NTSA imewakamata dereva na kondakta wa matatu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 224

  • @anthonyseda4535
    @anthonyseda4535 9 часов назад +54

    That introduction Nailed It!! " Kwa umbali utadhani Ni lorry la Mchanga" 😅😅🤔

  • @babydriverr9589
    @babydriverr9589 9 часов назад +39

    Do you know my father button😂😂

  • @wizywesh1884
    @wizywesh1884 6 часов назад +4

    😂😂😂nimepanda hii mat jioni nikirudi home🤣🤣✋️

  • @samgibbs3066
    @samgibbs3066 2 часа назад +1

    I saw this in tictock and I condemn such behaviour whoever is involved must take full responsibility 😢

  • @catherinemusyimi8591
    @catherinemusyimi8591 9 часов назад +19

    If Kenyan can come together and protect the country Ruto is just a name like others

    • @reuben.kesis.469
      @reuben.kesis.469 49 минут назад

      Did you see Ruto or one of his family there? It's good to comment maturely.C kila wakati Wewe nikulialia tu.

  • @emmanuelodiembo4616
    @emmanuelodiembo4616 8 часов назад +9

    We will miss Michuki.🙌🏿
    Kwanza kelele huwa hapo.🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @kahugia
    @kahugia 7 часов назад +7

    Parents should teach their children good morals.

    • @rhymontic
      @rhymontic 5 часов назад

      surprise surprise, they are orphans

  • @carolmwikali8063
    @carolmwikali8063 7 часов назад +4

    Naona job vacants kwa ntsa 😂😂😂😂tutume cv wapi

  • @babukhamisi5620
    @babukhamisi5620 9 часов назад +8

    Ziko gari nyingi sana hata Mombasa,hazifai kubeba uma, wamezibaadirisha hata huoni unako enda,hawa niwazimu kabisaa wanaotufanyia sisi abiria, naomba serekali ikamate gari hizo,

    • @NjorogeKibe
      @NjorogeKibe 7 часов назад

      Nunua gari lako wachana na magari ya umma

  • @evaristusgathungu
    @evaristusgathungu 3 часа назад +1

    Ati obstraction of the driver 😅 .
    This is one of kenyan culture

  • @twelve1993
    @twelve1993 10 часов назад +28

    Kuna mtu atakosa kazi kesho...

  • @deejaykid2543
    @deejaykid2543 Час назад

    Zita toka na hakuna kitu kitafanyikaa.... Juu hii n kenyaa ninaielewa vyema kabisa.... Ila tufanyejee.... So mwenye nguvu mpisheee....

  • @ElijahAwinja
    @ElijahAwinja 9 часов назад +1

    Kazi safi NTSA

  • @benjaminmutinda641
    @benjaminmutinda641 5 часов назад

    Hiyo ni Kenya One🇰🇪🔥, kesho take off ni 5 in the morning🔥🔥🔥😂😂

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 10 часов назад +21

    Kenya hamna sheria mbele ya Pesa

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 9 часов назад

    Vyema kabisa kazi nzuri

  • @jamesmichubu4665
    @jamesmichubu4665 4 часа назад +1

    😢😢😢 George ruto😅😅😅atawadinya na ukijarbu kucheza unakua abducted coz baba Yako Hana power

  • @christineachieng4094
    @christineachieng4094 2 часа назад

    Mnaita magari ya mtoto wa Kaongo lorry ya mchanga citizrn tv 😂😂

  • @TruthMustBeTold_911.
    @TruthMustBeTold_911. Час назад

    Those ntsa officers are doing a good job and I hope police will protect them from being abducted by unknown people.

  • @JaneMimi
    @JaneMimi 7 часов назад +4

    The buses will be working tomorrow,order from president.watajua hawajui

  • @joejoel425
    @joejoel425 10 часов назад +11

    Tuonyeshwe picha wakiwa kotini😂

    • @Assistingalways
      @Assistingalways 10 часов назад +4

      Haha thats a video that will never be seen. Msipimwe ndo naenda nayo home leo

    • @Raphael16045
      @Raphael16045 9 часов назад +2

      Nani na nimeona vida wakiwa kwa club wakiwatch news😂😂.

