Aslam Tz - Turudiane (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 210

  • @MedicineLove-wi5ql
    @MedicineLove-wi5ql 5 месяцев назад +26

    Umetisha sana mwanangu ukikaza kama izi mzee nakuona mbali sana ila usije badilika kama wenzio baadaya kutoka kwanaimba vitu visit visivyo eleweka kwaiyo kuwa makini ty pia usiwe mtu mwenye zalau mana eshima ndio kila kitu

    • @mtaani001tv
      @mtaani001tv 5 месяцев назад +3

      Yaaani akizingatia haya ulio mwambia for real namuona mbali pia mimi🎉

    • @mwangamtoto658
      @mwangamtoto658 5 месяцев назад +1

      Namimi namuona mbali mbinguniii alipo yesu akaze

    • @mohamedsudi6032
      @mohamedsudi6032 5 месяцев назад +1

      Hata mm namuona mbali kuzimu Kwa baba magufuli

    • @mwangamtoto658
      @mwangamtoto658 5 месяцев назад

      @@mohamedsudi6032 like maana

    • @nassiranimstar9294
      @nassiranimstar9294 5 месяцев назад +1

      Fact kabisa

  • @miragenoor1403
    @miragenoor1403 4 месяца назад +1

    We jamaa unakipaji cha hali ya juu sema bado watu hawajatambua wape mwaka mwingine !!

  • @dozeboy254
    @dozeboy254 5 месяцев назад +2

    napenda sana ulivyoimba mwanangu. bonge la ngoma. big up bro

  • @akbarmzawwar
    @akbarmzawwar 5 месяцев назад +2

    Kaka tupo pamoja sana unAjuw na kujuw Tena utatoboa MapemA tu ukiamka kesho niamini mm😂😂😂 ILa unajuwa sana😭😭😭 mungu akuongoze ktk kipaj chako hiki🤲🤲🤲 tupo pamoja kila hatua

  • @YasseenArafat
    @YasseenArafat 2 месяца назад +1

    Ndiyo,,,,, ndiyo,,,,Pini funga mwaka kabisa hiliiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 5 месяцев назад +2

    Yaan ww ni bora kuliko d voice

  • @IssaRachideRachide-k2b
    @IssaRachideRachide-k2b 3 месяца назад

    Brother nakubali kazi zako sana na pia nakuombea Kwa mungu akujalie ila usije kutuangusha🎉🎉🎉

  • @SalomeSame-u7w
    @SalomeSame-u7w Месяц назад

    Aise nyimbo zako nzur san

  • @mooflavour
    @mooflavour 5 месяцев назад

    Noma hili broo angu 🙌🏻🔥

  • @raphaelmsafiofficial
    @raphaelmsafiofficial Месяц назад

    Ukweli 👍 from Kenya

  • @allymsemo-l5h
    @allymsemo-l5h 5 месяцев назад +2

    Nilianza kukuona since day back kama wewe ni pure talent Coz sina sehem ya kukupa comment ata umu UKIPATA kuiona poa tu one of the favourite song on my play list

  • @ZulfaMnanga
    @ZulfaMnanga 5 месяцев назад +2

    Hongera sana mdogo wangu kazi nzuri mashallah❤❤❤ 😅

  • @vickynyanda9748
    @vickynyanda9748 Месяц назад

    Aslam hii ngoma inafanya nikupende sana hongera sana unaweza kijan

  • @DanielAgostinhoIdi
    @DanielAgostinhoIdi 5 месяцев назад

    Natamani turudianeee, naukinirudia tusiachane
    Waganga na mafuta ya Mwamposa.. duuh hadi raha jamani ngoma kali sana🫂🎉🎉🎉❤ 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👋👋

  • @GreysonTz
    @GreysonTz 5 месяцев назад +4

    Jaman wakwanza kutoka kagera
    Kama unamkubli aslam gonga like

  • @DanielMuratha
    @DanielMuratha 2 месяца назад

    AslaM muziki mzuri sana amini nakufuta kama role model wangu , beat the block wish u all the best

