Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Pole sana kijana, mshukuru sana Allah kwa kukuwezesha kumshinda huyo Mwizi, hakika wewz ni shujaa, Weka namba tukuchangie umlipe Tajiri pesa anazodai, kwakweli huyo tajiri wako hana ubinadamu , hana huruma wala imani, malizana nae then tafuta mpango mwengine huyo tajiri hakufai, Daah kijana weka namba yako tukuchangie ikiwezekana umlipe na uunue Pikipiki yako inshaAllah.
Pole Sana na hongera sana yani ww ni jembe shujaa km majaliwa aliyeokoa watu bukoba kipindi Ndege ilipozama ziwani. Safi sana hiyo ni nguvu ya Mwenyezi Mungu
Dogo Mshukuru mungu Shikamana na Ibada usuache Hadi yako ilikuwa bado mungu amekunusuru Kwa njia anayo jus yeye mungu Dhuruma mbaya unapata mwisho mbaya huyo eizi kavuna alichokipanda
Wewe ni DAUDI Wa Bibilia Na ulikutana Na GOLIATH Pia una Mungu sana Maana kitendo cha yule Mmoja kuondoka nakukuacha upambane na uyo uliebaki nae Mungu alikupunguzia Maadui Acha kazi ya Bodaboda na Tafuta kazi Nyingine na Mtumikie Mungu
Dogo ungetoa namba zako tukuchangie yan ulivyo na unachokisimulia haviendani mshukuru sana mungu ungekufa kwa hayo maelezo ungetoa namba tukuchangie dogo
Duu pole sana mdogo wangu jaman matajili muwe na huluma mtu kaponea chupuchupu kufa halafu nawewe tajili unadai pikipk hebu kuwa na loho ya ubinadamu jaman
Tajiri akili hana pamoja na utajiri wake au malinzake za majini? Kwanini anakosa utu? Angeuawa na pikipiki ikaondoka angemlipisha nani? Ajifunze kuwa na ubinadamu😢 hongera kijanakwa ujasiri uliojipa
Muongo mkubwa utapigwa ngumi mpaka jino litoke alafu usifimbe alafu uongee kama chiriku .pili unyongwe mpaka uone giza alafu uokote jiwe umpige mwizi huyu anatakiwa awekwe ndani hajaeleza bado
Muongo mkubwa utapigwa ngumi mpaka jino litoke alafu usifimbe alafu uongee kama chiriku .pili unyongwe mpaka uone giza alafu uokote jiwe umpige mwizi huyu anatakiwa awekwe ndani hajaeleza bado
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Pole sana kijana, mshukuru sana Allah kwa kukuwezesha kumshinda huyo Mwizi, hakika wewz ni shujaa,
Weka namba tukuchangie umlipe Tajiri pesa anazodai, kwakweli huyo tajiri wako hana ubinadamu , hana huruma wala imani, malizana nae then tafuta mpango mwengine huyo tajiri hakufai, Daah kijana weka namba yako tukuchangie ikiwezekana umlipe na uunue Pikipiki yako inshaAllah.
Pole Sana na hongera sana yani ww ni jembe shujaa km majaliwa aliyeokoa watu bukoba kipindi Ndege ilipozama ziwani. Safi sana hiyo ni nguvu ya Mwenyezi Mungu
Pole sn kijana,We nimpambaji na inaonekana ni mcha mungu.
Dogo
Mshukuru mungu
Shikamana na Ibada usuache Hadi yako ilikuwa bado mungu amekunusuru
Kwa njia anayo jus yeye mungu
Dhuruma mbaya unapata mwisho mbaya huyo eizi kavuna alichokipanda
Mmh huyu tajiri angekusamehe maana umemthibitishia kwamba nduthi imeibiwa ila huyu TAJIRI Hana hofu ya Mungu lakini atakutana na mkono wa Mungu .
Wewe ni DAUDI Wa Bibilia Na ulikutana Na GOLIATH Pia una Mungu sana Maana kitendo cha yule Mmoja kuondoka nakukuacha upambane na uyo uliebaki nae Mungu alikupunguzia Maadui Acha kazi ya Bodaboda na Tafuta kazi Nyingine na Mtumikie Mungu
Yote hayo c ujanja wako ni mipango ya mungu mwenziyo paka Leo kapata kilema miguu yote mikono ilikatwa masikini
Duh,we tajiri uwe na hofu ya Mungu jamani.
