenya.❤❤❤❤❤❤ Makopa yenu wote

  • @saidferuz6220
    @saidferuz6220 8 месяцев назад +9

    Nimekuwa wa kwanza leo naombeni like zangu 👍

  • @Chilembatz
    @Chilembatz 8 месяцев назад +3

    WA Kwanzaa mkojani gang

  • @user-rh7ty7bt4d
    @user-rh7ty7bt4d 8 месяцев назад +2

    Ww mke haufai kuwa wa mkojani ni mkali ww nimke Bora unatakiwa uwe namume Bora Kama samofi mkojani bangua kichwa

  • @felistawakoni6713
    @felistawakoni6713 7 месяцев назад

    Kazi nzuri sana mkojan 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @HappyHappy-xk9yp
    @HappyHappy-xk9yp 8 месяцев назад +3

    Sasa series inaanza na chandimu anaianza na kupigwa 😂😂😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 8 месяцев назад +2

    Mkojani amepata mke

  • @rokayaa3303
    @rokayaa3303 8 месяцев назад +3

    Jamani kumbe kazi mpya tayari halafu ata hamsemi 😂

  • @user-zw2rw1jq4o
    @user-zw2rw1jq4o 8 месяцев назад +1

    Dah!! Nilikua natafuta mrithi was hayati majuto kitambo Sasa nimempataaaaa mkojani we no msta comed

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 8 месяцев назад +4

    One love mkojani gang watching from doha

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 8 месяцев назад +4

    tuko pamoja sana wapendwa timu mkojani gang

  • @kweturaha439
    @kweturaha439 8 месяцев назад +3

    Jamani mkojani anza yako tu njo inanimalizaga😂

  • @elihazinaduncan8271
    @elihazinaduncan8271 8 месяцев назад +2

    Mzgo mpya huo

  • @ShahrukhKhan-uq1xc
    @ShahrukhKhan-uq1xc 8 месяцев назад +1

    Mkojani kiboko kweli😂😂

  • @user-md5fg5mx5u
    @user-md5fg5mx5u 8 месяцев назад +3

    tuliwamisi sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mpambaalifo-ec3pd
    @mpambaalifo-ec3pd 8 месяцев назад

    sawa mkojani gang raha imerudi.mozambique

  • @Oficialkb
    @Oficialkb 8 месяцев назад +3

    Pamoja sana from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @asiakhamissalim2319
    @asiakhamissalim2319 8 месяцев назад +5

    Jamani mungu akulipe kila la kher mkojani yaani naweza kuwa na mawazo ila nikiangalia filamu zako nacheka hadi nakera watu😂😂😂😂😂😂😂😂 mkojani na chandimu mutanivunja mbavu😅❤

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 8 месяцев назад +3

    Mama chandimu humu kawa mke wa mkojani nimeipenda iyo nilijua kuna picha itatoka yenye mfumo huu

  • @nasraally4740
    @nasraally4740 8 месяцев назад +2

    Ujawai kukosea mkojani unajua baba❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-od7vz1xo4h
    @user-od7vz1xo4h 8 месяцев назад +4

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Dr Congo 🇨🇩

  • @HoneysugarPudding
    @HoneysugarPudding 8 месяцев назад +2

    No 2 kuview no 1 kulike❤❤❤❤

  • @rosewafula915
    @rosewafula915 8 месяцев назад +2

    Wow nilikua nimewamiss sana 😂😂😂😂❤

  • @bakuzawiston5401
    @bakuzawiston5401 8 месяцев назад +2

    Ume Tisha sana mkojan

  • @user-my3qv5jj1m
    @user-my3qv5jj1m 8 месяцев назад +2

    Mkojaniiiiiii gang oyeeeeee

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 8 месяцев назад +10

    Namba one nawamis from Omani 🇴🇲🇴🇲❤❤

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 8 месяцев назад +1

    Hii ndo movie sasa mkojani ila c o ile ya watoto ile inafaa kutazamwa na watoto wetu

  • @user-eh2jz8rw3o
    @user-eh2jz8rw3o 8 месяцев назад +2

    Hatimae kitu kipya kimetoka kutoka mkojani gang❤❤❤

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 месяцев назад

    Mmmmmh mzee mkojani hajui kmana mtoto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 vituko ivo

