MUNGU atupa zawadi na furaha ambazo ni watoto ila wengine hua laana ukubwani ila all in all wanawake huzalisha chuki kwa watoto baada ya kutengana na mume nashukuru sana mama yangu ulitengana na baba Mimi nikiwa mdogo sana lakini uliwahi kunisisitiza niwapende wazazi wote na mama yangu mdogo Yani mama wakambo nimuheshimu pia mama yangu alikua shupavu aisee mama yangu wa kambo hadi Leo kuna watu hawajui kama ni mama wakambo one all the time 🤝
Mm pia Mamangu alitengana na baba nkiwa na umri wa miaka kumi lkni alikua atuusia kwamba tumpende na tumheshimu baba ye2 sababu hatuwezi kupata baba mwengine duniani ila yy tuu
Wazazi tunapitia changamoto sana kutokana na aina yawatu tunaoo zaazaoo eengine mkiachana wanakuwa nachuki za ajabu naudui wa ajab wallaah mungu ndie mjuzi zaidi wahili
Nampendaje mtoto ambaye hathamini upendo wangu kwake na hana shukrani na bado hanipendi kiasi kushirikiana na mtu aliyetaka kuyaondoa maisha yangu?sijui ila binafsi ktk ubinadamu huu wa damu na nyama ni ngumu sana .
niatari sn kweli iyo ndokazi yawanawake yy 50cent ni bb nakama ni bb amsamehe kilakitu kilapwa apaduniani n'a yy uyo mtoto wa 50cent watoto wake nao watamfanyia ivyo sote tunalipa madeni
Kinachoonekana hapo ni mama ndie aliyempandikiza chuki,na hii imo kwa akina mama,unajuwa sisi akina baba tuna tabia ya kumpa mama pesa kumhudumia mtoto sasa hawa wenzetu wanatumia sababu hizo na kumwambia mtoto kuwa hizi huduma no mimi ndie ninayekuoiga ia mwanangu baba yako yuko bize ,wala hajali. Sasa mtoto anapoambia hayo huona kuwa baba hampendi ila.mama ndie anayempenda. Sumu huoandikizwa na akina mama.
@@rajabmwasangala5472 kuna wengine hawaudumii watoto wao, mimi nina watoto wawili na najilelea watoto wangu pekeangu tangu wakiwa wadongo, yaani hawajanunuliwa chochote hata kalamu, unathani nitawafundisha watoto wangu kumuudumia baba yao? Twende mbele turudi nyuma, cwezi lea watoto pekeangu alafu niwafundishe watoto baba yao ni mzuri yeye ndio utoa uduma kusudi wasaidie cwezi na cwezi na cwezi kabisa, saa hii mtoto wangu wa kwanza anaenda secondary, mimi nijikakamue pekeangu kutoka unyao mpaka utosini uniform pear mbili, viatu, saduku mattress, mashuka, school fee etc, everything, na babake anafanya kazi na anapata pesa kubwa, alafu mtoto akifanikiwa bac ni wa baba, haiwezekani kabisa, hila huyo wa 50 cent anafanya makosa cos anasaidiwa, akicheza atapata laana
Yupo sahihi kumchukia hata kama akiwa wangu nitamchukia na kumsahau kama ni wangu mtoto lazima awaheshimu na kuwa tii wazazi wake ila hapo mama ni sumu
Watoto wa Amerka Ulaya wanapewa kila kitu ila hawana Adabu wala heshima kwa wazazi kutokana na katiba na sheria zao mbovu Na Wazazi hawakai na watoto wanapelekwa kwenye vituo wanalipia mtoto ananyonyeshwa muda mfupi sana Mila za kiafrika ni nzuri kuliko wao ukipewa mtoto mmoja week moja ukae nae utampakia ndege arudi aliko toka utafikiri siyo binadamu
Mitoto ya miaka hii tuzae tu ,kini ni ya hovyo sana,hebu imagine halitaki kufanya kazi,linataka liishi kistaa tena kwa makusudi ni kama linamkomoa dingi na linamkazimisha M/Mungu nalo liwe listaa,pumbfu kabisa,na hapa nahic mama yake ndo kaliharibu toto hilo kwa kudhani atamkomoa 50 cent.🤔
Mitoto yasikuizi ni Mibedui nimeona jana Instagram kunamzee amemkataa mwanae kisheria kwa maandishi na asisogelee mali zake akiwa yupo hai adi akifariki na asirithi
Ni tabu sana wazazi wanapoachana na watoto kuishi na mama zao lazima watapandikizwa chuki kutoka kwa mama zao, kama hiyo pesa ni ndogo si akatafute zake.
