WEMA SEPETU;Sitamani tena Mtoto/Nilimuomba RAIS anisaidie/Nasubiri maajabu ya MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 173

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 лет назад +15

    Haki Kuna nyimbo ya dini inasema Usikate tamaa usikate taama kwanini wemasepetu unaniliza mimi 😭😭😭 lnshallah allah ndio mpaji wayote🙏🙏🙏🙏

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад +72

    Inaonyesha hili swali la mtoto linakuumiza sana ila bac tu huna lakusema, ila inshallah, Allah Kareem utapata mtoto Wema usikate tamaa.

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 лет назад +36

    Inshallah wema love ......ALLAH akusaidie katka kaz zako na kujalia heri upate mume uhalalishe ujaliwe watoto 4 InshaAlLah ameen yarabi🇰🇪 👌🇯🇲

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 6 лет назад +33

    Mwenyezi mungu atakufanyia wepesi iko siku utapata mtoto usikate tamaa kila jambo hujakwawakati ninaimani ipo siku mungu atatenda

  • @fatmax8710
    @fatmax8710 6 лет назад +16

    Usikate tamaa kwa kazi yake Allah kwa mungu hakuna kinacho shindikana kwanza upate ndoa ikesha mungu akupe mtoto mwema inshaallah

  • @madengekimario7034
    @madengekimario7034 6 лет назад +7

    Mungu akufanyie wepesi kipenz upate mtoto ...una moyo mzuri sana wema..nakupenda sana madam

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 лет назад +15

    usikate tamaa mungu yupo muamini mungu ata kupa hitaji la moyo wako usikate tamaa

  • @fatmaali9358
    @fatmaali9358 6 лет назад +19

    Ndoa mwanzo halafu mtoto badae

  • @miriamsadick4248
    @miriamsadick4248 6 лет назад +15

    Matured interview and answers

  • @j.samathewzhaqj.samathewzh2159
    @j.samathewzhaqj.samathewzh2159 6 лет назад +2

    Wema nakupenda sana,Wema Umelowanisha Sim yangu kwa machozi,ALLAH ni wetu sote atakufanyia wepes, unajibu Maswal like mashine, Uko sahihi sana kwa kila Jibu.... Uskate tamaa,nakupenda mumy

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 лет назад +10

    Naumia akiulizwa swali la mtoto

  • @hopechidera
    @hopechidera 6 лет назад +3

    Mungu anaweza yote Wema naamini utazaa nawewe utaitwa mama soon in Jesus Christ Mighty name🙏🙏🙏watu wanaposema kwamba haiwezikani ndipo Mungu huwa anatenda🙏🙏🙏

  • @zuwenaphillipssosnowka8935
    @zuwenaphillipssosnowka8935 6 лет назад +13

    Be patient, people have been going through hell on earth concerning getting kids. Good things on the way coming, baada ya kila zito hufwata na jepesi. Subra muhimu sana.

  • @kamenemercy954
    @kamenemercy954 6 лет назад +26

    Ata nyinyi wenyewe mnaezajiorganise mkawa na mfuko wenu ukawasaidia... ila hela nyingi mnaharibu na birthday parties na show offs.

  • @maryamkhatau4038
    @maryamkhatau4038 6 лет назад +2

    In shaa Allah mie nakuombea kwanza upate mume bora then Allah awaruzuku Watoto wenye kheiri na nyie Allahummah amiin

  • @gloryjimson8353
    @gloryjimson8353 6 лет назад

    da Wema usikate tamaa Mapema kumbuka Mwomba Mungu hachoki Mamaangu amini ipo siku utapata mume mwema na utamfurahia utapata watoto Mpaka mwenyewe ushangae, pia usikate tamaa kwenye kazi zako Pambana mama Mungu yupo pamoja na wewe daima. 💞💞💞💞💞 wema sitaki kulia Mimi sitaki Maliza bhana.

