Roasting (MAWEST vs HALELUYA)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2022
  • #chekatu #standupcomedy #Swahili #Coymzungu #diamondplatnumz #jolmaster #dogosele #comedy #comedyshow #comedyvideo #standupcomedy #comedy #comedia #comedian #comeback #comedyshorts #comedian
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 36

  • @xfamefatetv
    @xfamefatetv Год назад +6

    I ❤️ wasafi, I ❤️ cheka tu...... You guys talk relevance EVERYWHERE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Viongozi wetu oyeeeeeeeeeeeh 😂

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius Год назад +3

    Hiyo Luyaa we wanna love ndio ujinga gan huyooo

  • @bashiriwilliam5982
    @bashiriwilliam5982 Год назад +4

    Mawest pure talent🙌

  • @Streetjournalist_
    @Streetjournalist_ Год назад +4

    Naitazama tokea chuo kikuu Dodoma

  • @fredkimario9198
    @fredkimario9198 Год назад +3

    Mawest is killer, 🙌🏿

  • @fransismange1091
    @fransismange1091 Год назад +2

    Mawest umetisha sana

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 Год назад +2

    Buku ta buku tatu hahahaha

  • @barakaisrael257
    @barakaisrael257 Год назад +3

    Unyama 😂

  • @yowtz5450
    @yowtz5450 Год назад

    Hallelujah we ni fala sana.. sana aise😂😂😂😂keep it up bro..contents zako hua zinanihusu sana 😂😂

  • @kenosman4780
    @kenosman4780 Год назад +2

    Wote wakali Wang😀

  • @zaggynail203
    @zaggynail203 Год назад +1

    Wakwanza apa from mbeya

  • @walidibalinago7790
    @walidibalinago7790 Год назад +2

    Mawest🔥🔥🔥

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 Год назад

    Haleluya Jitahidi Kufanya Mazoezi Ubunifu Unakupotea...

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад

    a k a masumbuko

  • @nomakatembo
    @nomakatembo Год назад +1

    😂😂😂

  • @benbizzytz6441
    @benbizzytz6441 Год назад +2

    😂😂😂🙌

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 Год назад

    Mawest😂😂

  • @mcultureculture3790
    @mcultureculture3790 Год назад

    Mawest on 🔥🔥🔥🔥

  • @goodluckpaul7829
    @goodluckpaul7829 Год назад

    Mawest anajua sana🤣🤣🤣

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 Год назад

    Cheka tu mpo kimya sana

  • @fabiankasu8138
    @fabiankasu8138 Год назад

    Wazee siku hz mnakuwa kimya sana

  • @Delle_Nyau
    @Delle_Nyau Год назад

    Nahitajika nipande stagen

  • @alexmalangalila8340
    @alexmalangalila8340 Год назад +1

    Matembere

  • @bashiriwilliam5982
    @bashiriwilliam5982 Год назад

    Hallelujah content zimeisha bro unakosa ubunifu...zen hiyo Luuuyaaa we Wana Lough nilishakwambiaga Haina mzuka,,tazama respond ya audience ilivyo....

    • @charybdis8113
      @charybdis8113 Год назад +1

      Jamaa ni mmoja wa comedian wakali na anayetumia akili sana. Sema hiyo Luya labda atafute nyingine.

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 Год назад +1

      Nakazia hapo kwenye luyaaa......inaboa sana

    • @bashiriwilliam5982
      @bashiriwilliam5982 Год назад

      @@antipascann2797 nilimwambia ila hataki kubadilika,mpaka siku akasema jukwaani kuwa Kuna watu hata hii luuya inawakera,, audience waliguna yee hajui tu ,hawawezi mwambia pale mbele kuwa unaboa ila wanaboleka.

    • @bashiriwilliam5982
      @bashiriwilliam5982 Год назад

      @@charybdis8113 ana content za kawaida now days....huwa tunaangalia watu wanacheka Kwa namna gani ,je una punch after punch yaani watu Wana muendelezo wa kucheka...mtazame Mawest,Eliud,Deogratius,Mc Lukinga n.k utajua Nini namaanisha ..si Kwa ubaya ila Kwa kujengana usitumie akili kubwa Kwa wanaostahili akili ndogo utajichosha na kuwachosha zen lengo litafeli...🙏

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 Год назад +1

      @@bashiriwilliam5982 na ikifika mahali kwenye comedy ukawa unatumia maelezo marefu ndo uifike punch line alf unaendelea tn na maeeleeeezo alf ndo unatoa tena joke na inawezkn watu wasicheke....... Dah ni taa nyekundu hiyo itabidi ujitathimini upya na ustudy audience
      NB:siyo kwa ubaya we wana laafu😄