Aisee polen sana wanangu maana sijui kama mngepona jaman uyo mtu ashktakiwe kwa kosa la kutaka kuua maana kuwafungia sehemu amabako hakuna hewa kisa maembe.
Mtwara acheni uvivu hzo ni njaa tu . Embe sio kitu cha kumfungia mtoto .😅😅😅 Serikali mnaionea tu , hiyo mlinzi apigwe viboko asirudie tena na akamwambie na huyo Father cjui pastor
Kawapandie miembe yao na muwafundishe adabu watoto waheshimu vitu vya watu. Watoto wenu na muwafundishe adabu ya kuheshimu vitu vya watu. hawana adabu hata kidogo. Ila alichofanya kuwafungia sio sahihi.
Mlinzi HUO muuwaji afungwe MAISHA Yani embe nibora kuliko uhai WA binadamu kwanza Huyo mlinzi ana bahati wazazi wahao WATOTO hajakufanya chochote afungwe MAISHA muaji huyo
Kweli mlinzi kaongeza adhabu lakini watoto wa kishamba ni mahasidi wa shamba la mtu mwengine. Mafia ukipanda mwembe unavuna majani watoto na mama zao wanavuna kama shamba lao.
Kwaiyo sio mwanzo wala mwisho ina mana ulijua yuafanya kitendo iki ila ulinyamaza kwa kua walikua wakofunfiwa sio watoto wako wala sio mjuu wako leo ameusika mjuu wako ndio ukawa na uchungu
Mhmh mimi siamini watoto 20 aliwashika akawafungia sema watoto utndu wengi unakuta ile mchezo yao ya kujificha mzee wa watu ile kujificha au walizoea kwenda kuiba maembe ndani na hao watoto saiz wamepangwa
Uyo mrinzi nayye afungiwe kwenye chumba akina hewa muaji uyo asiekuwa na Hutu hembe ndio huwaukumu watto kiasi icho unyanyasaji sana huu ndio watu wasiojurikana hao wauwaji
Mimi nashangaa tunaposema tunaiomba serikal itusaidie wajibu wa serikali ni tunataka ifuatilie hili sio tunaomba, tunawaomba nn wakati ni jukumu lao kututumikia,
Muuwaji mkubwa ndoro uwafungie watt wa watu kwenye kontena walayi ningemtia makofi mbele ya polisi yy hana watoto na wanakuambia tussmehe aturudii tena sukuma ndani uyo
@@abdallahdataguy kuna moja mwaka huu watoto wake waliotoka shuleni walicheza kwenye shamba Langu niliwatandika haswa wanalalamika waende ustawiwa jamii nikawaambia twendweni wakaogopa maana uharibifu wa shamba Langu ungekuwa mkubwa kuliko fidia ya mtoto
Nyie vp Serekali Hikiwa nyie pia serekali shikeni Huyo mlizi Mumfungie na yeye Umo kwenye Kontena kesho Yake mnamfungulia Basi kesi Inaisha ki hivyo Yani Hakili zangu mie Aaahhh 😏😏😏😏😏😏
Wakija kwako utafanya kama Ivo Kwani wewe uliibuka si ulizaliwa na tabia za utoto umepita 😢 haujawahi kuharibu wewe au wewe haujazaa au watoto wako wewe ni malaika kuweni na ubinadamu na ulimi huumba chunga mdomo uwe unafikiria kwanza eeeee mbaf🙏😏😏😏😏🤐
Wewe mjinga wa wajinga maana hakuna mtoto alyekuwa bila ya kupitia kuchuma maembe barabaran au kwenye njia za mashasha hat ktk nyumba za jirani Huyo mlinzu anastahiki kifungo cha miaka 5 kwa kuwatesa watt
Yaaan hawa ndo ingekuwa kwaelii kushukuru mungu
Vipi jamani binadamu? Nusura atoe nafasi kumi na Saba. Ni Mungu tu kawatetea. Ni kosa kubwa mno. Jamani jamani
Kula maembe sio kutu kwanu ww kwanye maisha yako hujawahi kuchukua cha mtu ukula
afunguliwe mashtaka maan maembe haya mungu katuletea ili tufurai nazo
Poleni sana watoto wangu
Mimi kwangu watoto wakitoka shule wanapitia kwangu kuna mchikichi watito wanapenda wanachuma wanakula wanaenda zao na nafurah huyu babu vipi kamamwehu
Mtihani sana hawa ndio wale wasiojulikama wanaumbuka mmojammoja
Minz muuaji kabisa hata kama wameangua maembe achukuliwe hatua ndo Wachinjaj hao
Aisee polen sana wanangu maana sijui kama mngepona jaman uyo mtu ashktakiwe kwa kosa la kutaka kuua maana kuwafungia sehemu amabako hakuna hewa kisa maembe.
