WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 авг 2021
  • Kwenye kipindi hiki, Kibena anaonyesha ujasiri kwa kushiriki habari na marafiki zake.
    Tuma ujumbe na neno UTU kwenda +12349001234 kwa whatsapp ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuanzisha na kujiunga na kilabu cha UTU katika jamii yako.
    Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
    Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
    Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.
    Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: www.ubongo.org/shows/showtimes/
    www.ubongokids.com
    / ubongokids
    / ubongotz
    Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!
    www.ubongo.org
    Imewezeshwa na Templeton World Charity Foundation.
    #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu #UTU

Комментарии •