MAGUMU NILIYOPITIA KATIKA KUWAJENGEA NYUMBA YA WAZAZI KWA MIAKA 7 PART ONE✈️🇺🇸🇺🇸
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- #youtube #trendingvideo #Hedofstaste#safari#greencard #usembassy #arrivaltime#ndege#I94#diaspora#creditcard#dv2024#thedignityact2023#asylum#nairobi#romanian#amsterdam#tanzania#denver#career#usikuwamanane#thanksgiving#tanzania #diaspora#Usajililine#health#hosp ital#tanzania#breakingnews#tanzia#international#exclusive#technology#kenya#rwanda#nyumbani#
Kama wewe ni mtoto wa maskini usipitwe na hii video Inaweza kukusaidia katika harakati zako za kupambana kimaisha🙏🙏
You're my inspiration bro✊🏽✊🏽
Asante kaka umenihamasisha pakubwa, safi sana wala hauna majivuno kunawatu wakifanikiwa wanapakana kwao.💪📌
God bless you Mwanakwetu🙏🙏
Kwa kweli binafsi najivunia wewe kaka Almighty God bless you
Hongera sana , na mimi nina ndoto ya kuwajengea wazazi wangu.
Tupo pamoja, good job bro
Hongera Sana Kaka kukumbuka kujenga nyumbani❤❤
God bless you bro
God bless you mwanakwetu, what you're doing is awesome may God remember you in whatever you're doing.
Hongera Sana
Kaka miye mpaka nalia. Na miye nili jengea wazazi wangu kwa shida sana.
mungu akusimamie ishallah umalize waishi pazuri wazee ndio kila kitu
Bro waga unaongea fact Sana najifunza vitu vingi kupitia video zako ❤
Manakwetu hongera hili jambo si mchezo duu wewe umejikomboa sana
Iko poa sana mr arrival....nina swali moja sahivi una permanent resident ya usa...??
Kama wewe ni mtoto wa Maskini Kama Mimi Naomba usipitwe na hii video itakusaidia katika harakati zako za kupambana