  • @hygo8864
    @hygo8864 5 месяцев назад +2

    Fundi kwenye ii michakato, bratha ngomma kaliiiii, nkiwakilisha 254 #hygomusic254 ❤❤❤

  • @HassanKiba-bo9xn
    @HassanKiba-bo9xn 5 месяцев назад +1

    Mtu mkubwa sana wew 👑💯💯💯

  • @BERTOTHAISA
    @BERTOTHAISA 2 месяца назад

    Nakuona mbali Aslam❤ nakupenda sana

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 2 месяца назад

    Oya Aslam jitahidi itoe ile nyimbo ya mwakani , mashabiki tuko na vibe

  • @SidatiSaidi
    @SidatiSaidi 5 месяцев назад

    Tafuta collabo 1 tu iwe na jay melod ray au harmo kwa namna yeyote uwende nayo mjini unajua sana zaidi ya wengi natamani nngekuona WCB WASAFI ingekuwa unyama sana ❤

  • @mohamedabdallah7995
    @mohamedabdallah7995 4 месяца назад

    Oya iki kichupa chenyewe sema mwanzo mgum kaza kijana unajua

  • @chuchuman8292
    @chuchuman8292 5 месяцев назад +2

    Noma San mzee baba

  • @mackymillan_kemps5235
    @mackymillan_kemps5235 5 месяцев назад

    Hifadhi maneno yangu ...kabla ya mwaka huu kukatika,watu wataanzaa kukutambua wee ni nani!! Kiukweli unajua na ni msanii hatari

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 5 месяцев назад

    Mi shabiki ako toka wakuniliza mzee unajua sana

  • @GeorgeNdilivalle
    @GeorgeNdilivalle 2 месяца назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @EmmyRaspitsosy-j6h
    @EmmyRaspitsosy-j6h 2 месяца назад

    ❤❤❤❤barikiwa sana

  • @allyfahad2390
    @allyfahad2390 5 месяцев назад +3

    Big up bro good songs

  • @AnnaPaulo-g8w
    @AnnaPaulo-g8w 17 дней назад

    Naomba nwe video queen wako kwenye video nyngne

  • @AllySibila
    @AllySibila 5 месяцев назад +1

    Mtu wa maana kabaisaaaaaaa

  • @sayeedsultan880
    @sayeedsultan880 5 месяцев назад

    Best Music Ever Love From Singapore

  • @wawesttv
    @wawesttv 5 месяцев назад

    Qaliii sanaa, nani ameisikiliza zaidi ya mala 2 leo.?

  • @officialLaluh
    @officialLaluh 2 месяца назад

    Jamani we aslam 😢. twakupenda Bure Bure Kenya ❤❤

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 5 месяцев назад

    Mi shabiki yakooooooo sana zidiiii kusongaaa mbele❤❤❤

  • @HalimaseifHalimaseif
    @HalimaseifHalimaseif 2 месяца назад

    Hii nyimbo nimesikia kwa madame wangu uku oman nimehikalili apo apo nikasema ntasikiliza pekeangu ili nilie mwenyewe maan 🥺by the way ngoma kali mno