  • @kukumdogo
    @kukumdogo 2 часа назад

    As President said we shoukd teach our children manners and Character

  • @FarajiMasha-o8n
    @FarajiMasha-o8n 9 часов назад +1

    Ambush mmefanya vibaya kui shika😢❤❤

  • @shiksmasero
    @shiksmasero 7 часов назад

    Nliwaona jana jioni.. .. Adi mathe flani aliwa curse😂😂
    Ona sasa wako ndani

  • @mallikgraphics.masculinity
    @mallikgraphics.masculinity 9 часов назад +4

    Hizi vitu si ati hamjui haziko.
    We miss Michuki for sure
    Huyu msee anaongea kama lawyer wa kamagera 😂 😂

  • @catherinegithaiga1521
    @catherinegithaiga1521 7 часов назад +1

    Please young people you can get hurt ....if anything else please take care of yourselves. It's not safe what u did

  • @KelvinKimani-ew3db
    @KelvinKimani-ew3db 8 часов назад +9

    Izi gari ni za kijana ya kasongo....mtaogea mnyamaze

    • @reuben.kesis.469
      @reuben.kesis.469 45 минут назад

      Not real even Gorge himself cannot advocates for such behaviours.

  • @kishtrommel5673
    @kishtrommel5673 8 часов назад +1

    Ode Francis understands his assignment 🎉🎉🎉

  • @jul8333
    @jul8333 8 часов назад +14

    Itatolewa Kwa ushuru wetu😂😂😂Ntsa ceo nyumbani😂Umegusa kasongo

    • @NgochoSherrif
      @NgochoSherrif 8 часов назад +1

      Hawajui hii gari ni ya nani😢😂

    • @princegammah_ke3898
      @princegammah_ke3898 5 часов назад

      Bro Ukona Lawyer,ama tukungojee wiki ndio urudi😅😅😂😂😂😂

  • @kevinamoh1
    @kevinamoh1 8 часов назад +2

    But Kinara still have a long way to go...hajawahi style up..Ako na utoi tu sana

  • @RastamanAjaab
    @RastamanAjaab 7 часов назад

    Zikiachiliwa niko na madereva WARASTA wawili ,NI wa RIGHTEOUS, wanafuata sharia..ni JOB TU HAWANA.MATWANA.

  • @NjorogeKibe
    @NjorogeKibe 7 часов назад +1

    Hizi ni za carsongo... Nobody can touch them

  • @JaneMimi
    @JaneMimi 7 часов назад +1

    Nothing will happen,watajuwa hawajui.order from above

  • @okelloobonyo
    @okelloobonyo 9 часов назад +1

    Citizen Nipashe 001😂😂,mtazoea

  • @davidndiga7826
    @davidndiga7826 7 часов назад

    "...Maafisaaa waaa NTSAAA niii abiriaaa wa magariiii hayaaa kilaaa sikuuu.."

  • @cyrusnginyo6702
    @cyrusnginyo6702 9 часов назад +1

    Si tunajua ni za kijana wa rais wa inchi moja africa😊

  • @kelvinmungai4270
    @kelvinmungai4270 8 часов назад

    Izi gari tunazipenda wachaneni nazo ❤

  • @gamingboy8504
    @gamingboy8504 10 часов назад +7

    KINARA siku zote

  • @kevinotucho9489
    @kevinotucho9489 10 часов назад +4

    Izi gari zinakimbia vibaya alafu konda na dereva ni viburi then the worst ni traffic police ni hongo tuh

  • @FarajiMasha-o8n
    @FarajiMasha-o8n 9 часов назад +1

    Wana sema Kenya 001. iko KOTINI😂😂😂

  • @jamesimanene4567
    @jamesimanene4567 9 часов назад +2

    Ni sheria italazimika ifuate gari hizo !

