UMENIZABA KIBAO NINGEKUUA, TUNAGOMBANA SANA, NINGEKUPELEKA LODGE | OUR LOVE STORY W/ MEET US - EP 01
HTML-код
- Опубликовано: 13 фев 2024
- Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love
Keep showing us that beautiful black,young and amaizing couple exist ….She is soo well spoken ,beautiful,mpole ana hekima mstaarabu na ana heshima❤️Go and succeed young lady ….The guy is matured ,good looking,loving and a hustler Go and succeed young man…Ndoa ni baraka na itakuja kwa wakati MUNGU anapenda na sio wanadamu
Achana na kila kitu mimi sisikilizi kinachoendelea ila nazingatia kila detail ya hii production sijawahi ona waandaaji bora wa namna hii hapa kwetu Tanzania tunapiga hatua kwa kasi zaidi...Mungu awabariki sana napenda vijana na watanzania wenzangu tunavyopiga hatua kwa kasi sana
Such a beautiful couple! ❤
I love how humble , polite and soft they sound, young love.
Wonderful moment ❤❤
Nice story👍🏽👍🏽
Kipindi kizuri lakini wahusike wanandoa ili tuendelee kujifunza maisha ya ndoa sisi ambao tunatarajia pia kuoa😅
But it's wonderful story
Creativity 🙌🙌🙌✈️
Quality, Storytelling and everything on perfect
Huyu mkaka anapenda kiingereza afu haelewek worst or best anachanganya madawa tu
Walking through their dreams together ♡♡♡♡🤍🤍🤍🤍
Nawapenda sana mungu yupo pamoja nanyi awabariki mfanikiwe mfunge ndoa
Wow kweli hyu candy she is a real feminine wanaendana
Nc couple congratulations to you guys
Tuleteeni wana Ndoa jmn , Haya mambo ya Mahusiano sio kbs
Mko poa San jmn mko vizul san🎉🎉🎉🎉❤
This is so beautiful guys🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺we want moreeeeee ❤❤❤❤❤
Ni nzuri.
Ila tupeteeni watu ambao tayari wapo kwenye NDOA sio wapenzi tuy
sasa wakiweka couples za wenye ndoa Tu Sisi tunao date tutajifanza nini kuhusu dating life
150 kg ❤🎉
Hii story yenu bhna imenikumbusha mbali..... Dah jmn ❤
Yanii huyuu Kaka anaongea point Sanaa jamanii Kama mko hvoh kwelii mungu awatunzee
So this is it, only one video? It's very good content.
Na mm ndoo Big
I love this couple ❤
owa huyu kaka ni msichan mtulivu sana hikima eshima upole nyota yako usimdharau huyu wanawak sio wote wastarabu❤❤❤❤
Waooh next please 😍❤️😍❤️
Maongezi ya kitoto aghhh!
😂😂 okay love is byurifulll thing
Kofi la mpenz haliumi
Hii nzr lkn itapendeza zaid tukiona wana ndoa au wanandoa ambao wamegombana iwe sehem ya kuungansha au wapnz ambao wanakarbia kuoana.
Meet us nawapenda ila hapo kwenye miscarriage aiseee Raheem umeniangusha big time🙌
🔥 ❤
naombeni kuuliza hii podcast anaimiliki nani? bonge moja ya idea
Jamani mi nimependa saut zao jamani very romantic❤
Mbona kama ugomvi😂
Hiki kipindi kinapendeza zaidi kwa watu waliooana sio wazinifu kitatuboa sana 😂
Love story dah jamaa anaongea fresh kinona.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Love you guys
The production is 👌🏿💯 the lighting,video & audio quality 💯👌🏿 keep it up
Hii ndo maana ya Production 🎉🎉🎉🎉 Sounds na picha ni Africa nzima hakuna Podcast ya kuweza hili
MUNGU awatangulie
Candy is matured more than Raheem
True
There's a difference between being soft spoken and maturity..
