"MNAPOKEA VIJIJI VIKIWA NA HALI MBAYA YA MIGOGORO YA ARDHI NENDENI MKASHUGHULIKIE" OLE SENDEKA....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 6

  • @timothyngoyei3052
    @timothyngoyei3052 12 дней назад

    Hongera sana Oldonyo Media kwa taarifa nzuri

  • @Yohanatulito-r1m
    @Yohanatulito-r1m 12 дней назад

    Bg up sana oldonyo media hakika mna tupa Habari moto moto

  • @ElishaMbowe
    @ElishaMbowe 11 дней назад

    Kwl hapa kuna kaz watu wamefumbwa macho hv c huyu sendeka alitishiwa na bunduki si huyu alikalishwa bungen sababu ya kutetea wananch bado mzki ipo mbele itawatokea puan

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 12 дней назад +1

    Teteeni chama ambayo itakuja kutuuwa na kuwahukumu ikitunyang'anya aridhi yetu

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 12 дней назад

    Ngorongoro waliuwawa kwa kupigwa risasi wamama wazee na watoto bila kukosa lakin ni aridhi yao ndio wananyang'anywa sasa Simanjiro ndio imebaki kulia kilio cha Ngorongoro

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 11 дней назад

    Ardhi iuzwe mara ngapi sio kwamba ngome hawajitambui mtabakia hivyo hivyo