Bro hv habar ni nzur sana, hasa znapokuwa ndef kama hv 🔥🔥🙏
MUNGU atupa zawadi na furaha ambazo ni watoto ila wengine hua laana ukubwani ila all in all wanawake huzalisha chuki kwa watoto baada ya kutengana na mume nashukuru sana mama yangu ulitengana na baba Mimi nikiwa mdogo sana lakini uliwahi kunisisitiza niwapende wazazi wote na mama yangu mdogo Yani mama wakambo nimuheshimu pia mama yangu alikua shupavu aisee mama yangu wa kambo hadi Leo kuna watu hawajui kama ni mama wakambo one all the time 🤝
Shukuru ulibahatika
Mm pia Mamangu alitengana na baba nkiwa na umri wa miaka kumi lkni alikua atuusia kwamba tumpende na tumheshimu baba ye2 sababu hatuwezi kupata baba mwengine duniani ila yy tuu
Hata mimi pia
hongereni,, sisi tulitengwa kabisa lkn hatujalipa ubaya kwa mzee sasa tunampa Haki yake ila yeye ndio anateseka akikumbuka
@@Dantaata bora hata wew anakumbuka, wengin walifanya mambo ya ovyo kabisa, na bado kwenye uzee hawajajiona kua waliwahi kutenda makosa makubwa
There's Something Special About This Video 📺 🌟. Like your Content 👀, You all welcome KENYA 🇰🇪
Nimempenda sana hii story asante sana. 13.11.22.
The person you love the most will Hurt you the most
Exactly
Absolutely true
Absolutely yes
Mtihani yarabbi Allah atupe vizazi vya kheri aamin yarabbi
Amin
Da wanawake wanapandikiza sana Chuki kwa watoto..yaani huwaaingiza watoto kwenye ugomvi wao..
Mitoto kama hiyo ipo mingi duniani, yani kwakeli ni mtihani sanaaaaa,
kama mtoto mungu anampa bahatii ya kua na baba kama huyo alafu ana muona kama matamvua respect to 50cent maamuz yak sahihib
Mtoto ndio Hana shukran na kajazwa sumu naMama..hata mm nisingeweza kumpenda mtu amabaye hatosheki na upendowang
Mitoto Kama hii Bora Ife tu
Binafsi' mwanangu akionesha chuki kwangu bila sbabu za msingi kama huyo, namptezea tu
Kabisa
Kbsa
Wazazi tunapitia changamoto sana kutokana na aina yawatu tunaoo zaazaoo eengine mkiachana wanakuwa nachuki za ajabu naudui wa ajab wallaah mungu ndie mjuzi zaidi wahili
Unajua wanawake Ni watu ajabu yaan huyo mtoto mpaka kufikia huko Ni sumu kutoka kwa mama ake
50💯
Well reported...well crafted...
Sheddy,,,tafadhali naomba simulizi Moja la shadd aquarium ilioko Chicago.tafadhali kwa mara ya pili.ili niombi langu kutoka Kenya.
yes ofcourse
Noma sanaaa
Nampendaje mtoto ambaye hathamini upendo wangu kwake na hana shukrani na bado hanipendi kiasi kushirikiana na mtu aliyetaka kuyaondoa maisha yangu?sijui ila binafsi ktk ubinadamu huu wa damu na nyama ni ngumu sana .
Mtoto ana tabia mbaya sanaa
Mama wa huyo mtoto ni mshenzi sana
Sipuuzii kazi zako man pamoja sana
Bora amepata mtoto mwingine wakumpa furaha maana huyo wakwanza nihatari!!!
jcoman artist...please samehaneni..
Noma sana
please Justin sheb tuletee story ya rose alienusurikaga kwenye ajali ya titanic 🙏
Nice
Kwanza hajamchukia labda niseme hivyo anampenda kwangu mambo yangekuwa tofauti sana
niatari sn kweli iyo ndokazi yawanawake yy 50cent ni bb nakama ni bb amsamehe kilakitu kilapwa apaduniani n'a yy uyo mtoto wa 50cent watoto wake nao watamfanyia ivyo sote tunalipa madeni
50 yuko sahii
😂😂😂😂😂wanafaa kugeuzwa kuwa pesa kama pesa wanazopewa haziwatoshi.... atowe wao bana waache kelele zisizoleta faida
Nimeumia jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, anayo haki ya kumchukia ila km atajirudi na kutambua makosa yke! Amsamehe tu
Ivi unamjua uyo mtot yan nikiburi sijapata kuon
Inasikitisha Sana ila hii sumu yote uyu dogo aliyo nayo kapewa na mama yake
Kweli kabisa
Kinachoonekana hapo ni mama ndie aliyempandikiza chuki,na hii imo kwa akina mama,unajuwa sisi akina baba tuna tabia ya kumpa mama pesa kumhudumia mtoto sasa hawa wenzetu wanatumia sababu hizo na kumwambia mtoto kuwa hizi huduma no mimi ndie ninayekuoiga ia mwanangu baba yako yuko bize ,wala hajali. Sasa mtoto anapoambia hayo huona kuwa baba hampendi ila.mama ndie anayempenda. Sumu huoandikizwa na akina mama.