Do your homework!find yourself a dictionary
unajua zile wangap wamezisikia nying kam mm unajua hahahah
ILA MNAPENDANA MBWA NYINYI, PUMBAVU ZENU..😂😂
😂😂😂😂 ila watu
😂😂😂😂😂 God have mercy oo
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🙌🙌🙌
😅😅😅😅
Ooohh wow ❤
🙏🙏
❤❤❤❤
Dakika ya 22 kaniongelea mimi😅
I think hiki pindi kijikite kwa watu waliowana ki harali sio wapenzi
La meuf est tellement féminine 🥰
mikadi ooh i know the place kitambo sanaa,, alafu kwa namna unavyojichukuliaa unajichukiliaje kijanaaa tell us!!!!
Mikadi beach oweeee😂
Ooohweeeee welcome someday tukaliflash mind
We jamaa nimshenzi
An hawa wanatuletea story za kihind khaa😅
2 love 💕
Kumbemlisha ua kiumbe kisichokuwa na hatia Story yenu imenivutia sana lakn ime nihudhunisha hapo mwisho mwisho kitendo cha kushirikiana kutoa mimba kosa kubwa sana hasa kwa mwanamke huwezi jua yawezekana Mungu kakupa mtoto mmoja tu halaf ndiyo hivyo tena umemuua kutoa mimba haisababishi wewekuitwa Binti Bali utaitwa mama wa marehem😤
Mwamba anaongea sana majivuno mengi ila pisi katulia sana anajibu kwa akili thats good but production is good sanaaa
Raheem et ulinunuaa😂 dada anasema tulinunua vitu siku moja acha hizo mlinunua bhn 😂
mimi napenda vile penzi lenu lilivyokuwa zito kilo 150 😍😍😍
hilo penzi linaeza zidi kilo 150 wasee muitei JAY MELODY alipime limefika ngapi
Wich County is this
😂😂😂 county ya nyokoo😂😂😂ukute wewe ndo yule jamaa wa tiktok 😂😂
👍👍👍
❤❤
Eka ya mwijaku sasa
❤
❤❤❤
Kwaio ukiwa na pcx nyingi ndo unajibiwa DM halaka eboo 😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hawa ni akina nani?
Bro can i be ure circle😂😂😂😂
Tunaomba tuletewe couples ambazo zimeowana kihalali kisheria ni mke na mume, iwe ndoa ya kiislam au ndoa yakikristo lkn iwe ni ndoa msituletee wazinzi, wazinifu wanofugana hawajaoana please🙏tunataka kujifunza zaid kweny ndoa wanayoptia wanandoa ahsante🙏🙏comment yang isiguswee!!
Me naigusa😂😂😂upo sahihi,tunataka somo kwa wenye ndoa sio wazinifu, bgup👊
@@rehmakondoww mashallah❤umenielewa😂
Kweli kabisa hawawengine kama. Maigizo
Ndoa zote zinaanziaga huku acheni kujifanya watakatifu..kama ni watakatifu kaishini macca au bethlehem
Exactly
Pumbavu zenu mnanifanya natabasamu kama mjinga wakati mm Niko single
😂😂😂😂😂😂😂😂 kicheko tu
@@NaomieMasoka-xp4ob aisee 😂😂😂
Pole
Nimecheka
mikadi😂..kwisha wewee
Hahahaha where ue live kigambon or
Aww♡♡♡♡….best 🥹☺︎☺︎♡♡♡🫂
Et sijawahi kutongoza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndo wakina nani hawa 😂😂 Mjini watu wengi jmn good love story ila uwindi mwingi kweli
ha ha ha haaaa bora umeniulizia ndugu yangu
Meet us high budget
Me siwajui ila nimewapenda
Super 🫶
Not matured,hawa ni watoto
Masonic gangs na mavipindi ya hovyo hovyo. Nonsense
❤❤ ❤❤
❤❤❤
❤❤
Fatma ♥️ it's good name hata sound yake nalipenda sana
❤❤❤