Idris Sultan asimulia alivyoishiwa kabisa 'msaidizi wangu alidhani ningejiua'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 сен 2017
  • Idris Sultan anasimulia jinsi ambavyo alitoka kuwa mmiliki wa zaidi ya shilingi milioni 500 hadi kuishiwa kiasi cha kushindwa kulipia bili ya umeme na gharama zingine na hadi kwenda kuomba hifadhi kwa mtu ili aishi kwa muda
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 46

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад +7

    katika maisha haya ya leo kila mtu anahistoria yake aliyopitia wengi tunakuwa hatuifahamu na mimi pia nina story yangu na kwa kuielezea youtube nimewafungua macho watu wengi sana na pia wameweza kujifunza kupitia mimi sidhani kama ningekaa kimya watu wangejifunza watu wengi wanaogopa kusema ukweli halisi wa maisha yao kisha kuogopa jamiii ilnayowazungugka at the end of the day its ure life....nimefurahi umetupa mwangaza na sisi wengine......
    big up Idris.......

  • @annmicheal2773
    @annmicheal2773 6 лет назад +2

    dizzonline aitokuja kutokea interview nzur kama ya idris sultan we are realy enjoying tunataman isiishe aendelee tuuu yani amaizing 👏👏👏👏😍😍😍😍💯💯💯💯💯💯

  • @princessdayanatv6540
    @princessdayanatv6540 6 лет назад +9

    aiseeh maisha yanachangamoto nyingi sana ishi kwa kuingalia kesho ili usipoteze thamani ya kile ulichonacho. bigg up idriss

  • @kingndinyo9764
    @kingndinyo9764 6 лет назад +2

    Hii interview Kali kinoma yaani Sky haichoshi kuiangalia Big up Sultan

  • @nickymeel986
    @nickymeel986 6 лет назад +3

    Napenda sana huyu kaka
    .mungu akupe maisha marefu

  • @priscilahkasoha6168
    @priscilahkasoha6168 6 лет назад +1

    Na utabarikiwa zaidi so cute idris

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 6 лет назад +1

    Hakika dunia ina changamoto. Hongera kwa kupambana na Mungu huwa amuachi anayetafuta. Barikiwa.

  • @chriskasemba2936
    @chriskasemba2936 6 лет назад +4

    Jipe moyo #idris napenda msameh madam #wema ❤❤❤

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 6 лет назад

    This is one of the best interview.....inaleta raha lkn inatia moyo pia.

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 Год назад +1

    This interview was good.usifanyee kituu ambacho hujui.

  • @annmicheal2773
    @annmicheal2773 6 лет назад +1

    kweli kila mtu anaistoria yake maishani aaah story yako ndo maisha yako

  • @mfalmegideon3987
    @mfalmegideon3987 6 лет назад

    Moja ya interview Bora ya Idris
    Its funny ila ina Mambo serious yakujifunza
    Thanks Sky

  • @naynavitalis9253
    @naynavitalis9253 6 лет назад

    Big up idriss aisee maisha haya jomoni

  • @vivianmsafiri8692
    @vivianmsafiri8692 6 лет назад +5

    thanks for sharing the under cover struggles.
    for sure, the struggle is real.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +1

    Leo umejua kunichekesha shemela, hahaha! haya maisha ayajatuachaga Salama aiseee,ila nakupa hongera sana, na nimeamini hakuna kama mama, Allah mrehem mamaangu👏😨😨😨

  • @kokohammboy4898
    @kokohammboy4898 6 лет назад +3

    Ahahahahahah idriss banaaa daaaah rorel model wangu nakubali sanaaa

  • @festontandu1747
    @festontandu1747 6 лет назад +3

    Nimejifunza mengi kupitia mengi

  • @omariamiri9880
    @omariamiri9880 6 лет назад +3

    my dreams natak niwe kama kaka hapo

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 6 лет назад

    Kwa kweli idriss umeongea ukweli na pia nimejifunza sana kupitia story yak.japo kila mtu ana yake ila zina tofautiana. mungu akupe uzima na fya tele.kilicho niuzi mimi tu kwako ni kuachana na wema.nilikua siamini ila leo ndio nimeamini kupitia mdomo wako na si kupitia kwa watu.

  • @mushjosephat
    @mushjosephat 6 лет назад

    NIMEKUELEWA SANA IDRISS

  • @phideaadam9353
    @phideaadam9353 6 лет назад +1

    Idriss bwana

  • @andrewndambuki2207
    @andrewndambuki2207 6 лет назад +1

    Learning alot from this story

    • @patriciamuendi9490
      @patriciamuendi9490 6 лет назад

      Andrew Ndambuki yap ofcorse its a big lesson bro from idriss

  • @amosshaban4150
    @amosshaban4150 6 лет назад

    kweli maisha hayana mwenye nayo

  • @rocktravel9851
    @rocktravel9851 6 лет назад +1

    🤣🤣🤣 ety poleni sana Maana hamna hata maswali ya kuuliza

  • @fettyabdul1342
    @fettyabdul1342 5 лет назад +1

    Hahahahahha nampenda uyu kaka kwekwel

  • @asiaseif394
    @asiaseif394 6 лет назад +1

    Maisha jmn ila usiwe muaz saana

  • @fredrickvituskebero5071
    @fredrickvituskebero5071 6 лет назад +1

    idriss buana ha ha ha

  • @sakarimomoi7040
    @sakarimomoi7040 6 лет назад +1

    Ali enda kupanga?? Kwani ile gorofa aliyo post sio yake?

  • @patriciamassawe6496
    @patriciamassawe6496 6 лет назад +1

    😂😂😂😂😂jamani usinichekeshe mie

  • @belindawilson4243
    @belindawilson4243 6 лет назад +1

    This is not an interview, hii ni story!! Dizzim u need to be professional, hamuuliz maswali mnacheka tu, eish!! Huyo dada hapo hata simuelew anafanya nn, anazunguka tu kweny kit 🙄

    • @fredrickbundala3759
      @fredrickbundala3759 6 лет назад +3

      Belinda Wilson You are very right Belinda, this isn't an interview, this is a conversation. Hii ndio format ya show, hatuhoji bali tunafanya mazungumzo.. Imagine pale unapopewa story na rafiki yako then ukipata jibu basi hiyo ndo style ya show hii

  • @aminamassare888
    @aminamassare888 6 лет назад

    mbavu zang

  • @ambrosejulius9695
    @ambrosejulius9695 6 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abiressaalmoqbalip3837
    @abiressaalmoqbalip3837 6 лет назад

    Hongera

  • @charlesmakunga7946
    @charlesmakunga7946 6 лет назад +1

    Story ya uongo tupu io,

  • @eddyeddy6071
    @eddyeddy6071 6 лет назад

    Hahahaaaa

  • @halfanimuruwa3826
    @halfanimuruwa3826 6 лет назад

    mbona mnacheka tu kama wasenge wasenge