@@rajabmwasangala5472 kuna wengine hawaudumii watoto wao, mimi nina watoto wawili na najilelea watoto wangu pekeangu tangu wakiwa wadongo, yaani hawajanunuliwa chochote hata kalamu, unathani nitawafundisha watoto wangu kumuudumia baba yao? Twende mbele turudi nyuma, cwezi lea watoto pekeangu alafu niwafundishe watoto baba yao ni mzuri yeye ndio utoa uduma kusudi wasaidie cwezi na cwezi na cwezi kabisa, saa hii mtoto wangu wa kwanza anaenda secondary, mimi nijikakamue pekeangu kutoka unyao mpaka utosini uniform pear mbili, viatu, saduku mattress, mashuka, school fee etc, everything, na babake anafanya kazi na anapata pesa kubwa, alafu mtoto akifanikiwa bac ni wa baba, haiwezekani kabisa, hila huyo wa 50 cent anafanya makosa cos anasaidiwa, akicheza atapata laana
Yupo sahihi kumchukia hata kama akiwa wangu nitamchukia na kumsahau kama ni wangu mtoto lazima awaheshimu na kuwa tii wazazi wake ila hapo mama ni sumu
ukweli nikwamba lait ingelikua mm ndio 50 ninge bet yani kuozea jeala ningetafuta wauwaji wamuuwe
Hakika kwa stail hii n sawa tuu kumchuki n kutokumpenda mtt wake yaan aistail kbs
Sawa kabisa nilikua nampenda ila sasa no
Mtoto mshez kwa maelezo tu mama ndo amemlea vibaya
50 hana kosa lolote, shukrani ya punda ni teke, uyo mtoto akatafute zakwake Kama babayake anavyo hustle!! Jack from Australia 🇦🇺
Co kweli dogo anazngua
50 is right
Wa kwanza 🎉
Mmmh kweli mungu hasemi uongo kwamwe wanawake ni fitna kubwa sana
Watoto wa Amerka Ulaya wanapewa kila kitu ila hawana Adabu wala heshima kwa wazazi kutokana na katiba na sheria zao mbovu
Na Wazazi hawakai na watoto wanapelekwa kwenye vituo wanalipia mtoto ananyonyeshwa muda mfupi sana
Mila za kiafrika ni nzuri kuliko wao
ukipewa mtoto mmoja week moja ukae nae utampakia ndege arudi aliko toka utafikiri siyo binadamu
That's common to the Black people...
wazazi sometimes jauu..wanazingua sana
Asimchukie ni mwanae tu ila atafute muda wa kumuelewesha kuhusu hali halisi ya maisha.
Waiting… wa 2
Heri amepata mwengine huyo mkubwa sura mbovu na tabia pia kama sura zake na mamake wote hawatosheki
Better find your job you have enough support. Go through the forest
Bila shaka mama wa mtoto amechangia mtoto na baba kugombana
Ogopa Sanaa mtoto akilelewa na Mama tuu😣
Weee a anajazwaga chuki balaa
Sio wote waliokosa imani ya mungu.
Kwari 50 ana aki
Yupo sawa huyo mtoto mbwaa
Mtoto msariti nae asaritiwe 2
Namkana maisha naenda mpaka maakamani kumkana kisheria mbwa kabisa huyo mtoto.nyoooo namkana kisheria najina langu asitumie shetani mkubwa.mtoto wakiume anaingilia ugonvi wawazanzi mzenge kweli
Hii ipo live au
Mzee embu fanya utulete history ya tajili aliye mpiku mukeshi ambani kuwa tajili namba moja india
Tobaaa
50 cent yupo sawa na Hilo ni tatizo kubwa la akina mama ikitokea kutengana na mume la kwanza Huwa ni kutengeneza chuki kati ya watoto na baba
Natamani upendo wa baba yangu lakini siwezi kumuona
Haki yake kumchukia toto alina heshima
Yan mtoto wangu anifanyie ujinga hivyo...namwita vizur na kuja kumpiga kipigo ambacho hata sahau kila akiniona ana pata presha
Hapana tutumie Busara na hekma kwasababu tunaweza kupiga kumbe ndio tunampoteza kabisa ndugu yangu
🤣🤣🤣🤣🤣
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏
Uyo mama ake ndo kamwaribu wanawake huwa wanaaribu watoto afu sis hatunaga shida na watoto kbsa
50 ajilaumu mwenyewe Kwa kutendekeza mtoto,asimchukie kamwe
Mimi nimeumia sana pole kaka huyo mwanamke mwezangu hana akili
Majib ya 50 yanaonesha bado anampenda mtoto wake ila mtoto sasa
Huyu mtoto wa Kwanza chizi Hana adabu
Wanawake ndoo chanzo Cha kufanya wazazi wachukiane na watoto.
