AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE-SIFAELI MWABUKA OFFICIAL VIDEO:SKIZA CODE DIAL *860*413#

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 380

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +77

    NI MAOMBI YANGU KWA MUNGU wewe mpendwa wangu mwaka huu Mungu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE wale watesi wako waulizane imekuaje tena,Nani kamtendea uwajibu ni yuleyule mtenda miujiza asiyefananishwa na chochote sema amen kama unamwamini Yesu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE daima.

    • @everlineogake2417
      @everlineogake2417 2 года назад +5

      Amen naami ya kwamba atanipa ushuhuda Kwa imani be blessed alot your songs are full of blessings

    • @janejenipher5142
      @janejenipher5142 2 года назад +1

      Amen asante Yesu my artis never disappointe ubarikiwe

    • @chocolatevivian830
      @chocolatevivian830 2 года назад +1

      Amen ❤️ ❤️

    • @annojwang7582
      @annojwang7582 2 года назад +3

      Nimepokea kwa jina la Yesu.nitashudia kwa jina la Yesu.More grace servant of God,much love from 🇰🇪

    • @soljetpd4108
      @soljetpd4108 2 года назад +1

      Amen.

  • @sarahbuluma9837
    @sarahbuluma9837 2 года назад +2

    Nami nabarikiwa nikiusikia wimbo huo.mungu anipe ushuhuda sasa washuhudie.mpendwa uinuliwe kwa jina la Yesu.

  • @sawasawa9477
    @sawasawa9477 17 дней назад +2

    Profate comedy has made me know this sweet son🎉🎉🎉

  • @ndgithuka
    @ndgithuka 2 года назад +1

    Azindi kutupea ushuhuda... Mkuu ni Mungu, Yesu mwanaee baraka yetu ya milele...Halleluyah

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

    • @ndgithuka
      @ndgithuka 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Thanks sir.. when you are blessed am blessed too...Excell to higher heights in all good areas...Humbled the work you are doing is great...

  • @trizahmacharia956
    @trizahmacharia956 Год назад +6

    I woke up to this song hearing it from a nighbour and had to come hear and search... I watched it in tears all through😢😢😢 because I have been praying to God to give me a spouse and change my name like He changed Jacob's and let my enemies witness His wonders and I believe He will answer in Jesus name... Thank you for this Sifael🙏.

  • @juddiewandera
    @juddiewandera 2 года назад +2

    Neema ya Mungu na izidi kuwa juu yako kwa kumruhusu Mungu kukutumia jinsi hii. Nina imani kwamba Mungu atanipa ushuhuda ili maadui wangu waone na waaibike

  • @simonotieno4211
    @simonotieno4211 29 дней назад +3

    Wimbo nzuri kweli, thanks to profate comedy.

  • @FaithMwenesi-e4n
    @FaithMwenesi-e4n 24 дня назад

    Mungu fanya jambo Kwa maisha yangu adui zangu washuhudie🙏🙏

  • @KevinOkemwa
    @KevinOkemwa Год назад

    Mungu nipe ushuhuda watesi wangu washuhudie katika jina la yesu..Amen

  • @lynnetshiko
    @lynnetshiko Год назад +1

    Mungu sI mwanadamu.Akisema yes ni yes.Hakuna wa kupinga

  • @elviskiplagat8191
    @elviskiplagat8191 24 дня назад +5

    Profate comedy led me to here nipeeni likes

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +14

    "Thank you all for walking this journey with me. I appreciate your support and endless love on my content. I sincerely hope to keep singing for The Lord and show Him how He has changed my life. Thank you all once again. Don't forget to like, share and subscribe to my channel 🙏🏽" God will bless you more
    My Contact details:
    Whatsapp: +255719482223
    Am based inTanzania/Dar es salaam
    May God bless you all!

  • @lynnetshiko
    @lynnetshiko Год назад +1

    Huu Wimbo umenigusa sana sana. Mungu nipe ashuhuda wangu

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 года назад

    Nipe ushuhuda YESU wangu....Watesi wangu washuhudie...