  • @mariamaly6590
    @mariamaly6590 6 лет назад +3

    usjali madam wema mtoto utapata Kwa uwezo wake Allah Ila tafuta mume ili tupate mtoto wa halaliii mamyyyy ilove you mwaaaaaaah💐💐💐💐

  • @magymagy2156
    @magymagy2156 6 лет назад +8

    Kwanza uyo apo ajuwe ata unavyo mujibu mu English @# 2 usikate tamaha ww bado mdogo. Utapata mtoto tu 100% 3 maisha yako ulishaka yaweka wazi zamani sana, bila kujielewa 🙄🙄🙄

  • @sharonbenbiah7484
    @sharonbenbiah7484 6 лет назад +1

    My cute darling, love you all the way from Liberia 🇱🇷 🇱🇷 🇱🇷

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 6 лет назад +10

    Hio kweli kabisa wema

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 лет назад +3

    Wema mungu anakupenda atakupa mutoto mama takuombeya sana mama je t.ame bien ma belle

  • @azizaomari4348
    @azizaomari4348 6 лет назад +29

    wema leo umeongea vizur hujabana sauti

    • @husseinsalim288
      @husseinsalim288 6 лет назад +2

      etihajabana..alivyoanza sivyo alovyomaliza😛

    • @scollorpatrick7214
      @scollorpatrick7214 6 лет назад +2

      Hongera mama usijali maneno

    • @angelsanga6566
      @angelsanga6566 6 лет назад +1

      Aziza Omari huna aibu nyoko ww wema lini kabana sauti mxyuuu hzo fitina sauti ya wema hajawai kubana sema anakua acha roho mbaya ww pimbi

  • @mariabernard2532
    @mariabernard2532 6 лет назад

    Nakupenda madam hayo mambo ya kupita yasikukatishe moyo #team wema

  • @mayamohamad710
    @mayamohamad710 6 лет назад +15

    😘😘😘😘penda wema wangu utamfanya hamisa akazidi kusoma English 😂😂penda my wema usijali uko sawa tuu Kila kitu achia Mungu 😉😉team wasafi

  • @alicenjoroge351
    @alicenjoroge351 6 лет назад +15

    Wema bado ww mdogo utapata mtoto jiodoe na mambo mbaya ya dunia uombe mungu msahamaha kwa makosa umewai fanya than mungu atakupee mtoto usijitharao i now one day utapata mtoto

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 6 лет назад +1

      alice njoroge kweli kabisa...

    • @alicenjoroge351
      @alicenjoroge351 6 лет назад

      @@aishakhamis2996 mungu ndie kila kitu na ni yeye ako na maisha ya mtu sio watu dont worry dear

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 6 лет назад +1

    No, No, sweetheart, don't give up Please be patient, and am sure God will do good things to you, isipokuwa watu wameongea , wengine wamekutukana, BUtT Don't Forget GOD has heard them!! kwa hivyo Be patient some people take Much longer and you are still Young, don't worry, Wema, things will be well, and we Believe God one day God will do His Miracles! Relax Baibe, and we all Love you.

  • @medissavero
    @medissavero 6 лет назад

    Mungu yupo na wewe.💗💗💗

  • @aishakhamis2996
    @aishakhamis2996 6 лет назад +2

    umependeza wema.....❤❤❤

  • @haibahassan1244
    @haibahassan1244 6 лет назад +1

    we nawe suali gani hilo unamuuliza mwenzako .mxieww😂😂😂😂😂

  • @stevebuddah7875
    @stevebuddah7875 6 лет назад

    Kindly....in which bio can one find this movie pls?

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 6 лет назад +1

    Umejibu vzr sana, mungu atakusaidia utapata tuu mtt,

  • @epifaniapaul9993
    @epifaniapaul9993 6 лет назад +1

    Wema pole sana mama angu...ila hawa waandishi jaman ,wema mtu akikuulza utazaa lini na we muulze utakufa lini ...maana yote ni majaliwa ya Mungu....
    mnajua kabsa anahangaika kupata mtoto mnamuulza ili iweje ,mnamuumiza jaman

  • @wambuiwamboci2783
    @wambuiwamboci2783 6 лет назад +3

    Issue about your desire to have a baby IS also your personal life n you should also try n keep it low.....you don't owe anybody any explanation Wema

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 6 лет назад

    Usikate tamaa Wema Mungu yupo, kuna my Inlaw 44yrs alizaa now is 2 weeks

  • @zainabumronga9342
    @zainabumronga9342 6 лет назад

    Usikate tamaa na rehema za mola wako,Allah atakupa inshaallah,umeongea point Wema Wangu

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 6 лет назад +10

    Amependeza sana huko kupungua

  • @firdausabdullah6315
    @firdausabdullah6315 6 лет назад

    Don't give up my dr allah sw atakuruzuku biidhiallah

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 6 лет назад +3

    Omba ndoa Allah atakupa na mtt insha Allah

  • @jasminfantasticiddy4307
    @jasminfantasticiddy4307 6 лет назад +1

    good sana wema.👌

  • @mchuumchu9801
    @mchuumchu9801 6 лет назад +6

    Tumechoka na habari za wema kila siku,kwani hakuna wengine?