  • @SalumSimba-ye3de
    @SalumSimba-ye3de 8 месяцев назад

    Kazi kazi wanangu siwapingi jambazi tin Apa

  • @alimakame5127
    @alimakame5127 8 месяцев назад +1

    Wa kwanza

  • @user-cc2ym6hh7o
    @user-cc2ym6hh7o 8 месяцев назад +26

    Watching from Zenjii ❤❤❤❤ mkojani gang like hapa

    • @AdamuStar09-zz6bl
      @AdamuStar09-zz6bl 8 месяцев назад +1

      Zenji sehem gn bi harus

    • @AliK-tc2et
      @AliK-tc2et 8 месяцев назад +4

      tujuane wa kutoka zénj ndani ya mkojani gang ❤

    • @mohdsuleiman8458
      @mohdsuleiman8458 8 месяцев назад +3

      Zenji

    • @ZahaPrince-iv9gf
      @ZahaPrince-iv9gf 8 месяцев назад +2

      Zenj

    • @AliK-tc2et
      @AliK-tc2et 8 месяцев назад +3

      Vizuri tutatengeneza group letu ikiwezekana tutakujakutembeleana soon..au mnasemaje?

  • @rabaiayubu2042
    @rabaiayubu2042 8 месяцев назад +2

    Bindalueshi nakukubali sana

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 8 месяцев назад +2

    Abdala mzunda😂😂.. from mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @user-pn2wk3hu9j
    @user-pn2wk3hu9j 8 месяцев назад +1

    Nakubali chandimu Yuko ndani

  • @user-bt2rl5pq2b
    @user-bt2rl5pq2b 8 месяцев назад +1

    Mim sitaki lik yamtu ila naitaji kujifunza kitu kwenye igizo ilii❤❤🇿🇦🇿🇦

  • @MoussaAbdoul-wo3ur
    @MoussaAbdoul-wo3ur 8 месяцев назад +1

    Chandim ananiuwe kweli🤣🤣🤣

  • @WilsonKihanga-jb5fb
    @WilsonKihanga-jb5fb 8 месяцев назад

    😂😂chandimu mateso yapo palepale kwa mkojani

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 8 месяцев назад +1

    Mkojani GANG hamjawahi kufeliiii 😂😂😂😂 Great job😂😂😂😂

  • @user-bt2rl5pq2b
    @user-bt2rl5pq2b 8 месяцев назад +3

    Nilikuwa bz na kunyowa vichwa vyawa kosa Sasa mzigo mezani❤❤🇿🇦🇿🇦

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df 8 месяцев назад

    Huu mtoto Chandimu Mkojani kamuaharib vby mnoo.

  • @yohanandoni3170
    @yohanandoni3170 8 месяцев назад +3

    Mkojan is back to work

  • @samideekosani7157
    @samideekosani7157 8 месяцев назад

    Kazi kazi2

  • @joshuandurya9991
    @joshuandurya9991 8 месяцев назад

    ❤🔥🔥🔥 iko sawa

  • @almrisho1655
    @almrisho1655 8 месяцев назад +12

    Nipeni likes zang 😂 here we go🎉

  • @Sosthen.
    @Sosthen. 8 месяцев назад

    Mke Wa samofi Uyo jamani😂😂😂

  • @AloyceMathayo
    @AloyceMathayo 8 месяцев назад

    Uuunyama ni mwingii mzee mkojan gang ❤❤❤

  • @amour7693
    @amour7693 7 месяцев назад

    From south Africa❤

  • @wataratherence4746
    @wataratherence4746 8 месяцев назад

    Nawapenda sana Mkojani na Samofi pamoja na Kundi leno yote ndabakunda can ino Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HamisiFaraji-ej5mf
    @HamisiFaraji-ej5mf 8 месяцев назад

    Niliwamic sana mkojani geng like kama wapo waliwamic kama mm

  • @ussimachano3172
    @ussimachano3172 8 месяцев назад +1

    Mke wa samofi leo amekuwa mke wa mkojani

  • @user-ih7ln4mc5f
    @user-ih7ln4mc5f 8 месяцев назад +1

    Yaan nikiona episode imetungwa na Abdallah mzunda ndio najua movie nzuri

    • @ibrahimsalim7247
      @ibrahimsalim7247 8 месяцев назад

      A.k.a kipupwe ama mkojani bin daruwesh tarabush

  • @yurry_meh8911
    @yurry_meh8911 8 месяцев назад

    Naona wasanii wa white films na mkojani gang mnatuletea kaz nzur anyway Bwena hyooo hii imeenda