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

  • @Millie-q6x
    @Millie-q6x Год назад +1

    God intervene in Jesus mighty name 🙏

  • @jobashikoye8403
    @jobashikoye8403 11 месяцев назад +6

    2024 is my year of being lifted from one glory to another. God give me a testimony this year .take me to another higher level. In Jesus Name

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  10 месяцев назад +2

      Thanks for your support. I appreciate it... Mungu akubariki sana nakushukuru mno usiache kufuatilia kazi zangu. Subscribe and share with others

    • @JosephMaingi-l8r
      @JosephMaingi-l8r 8 месяцев назад

      Amen

  • @monicaajwang9763
    @monicaajwang9763 2 года назад +1

    Asante kwa kunipata tumaini la maisha yangu, Eeh Mungu nipe ushuhuda maadui washuhudie, barikiwa mtumishi

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi 2 года назад

    Thankyou God kweli mungu ndiye amen amen ukweli nope ushuuda washuudie niwewe mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen asante sana kwa kutazama kazi zangu/ thanks for your support be blessed more please share my contents to others

  • @ChristopheMu
    @ChristopheMu 8 месяцев назад

    Mungu wetu ni moja kweli,wimbo huu unanifurahishaka sana

  • @martha7941
    @martha7941 Год назад

    Wakati wa mungu is the best nangojea ushuhuda wangu,,,,mungu

  • @stargirlshazlah3621
    @stargirlshazlah3621 8 месяцев назад

    Amen 🥳🥳🥳🥳🥰🥰🥰Mungu azidi kunipanulia mipika ile adui zangu washuhudie nikiinuliwa🔥🔥🔥💃💃💃👏👏

  • @laurahblessing8561
    @laurahblessing8561 2 года назад

    Bwana asifiwe milele... Amen amen 🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen asante sana kwa kutazama kazi zangu/ thanks for your support be blessed more please share my contents to others

  • @makomerepauleric1211
    @makomerepauleric1211 6 месяцев назад

    Wajue mungu wetu yupo... Na washuhudie❤❤❤❤❤❤❤

  • @judithmbugo474
    @judithmbugo474 Год назад

    haki Mungu akubari sana maana wimbo huo Mimi naupenda sana na hunanifundi jinzi mambo huwa kwa maisha

  • @mitchelleirenemamunye6435
    @mitchelleirenemamunye6435 Год назад +2

    Mungu nime uhushunda..huu mwaka..am not late.. Wat a ncy song

  • @nancyosoro7153
    @nancyosoro7153 2 года назад

    Mungu wa sifaeli naomba unipe husuda wasudie kwangu nami papa🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼

  • @emmanuelmanuh774
    @emmanuelmanuh774 2 года назад +3

    This year I have to testify in jesus name... Amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @davidkalume8268
    @davidkalume8268 2 года назад

    Zaidi ya mungu kukupa ushuhuda.mungu afunike kipaji hiki chauimbaji maana vipaji vyauimbaji vinawinda na yele muovu blessed man of God.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel

  • @joselineapoma8730
    @joselineapoma8730 2 года назад +2

    My favorite song, praise God my powerful singer,hii wimbo niimbe mara ngapi nitosheke nayo,ooh mwambiye baba nipe hushuhuda washuhudie💃💃💃💃💃💃❤❤❤hallelujah hallelujah MUNGU wangu wangu wa mbinguni shuka sasa washuhudie touching my heart Amen

  • @emilyshibelengemukabwa7132
    @emilyshibelengemukabwa7132 2 года назад

    Wow wow Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa wimbo wa baraka nitashudia kwa Jina la Yesu 🙏

  • @josphatmiyienda7784
    @josphatmiyienda7784 28 дней назад

    Mungu atupe ushuhuda Amen

  • @carolineabonyo2108
    @carolineabonyo2108 2 года назад

    Kweli Sifaeli nyimbo zako Yani inua Rohoni mungu azidi kutumia be blessed

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @AbbyKhave
    @AbbyKhave 16 дней назад