    • @tausihatarijuma7605
      @tausihatarijuma7605 6 лет назад +2

      Mchuu Mchu kwani umelazimishwa kumtazama si uvunje simu

    • @sish7012
      @sish7012 6 лет назад

      Lichawi utalijuwa tu anatangaza ushoga tu

  • @lulunnk8321
    @lulunnk8321 6 лет назад +2

    vyote utapt mamy mungu akufanyie wepesi mpnz

  • @cleopatraefatha3859
    @cleopatraefatha3859 6 лет назад +2

    Happiness magese hakuwaza kama atampata so hata wewe naamini utapata tu mtoto mungu yupo wema

    • @deus8629
      @deus8629 6 лет назад

      happines magese tatizo lake haikuwa kutoshika mimba ni tofauti na wema... Happiness tatizo lake lilikuwa ni maumivu sana hasa kipind cha hedhi na damu nyingi solution ilikuwa azaee mtoto na kufunga kizazi.

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 6 лет назад

      @@deus8629 alishindwa kupata kawaida ikabidi apandikize

    • @christianfarouq3534
      @christianfarouq3534 6 лет назад

      Cleopatra Efatha truly

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 лет назад +2

    Inshaallah wema Aĺlha atakujalia

  • @saidaabdallah4309
    @saidaabdallah4309 6 лет назад

    Mungu Atakusaidiaa Wema Utapata MTT Wemaa? Usikate Tamaa Wema!

  • @zuhuramdee9063
    @zuhuramdee9063 6 лет назад +1

    allah kareem wema uckate tamaa mungu yuko pamoja na ww

  • @clariritha5898
    @clariritha5898 6 лет назад

    Wakati wa Mungu upo dada yangu. Muliliye Mungu naamini ipo siku Mungu atakushangaza nawanao kuzunguka wote wataona makuu ya Mungu.

  • @supertalanta6838
    @supertalanta6838 6 лет назад

    Nakupenda sana csta wema but jitahidi uongee kiswahili...

  • @elizabethmakunga2900
    @elizabethmakunga2900 6 лет назад +1

    No wema, usikate tamaa kipenzi changu, umri wako natumai kunasiku utapata mtoto, mungu atatenda kwa wakati wake

  • @annyrutty657
    @annyrutty657 6 лет назад

    Yaan Wema ukiongea kiingereza unaniacha hoi napenda sana aisee

  • @Cendrillon1417
    @Cendrillon1417 6 лет назад +1

    Get married first then U will have kids !!! Put ur trust in Allah 💯

  • @41970
    @41970 6 лет назад +1

    Mungu ajawahi kuwahi wala kuchelewa,atakupa kwa wakati wake,usichoke kumwomba

  • @adidjarams5196
    @adidjarams5196 6 лет назад

    Dada yangu wema Sijue unaomba Mungu gani akupe mtoto wa zinaa, Fanya istighfar Kwa wingi Allah akusamehe makosa yako, akupe mme halali pia akupe na mtoto Jaribu hivo sweetie Allah atakunyia wepesi Insha Allah

    • @sish7012
      @sish7012 6 лет назад

      Uo nimtihani tu wa Mungu wangapi wapo kwenye ndoa atamtoto hawana huyo hamisa au zari mbona watoto wote wazinaa

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 6 лет назад

    Jamani MUNGU akuhurumie "Eti chochote atakaco MUNGU kianze" sasa utapataje mtoto if you don't have husband.... Ask for wedding fist and everything will come later

  • @magrethhaule1940
    @magrethhaule1940 6 лет назад

    Mungu ni mwema.atajibu kilio chako nawe utaitwa mama

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 6 лет назад +6

    Mwanadada una malengo makubwa

  • @happydany684
    @happydany684 6 лет назад +1

    wewe nae usikate tamaa wng utapata tu mtoto kisauti cha mahaba mashallah mtoto utafikili ukubalehe utotoni mwaaa penda sn wewe

  • @latifas7780
    @latifas7780 6 лет назад +4

    Okie...