Jamani mbona wstu.wana ukatili kiasi hiki jamani
Embe na uhai vinalingana kweli abuluzwe mahakamani
Afanyiwe uchunguzi wakina huenda anahusika na biashara ya kuuza watoto pia
Huyo mlinzi ni muuaji ana hatari ashtakiwe na apewe adhabu kali kulingana na kosa alilo lifanya
From 🇧🇮 uyo mlinzi nimuuwaji tu
Huyo mbwa afungiwe yy humo,
Father miti ya matunda karibu na shule weka fence
Huyo Mlinzi ni Mhalifu Hatua kali zichukuliwe dhidi yake Kufungiwa ndani ya Contena lisilo na hewa ni Mauaji
Mmmh jamani huyo mlinzi ni muuaji kabisa, hebu na yy afungiwe kwenye kontena masaa 12 tuone kama atatoka hai , mshenzi kabisa huyo mlinzi.
Daaaa jamani mbona mtihani
Mtwara acheni uvivu hzo ni njaa tu . Embe sio kitu cha kumfungia mtoto .😅😅😅
Serikali mnaionea tu , hiyo mlinzi apigwe viboko asirudie tena na akamwambie na huyo Father cjui pastor
Kawapandie miembe yao na muwafundishe adabu watoto waheshimu vitu vya watu. Watoto wenu na muwafundishe adabu ya kuheshimu vitu vya watu. hawana adabu hata kidogo. Ila alichofanya kuwafungia sio sahihi.
Maembe walio iba wazazi walipie kwanza kila mtoto milioni iwe fundisho kuacha wizi pili mshitakiwa polisi na Mahakama ipo
Watoto waibwa wapelekwa Uganda na trailer waenda ku chinjwa watolewa ulimi macho na sehemu za siri pia ni Bahati kuwafungulia musinge wapata tena
😮😮
Jmn hakuna mwanafunzi hajaiba hata mimi niliiba tena mahembe hayo hayo😂😂
Mlinzi HUO muuwaji afungwe MAISHA Yani embe nibora kuliko uhai WA binadamu kwanza Huyo mlinzi ana bahati wazazi wahao WATOTO hajakufanya chochote afungwe MAISHA muaji huyo
Maabs ndo kwenye kontena
Huyo mlinzi ana roho mbaya sana😢
Tena sana anaweza hata kuuwa
Achen kuvamia mashamba ya watu km kuna mlinzi mnaenda kufanya nn mtakuja kufa nyonyooo
watoto wadogo wanavamia mashamba ya watu? umewahi kuwa na mtoto?
Kweli mlinzi kaongeza adhabu lakini watoto wa kishamba ni mahasidi wa shamba la mtu mwengine. Mafia ukipanda mwembe unavuna majani watoto na mama zao wanavuna kama shamba lao.
😮😮😮😢😢😢mchinjaji uyo
HUYO MLINZI AKAMATWE NA ACHUKULIWE HATUA. KM CY HARAKA YAKUWAFUNGULIA WANGEPOTEZA MAISHA
Huyo mlinzi ni muuaji 😢
Kuwaji uyo yani achukuriwe atuwa kari sana nayeye angefungiwa umo umo je angejisikiaje
Kwaiyo sio mwanzo wala mwisho ina mana ulijua yuafanya kitendo iki ila ulinyamaza kwa kua walikua wakofunfiwa sio watoto wako wala sio mjuu wako leo ameusika mjuu wako ndio ukawa na uchungu
Huyo mlinzi hajitambui angepigwa atiw adabu ndo aache hiyo tabia
mlinzi wa shamba la padre mbona ni kitali sana 😂
Mhmh mimi siamini watoto 20 aliwashika akawafungia sema watoto utndu wengi unakuta ile mchezo yao ya kujificha mzee wa watu ile kujificha au walizoea kwenda kuiba maembe ndani na hao watoto saiz wamepangwa
Eti sio gopi polisi wala nini nyoko huyo apelekwe segadansi wakampididi wanaume😮😮
Ndug zang nasisi tuwe na akili unaweza kuwalaumu vip watoto na akili zao sio kama zetu au ndio na nyinyi wale wale tunao watafuta
wapuuzi
Embu pia watoto hao wafunzwe
Nyie wazazi muna chekesha alaf hyo mtu muna muangalia tu mpigeni mpka apoteze fahamu hyo aisee mm naona ningefungwa kma mzazi
Na hakunq mwanafunzi ambae hajawai kupitia kwenye maembe
Huyu ni muuwaji kama wauwaji kama wauwaji wengine ,Embeeinalingana na uhai wa mtu??
Uyo inabdi ale viboko ale 200
Mtekaji huyo sio kisa embe usikute ndo tabia yao
mlinzi anayo watoto kweli
Uyo mrinzi nayye afungiwe kwenye chumba akina hewa muaji uyo asiekuwa na Hutu hembe ndio huwaukumu watto kiasi icho unyanyasaji sana huu ndio watu wasiojurikana hao wauwaji
ADHABU AU NI AINA GANI HIO? WATOTO WAMEKOSA NINI? WASHITAKI WAFIKE POLISIAU WAZAXI DIO KUWAWEKA TUU.NINI MAANA YA WATOTO !!