    Nani ako hapa 2024 🙌🙌 my favorite song😊

  • @IRENEIRENE871
    @IRENEIRENE871 Год назад

    Mungu WANGU nipe ushuhuda bwana wangu

  • @rachealomondi3747
    @rachealomondi3747 2 года назад

    Always God sends message through some body and God has send sofaeli for us to change us haki Mimi hupenda nyimbo zako zidi kutuinua Na ubarikiwa pamoja Na familia yako

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @eldahspeke1769
    @eldahspeke1769 4 месяца назад +2

    MUNGU nipe ushuhuda washuhudie

  • @DeborahWarioba
    @DeborahWarioba 7 месяцев назад +1

    Eee MUNGU wangu..mwaka huu 2024 ...usinipite naomba unipe ushuda Baba 😭.Badilisha historia yangu..Nina kwamini BABA🙏🙌

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  7 месяцев назад

      Thanks for following up with my work. Please like, subscribe and share with others. Be blessed.

  • @NicodemusKisel-de9vh
    @NicodemusKisel-de9vh 6 месяцев назад +2

    Mungu atupe shuuda mm Niko nazo nyingi tu barikiwa mtumishi nimebarikiwa kweli Ni tamtam kutoka shimba hils Kwale county

  • @duncankimani8542
    @duncankimani8542 Год назад +1

    It's my continued prayer 🙏🙏🙏

  • @justermwamlima5602
    @justermwamlima5602 2 года назад

    Amina... Mungu akuinue zaidi ya hapo na ufanikiwe Rohoni na mwilini

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @uwasequeen160
    @uwasequeen160 2 года назад

    Alelua Mungu wangu nipe ushuhuda
    Niseme Nini kaka ubalikiwe sana

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @PriscaMso.GmailKyalo
    @PriscaMso.GmailKyalo Год назад

    Hio ushuhuda ndio nangoja mungu aniteende

  • @salastinhail5165
    @salastinhail5165 2 года назад

    Celestine nabwire amen amen, ubarikiwe sana mungu akuinuwe sana kwa huo wimbo unanijenga sana may lord lift you higher,amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @ThasmanYT
    @ThasmanYT 7 месяцев назад

    mungu nipe ushunda baba yangu nikubuke na mimi baba yangu kupitiya iyi nyimbo niko nasikiya siku ya leo baba yangu nipe ushunda yesu wangu wauruma

  • @nelvinachieng7069
    @nelvinachieng7069 2 года назад

    Nyimbo zako zabariki,Mungu azidi kukupa nguvu uzidi kutuhubiria Kwa nyimbo hizi zatupa moyo sana

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @sandramudeyi5047
    @sandramudeyi5047 11 месяцев назад

    Mungu nipe ushuhuda wangu

  • @ridamtalagat2047
    @ridamtalagat2047 2 года назад +10

    Amen it's a touching song🔥🔥🔥🙏🙏thanks for giving us encourage,,mungu akubariki saana akuongesee nguvu ufanyie kazi yake,,Amen Amen keep going

  • @Jeffharon-o5g
    @Jeffharon-o5g 2 месяца назад +1

    Nitakusifu siku zote

  • @annojwang7582
    @annojwang7582 2 года назад +3

    This year I must testify in Jesus name

  • @everlineogake2417
    @everlineogake2417 2 года назад +3

    Amen it's a touching song thanks for encouraging song be blessed always@mwabuka nipe ushuhuda Yesu 🤲🤲🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @vincentkorir5944
    @vincentkorir5944 8 месяцев назад

    Subura huvuta heri, Mungu unipee ushuhude

  • @mwanaheriomar1415
    @mwanaheriomar1415 2 года назад +3

    Barikiwa sana kaka Sifa, wimbo unaujumbe wa kujenga na kuinua

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      Amina barikiwa sana Asante kuwa na Mimi katika huduma yangu, wewe ni baraka kwangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA

