SIRI 4 KUHUSU MAWASILIANO KWENYE NDOA | DEO SUKAMBI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 19

  • @MastajabuNicolas
    @MastajabuNicolas 10 месяцев назад +1

    Jambo mtumishi, unavyofundisha,unayoyagusia, yananijenga sana kabisa. Hongera

  • @EmanuelMasola
    @EmanuelMasola 10 месяцев назад +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nafundishika vyema

  • @Chakulebansa
    @Chakulebansa 9 месяцев назад +1

    Safiii baba

  • @mwijagemindset
    @mwijagemindset 10 месяцев назад +3

    Thanks mzee baba🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  10 месяцев назад

      Shukrani mzee baba

  • @hellenmachibya2681
    @hellenmachibya2681 10 месяцев назад +2

    Najitunza saana mtumishi,,barikiwa saana

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 10 месяцев назад +3

    Wanaume waki TZ ndio wanaoujuwa kuongea kama kuwasiliana,, ila wanaume wa Ghana wanajuwa kufokeana tu hovyo hawajui chakuchaguwa kuongea hilii na kilee wanaongea mnoo nasio kuwasiliana in proper way like a Man

  • @lucianotodeschini
    @lucianotodeschini 10 месяцев назад +2

    Wengi tumeumizwa sana ndani,by Esther❤

  • @sarah-hy7gz
    @sarah-hy7gz 10 месяцев назад +2

    Nakufatilia kutoka Oman

  • @esterngirwa1022
    @esterngirwa1022 10 месяцев назад +2

    Umenisaidia sehemu kubwa

  • @lucianotodeschini
    @lucianotodeschini 10 месяцев назад +2

    Mungu akutangulie bro

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 10 месяцев назад +2

    Unasema Ukweli Sana

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 7 месяцев назад

    Nimekupata!

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 10 месяцев назад +1

    Asantee 🙏🏻🙏🏻

  • @sarah-hy7gz
    @sarah-hy7gz 10 месяцев назад +1

    Asante sana

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 10 месяцев назад

    Nikweli

  • @phycathmeela6556
    @phycathmeela6556 10 месяцев назад +3

    Pastor kwahiyo mwanamke anatakiwa kufanyaje maana umesema asipo wasilisha hisia bado hajawasiliana.??

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  10 месяцев назад +1

      Sio kwamba hajawasiliana lakini yeye mwenyewe hawezi kuhisi kuwa amewasiliana yaani kiu yake ya kuwasilisha hoja haitakatika so ataendelea kusumbuka na kusumbua

  • @rosechitimbo4306
    @rosechitimbo4306 9 месяцев назад

    Wanaume wa sasa ideas zao zinaenfana sana na za mitandaoni na siyo halisi