Dogo ungetoa namba zako tukuchangie yan ulivyo na unachokisimulia haviendani mshukuru sana mungu ungekufa kwa hayo maelezo ungetoa namba tukuchangie dogo
Kabisa Hongera Sana na Michango sio kulipa anunuliwe Pikipiki afanye kazi alipe deni
Mbona katoa namba kama kweli unataka kumchangia angalia milad tiv habar ndio iyoiyo ila kila mtu karusha kwenye chanel yake
Duu pole sana mdogo wangu jaman matajili muwe na huluma mtu kaponea chupuchupu kufa halafu nawewe tajili unadai pikipk hebu kuwa na loho ya ubinadamu jaman
tajiri.hafai kwani yeye atopata shida mungu atamwonyesha
Glory to God,😭😭 weka namba mdogo wangu tukuchangie,
Mwamba imara,umepambana hongera Mungu ni mwema
Pole sana ndugu hakika ww nishujaa
Pole kijana, matajiri wengi hawana utu kabisa, alitaka ufe ndo aamini hilo
Hana ubinaadamu hata kdg
Ila Arusha kwa matukio ni namba moja🎉
Kwan hapo ni Arusha au unakariri
Yani ushaidi wote huo bado tajiri anadai maliyake hana uruma😢
Pole sana dogo tajiri hana utu kabisa so ungekufa wewe ndo angefurahi
Mungu ni mwema.....ila tajiri hana huruma huyo je ungeuliwa angemdai nani
Pole dana mungu amekunusuru sali sana ungetoa namba yako WaTZ tunaimani Allah muweza wa yote 🤲
Tajiri ww mjinga sanaaaa huna busara wala hekima umeona ni bora huyu kijana afe ila pikipiki yako irudi kwani utazikwa nayo au?
Ile ya kumwagia mchanga machoni ilikusaidia sana dogo.
Mhhhhhh ....Sasa mnamchoma moto Kabla ya kupata pikipiki mlikosea sana
Huyu dogo anafata sana kupata kazi anaonekana muaminifu sana
Wewe ulitakiwa uende jeshini ilanashangaa serekali yetu haitaki vijana wenye nguvu Ila usijali mdogo wangu Mungu yuko upande wako
Duh pole sana
Daaah pamoja na harakat zote hizo Tajiri anakufungulia kesi umlipe Baiki noma sanaa😂
Na kweli Ile ya kummwagia mchanga machono ulimpatia kweli na ilikusaidi wezi watu wabaya sana
Hatari boda
Toa namba napole sana kwa yaliyokukuta
Inasikitisha kwa kwel 😢
😂nimepata mbinu ya mchanga
Wamekua na hasila ya haraka wangemuulizakwanzaangetaja wanapo ficha pikipiki za wizi au namba ya sm ya mwizi mwenzie. Mgeipata kwaulahisi.
Mmmh!! Mbn kma movie...bongo bna
Tajir ana roho mbayaaa aisee!!ajaona kama umepambana eee
Mwanangu kama unaweza naenda kwa Makonda atakusaidia jmn. Wewe ni shujaa hebu waione hu ujasiri wako
👍
Nipe namb yako nikutumie hela kaka
Asa ikitokea mtu amepata era anamtumia wapi
Tajiri akili hana pamoja na utajiri wake au malinzake za majini? Kwanini anakosa utu? Angeuawa na pikipiki ikaondoka angemlipisha nani? Ajifunze kuwa na ubinadamu😢 hongera kijanakwa ujasiri uliojipa
Watishi tengua kauli sio alizaniwa am
Aubuhanallah
Tena huyo tajiri wala usichukue tena boda yake
Taja namba yako 😢😢
Ww ni jasusi la kimarekan
Muongo mkubwa utapigwa ngumi mpaka jino litoke alafu usifimbe alafu uongee kama chiriku .pili unyongwe mpaka uone giza alafu uokote jiwe umpige mwizi huyu anatakiwa awekwe ndani hajaeleza bado
😢😢
Angetaja wenzie walipo msingemiuwa
Shujaa Kabisa
Dogo ni jembe
😂NMECHEKA SANA..ETI BOSS ANAULIZA UMEMKAMATA MWIZI...YAN NI KAMA LILIKUWA N JAMBO RAHISI TU...DAAAAH..ANGEKUWA HAJAMKAMTA CJUI INGEKUWAJE
😭😭😭😭😭😭
Kuna umuhimu bodaboda mjifunze karate
Kun umuhimu bod bod mjifunze karate
Kumbe neno "msala" ni neno rasmi
Daah shujaa huyu
Global naona had video editor mumeweka msukuma😂
😂😂😂😂
Jkt hawawaoni vijan kam hawa
😂😂😂Kavuta pua