  • @AnnKamau-nl1wg
    @AnnKamau-nl1wg 6 месяцев назад +1

    Nipe ushuhuda Baba.🙏🙏🙏

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 2 года назад +3

    Wacha washuhudie! Ngoma yenyewe inabariki sana. More love 💕💕 from Kenya 🇰🇪🇰🇪. #emmanuelbrownke

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @beatriceitata4776
    @beatriceitata4776 Год назад

    Asante sana mtu wa mungu 🙏

  • @SamwelMarwa-e5s
    @SamwelMarwa-e5s 6 месяцев назад

    MUNGU wetu ni mmoja akukumbuke ❤❤❤❤❤❤

  • @GladysChemurgor-fg4jz
    @GladysChemurgor-fg4jz 3 месяца назад

    Aky pastor niombee sina maisha poa

  • @Jeffharon-o5g
    @Jeffharon-o5g 2 месяца назад

    Ni wimbo wa moyo❤❤❤

  • @dennisomollo2513
    @dennisomollo2513 3 месяца назад

    Mungu niondoe kwa umaskini jinsi wamenizoea ,unipe ushuhuda washuhudie.

  • @mavutibenson2231
    @mavutibenson2231 2 года назад

    Hakika Mungu atanipa ushuhuda nishuhudie, Asante mtumishi kwa kazu nzuri

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen be blessed more thanks for watching and subscribe my channe

    • @mavutibenson2231
      @mavutibenson2231 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL I subscribed long time ago mtumishi

  • @kikimwangima1463
    @kikimwangima1463 2 года назад

    From kenya ... Your songs really bless my soul... Nitashudia soon kwa jina la yesu ..! Be blessed mtumishi...

  • @phyliskandagor4515
    @phyliskandagor4515 17 дней назад

    Profate comedy lead me hear..
    Very sweet song ❤🎉

  • @nancyKendi-c8t
    @nancyKendi-c8t 2 месяца назад

    I received this message this song is touching my life

  • @mathewomondi9814
    @mathewomondi9814 2 года назад

    Washuhudie kweli Amen

  • @mercyevans5902
    @mercyevans5902 2 года назад +1

    Amen,,,nipe ushuhuda Mungu 🙌🙌

  • @abelmagare-ew6uj
    @abelmagare-ew6uj Год назад +1

    God give your children testimonies and to you be the glory amen.

  • @ruthtitus3297
    @ruthtitus3297 2 года назад

    Ushanipanguza machozi Yahweh

  • @ChriscanusMilimo
    @ChriscanusMilimo 3 месяца назад

    ❤❤❤❤this song has really encouraged me , congratulations 🎉🎉for this song

  • @mercymaradi1844
    @mercymaradi1844 2 года назад +1

    Nangojea ushuhuda...Amen, Am so blessed... Bro

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @GodfreyMutithi
    @GodfreyMutithi Год назад

    Ubarikie san akh n, Godfrey kutoka Kenya meru county,naomba mungu akufulie milago yote ,nikisia hii nyumb Yako ,ata nikiwa nimekaata taam ,najua mungu ako ,pia naomba tw unisaidie na maombi ,kunakitu kitu nmejaribu ,bat imesidikan akh,b blessing,sifael?

  • @racymarshal3578
    @racymarshal3578 2 года назад

    Amen Amen.nipe ushuhuda

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @Elizabeth-ky5im
    @Elizabeth-ky5im 4 месяца назад +2

    I know one day I will testify what God has done for me. I still believe

  • @mainajohnmacharia900
    @mainajohnmacharia900 7 месяцев назад +2

    Huu wimbo jameni uko na mambo ya kunitia moyo

  • @piusmhumble
    @piusmhumble 2 года назад

    Ni kweli wamezoea kuniona niki'aibika lakini Mungu ashatenda jambo na kuwaibisha wale ambao walizoea kuniona vile ambavyo walizoea,,, Asante sana @sifael mwabuka kwa huu wimbo maana kila siku nikiamka ni lazima niusikize na ule wa" acha niseme asante"