  • @dennismwita8180
    @dennismwita8180 9 часов назад +1

    Nikiongea kaongo atatuma subaru😂😂😂😂

  • @FarajiMasha-o8n
    @FarajiMasha-o8n 9 часов назад +2

    Citizen onyesha wakiwa koti

  • @zsyengo689
    @zsyengo689 4 часа назад

    MoneyFest...

  • @princegammah_ke3898
    @princegammah_ke3898 5 часов назад

    Kinara ako wapi 😂😂

  • @OwenMutuku
    @OwenMutuku 9 часов назад +2

    Hapa mwenyewe lazima atoboke zirudi street

  • @BubaDavis-ld3dj
    @BubaDavis-ld3dj 7 часов назад

    Hio intro joooooh😂😂😂😂

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 3 часа назад

    magari ni.ya nani?

  • @njorobucci5566
    @njorobucci5566 8 часов назад +1

    Kufungwa macho .nani hajui ni ya kijana ya kasongo

  • @KelvinKimani-ew3db
    @KelvinKimani-ew3db 8 часов назад +1

    Izo gari zimeuma fiti

  • @isaacnyapola373
    @isaacnyapola373 9 часов назад +3

    Gari la kijana wa Ruto

  • @gaminghub2.075
    @gaminghub2.075 5 часов назад

    Mapangalee😂😂

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 6 часов назад

    Hii ni bangi mingi

  • @Rayck_u4u
    @Rayck_u4u 7 часов назад

    Siezi ingia hizo matatu never ever

  • @violetoketch
    @violetoketch 8 часов назад

    Hapo wajafanya poa.hao vijana na sasa wangeaguka. NTCA kazi mzuri.wacha watulie home kidogo.wajifuze sheria za barabara.

  • @tonito328
    @tonito328 6 часов назад

    kasongo the law breaker

  • @berniegn.983
    @berniegn.983 9 часов назад +3

    This once off stunts by police and NTSA will never address traffic problems in Kenya.

  • @lawrencelawrence3585
    @lawrencelawrence3585 7 часов назад

    Kwanini wasishike mwenyewe

  • @Manu_s_254
    @Manu_s_254 8 часов назад

    Nikwaaa raha zaooo😂😂😂

  • @njerucyrus7174
    @njerucyrus7174 7 часов назад

    So 'maybe nobody' is above the law after all 😮!

  • @jamesgitahi3620
    @jamesgitahi3620 8 часов назад

    Cs WA transport anakuaga nani.imagine Niko Kenya na sijui.

  • @cosmustitus4468
    @cosmustitus4468 7 часов назад

    Kabisa

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 10 часов назад +3

    Waaaah kenya yetu vijana wetu nn hii sasa

  • @williamkirema6254
    @williamkirema6254 10 часов назад

    C wanaseme ni Gk

  • @SilaSimiyu-cj8tm
    @SilaSimiyu-cj8tm 9 часов назад

    Oppo siku zote 🤟 money fest😏😂😂😂

  • @job-ke
    @job-ke 10 часов назад +3

    hii ni leo tu as we know kenya🤣🤣🤣

  • @brucekeya7537
    @brucekeya7537 55 минут назад

    It's about time 😂

  • @rhymontic
    @rhymontic 4 часа назад

    They'll probably be out by next week...

  • @NuhJuma-rd3gb
    @NuhJuma-rd3gb 10 часов назад +7

    Mtaduuu what 😂😂😂

  • @Dfre1328..
    @Dfre1328.. 6 часов назад

    Hao majamaa wa ntsa wanahesabu screens na hawawezi kuziguza,wacha uipate tao kesho asubuhi, zote zitakuwa

  • @mussilli9002
    @mussilli9002 9 часов назад

    Money, power ,respect.

  • @cyruskomo2979
    @cyruskomo2979 5 часов назад

    Nothing like safety of obstruction in traffic rules

  • @Supreme_roy
    @Supreme_roy 9 часов назад +1

    Wooooie mawefest😂😂

  • @user-os3lx8re8f
    @user-os3lx8re8f 8 часов назад

    Watapewa pesa gari zirudi barabara

  • @jimmykariuki4340
    @jimmykariuki4340 8 часов назад

    The chairman is afraid.