  • @priscapascal8877
    @priscapascal8877 6 лет назад

    Mungu atakubariki siku yako ikifika wacha watu waongee manake hawanaga cha kufanya tunakuombea mungu n mwaminifu siku yako itafika

  • @mwajumahassan6656
    @mwajumahassan6656 6 лет назад +1

    So cutee swithat

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 6 лет назад +1

    😍😍😍😍😍😍

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад +1

    Point Wema

  • @halimamaggy8551
    @halimamaggy8551 6 лет назад +1

    kwl kabisa wema

  • @rabeccashabani8785
    @rabeccashabani8785 6 лет назад

    nawashaa sana watanzania mbona kilasiku munamuuliza wema kuhusu mtoto? laajabu wanawake pia wanamuuliza hivi nyiye mkoje wema bado haja olewa kwa hiyo maswali yakipuuzi acheni. wema bado young girl akishaolewa Basi the almighty God atambariki nawatoto kwanza huyo bado bikira

  • @munam7104
    @munam7104 6 лет назад +4

    Mungu ata kupa wema wewe bado mdogo muomba mungu hachoki

  • @florabaruti8032
    @florabaruti8032 6 лет назад

    mungu ni mwema utakata mtoto mda ukifika

  • @mgenikhamis3697
    @mgenikhamis3697 6 лет назад +1

    Woyoo tz sweetheart

  • @Wardaskitchen1
    @Wardaskitchen1 6 лет назад +1

    Ndoa kwanzaa jamani watoto baadae😯

  • @mathadominiko4117
    @mathadominiko4117 6 лет назад +1

    Go synagogue of all nation in Nigeria the problem out believe

    • @faumash831
      @faumash831 6 лет назад

      True she should go there and see prophet tb joshua

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 6 лет назад

    Sasa mbona idris anakurushia madongo? Kumbe mwaenda kambini kufanya movie yaani yeee anajiona mpaka akibusti ndo tujue USHATOA KASIRI 😁😁

  • @juliepotami659
    @juliepotami659 6 лет назад +1

    Sauti hii sio ile ya wema tuliyoizoea

    • @priyankasuleiman3327
      @priyankasuleiman3327 6 лет назад

      Ila ni nzuri

    • @imaniamani7671
      @imaniamani7671 6 лет назад

      Wema omba ndoa kwanza mpenzi.kisha mtoto na pia Mungu hapendi watu wanaokata Tamara.wakati wako bado ukifika utapewa ndoa na mtoto ila tulia

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 лет назад +1

    Anajipa jipya uyu wema sikuizi kila siku maneno niayo ayo tu 😡😡😡

    • @jmcohuru1312
      @jmcohuru1312 6 лет назад

      Same questions same answers what do you expect akiwa anulizwa swali moja kila mara?

    • @sish7012
      @sish7012 6 лет назад

      Mbona ww unafilwa mkunduni kila siku unasehemu nyingine malaya mchafu ww

  • @nrecords7222
    @nrecords7222 6 лет назад +2

    du kinge kingi mno

  • @michaelcanisius1615
    @michaelcanisius1615 6 лет назад

    dd wema wakati bado haujafika wakati wako ukifika mungu atajibu hakuna wa kupinga zidi kuwa krb na mungu.

  • @minahjumaa4471
    @minahjumaa4471 6 лет назад +1

    U a mzur wema

  • @hadija846
    @hadija846 6 лет назад +1

    Amiin 🙏
    My dear Wema 💋 😘 💕

  • @rabeccashabani8785
    @rabeccashabani8785 6 лет назад

    lakini dawema maswali hayoyote vumiliya sababu ulijiwekawazi mwenye nashangaa kumbe bado njo uko 28 lakini nawasio kupendana umewatangaziya uzaifuwa wako kuhusu swala la mtoto. ninge kuomba umwachiye mungu kaziyake atakupa pale yeye anataka usiwe Kama unamshurtisha mungu. anatowa kwamdawake vumiliya muujizawako unafika

  • @farajakitiku1551
    @farajakitiku1551 6 лет назад

    wema dada usikate tamaaa njoo nikupeleke kwa mtu moja naamini utapata

  • @sophiajumah4808
    @sophiajumah4808 6 лет назад

    Tafuta mtoto yatima ulee km wako Mungu atakufungulia njia

  • @irinekatumwakatumwa6606
    @irinekatumwakatumwa6606 6 лет назад

    Wewe bado nidogo mumy kama ni mtoto utapata tu. Na usiache kuomba

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 6 лет назад +1

    Ivi wewe mdada wewe kwanini uwa unagangania ilo swali?
    Yani leo umeshidwa kujuzuiya hadi ume muuliza mwenyewe.
    Do ushibe najibu ulilo pewa 😏
    Uisha fanya nini toka uajiliwe dizzin?
    Salama mfanyie semina uyu

