Ni kweli kabisa anachosema lisu ametawala mwinyi kauza loliondo Saša katawala Samoa kauza ngorongoro na bandari halafu wapo watanganyika ambao wanajua lakini bado wanasapot mfano wabunge wote watanganyika waziri mkuu hao ni viongozi manyumbu
Nyinyi ni watanzania au watanganyika mbna munajitia uwehu wakati sisi wanzazibari tunajitambua na wazanzibari na sio watanzania asili yetu ni Zanzibar baadae kilichotuunganisha ni muungano tu
Kwakweli tundu lissu ahsantee kwakweli Yako..wewe nimsema kweli mungu akulinde
Ni kweli kabisa anachosema lisu ametawala mwinyi kauza loliondo Saša katawala Samoa kauza ngorongoro na bandari halafu wapo watanganyika ambao wanajua lakini bado wanasapot mfano wabunge wote watanganyika waziri mkuu hao ni viongozi manyumbu
Mm naona bora tuvunje muungano Zanzibar iwe na mamlaka yake na Tanganyika iwe na mamlaka yake
Sema kitokacho moyoni mwako,,uonevu hauna tija katika Tanzania yetu huru
Wacheni kuwadanganya watu nyinyi watanganyika ndio mnaikalia kwa mabavu Zanzibar
Nyinyi ni watanzania au watanganyika mbna munajitia uwehu wakati sisi wanzazibari tunajitambua na wazanzibari na sio watanzania asili yetu ni Zanzibar baadae kilichotuunganisha ni muungano tu
Msijiite sauti ya watanzania jiiteni sauti ya watanganyika
Pia bora tuwe majirani wema
Lissu ongea Kwa hekima acha mihemko
Mbona kama hawataki kuitikia