Anayo haki ya kumchukia mtoto wake.
Jmaaaa kajizaa mwenyew ndo maana hapendi kinachoendelea
Mmh afai na asimuamini kumpa nafas atakuja uliwa namwanae
Aachane nae ,maana hata nabii nuhu aliachana na mtoto wake akafa na maji.
Ako na haki ya kumchukia tena sana
Ampeleke huyo ndondocha kule Wodi ya Vichaa. Au hata amtafutie dokta wa hayo.
Hata senti tano simpiii
Yes, 50 akae mbali na huyo kiumbe!
Mitoto ya miaka hii tuzae tu ,kini ni ya hovyo sana,hebu imagine halitaki kufanya kazi,linataka liishi kistaa tena kwa makusudi ni kama linamkomoa dingi na linamkazimisha M/Mungu nalo liwe listaa,pumbfu kabisa,na hapa nahic mama yake ndo kaliharibu toto hilo kwa kudhani atamkomoa 50 cent.🤔
Hata ningekuwa Mimi ningemkataa maana mtu unajitahidi kuhudumia alafu haoni unachofanya unampenda haoni Kama unampenda
Tena 50 cent anatakiwa kukaa mbali nahuyo mwanae kwasababu kitendo chakuwa naukaribu namtu alie taka kumuua babaake inaonesha dhahiri dogo alifurahishwa nahilo jaribio
Mtoto ndo mshenzi ugomvi wa wazazi wako utaingiliaje wewe mtoto acha asote 50cent yupo sawa kabisa
Mitoto yasikuizi ni Mibedui nimeona jana Instagram kunamzee amemkataa mwanae kisheria kwa maandishi na asisogelee mali zake akiwa yupo hai adi akifariki na asirithi
Mtoto akishanza manug"uniko ya uongo jisepee atafute vyake
Siwezi mpenda Wala kumsamehe mtoto kama huyo,, anashirikiana na adui 😡😡ipo siku ataamua baba yke..
Ni tabu sana wazazi wanapoachana na watoto kuishi na mama zao lazima watapandikizwa chuki kutoka kwa mama zao, kama hiyo pesa ni ndogo si akatafute zake.
Hapo mwenye tatizo ni mama atakua kamlisha masumu sana uyo mtoto
toto kama hlo la nn sasa 50 hana shida mtoto na mama yake ndio wana matatizo hao
Dogo aliharibiwa namamaake
Wamama wanaharibu Sana watoto yaan
Hataki kufanyiya kazi sheziii ya mtoto
Tatizo linakuwa la mama kumjaza sumu mtoto kisa wao kuachana basi anataka na mtoto na baba waachane
Watoto wa mastaa ni wapuzi sana
yaani toto limefikisha umri wa kujitegemea na bado Lina razimisha kuhudumiwa ,,tena hata kufanya kazi halitaki ,senge kweli hili,,laana
Babake kazisaka kweli hjtania sasa huyo choko cjui antk nn
Shida ni mama , yani wazazi mkigombana Mama ndo unywesha wstoto sumu kali kuliko ile ya blackmamba!
Dogo anazingua sana
Mtoto ni mshenzi kalishwa sumu na mama yake
Toto kubwa hakili ndogo
Uyo nimtoto ao nibilisi😏
Kama pesa haimtoshi si ameshafikisha miaka 18 ,atafute zake sasa, mshenzi mkubwa na mama yake ndio aliemlisha sumu
toto km hili unaliacha kuna siku litakuja tu lenyewe
He is no longer a child but full grown up man he should go get a job and make a living for himself. Very spoiled nd rude boy.
Mungu Atunusuru ila Toto kama Hilo Ni laana Tupu 50 yuko sawa uyo Atafute zakw
Ndio baya halafu jinga