Ahhh wacheni. Inua mama initiative. Mwanamume akifanya kitu, hiyo sawa. Mwanamke akifanya vile vile, ni balaa. Mimi nasema pongezi kwa yule mama alienda kwa yule bwana aliwachwa, anatuonyesha jia.
Hizo nitabia za wanyama wasio kuwa Na ufahamu wachnganya Hadi mama mtoto baba hawajui BT pale beberu ya mbuzi ama jibwa wakiume akiwa kwenye time yakuingilia Mke hakubali fahali mwengine hapo nivita kubwa BT Hawa is too much wanyama Ni Bora
Leo I agree with Bi Mswafari.....hii ni nguvu ya giza inaweza sababisha ukosefu wa mvua.
Nakubaliana na bi msafwari
Mambo ya giza haya
Mungu turehemu🙏
Amen
Ahhh wacheni. Inua mama initiative. Mwanamume akifanya kitu, hiyo sawa. Mwanamke akifanya vile vile, ni balaa. Mimi nasema pongezi kwa yule mama alienda kwa yule bwana aliwachwa, anatuonyesha jia.
Wah makubwa Haya Gonga like Kama uliiona facebook 😕
Mambo mabaya haya kabisa. na Mungu atuhurumie tu
Mutihan mungu atunusuru
Waaaah maajabu hii
Kuna habari zengine pia Hata wanahabari musiangazie kwa Sababu inatoa nafasi kwa jamii pia mzima kuigiza kuona sawa tuu Hadi kwa watoto
Dunia imefika mwisho!
For real..... We need to confess and go back to God.... Coz this is satanic act.....but am happy for the show
Kikawaida ndoa hudumu kufwatana na msingi wake. na hizi ndoa mbili, maamuzi yao imetokana na vile walivyooana
Makubwa hayo
Washindwe. Hilo ni pepo mbaya
Haya mambo nayaona hapa Kenya tuu sijawahi ona kwingine wala kusikia
Haya mambo yapo tena sana ni venye hayaangaziwi,dunia imeisha
Shindwee kabisa
How can one participate in the show
Hizo nitabia za wanyama wasio kuwa Na ufahamu wachnganya Hadi mama mtoto baba hawajui BT pale beberu ya mbuzi ama jibwa wakiume akiwa kwenye time yakuingilia Mke hakubali fahali mwengine hapo nivita kubwa BT Hawa is too much wanyama Ni Bora
Kwan Mahaba yamezaliwa Pwani jaman mbona hatuoni watu wa Bara kwenye Haya mazungumzo!?
Sijawai kuona kitu kama hiki
Mawazo ya kilevi....
Naona mmekosa mada.
Wee unafurahia kwa yale walofanya wale jamaa kubadilishwa a wanawake
I see no problem with that. Far much better than the killings we are experiencing. Happiness is what matters
.