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 7 месяцев назад

    Big up 🎉wenetuuu

  • @user-sc7sn6ux2v
    @user-sc7sn6ux2v 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂 watching this from gulf

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 kazi imeanza kwa mkojani na chandimu dah ni shidaaa

  • @fredmwendwa1790
    @fredmwendwa1790 8 месяцев назад

    Mkojani ...anatisha sana😂

  • @saidothman8341
    @saidothman8341 8 месяцев назад +3

    Leo wapili comment naomba maua yangu jaman

  • @siniyunguruzajulias7908
    @siniyunguruzajulias7908 8 месяцев назад

    Nakubali sana mukojani

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 8 месяцев назад

    Chandimu ungwadu hukomi kua n baba huyo ushasaha kuchapwa n kufunwa kiguzoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ama ushazoea makonde

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 8 месяцев назад

    Wakubwa wakiongea chandimu kaa kando hahaha big up mkojani safisana

  • @user-bs7ut2tg7f
    @user-bs7ut2tg7f 8 месяцев назад +1

    Watching from zanzibar ❤❤❤❤

  • @witnesskessy9705
    @witnesskessy9705 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤ 🇹🇿 mkojani unanikosha sana😂😂😂

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 8 месяцев назад

    HUYU MAMA BIBI YA MKOJANI ANAKITU SANA
    MAMA POKEA MAUA YAKO WEWE UNAJUA NA UNAJUA TENA

  • @kim_siwa20067
    @kim_siwa20067 8 месяцев назад +1

    Watching from Finland 🇫🇮❤❤

  • @IslamAliIslam-ul1yp
    @IslamAliIslam-ul1yp 3 месяца назад

    Hhhh mkojani ni balaa 😂😂😂

  • @mjuni_hardware
    @mjuni_hardware 8 месяцев назад +3

    😂😂😂Big up Mkojan Gang

  • @user-ts6fh4si3m
    @user-ts6fh4si3m 8 месяцев назад

    Nice one❤❤❤

  • @user-ob3bp5hz4g
    @user-ob3bp5hz4g 7 месяцев назад

    Mkojani yupo vizur kitambo

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 8 месяцев назад

    Nyieee mkojan mashavu et nini

  • @user-yk2ed8vh3y
    @user-yk2ed8vh3y 8 месяцев назад

    🙌👐🙌🙌🙌🙏 unajua kaka kama kwetu

  • @aminali2677
    @aminali2677 8 месяцев назад +1

    🔥🔥🔥❤🇸🇦🇰🇪

  • @swaleheadolph
    @swaleheadolph 8 месяцев назад

    Sanaaaa

  • @faidhacute
    @faidhacute 8 месяцев назад +1

    😂😂et chandi

  • @saidhussein951
    @saidhussein951 8 месяцев назад

    Daruweshi🙌🙌🙌♥️

  • @shamemasoud7542
    @shamemasoud7542 7 месяцев назад

    Duh, from Pemba

  • @johnolimiri778
    @johnolimiri778 8 месяцев назад

    watching Live from kenya Nairobi parklandi

  • @byambokazawadi1014
    @byambokazawadi1014 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 mkojani 🎉🎉

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 8 месяцев назад

    Love from ..🇳🇬🇳🇬

  • @aminatwalib318
    @aminatwalib318 8 месяцев назад +1

    Jamani mpka rahaaa❤

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 8 месяцев назад +1

    much love

  • @Fc_mobile202
    @Fc_mobile202 8 месяцев назад

    kali sana ❤❤❤👊👊

  • @reginavanyakwile1801
    @reginavanyakwile1801 8 месяцев назад +1

    Niliwamiss kweli ♥️♥️♥️ from Moçambique 🇲🇿

  • @suleOficialtz8451
    @suleOficialtz8451 8 месяцев назад

    Big up brother

  • @mosalah857
    @mosalah857 8 месяцев назад

    Ila uyu mama mke wa mkojan namuelewaga sna

  • @moorebreezy6701
    @moorebreezy6701 8 месяцев назад +1

    Wa pili leo