  • @nalvic77
    @nalvic77 9 часов назад +1

    In Kenya this is a big PR.... ignore them and save your data.... president sons vehicles ... which court will here this nonsense....

  • @ChefSmaoo
    @ChefSmaoo 10 часов назад +8

    😂😂😂😂Hizi ni vipindi.. Hio ni gari ya George Ruto... As usual they'll just have it released back to the streets

  • @jul8333
    @jul8333 9 часов назад

    Watatoka Kwa amri ya rais

  • @communitywatch211
    @communitywatch211 8 часов назад

    If only Michuki was alive today..😢

  • @Yuca878
    @Yuca878 10 часов назад

    Ni kenya 🇰🇪

  • @KevinMacheche
    @KevinMacheche 5 часов назад

    Complain and praise

  • @jasonotieno9107
    @jasonotieno9107 8 часов назад

    The Sacco should be banned!

  • @samuelndegwamburu3273
    @samuelndegwamburu3273 8 часов назад

    Even covering windscreen is a big offence, n traffic are still on the road

  • @HillaryKithinji
    @HillaryKithinji 3 часа назад

    mshike abductors ivo vile mnakimbilia matatu

  • @LegacyTracksCinema
    @LegacyTracksCinema 9 часов назад

    Ingekua time ya Michuki. Hawa jamaa wangekua wamefinywa na Sheria venye inafaa.

  • @wanyonyirobert2735
    @wanyonyirobert2735 8 часов назад

    Gen z best ride

  • @johnmaluku2820
    @johnmaluku2820 6 часов назад

    This is just PR.make a follow up to confirm if they are charged and fined.Its only the poor who face the Law

  • @Solomon-l9y
    @Solomon-l9y 9 часов назад

    kipindi, utaziona barabara kesho

  • @Brian-fz7dz
    @Brian-fz7dz 6 часов назад

    KRATOS makosa ilikua ipi?

  • @DennisKepkemoi-qw6tt
    @DennisKepkemoi-qw6tt 9 часов назад +1

    Kesho kijana wa ruttoh 😂Ako kortini Kuna mtu amelalia kazi yake

  • @cherotichchongwony
    @cherotichchongwony 10 часов назад +1

    Mafala nkt. On a busy road on a working day masanse wako kila mahali 😅 reckless.
    Na bado hizi ndio mat wanakuwa accused of sexual harassment esp kwa stage.
    Chukua license washenzi 😊

  • @davidulisi8522
    @davidulisi8522 8 часов назад

    Kinara ameshikwa?

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 10 часов назад +2

    But wenye wako kwa mitandao wakichukuwa watoto wetu na gari kuonekana, imekuwa ngumu kuwashika shame on them ,kijana wa ruto huvunja sheria za barabara na anarecordiwa lkn macho hayaoni

  • @diddiousdenali
    @diddiousdenali 10 часов назад +2

    Screen hazinashida that’s part of matatu entertainment focus on other safety issues like kupanda ju while it’s moving na manyoka

    • @joshuakioko9665
      @joshuakioko9665 9 часов назад

      I think you are a big fool if that is your thought

  • @dennismwita8180
    @dennismwita8180 9 часов назад

    Hizo gari ni color gani?

  • @ViceAdmiralVasilyArkhipov
    @ViceAdmiralVasilyArkhipov 9 часов назад +1

    Inaitwa acting 😂

  • @alexgithua6472
    @alexgithua6472 10 часов назад +1

    Bora msinguze za Kiambu😅

  • @paulsiro1775
    @paulsiro1775 9 часов назад

    High time this fools got caught . They are a nuisance.

  • @peterwashiuri9194
    @peterwashiuri9194 9 часов назад

    This kind of impunity needs to end

  • @omunilihanda2238
    @omunilihanda2238 9 часов назад

    Ntsa should conduct check at night..., some of these 125 route mats have blinding headlights.