  • @RashidyRashady
    @RashidyRashady 5 месяцев назад

    Kazi kazini sisi wengine tunapenda kila tukiona vitu vizuri

  • @Ugakhan_comedy8
    @Ugakhan_comedy8 2 месяца назад

    Da ngoma kali sana tungoje mwakan

  • @majidyjames1245
    @majidyjames1245 5 месяцев назад

    Nimetokea kuwashabik yako mkubwa

  • @broncemelody
    @broncemelody 5 месяцев назад

    Oya mzee hii ngoma ni kali👑🙌🏾

  • @FannyTz-dw4sz
    @FannyTz-dw4sz 5 месяцев назад

    Kaka unaweza sanaa

  • @ZFarhaty
    @ZFarhaty 5 месяцев назад

    Nzur Saana kpenz Allah azid kuku blees

  • @JohariJonathan
    @JohariJonathan 5 месяцев назад

    Aslam utafika mbali sana mungu akusaidie

  • @BicheMateusMateus-st1xy
    @BicheMateusMateus-st1xy 5 месяцев назад

    From mozambiqui brother Noma kabisa

  • @jeffbreezymusic254
    @jeffbreezymusic254 5 месяцев назад

    Nimeipenda sana Bromine this one is a hit from Kenya 👌👌

  • @Chillah19
    @Chillah19 5 месяцев назад

    Unajua sana wewe ni balaaa apa mjini kaka wewe umeenda🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FurahaMushi-s2l
    @FurahaMushi-s2l Месяц назад

    Upon vizur bro pambn ila changamoto nying ila mungu utakusaidia utatoka zaid ya hapo

  • @Vichuda_Tz
    @Vichuda_Tz 4 месяца назад

    Sikupingi mwendo huu watupishe tu

  • @smarthealer8729
    @smarthealer8729 Месяц назад

    Aslam blood angu,hii ngoma ni kaliiii🔥🔥🔥🔥🙌

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg 5 месяцев назад

    Hongera Sana Mdogo wangu mungu aenderee kukubless

  • @MlapyaHemed-g6d
    @MlapyaHemed-g6d 5 месяцев назад

    Kazi mzri sana Mr black

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 5 месяцев назад

    Saivi kwenye wasanii bongo hatuna Deni na nyie walahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 keep Go dogo

  • @STOPPA_BOY_RAPPER.
    @STOPPA_BOY_RAPPER. 5 месяцев назад +1

    much love from kenya

  • @BilaxBilagra
    @BilaxBilagra 5 месяцев назад

    Eyoooo bro atupati hii ngomba zaidi kwenye RUclips

  • @BuradaSenedi
    @BuradaSenedi 5 месяцев назад

    Daah unajua sana kaka

  • @jackgeorge1309
    @jackgeorge1309 5 месяцев назад +1

    Beutfull jam 💥💥💥

  • @masonmount6170
    @masonmount6170 5 месяцев назад

    Uko vizuri,,,ila tafuta wa kwako tuu hakuna namna...
    Wangu aliolewa friday,nami nikaoa saturday 😂

  • @SmartDavid7423-po6rr
    @SmartDavid7423-po6rr 5 месяцев назад +1

    Yooop...da da darwin

  • @heisharmo_tz
    @heisharmo_tz 5 месяцев назад

    Kaka umetisha sana

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 3 месяца назад

    ngoma tamu kaka

  • @MatheyoSimon
    @MatheyoSimon 2 месяца назад

    Tukutane mwakan

  • @mohamedchedi2632
    @mohamedchedi2632 5 месяцев назад

    Blood is so amazing God bless you always

  • @KassimuMsabaha-v3q
    @KassimuMsabaha-v3q 5 месяцев назад

    Oya tuache 2 unafiki jamaa ktk hii Ngoma anastahili viuzi M1 jama mzigu mzuli zaidi ya neno sana ujue

  • @bigsharoally3253
    @bigsharoally3253 5 месяцев назад

    Noma san mzee

  • @erickkalinga1372
    @erickkalinga1372 5 месяцев назад

    Talented

  • @SaidiShabani-f7o
    @SaidiShabani-f7o 5 месяцев назад

    Anepafaham apo otoe Like

  • @Jonaswhite57
    @Jonaswhite57 5 месяцев назад

    Nice Aslam good work big up sana G ,is Jonas White from 🇰🇪 was here

  • @Nairi-h2q
    @Nairi-h2q 5 месяцев назад +1

    Kazi Nzur

  • @HassanPacha-f9w
    @HassanPacha-f9w 5 месяцев назад

    Hii ngoma kuitazama video yake inakuwa tamu kinoma kuliko audio

  • @johnshongoro
    @johnshongoro Месяц назад

    muziki mzito sanaa

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 5 месяцев назад

    Brother huku mtaani kwetu wewe ni One namba trending kwenye computer 🖥️ yangu ❣️❣️❣️ Yan mda wote nakusikiliza wewe adi wadau wanaisi nimeachwa Et 🔥🔥🔥

