TOBA~PART 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 36

  • @roseminja4202
    @roseminja4202 10 месяцев назад

    Asante kwa somo zuri,Mungu badili nia yangu

  • @olivermutabuzi1055
    @olivermutabuzi1055 2 года назад +1

    Naomba kuiunganisha pm1

  • @harrieths.n3963
    @harrieths.n3963 2 года назад

    Hili somo My God, kila kitu ni point. Ukigeuzwa nia Yesu lazima adhihirike kwenye Maisha yako. Toba ya kweli, kufa ili Yesu aishi. Kujimaliza na YESU.

  • @joycemshana4028
    @joycemshana4028 2 года назад

    Yaani kweli somo hili limenifundisha...Cole na Mtumishi Mungu awabariki sana

  • @mariahwayesu7312
    @mariahwayesu7312 2 года назад +1

    Nigeuze YESU NIKUTII MUNGU MWAMINIFU🙏🙏🙏

  • @nawilatijimmy8126
    @nawilatijimmy8126 2 года назад +2

    Mungu abadilishe nia yangu ...nimesikia na nitatii..........this is powerful!!

  • @blessinggeof8763
    @blessinggeof8763 2 года назад +2

    Ni neema tu!! Nitengeneze ee Yesu🙏🙏

  • @happinessazizi2833
    @happinessazizi2833 2 года назад +2

    Hili somo Mungu wangu 🙌😭

  • @judithassenga4189
    @judithassenga4189 2 года назад +2

    Powerful sermon,Mungu azidi kukuinua mtumishi Beatrice.

  • @mweleurio7960
    @mweleurio7960 Год назад

    Naomba kugeuzwa nia yangu

  • @joanelvalentina9956
    @joanelvalentina9956 2 года назад +2

    Aise hili somo linachoma hatari

  • @chazycharles5294
    @chazycharles5294 2 года назад +2

    Ubarikiwe Sana Mtumishi this is very powerful 🙌

  • @angelkillinga4513
    @angelkillinga4513 2 года назад

    Faithfully God.. tubadili nia zetu kwa ajili ya Bwana kuna vitu vimekuwa vigumu kwenye maisha yetu ili vitoke inabid tugeuzwe nia

  • @joycengatunga6140
    @joycengatunga6140 2 года назад +1

    Mungu wangu naomba uzidi kunibadilishe ili nifike unapotaka weww Jehova

  • @beatricelasway2267
    @beatricelasway2267 2 года назад

    Mungu naomba ugeuze Nia yangu kupitia neno hili

  • @beatricelasway2267
    @beatricelasway2267 2 года назад

    Naomba Mungu unibadilishe

  • @frankamponda469
    @frankamponda469 2 года назад +1

    Powerful message,MUNGU AWABARIKI SAANA WATUMISHI WA MUNGU!!

  • @viviankombe6584
    @viviankombe6584 2 года назад

    Uwezo wa Bwana
    somo zuri sanaa

  • @mariaburemo5629
    @mariaburemo5629 2 года назад +1

    Nia lazima zigeuke In Jesus's Name

  • @winnerjack8963
    @winnerjack8963 2 года назад

    MTUMISHI MTUMISHI 🙌🙌🙌🙌

  • @tumainijoshua5090
    @tumainijoshua5090 2 года назад +1

    Aiseh huyu ni Mungu amenena kabisa,mtu usipookoka basi wewe ni wa kufa tu

  • @dianarwegasila9165
    @dianarwegasila9165 2 года назад +1

    Powerful sermon

  • @blessinggeof8763
    @blessinggeof8763 2 года назад +2

    Yees!!

  • @tumainijoshua5090
    @tumainijoshua5090 2 года назад

    Yaani ukishindwa kuokoka kwa hili neno duh bas hakuna nemna tena

  • @rolithagodfrey5543
    @rolithagodfrey5543 2 года назад +1

    MUNGU naomba unibadilishe

  • @beatricelasway2267
    @beatricelasway2267 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣mbona. Umeniongelea Mimi nikinena kwa lugha narekebisha lugha yangu naona sielewi

  • @josephmkinga5439
    @josephmkinga5439 2 года назад

    MUNGU niongoze nibalishe njia zangu kW kupitia somo hili

  • @dynessbuyamba9350
    @dynessbuyamba9350 2 года назад

    AMENNNN

  • @winnerjack8963
    @winnerjack8963 2 года назад +1

    ningeweza ku download hili SoMo ..aiseee..post statues

    • @angelkillinga4513
      @angelkillinga4513 2 года назад +1

      Unaweza dear kudownload winner. Nenda apo kwenye download kama ukishindwa nitafute nikusaidie

    • @winnerjack8963
      @winnerjack8963 2 года назад

      nisaidie bas winner wangu NIMESHINDWA nitumie Whtssp

    • @angelkillinga4513
      @angelkillinga4513 2 года назад

      Sawa winner nakutumia sasa sina namba yako kipenzi

    • @angelkillinga4513
      @angelkillinga4513 2 года назад

      Shalom winner naweza pata contact zako ili nikutumie hili somo

    • @florajacobkiduma6495
      @florajacobkiduma6495 2 года назад

      Nenda vidment andika anointed yatakuja masomo mengi unadawnlod

  • @viviankombe6584
    @viviankombe6584 2 года назад +1

    Uwezo wa Bwana
    somo zuri sanaa