  • @kenya-yj3eq
    @kenya-yj3eq 6 лет назад

    Wema bado uko mdogo kwa nini walia mtoto kila mara mtoto atakuja na wakati wake Usijali

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 лет назад

    tz sweethert mwenyewe mwache mbu alonge ww pinga kazi

  • @mohammedheroo8651
    @mohammedheroo8651 6 лет назад

    Jmn wema iyoo saut mbn inakua mby saiv

  • @sish7012
    @sish7012 6 лет назад

    usipende kujifanya unajuwa dini kupitia matatizo ya mwezako ukitaka kuesabu watoto wazinaa mbona Tanzania nusu zima watoto wazinaa eti anamtafuta mtoto wazinaa wangapi wamezaliwa kwazinaa mtoto anapanga Mungu wangapi wapo kwenye ndoa watoto hawaja pata

  • @zainabguthera7923
    @zainabguthera7923 6 лет назад

    28years still young wema

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 6 лет назад

      No noe is perfect! so don't bother what people say,What can tell sister never give up! about having a baby,your dream will come One day because God is Alpha and Omega.

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 6 лет назад +1

    Sasa hujaolewa hizo miracles zinatpkeaje hy mimba itaingiaje

    • @sish7012
      @sish7012 6 лет назад +1

      Wote walio nawatoto wameolewa wakati ww mwenyewe mtoto wazinaa jifunze kujieshimu

  • @rabeccashabani8785
    @rabeccashabani8785 6 лет назад

    mchuu chu or what so ever kwani yanakuhusu nini. wema kipenzi chaote kamahutojali watch wengine dawema tuachiye tunaomupenda

  • @dotomohd9156
    @dotomohd9156 6 лет назад

    Kweli huku tz htn support kbs tunashushuliwa nawatu kilasiku kuwa film zakibongo sio, jmn usipo support vyanyumbn unadidimiza kipato chandani

  • @AbdulWahid-hp8qr
    @AbdulWahid-hp8qr 6 лет назад

    Usikate tamaa

  • @azizaabeid123
    @azizaabeid123 6 лет назад +1

    Ila sauti yake bwanaa duh

  • @masahwakatabana4137
    @masahwakatabana4137 6 лет назад +1

    Africans need better writers and producers/directors. African movies are terribly made. same stories different scripts. once a movie start we can predict the end. Boring movies, they focus on beautiful women and big houses...they loose the concept of the story. Stories that don't inspire to think.

  • @Jospinkethiajoskey
    @Jospinkethiajoskey 6 лет назад

    Mtoto?tafuta kwanza baba!!!

  • @silviagustavo416
    @silviagustavo416 6 лет назад +1

    Tukalime 2 kama kuigiza tz hatujui

    • @sish7012
      @sish7012 6 лет назад

      Ww mwenyewe umekimbia kijijini kwenu

  • @neemamrema5389
    @neemamrema5389 6 лет назад

    well amaaaaaaa

  • @Rizikiskitchen
    @Rizikiskitchen 6 лет назад

    Unafikiria kubeba mimba na nani unapaswa uwe na mtu ao mme njo utakua unajitangaza eti huwezi kubeba mimba. Unapenda upate mimba ya hawa vijana wakupita pita???? Halafu Makita.gaza etu uwezi shika mimba. Think about this Wema I'm telling you have a boyfriend or a get a fiance.

  • @fashiryjumanne3568
    @fashiryjumanne3568 6 лет назад

    Mpaka saiv hujaliwa tu uzae due😀😀😀😀😀

  • @julessebintu6525
    @julessebintu6525 6 лет назад

    Mbona anazeeka

  • @asuntaasunta4204
    @asuntaasunta4204 6 лет назад +2

    mmh pole

  • @rachelhaward5857
    @rachelhaward5857 6 лет назад +1

    nice madam much lv 2 u umedamxhi sana

  • @iddmsham196
    @iddmsham196 6 лет назад

    endelea
    kufanya tu dadaangu! utapata
    mtto