  • @verciliadufreine7832
    @verciliadufreine7832 2 года назад +2

    I'm so blessed from your songs my beloved brother in CHRIST ,more blessings ,powers knowledge wisdom to you for all these good jobs I don't know the language but I enjoying and blessing keep doing good job in the name of jesus

  • @mugwimidenis1887
    @mugwimidenis1887 Год назад

    may God grant me a testimony.. Amen.🙏

  • @charofria2366
    @charofria2366 2 года назад

    Mimi ni Beni pamoja na tungo za Mabuka,Mungu akubariki ndugu yangu.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @margaretnduku5103
    @margaretnduku5103 6 месяцев назад +1

    Eeh mungu nikumbuke hii mwaka usikubali mAadui wanichekela , nipe ushuda

  • @teresainyangala5662
    @teresainyangala5662 2 года назад +1

    Amen 🙏 🙏 from Kenya 🇰🇪 🙏 be blessed the man of God

  • @matildaachayo9361
    @matildaachayo9361 Год назад

    Bwana nipe ushuhuda nishuhudie

  • @jacintashikangashikanga5397
    @jacintashikangashikanga5397 2 года назад +1

    Amen Amen thank you i know oneday my prayers 'll be answered and i 'll give a testimony Jesus is faithful to his people God bless you my brother

  • @owagosteven
    @owagosteven Месяц назад +1

    Nimebarikiwa

  • @ArnoldMakumba
    @ArnoldMakumba 2 года назад +1

    Surely, this God is a great God. He changes lives and brings a total turn around. Hallelujah 🙏🔥 and Glory to God 🙏.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

  • @victoramwamumusic5609
    @victoramwamumusic5609 2 года назад +4

    God give me a testimony

  • @amazinggracefamilyuganda1407
    @amazinggracefamilyuganda1407 2 года назад

    Legend Amen Amen ,Mungu akuinuwe viwango vya juu akufute machozi na Familia Yako daima.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @RolexRolly-d7w
    @RolexRolly-d7w Год назад

    Wimbo.tamu sana ebu.njoo kenya

  • @ThasmanYT
    @ThasmanYT 7 месяцев назад

    kupitiya siku yaleo mungu wangu nipe ushuunda niko south Africa

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 года назад +1

    Amen amen 😍 😍 😍 😍 barikiwa sna

  • @Eng_Kitumesh
    @Eng_Kitumesh 2 года назад +1

    @Sifaeli Mwambuka, I cannot get of this. So uplifting. Barikiwa ndugu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @josephobegi
    @josephobegi Год назад

    Uu wimbo unanibariki sana

  • @GabrielMuthiani-y6g
    @GabrielMuthiani-y6g 3 месяца назад

    Nice song with a pleasant massage... adorable

  • @faithsiakilo2163
    @faithsiakilo2163 2 года назад

    This year I have to testify in Jesus name,, amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @gffghgfdd9004
    @gffghgfdd9004 2 года назад +3

    Ameen Ameen🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤲🤲👏👏👏👏🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @violetchumo3955
    @violetchumo3955 2 года назад +3

    This song touches my soul.,..Baba nipe ushuhuda,be blessed man of God 🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +2

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana

  • @ChampionChampion-e9w
    @ChampionChampion-e9w 3 месяца назад

    Mungu nipe ushuhuda

  • @emmaComedy9194
    @emmaComedy9194 2 года назад +1

    Wow Amen amen god bless you my brother nice song🙏🙏🥰🔥🔥🙌🙌💪

  • @EmmaOmondi-n5t
    @EmmaOmondi-n5t Год назад +1

    It has really touched me be bless man of God 😂😂

  • @catherineolumosi1430
    @catherineolumosi1430 2 года назад +1

    Amen mtumishi,may God keep on lifting you day by day to higher levels in Jesus name,you are the anointed one 🙌🙌🙌🙌

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @florencechepkemoi318
    @florencechepkemoi318 2 года назад

    Amen mtumishi wa mungu..be blessed from Kenya

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @salabenjamini7143
    @salabenjamini7143 2 года назад

    Mungu akurinde pamoja na family

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana