Nimeanza kusoma kaka maana natarajia kuja kuishi Ujerumani maana bila kusomea ruga yao uwezi pata kazi nzuri ndio maana ukifika kwao wanakupeleka shule kwanza 😅
Nimeipenda sana na kuikubali jitihada yako hii ya kutufundisha kijerumani. Mungu akuongoze gagu sky member. Ukianzisha class ya lugha hii Zanzibar tujulishe.
Ticha mie hapa sijakuelewa mie nitakusalimia guten moogan je ww utanijibu vip kwa mfano Habari yako ww utanijibu nzuri kwa kijeruman je ww unatakiwa unijibu vip nikikusalimia
Habari mwalimu!! Je una center ya kufundisha kijeruman physically hapa Dsm napenda kujiunga
Safi sana= Sehr sauber!
Ahsante krb tena
Mimi ni mwanafunzi ninaejufunza kijerumin asante kwa kutusaidia
parfect
Extent
danke schon mein bruda. ich komme auf Tanzania.
Ich komme aus Tansania
Naitajia sana kujua kijerumani sana
vzr sana braza
Bali mwallimu mimi niitwa abdoul nimepnda gisi unafundisha natman sana tena sana kujuwa kijerumani ntafatiria cocote uta erekeza mpaka kbx
Napenda sana lakini ningependa kuingiya kwenye grup
0773339563
🙏
Kazi nzuri
Asante kwakuni funza
Nice one brother keep it up......,
Zoi hello
danke schön dealiha Rashman
Haloo naomba no ya simu
Mm nataka kujua kijerumani
Nimeanza kusoma kaka maana natarajia kuja kuishi Ujerumani maana bila kusomea ruga yao uwezi pata kazi nzuri ndio maana ukifika kwao wanakupeleka shule kwanza 😅
Nimeipenda sana na kuikubali jitihada yako hii ya kutufundisha kijerumani. Mungu akuongoze gagu sky member. Ukianzisha class ya lugha hii Zanzibar tujulishe.
Shukran sana Tunaomba Nguvu zenu na kueza kusambaza elimu kwa wenzetu
Je waweza fundisha kwa njaaa ya wasap
Naomba mawasiliano yako
Mm nataka nijuwe lugha ya kijerumani lkn Niko pemba nitapataje kujifunza
Naitaji number yako ya whatsapp au niunge kwenye gurop la kujifunza kijerumani
kazi nzuri, unaonaje kama utafungua class haswaa ukaendeleza
Ata mm nataka kujua
Nataka nijifunze kijerumani
Gütn nacht älter bruder RASHMANI
Niunge na group lako bas mbona namba hujaeka
safi xn mkuu!! tupe elimu hy
Hey kaka rashimani ninakupata wapi
Kz nzuri teacher
Nipo mpaka nijue
Nitaweza kweli
Mwalimu nimeanza kusoma hapa online natumaini nitaelewa vzr
Nakubali kazi
Nimependa Mana ninajifunza na ninaomba utusaidie ili tujuwe asante
(Deine video ist super ) vipi iki ki SMS kiko sa hihi
Vip hali kaka me nina shida na wew sjui wapi umefungua class
0773339563
Naitikiaje
Asante sana kaka mimi nitakufatira paka nijuwe
Shule yeni iko wp
Shukran kaka
Vizuri
noumar
Napenda kujifunza kijerumani
Muniweke kwenye group
Naomba unifundishe kijerumani mwalimu nifanye nn ili nijue kijerumani mwalimu please nisaidie
Hbri teacher mm nafatilia lesson zako ila kuna swali nataka kuuliza kidogo kupitia hii lesso
Ticha mie hapa sijakuelewa mie nitakusalimia guten moogan je ww utanijibu vip kwa mfano Habari yako ww utanijibu nzuri kwa kijeruman je ww unatakiwa unijibu vip nikikusalimia
Kujitambulisha je teacher
Jambo sana bwa kwetu
Kk asante natamani kusoma kijerumani ,je ntachukuwa mda gani kujua vizuri
Nataka nijiuge kwenye group lako la WhatsApp nifanyej
das ist gut unser lehre Rashid
Asante sana
Asante
Nimeipenda hii tuition
Nahitaji kujifu naoa zimechanganyana masomo ndo ninaanza naomba maelekezo
nzuri sanaaa
Mr rashman shule yako ipo wapi kwa huku daresalam
Daresalam Buguruni Malapa
es geffelt mir sehr gut
Danke sehr
Naomba nipate namba Yako ili ni jifunze zaidi dalasani
Masomo mazuri zana
Unafundisha wapi
nitumiye katu kaku jifuunja ki Jermaine
Good job btother
Vielen danke
Naomba yako
+255773339563
Gute Idee ist schöne
Na nikiitaji kitabu Veep nitapataje
Kumbe Tag ni mchana huwa nawatag watu sana fb
Unapatikana wapi
samahani mwalimu niko naswali
Yes mkuu
Vyeti unatoa
sehr schön unser lehrer
Ongeza muda wadalasa
Na mimi nilikuwa nataka kujifunza ki jermany munatumikiya wapi niwafate kwenye mupo?
Wanafunz tupo
nipo hapa mwanafunzi wako hatua kwa hatua bro
Niko jeremani natak nijifunze zaidi bitte 🙏
Mamb
Sehr gut lehrer
Danke sehr
Baabkubwa.:-)
Please give me you are nomber brother I need to talk with yuo
Jamila Ramadhani hallo
Nahitaji kuja kusoma kbs darasani je mko wap?
Ninataman kujifunz nipe nambazak
Halloo wie geht es dir
Mir geht es gut . Danke
Niunge namm
Sasa mwalimu mfano Mimi nikasalimiwa Guten Morgen, Mimi najibu vipi?
Una jibu Kama hivyo tena guten Morgen
Naitaji kupati namba yako broo
Kaka mamb mimi naitwa beth nahitaji kujuwa vizuli namb yang ya whatssap
0773339563
@@rashmantvonline7613ok
Asant san ila mm naomba yak ya sm kwa msaada zaid
+255773339563 Whatsp and call
Naomba namba yako tuonane plz plz mwalim
Teacher Nana link ya kuingia watsap
chat.whatsapp.com/Bof5v8KDjmpC5fKEfQzl38
Danke gut
Nahitaji kujifunza kijerumani,ntakupataje?
Hey, guy where you are, where you from ?
From Zanzibar broo
Often Happy to see you
kama yeye akiniaza kuni salimia nta mjibuje
Kaka asante kama nataka kujua kukiongea nafanyaje,
Mm mwanafunzi mpya kaka niunge kwenye group 0678570761
Jambo mwalimu Mimi Niko pamoja na wewe kabisa Kama Kuna gisi utupe na WhatsApp number
Your phone number brother please ya wasap nataka kua mwanafunzi wako
Namba wtttsspp number
0773339563