  • @YonasKylian-el7vv
    @YonasKylian-el7vv 5 месяцев назад

    Umetishaaaa

  • @BuradaSenedi
    @BuradaSenedi 5 месяцев назад

    Sema like jiwe lote si ungemuua ten😂

  • @prosperchrispin9074
    @prosperchrispin9074 5 месяцев назад

    Aslam 🙌🙌

  • @CindyclassicOfficial
    @CindyclassicOfficial 5 месяцев назад

    Much love from 🇰🇪🇰🇪
    Your young fam ❤❤❤

  • @wickwan6462
    @wickwan6462 5 месяцев назад

    Nkubal blood unafanya mziki pw xanaa

  • @SualeheDali
    @SualeheDali 5 месяцев назад

    Nyimbo Kali 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @InnoClassic
    @InnoClassic 5 месяцев назад +1

    Brother naomba nifanyeee remix wimbo wako huu

  • @mustaphamsofu8590
    @mustaphamsofu8590 5 месяцев назад

    Kipajii kikubwaaa mno

  • @FannyTz-dw4sz
    @FannyTz-dw4sz 5 месяцев назад

    kazi nzur

  • @c.bkeketv5397
    @c.bkeketv5397 5 месяцев назад +2

    🎉Kali brother

  • @pokendimillion5317
    @pokendimillion5317 5 месяцев назад +1

    Top artist . Good luck 🤞

  • @vj2wk6mq8f
    @vj2wk6mq8f 5 месяцев назад

    For the fast time bro hii Kali weka✔✔✔✔🇰🇪🇰🇪

  • @mzeyomame6163
    @mzeyomame6163 5 месяцев назад

    J'ai vraiment kiffe trop ❤❤❤

  • @musamakhaya6670
    @musamakhaya6670 4 месяца назад

    This guy Ako sawa

  • @chagaboy255
    @chagaboy255 5 месяцев назад

    Nice Videos❤.Ayo maneno yananitoa machozi😢🤦🏼‍♂️

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 5 месяцев назад

    Gud music..🎉

  • @DirectorChrissY2
    @DirectorChrissY2 5 месяцев назад

    jamaa fundii sana

  • @ShajuMusic
    @ShajuMusic 5 месяцев назад +3

    Aslam Aslam 🙌

  • @yasintamartin4465
    @yasintamartin4465 5 месяцев назад

    Ngoma kaliiiii

  • @Dalali_Amani
    @Dalali_Amani 5 месяцев назад +3

    Unyama kaka

  • @LatiffahHassan
    @LatiffahHassan 5 месяцев назад +2

    ❤❤❤unyuma saaana

  • @001ghunke
    @001ghunke 5 месяцев назад +1

    Noma sana 🎉😢❤❤

  • @kashatacomedy4385
    @kashatacomedy4385 5 месяцев назад

    Kubabaaaa kubwa noooma saaaana, ❤❤😅😊

  • @Marjanatz-i2s
    @Marjanatz-i2s 5 месяцев назад

    Umetisha kaka

  • @thisisazir66
    @thisisazir66 5 месяцев назад

    Storyteller 🍿

  • @EdouardoAnangise
    @EdouardoAnangise 5 месяцев назад

    Brow wee ni nouma sah nawezaj kukosa nyimbo zako kwenye cm yang alf wakupe tu tuzo yako

  • @Shemkai_tz
    @Shemkai_tz 5 месяцев назад

    Nomaa

  • @MtotowamamaAmina
    @MtotowamamaAmina 5 месяцев назад

    🎉🎉

  • @MariaSteven-ff5ph
    @MariaSteven-ff5ph 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤

  • @sallesfade
    @sallesfade 5 месяцев назад

    THE NEW KING IZ HIA