Hapo utakuta watu wanalalamikia serikali
Mimi nashangaa tunaposema tunaiomba serikal itusaidie wajibu wa serikali ni tunataka ifuatilie hili sio tunaomba, tunawaomba nn wakati ni jukumu lao kututumikia,
Muuwaji mkubwa ndoro uwafungie watt wa watu kwenye kontena walayi ningemtia makofi mbele ya polisi yy hana watoto na wanakuambia tussmehe aturudii tena sukuma ndani uyo
Na jela kwa ujula. Ningekua rais uyo ni vboka tu na klala chooni
Nimuuaji apelekwe mahakamani afunguliwe shtaka la jalibio la mauaji mshenzi narobo
Ndolo ndio afungie watoto kwenye kontena?
Muuaji huyo
Ndoro ndyo nini hilo
Hawa watoto nao vilaza , sasa mnakamatwaje na babu ninyi nyooote .....?
Tatizo kila mtu ni mkamataji,kila mtu ana mahabusu yake. Kuna haja ya kiharakisha utendaji ws.haki jinai.
Vayayu
Hilo shamba azungi shie fens watoto hawasikii ni makuzi
Nikweri mtoto ni mtoto yu hata akishiba lazima atamani tu
Kmmk na yy mfungieni mbwa huyo
Huyo hakamatwe
Mitihani jamani
Ndo wale wale wametufikia muuaji uyo mwikumba
Mwacheni huyo mlinz, hao walikubaliana, mlinzi mmoja anawezaje kuwakamata watoto 17 kwa wakat mmoja?
unawajua watoto wewe au na mwenyewe ni mtoto? watoto hata wakiwa kumi unaweza kuwatishia na wasikimbie
ahitakiwe muuwaji uyo
Mkorosho Alam
Mkorosho wa lamu
Hana adabu ubwa uyo afakuliwa
Kwani mbae ni mikindani ??
Ndio
Ungepata kesi ya maiaji wewe mlinzo badala yakulinda majambazi unalinda maembe una watoto kweli
Haina haja yakesi ahukumiwit
Uyo ni muuwaji kabisa atuwa kali inamuusu. Hana ubinaadamu kabisa
Sheria ichukue MKONDO wake
Huyo mlinzi muuaji kabisa
Uharibifu wa shamba la mtu uangaliwe pia
uharibifu wa mazao gani? embe zinazojizalia zenyewe tu?
@@abdallahdataguy zinajizalia wapi embu niiruhusu kwenye shamba lako si hata mahindi si yanajizalia nichukue mahindi kila kitu gharama
@@abdallahdataguy kuna moja mwaka huu watoto wake waliotoka shuleni walicheza kwenye shamba Langu niliwatandika haswa wanalalamika waende ustawiwa jamii nikawaambia twendweni wakaogopa maana uharibifu wa shamba Langu ungekuwa mkubwa kuliko fidia ya mtoto
Nyie vp Serekali Hikiwa nyie pia serekali shikeni Huyo mlizi Mumfungie na yeye Umo kwenye Kontena kesho Yake mnamfungulia Basi kesi Inaisha ki hivyo Yani Hakili zangu mie Aaahhh 😏😏😏😏😏😏
Adhibiwe vikali sana na apigwe viboko ili iwe fundisho kwa watu wengine pia.
Kwanini wale maembe ya watu
Wakija kwako utafanya kama Ivo Kwani wewe uliibuka si ulizaliwa na tabia za utoto umepita 😢 haujawahi kuharibu wewe au wewe haujazaa au watoto wako wewe ni malaika kuweni na ubinadamu na ulimi huumba chunga mdomo uwe unafikiria kwanza eeeee mbaf🙏😏😏😏😏🤐
HatakamaAngewafukuza Sasa je wangekuwa ingekuwaje
Nyoko weraana mkubwa diana
We mwehu nini? Embe au hata tuna lolote ndio utafananisha na zuhai wa Binadamu???
@@SmilingBakedBread-tp2id nimeyala sana cc tulikua tunatoka nduki
Poreni sana😢hana utu kabisa
Watoto hao sio mara moja kumbe wanaambiwa hawasikii. Waache kuchuma maembe ya watu.
Likichwa lako libovu.hata kama.ndo uwatie kwenye kontena? Huo ni uuwaji.Unataka watoto wafe kwa sabab ya embe!!?
Yaani wewe una kichwa mbuzi pumbavu. Kuokota au kuchuma maembe ndiyo awafungie watoto. Kwa ujinga wako unatakiwa ufilwe punda wee
Kwanini alieka maembe karibu na njia ya shule hata wewe unaungana na.mlinzi
Wacheni ujinga maembe ya watu kwanini wale nikama wewe unashamba halafu wanaingia shamba yako ngombe wacheni upumbavu
Acha ujinga unarohoo mbaya sana wewe unaonekana wewe ni mchawii.
Angewakamata kisha angewaita wazazi wao halafu hao wote kumi na 7 kawakamataje
We inaonesha huna watoto wewe wala hutakaa uwe nao
Wewe mjinga wa wajinga maana hakuna mtoto alyekuwa bila ya kupitia kuchuma maembe barabaran au kwenye njia za mashasha hat ktk nyumba za jirani
Huyo mlinzu anastahiki kifungo cha miaka 5 kwa kuwatesa watt
Huna akili😮😮😮😮😮