GSM HANA BIASHARA ANAYOIFANYA INAYOENDANA NA USHINDANI KWENYE MPIRA WA MIGUU - INJIA HERSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 36

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 4 месяца назад

    President, your level of thinking is at another level. It is our pleasure to have you in the football sub-sector. I recommend you write a book on running a modern football sports club

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 месяца назад

    Engr umewarudisha shule watu wengi kwenye hilo eneo

  • @AdamMohamed-u4p
    @AdamMohamed-u4p 4 месяца назад +2

    Kila siku huwa nasema bongo watu hawajui tofaut ya kuwekeza na kudhamini hapo ndo kuna shida

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 4 месяца назад +5

    Daaah Huyo jamaa ni Tajiri hiyo kampuni alio itaja Ina malori mengi sana

    • @bili-films
      @bili-films 4 месяца назад

      Kichwa mzgo

    • @godblesshudson1564
      @godblesshudson1564 4 месяца назад

      Halafu niya zamani sana

    • @aminahkhuzwayo-iv1wl
      @aminahkhuzwayo-iv1wl 4 месяца назад

      Utajiri wake ww unakuhusu nb!??😂😂😂😂acha umiskini ww😂😂 ukiizeka utakua mchawi!😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 4 месяца назад

      ​@@aminahkhuzwayo-iv1wlAmina mke wangu usimtukane mtu kiasi hiko.

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 4 месяца назад

      ​@@aminahkhuzwayo-iv1wlwww ndio unaumia kuona mwenzio kasema utajiri wake, ww ndio acha umasikini wa akili tuliaaaaa😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 месяца назад +3

    Rais Injinia una taarifa ya kutosha kichwani tupe madini.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 месяца назад

    Wenye akili kama Oscar kudhani kuna conflict of interest meelimishwa maana halisi ya Conflict of interest

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 4 месяца назад +1

    Kweli kabisa

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 4 месяца назад +5

    Afu hatupendi mnamusumbua rais watu nyie muacheni

  • @KarimKazumari
    @KarimKazumari 4 месяца назад +1

    Nakuelewa xna

  • @KaburameHamisi-fm7fo
    @KaburameHamisi-fm7fo 4 месяца назад +1

    Rais Piga kazi na zina onekana
    Yanga bingwa wanao uliza maswali hawana uwezo wa kuongoza hio team hata kama unanufaika na kazi unakua umefanya bidi ya kazi

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 4 месяца назад +1

    Unaongea Siasa tupu TU hizo!!!

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 4 месяца назад

    Yanga ya leo hakuna kiongozi parasite,Wajeda wanampunga wakutosha,kwa nini club isipige hatua?! Machawa wote out wakatafute kazi na sio kunyonya club😂😂😂

  • @ZakariaJoseph-r9t
    @ZakariaJoseph-r9t 4 месяца назад +1

    Msenge tu wew

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 4 месяца назад +1

    Kwahyo cc hatina akili sema mmehonga pesa TFF ili mwaka huu mkibamdika tuna bandika mkiloga tunaloga

    • @VicysebaNyambeta
      @VicysebaNyambeta 4 месяца назад +2

      Madako yako Kama huna point nyamaza😊😊😊

    • @kondokangua
      @kondokangua 4 месяца назад

      Reer🎉🎉r to be r rf​@@VicysebaNyambeta

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o 4 месяца назад +2

    Mmekuja kuharibu mpira

    • @rizikikihombo7713
      @rizikikihombo7713 4 месяца назад +2

      Kakuharibia wewe au hampendi yanga inavyo fanya vizuri

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 4 месяца назад

      Mo ndie kaharibu mpira maana ananunua wachezaji magarasa

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 месяца назад

    Camel group hiihii au nyingine?

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 4 месяца назад +2

    Tff hawana kipengele kinacho waluhusu kuzamini vilabu vingi wala kipengele kinacho wazuiya kuzamini vingi hii tafsri yake GSM kajitengezea mwanya wa rushwa hii imefika hadi fifa

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 4 месяца назад

    Very poorly explained, jibu swali, what is conflict of interest?

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 4 месяца назад

    Rais piga kazi wana yanga tupo nyuma yako

  • @rajaborijale1660
    @rajaborijale1660 4 месяца назад

    Wasengue t2 nyieee

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 4 месяца назад

    Camel hii ninayo ijua au

    • @hemedisalim5522
      @hemedisalim5522 4 месяца назад

      Sio camel ni Camil

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 месяца назад +1

      Ndiyo hiyo hiyo dadeki... huyo hana njaa kama hao wenginewe... kwa huyu mwamba Yanga itawapasua sana wapinzani wake 😅😅😅

    • @bigboys016
      @bigboys016 4 месяца назад

      Watu wako low key sana,camel big CO. mwamba hana habari